Тёмный

LIVE: MPINA AMGEUKIA RAIS SAMIA, ASHUSHA KILIO CHAKE KUHUSU BASHE "ASISAINI SHERIA YA FEDHA 2024" 

Uhondo TV
Подписаться 600 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

#uhondotv #uhondo

Опубликовано:

 

9 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 74   
@JacksonProsper
@JacksonProsper 2 месяца назад
Hongera mzalendo
@issakassim8291
@issakassim8291 2 месяца назад
Rushwaaa ndo imetawala kwakweli😢
@EdwardKwiyanga
@EdwardKwiyanga 2 месяца назад
WaTZ wameuona ukweli wote hii inchi wanapenda kusiwiwa lkn sio kukosolewa mpina unalifaa hili taifa mpina is jiniazi
@piusmaduka
@piusmaduka 2 месяца назад
Elimu kwa wabunge sifa ya kusoma na kuandika iondolewe, bila elimu zaidi wabaki watazamaji tu kina msukuma anajifanya anajua kumbe zero
@godlistenmangowi9328
@godlistenmangowi9328 2 месяца назад
Mh uko vizuri sanaaa!! Nilifuatilia nikiwa nje ya nchi walivyokufanyia uhuni pale bungeni. Waziri wa kilimo ni Muhujumu uchumi.Tanzania tunaitaji upinzani hakuna kuangalia nyani machoni
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 2 месяца назад
Nikweli
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 месяца назад
Kweli kabisa
@jamesmartin7026
@jamesmartin7026 2 месяца назад
Huyu anafaa kabisa rais
@maxmiliangunze8931
@maxmiliangunze8931 2 месяца назад
Tuko pamoja mh. Mpina Mungu akuongoze kazi yako umeimalza ya kuitetea nchi!!!!
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 2 месяца назад
Uko vizuri Mungu akulinde. tuliia inyo lwako kutuingiza taabuni kuu za bandari zetu. Wakata mwanangu hana ajila kwaajili yako
@godlistenmangowi9328
@godlistenmangowi9328 2 месяца назад
Alafu Kuna wapumbavu wachache ambao hawajaenda shule wanakupinga.
@deogratiusrichard1338
@deogratiusrichard1338 2 месяца назад
Kiujumla mm nakuombe maisha marefu mpina mungu akusimamie maisha yako pamoja na family yako simama uko mboe tznia
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 2 месяца назад
waziri wa fedha ajiuzuru
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 2 месяца назад
Pole
@christophershuma623
@christophershuma623 2 месяца назад
mpina hongera sana kwa msimamo .watanzania tumekuelewa.wewe ni mzalendo.mungu akuepushe na maonevu yote😂😂😢
@athumansaid796
@athumansaid796 2 месяца назад
Ambaye hata kuelewaa bas ila haki ipo waziii
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 2 месяца назад
Hongera mpina
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 2 месяца назад
Kaka waachie mungu atakulinda ccm haijakuzaa toka huko kaka
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 месяца назад
Mungu anatutaka tujisaidi naye atatusaidia. Kukubali kuonewa ni dhambi. Huyo anayeonea akiachiwa huru bila ya kuchukuliwa hatuwa ataendelea kuonea wengi. Mpina kuchukuwa hatuwa anawasaidia wasiokuwa na sauti, hata kama hatasikilizwa.
@user-ec8zv7lq8y
@user-ec8zv7lq8y 2 месяца назад
Duh mahakamani tena iko kazi
@daudysanga8492
@daudysanga8492 2 месяца назад
Yaani unawaonyesha wa tz vitu vya hovyo sana yaani unaonyesha umbulula wako maana ww mwenyewe ulishakuwa wazir sijaelewa kilichokukumba pole aisee
@JacksonProsper
@JacksonProsper 2 месяца назад
We unayemtukana mbunge hufai hata kwenye danguro
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 месяца назад
@@JacksonProsperjibishana kwa hoja
@daudysanga8492
@daudysanga8492 2 месяца назад
@@JacksonProsper achakufata mkumbo
@KulwaZephania-lm5fk
@KulwaZephania-lm5fk 2 месяца назад
Kama aliwah kuwa wazr ndo ujue anajua mengi kuliko ww unaejua aliwah kuwa Wazir MH mpina
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 2 месяца назад
Wambie ukweli mambo hayaendi mkuu
@protasreshola9744
@protasreshola9744 2 месяца назад
Mh simamia maslahi ya nchi. Busega endeleeni kumpa ushirikiano Mh
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 2 месяца назад
Daaaah ukweli tupu Mheshimiwa Mpina!
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 2 месяца назад
mwiguru ajiuzuru
@JohnMiligwa-vj2ji
@JohnMiligwa-vj2ji 2 месяца назад
Okyy
@aloycemruma6552
@aloycemruma6552 2 месяца назад
Muheshimiwa usishangae .hayo ni ndio Matokeo chawa nishida mbuge anakuwa .chawa tulimsikia eti nilaana ya samaki
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 2 месяца назад
NCHI ZA AFRIKA KUWATETEA WANYONGE SI AGENDA YAO. MAPAMBANO BADO YANAENDELEA. ELIMU YA KIKOLONI INAWAATHIRI WASOMI.
@CYPRIANMACHIBULA
@CYPRIANMACHIBULA Месяц назад
BHABHA TULIBHOSE ULUPUNGUKILWA IGULAGHA AKAUNTI TUBHEJE SOLOLO LULU NJGHU
@MonayLai
@MonayLai 2 месяца назад
Ni kweli tupu hy spika ni hamna kitu alichemka tuu kumfukuza. Kwa akina mdee aliwakingia kwa kusema chama chao hakikuwasikiliza sasa mbona yeye hakumpa nafasi mpina kujitetea
@kambonamalima4833
@kambonamalima4833 2 месяца назад
my God this is Tz
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 2 месяца назад
Mbunge Mpina uko vizuri katika taarifa yako lakini wewe ni tumbili kama waliokupa kura tu! Mwizi ni bakubaku lao hahojiwi hadharani, kafichwa hajulikani ila kuponyoka sakata hili pana kazi. Yani wananchi ajira kwisha na wakulima fursa kwisha miwa watafune wenyewe...
@aloycemruma6552
@aloycemruma6552 2 месяца назад
Ndugu yangu. Mpina umegusa. Chakula. Cha Watu ndio. Zambi. Yako. Hiyo tulijua kuwa wenye chakula chao .watakuchukia tuu
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 2 месяца назад
VIVA KOMREDI MPINA....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 2 месяца назад
Mo alitoka wapi kubeba sukari na kuisambaza wakati hakupewa tender?! Panahitajika tume ya uchunguzi,Hìi tender ikichunguzwa vizuri itaonyesha ni ya Mo sio ya hao walioandikwa...ni kupotezea tu. Ikipuuzwa,chombo binafsi kichunguze kwa undani jibu la kweli litapatikana tu...aibu ibaki kwao...
@abdisalamjamal2128
@abdisalamjamal2128 2 месяца назад
My Brother Mpina you had already been sentenced whats is your problem.
@SanziNzige
@SanziNzige Месяц назад
Mpina acha wavurugane WAJINGA hao
@MiracleEliya
@MiracleEliya 2 месяца назад
Uko sahihi tupambanie
@christophershuma623
@christophershuma623 2 месяца назад
Wasome alama za nyakati kwa majirani zetu.
@user-yw7ud9th2l
@user-yw7ud9th2l 2 месяца назад
Tanzania ndioinayo ongoza kwakuuza sukarikwabeiyajuu kilo 4000 Zambia 2500 malawi2300,kenya2300,musumbiji,1900,unganda 2300 Tanzania inaongoza
@user-zb3ej6hr2b
@user-zb3ej6hr2b 2 месяца назад
Mbina hongera,
@selemsigala4771
@selemsigala4771 2 месяца назад
Alipo ingia bashe pembejeo feki zimeongezeka kwa kasi pili pamoja na kusamehe kodi na kuwapa mitaji wahuni ila bado bei ya sukari ni kubwa sasa kunafaida gani ya yeye kuagiza sukari? kama yeye anataka kulisaidia taifa na kumsaidia mkulima kwanini asitoe mbinu ya kuzalisha sukari? Mungu akubariki Mh Mpina tunajua uzalendowako kwa Taifa letu.
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 2 месяца назад
2025 is going to be a real confrontation ....
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 2 месяца назад
Hats kama ila umewakomesha history a imeandikea toka waachie kwani ubunge kitu gani beana
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 2 месяца назад
Mpina mlize Bashe wanainchi walio uziwa mbolea songwe ambayo ilikua niudogo wakaida aliwasaidiaje wanainchi waliopoteza pesa zao
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 2 месяца назад
Mtu kama mbunge Msukuma mpaka mh Mpina anauliza ananisimanga anachangia? Halafu alisema hataki taarifa Sasa hii ni sawa?????
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 2 месяца назад
Tuko pamoja mpina
@froma3732
@froma3732 2 месяца назад
Wewe unataka Hawa Wakora wa Sukari waendelee Kuamua bei wanazotoka
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 2 месяца назад
Toka na ujinga wako
@MunishAgust
@MunishAgust 2 месяца назад
MPINA TUNAKUAHIDI KUWA NYUMA YAKO KIMAOMBI KWA KUWA TUNAONA WAZI UONEVU ULIOTENDEWA
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 2 месяца назад
Mh mpina jilaumu sana kuzaliwa Tanzania Taifa lisilo penda wakweli kama wewe
@allymusira2153
@allymusira2153 2 месяца назад
Hivi si ujiuzuru kwani umelazimishwa?
@oklahommy9838
@oklahommy9838 2 месяца назад
Msigwa ameingia CCM unaona na wewe ukiingia Chadema nadhani itakuwa ni exchnge ya maana kabisa
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda 2 месяца назад
Kila mwezi wa Ramadhani ukifika sukari Inahadimika na Bei kupanda. Sasa utafiti gani hapo unahitajika. Sasa huyu anatetea nini au kashikishwa rushwa !!!
@levidavid1156
@levidavid1156 2 месяца назад
wewe hujui. hoja ya mpina ujinga. na uchawa ndo umejaa kwenye fuvu lako
@ProsperMwakasungura
@ProsperMwakasungura 2 месяца назад
Wewe acha longolongo, naenda kwa Ndugai, Polepole na Olesendeka. Unajifanya huelewi.
@suleysafari798
@suleysafari798 2 месяца назад
Wewe ni Kuma wa wapi?
@selemsigala4771
@selemsigala4771 2 месяца назад
kwaiyo aache wezi acha wehu wako
@suleysafari798
@suleysafari798 2 месяца назад
Msg Yako haieleweki nimerudia kusoma ...naona unamwambia mpina aache longolongo
@ProsperMwakasungura
@ProsperMwakasungura 2 месяца назад
@@suleysafari798 Kabisa Tena awe kimya.
@suleysafari798
@suleysafari798 2 месяца назад
@@ProsperMwakasungura umepewa nn lakini?
@abdisalamjamal2128
@abdisalamjamal2128 2 месяца назад
Mheshimiwa Mpina mbunge maneno yako yanajirudia mara kwa mara hii inaonyesha wewe ndiye anayesema Uongo tafadhali jirekebishe usije ukaaibika huyo ni ushauri wangu bado tunakuhitaji katika ujenzi wa Nchi yetu tuipendayo.
@mohamedichande-eb6jh
@mohamedichande-eb6jh 2 месяца назад
Kwenye suala la sukari la kila mwaka ulitaka iweje? Usiwasumbue watu na mb zao,acha unafik wewe wala sio mzalendo unaigiza,
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 месяца назад
jamaa anaonekana anamsongo wa mawazo!!serekali,bunge,wote wajinga,mwenye akili na anayejuwa ni MIPINA!!
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 месяца назад
Ana msongo mkubwa wa mawazo, safari hii sijui hata kama atakuwa mbunge kwenye jimbo lake kwa sababu huko jimboni kwake hawampendi na anaona sawa tuu kutokea uhaba wa sukari kwa sababu kijijini kwake wala hawatumii sukari
@mossessimon2493
@mossessimon2493 2 месяца назад
💩
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 2 месяца назад
Tulitamani kuona tuhuma za mpina zinajibiwa kwa hoja na ushahidi wa mh waziri wa kilimo maana yeye alileta ushahidi
@levidavid1156
@levidavid1156 2 месяца назад
huna akili jibu hoja za mpina. nasema hivii bashe nimwizii hafai kabisaa
@SanziNzige
@SanziNzige Месяц назад
Mpina acha wavurugane WAJINGA hao
Далее
SAFARI YA KUELEKEA MAONO YAKO |PR.DAVID MMBAGA| #live
1:03:20