Тёмный

LIVE: RC MAKONDA AWABANANISHA WATENDAJI NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI MONDULI - ARUSHA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

‪@millardayoTZA‬

Опубликовано:

 

26 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@CharlesDaniel-mn8jl
@CharlesDaniel-mn8jl 2 месяца назад
Piga kazi mkuu Mungu akulindee
@abdullkidunda5941
@abdullkidunda5941 2 месяца назад
Mungu akupe maisha marefu mkuu kwani viongiz km ninyi kutokea ktk kalne ya ss ni wachache na msio hitajika kwa kua wawazi kimaamuz ubarikiwe sana kiongoz.
@simonsadala2386
@simonsadala2386 2 месяца назад
2030 Taifa hili litakuwa mikononi mwako katika jina la Yesu
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 2 месяца назад
Ktk teuz bola za mama makonda na wazili wa alizii akika ni teuzi ambazo ni bola sana kwa ajili ya wanannchi ya kima cha chin
@lesemomole6286
@lesemomole6286 2 месяца назад
Piga kazi mh.makaonda God bless you
@susananyasani6526
@susananyasani6526 2 месяца назад
Maskini inasikitisha sana mumsaidie Bibi Mzee hao ndio wanyonge wakupewa msaada asante
@janethjonas1700
@janethjonas1700 2 месяца назад
Mpaka nimelia huyu kijana Mungu amsaidie
@kulwamisana8896
@kulwamisana8896 2 месяца назад
Kaka piga kazi mungu nae anaona kazi nzuri unayoifanya
@PeaceMakersFamily77
@PeaceMakersFamily77 2 месяца назад
When I was a kid👶I used to think that Egypt and Israel are in Heaven 🥸
@bkkomesho9272
@bkkomesho9272 2 месяца назад
Nimecheka sana hapo kwenye maajabu
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 месяца назад
Kama wakuu wa mikoa wote wangefanya kazi namna hii, wananchi wangeipenda Serikali yao sana, nchi ingekuwa na baraka kutoka kwa Mungu na ustawi ungekuwa mkubwa sana. Lakini inahitaji mkuu wa mkoa kuwa safi, mwenye makandokando ya wizi, ufisadi, kushiriki kudhurumu wananchi hawezi. Pengine ukimya wa wakuu wa mikoa wengine una mshindo mkuu.
@leonardobedi4779
@leonardobedi4779 2 месяца назад
ukisikiliza kesi ya mkandarasi kuna picha linakujia akilini alaf wanamtaka makonda atumie lugha nzuri ya kuwabembeleza 😢.. wachane baba
@VailettyShigerla-fw2sg
@VailettyShigerla-fw2sg 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤
@SAMISAI.
@SAMISAI. 2 месяца назад
Namuona raisi magu kwa mbaali🔥🔥🔥
@user-mg8fg4jq5v
@user-mg8fg4jq5v 2 месяца назад
Mama mlete shinyanga kahama atusaidie
@SAMISAI.
@SAMISAI. 2 месяца назад
Hadi kavaa kimasai
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 2 месяца назад
Yaani watu wanaiba na wanajijua wanaiba..., Alafu poa tuuu dhaaaa kamanda wetu Makonda akiteleza kwa maneno tuuu mnaanza kujiposti mkitupa mipasho mtandaoni 🤣🤣🤣🤣
@mako331
@mako331 2 месяца назад
Ukisikia mtu anasema Makonda anadhalilisha watumishi wa umma huyo ni mtu wa kuogopwa sana kwenye nchi hii, uozo wa kiutawala uliopo wacha tu Makonda afanye anayofanya
@WazirJuma-gd5oo
@WazirJuma-gd5oo 2 месяца назад
Alafu mnasema wanazalilishwa mhh majizi yamejaa
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 2 месяца назад
Hao wezi ambao ni viongozi ndio wanatakiwa kuwa magerezani wele wafungwa innocent wawe huru.
@user-mk1qz1mn7w
@user-mk1qz1mn7w 2 месяца назад
Wapuzii watasema na huyu umemzalilisha wapuzii
@frankrobert9706
@frankrobert9706 2 месяца назад
Tena wasenge kweli yaani hii nchi ngumu sana mtu akifanya kazi nzuri anakuwa adui makonda piga kazi achana na machawa ya hii nchi
@user-dm8qm4yx4s
@user-dm8qm4yx4s 2 месяца назад
❤ 1:16:18
@paulsibu5770
@paulsibu5770 2 месяца назад
Wakuu wa mikoa wangefanya hivyo nchi nzima Wangemsaidia Sana Mh Rais Samia na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa.
@user-ej5sl9mn5k
@user-ej5sl9mn5k 2 месяца назад
Sio tanga ni shida hasa mipango mji hapa tanga mjini mama akimaliza Arusha aje na Tanga
@AyoubSaidi-ig1is
@AyoubSaidi-ig1is 2 месяца назад
Namuona makufuli kama anakuja anakataa hv
@janethjonas1700
@janethjonas1700 2 месяца назад
Mtu anapewa sifa kajenga shule za kata kumbe kadhulumu mtu na kamuumiza mtu vibaya kama si Mungu angekufa
@josephnemgosi8804
@josephnemgosi8804 2 месяца назад
Tatizo mfumo
@SAMISAI.
@SAMISAI. 2 месяца назад
Ila makonda ana mbweembwe
@mshambaclassic4590
@mshambaclassic4590 2 месяца назад
😂😂😂
Далее
Китайка Шрек поймал Зайца😂😆
00:20
Наташа Кампуш. 3096 дней в плену.
00:58
Китайка Шрек всех Сожрал😂😆
00:20
ELIUD NA MAMA YAKE KWENYE SHOW YA WAISA
18:50
Просмотров 64 тыс.