Тёмный

#LIVE 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 155 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 434   
@ellymlay9266
@ellymlay9266 Год назад
Kwa kweli mheshimiwa waziri mkuu umetumia busara kubwa Sana, Mungu akujalie, Mimi siyo mfanya biashara Ila kwa kinachofanyika na watu wa TRA siyo sahihi.
@jn_mustonez7842
@jn_mustonez7842 Год назад
R.I.P MAGUFULI MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI TUNAKUKUMBUKA SANA
@tztanzania2262
@tztanzania2262 Год назад
Ukiltaja hlo jina unatukumbusha machungu kwakweli yule aliiweza TZ japo hamna mkamilif
@rehemafungo7387
@rehemafungo7387 Год назад
😭😭😭
@joyreuben9825
@joyreuben9825 Год назад
Apumzike kwa amani bado tunamkumbuka sana😭
@dennisvenant7357
@dennisvenant7357 Год назад
naomba Mheshimiwa waziri mkuu 👑___2025___ugombee urais tutakupatiaa💯 na Mungu ukapatie maisha marefu baba🙏🙏
@imakitori399
@imakitori399 Год назад
Kabisa mana hii Nchi kuongozwa na mwanamke ni shida tupu! Kukiwa akuna demokrasia
@user-zh8wg3lc4i
@user-zh8wg3lc4i Год назад
Kama ni kweli Waziri mkuu tutakushukuru sana kama hayo unayoyasema yafanikiwe katika ukweli dhulma zimekuwanyingi mnadhulumu sana. Tunakushukuru sana kwa nguvu zako na huruma juu ya wananchi wako Asante sana sana.
@leyasekilekoyo
@leyasekilekoyo Год назад
Jaman tunamkumba sana rais wetu hayat mh magufuli mung uilaza mahali pema peponi
@nizarurassa6480
@nizarurassa6480 Год назад
Kwanini usimkumbuke kikwete,au kipindi Cha awamu iliyopita hakukua Kwa kamata kamata?
@hassanmohamedy9042
@hassanmohamedy9042 Год назад
Dahaa hiii Tanzania yangu wafanyabiashara wakugoma haraka selekali yangu inawakimbili ila ila mdereva wakisubutu kusitisha huduma tutaambulia vilugu tenaa na kuitwa wahuni hongela mheshimiwa waziri pamoja jopolako 🙏
@EliasSilaa
@EliasSilaa Год назад
Asante Baba waziri wetu umetusaidia Sana Mungu azidi kukupa hekima zaidi umeweka sawa wafanyabiashara .Tumekuelewa Sana Mungu ibariki Tanzania bariki viongozi wetu wote wape hekima na maarifa zaidi Amina.
@obedlwinga9194
@obedlwinga9194 Год назад
Mmm!!!?
@brendangabriel1643
@brendangabriel1643 Год назад
Wtz wenzangu, hii ni siasa ya funika kombe mwanaharamu apite, hakuna jipya. Amkeni amkeni kwa pamoja tuondoe kero hizi kwa kudai katiba, katiba, katiba mpya. Acha kupumbazwa na majibu ya papo kwa hapo, ili mridhike.
@jaraphy6263
@jaraphy6263 Год назад
Hapa mimi sina neno hapa kaongea 👏👏👏👏
@saidmansoor8528
@saidmansoor8528 Год назад
Hongera baba yetu waziri mkuu mpe salamu zetu mama yetu tunateseka saana
@zaharahassan-et7ui
@zaharahassan-et7ui Год назад
Salamu gani tena kwan yy haon?
@nelsonmgaya1490
@nelsonmgaya1490 Год назад
@@zaharahassan-et7ui Hata mimi nashangaa!
@martinndunguru6358
@martinndunguru6358 Год назад
Kwani mtaacha lini kujipendekeza?!!! Salamu hizo za nini?
@abellabv
@abellabv Год назад
Ahsante sana Mhe. Waziri Mkuu. Ombi langu moja, naomba uweke namba za simu ambapo utapata taarifa za moja kwa moja. Kuna uonevu na maumivu mnayoweza kuyashughulikia kwa haraka tu.
@joseigembe5412
@joseigembe5412 Год назад
Hongera saaaaana Waziri wetu Mkuu, Mungu azidi kukubariki, Kongole kwa Serikali yetu❤❤
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Год назад
Waziri Ubarikiwe kutumiwa kuwatia moyo na Abarikiwe Zaidi Raisi kuwasaidia waone mwelekeo Tunaombea Nchi yetu MUNGU Afanye njia pasipo na Njia ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai MUNGU Tusaidie turehemuu tusamehe Watanzania.
@shamtenyambega2944
@shamtenyambega2944 Год назад
WAZIRI mkuu ni mtu makini sana, Pia anaakili sana na anajua kuongoza nchi yetu, Allah akupe umri mrefu uweze kutuongoza miaka mingi zaidi
@RoseKaiza-g2j
@RoseKaiza-g2j 3 месяца назад
Waziri mkuu wetu mungu akutunze uwe na maisha marefu watanzania tunakupenda
@abdulrupia8931
@abdulrupia8931 Год назад
Serikali mnauwezo wa kulisimamia suala hili likakaa sawa Imani yetu ni kubwa sana kwenu lakini kwa hawa mnaowaajiri kutufanyia makadirio wallahi bado mnatuumiza kwa kias kikubwa inafikia muda mpaka tunazichukia biashara zetu kwann laikin
@OsiaMpandila-yh1kg
@OsiaMpandila-yh1kg Год назад
Safi sana waziri wetu mkuu, hata huku Makete tumekupata na tumekuelewa, uishi milele: Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki wafanyabiashra
@lucypius4414
@lucypius4414 Год назад
PM u made my day.. hotuba imekaa vzriii... akili kubwaaa
@petrolconrad4250
@petrolconrad4250 Год назад
Mwamba angekuwepo tayari mkurugenzi wa mawasiliano ikulu angekuwa ametoa taarifa ya watu kadhaa kutenguliwa
@yvonnemashuda3004
@yvonnemashuda3004 Год назад
Kufukuzwa kabisaaaa...
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Год назад
Mungu akubariki waziri mkuu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 na ibariki Tanzania kwa ujumla wake
@nailaty
@nailaty Год назад
Amiin na ana sifa za kuwa rais wa Tanzania wengi tunataman ck awe rais
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz Год назад
Huyu magufuri mtupu anajua jinsi ya kuongea na watu wake mama aachie ngazi majariwa apewe nchi
@berthatz
@berthatz Год назад
@@DavidMbwilo-qk1bzhuyu ni mzalendo na anaioenda Tanzania na anapenda watanzania kutoka moyoni…Wengine fake…
@noelkabaila3284
@noelkabaila3284 Год назад
God have a blessed mh Majariwa 🙏
@romastasenterprises4447
@romastasenterprises4447 Год назад
Hongera sana Mh Waziri Mkuu. Pamoja na kwamba ni muhimu sana kulipa kodi na kwamba maelekezo hayo yanaweza yakawaponza wafanyabiashara kufikiri hawatakiwi kufuatiliwa kuhusu kulipa kodi. Elimu kwa walipa kodi ni muhimu ila ni muhimu zaidi kwa wanaokusanya kodi. Wanakua Miungu watu. Yaani akishakua ofisini anaamua kukuambia chochote ila mradi amepata kisingizio chochote cha kumbana mlipa kodi atakoma. Wafanyabiashara wanateseka sana nchi hii. Hata wale waliofanya kazi na Serikali pamoja na shida ya watu wa TRA serikali nayo hailipi madeni hasa yale ya zamani.
@colletatesha5265
@colletatesha5265 Год назад
Yani umeongea mpaka
@MzimariMziray-xp6ie
@MzimariMziray-xp6ie Год назад
mheshimiwa wazr tunataka viongoz kama nyie.
@MzimariMziray-xp6ie
@MzimariMziray-xp6ie Год назад
hata huko mitaan kaduka hakana hata milion mbili wanakutaka ulipe kod.pango ya nyumba inasumbua umeme mpaka kuunga unga.kwel tuangalie upya
@omariabeid3291
@omariabeid3291 Год назад
Jinsi hali yetu raia hyo 18% ya VAT ni wakati ishushwe zaid iwe chini ya 12%.na pia haya ya makadirio ni tatizo pia.
@zaitunisaidi3695
@zaitunisaidi3695 Год назад
Na mkoa wa kagera tunanyanyasika na wafanyabishara wanatuambia kodi kodi kubwa
@shilakodeni2853
@shilakodeni2853 2 месяца назад
est africa sijawahi kuona viongozi ambao wanasikiliza kero za wanannchi wao kama tanzania kama unakubali tanzania dondo like apo
@shamtenyambega2944
@shamtenyambega2944 Год назад
Mama akistafu, WAZIRI mkuu unafaa kabsa kuwa RAIS wa nchi
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Год назад
Kwanini Asiwe lisdu wakati huyu na hao wizi ndio hao hao
@OnestiMuzyenge-tr4lh
@OnestiMuzyenge-tr4lh Год назад
Mungu akupe maisha marefu maana tunakutegemea mh waziri mkuu uje uwe mkuu wa nchi
@mercypeter162
@mercypeter162 Год назад
Asante kiongozi kwa kujali kuja kuwasikiliza wananchi
@rahmaomary5045
@rahmaomary5045 Год назад
anachembe chembe za anko magu eeeeeeeh baba kuna kopi yako uku😢
@dannyofficial41
@dannyofficial41 Год назад
Mheshimiwa waziri mkuu, asante kwa ufafanuzi mzuuri juu ya changamoto kwa wafanya biashara wa kariakoo, Mungu IBariki Tanzania, Mungu Ibariki Africa.
@KonaTarimo
@KonaTarimo Год назад
Ubarikiwe waziri mkuu
@AliOmar-ke4tv
@AliOmar-ke4tv Год назад
​@@KonaTarimo 1¹á ‐,
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Год назад
Hii nchi utafikilia haina rasimali wanawabana watoto wa maskini kwa kodi kubwa wakati nchi ni tajili sana
@sikitujuma4866
@sikitujuma4866 Год назад
Mpaka leo ramadhani mtunzwe amekufa kabisa kibiashara na wewe waziri mkuu unalijua
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz Год назад
Huyu ndio rahisi wetu
@sebastianmathew8475
@sebastianmathew8475 Год назад
Mheshimiwa waziri pole na majukumu kila mafanikio ktk nchi yahitaji uongozi bora umakini na kumwogopa Mungu. Kuna uwezekano wa kukusanya Kodi bila kuleta maumivu kwa wfanyabiashara na wageni wetu kutoka nchi za nje. Binafsi waziri mkuu nakuamini sana Mungu akupe hekima nyingi nchi yetu isimame imara. Na watu wa nchi za nje waje kujifunza hapa kwetu.
@berthatz
@berthatz Год назад
Kiongozi pekee ninaye mwamini kwa sasa Tangu Magu aondoke..Mungu akutunze baba yetu ,waziri mkuu wetu,Unayeipenda nchi.🫡❤️🇹🇿🙏🏾
@shilakodeni2853
@shilakodeni2853 2 месяца назад
Kweli baba mungu akupe maisha marefu baba waziri mkuu
@winfridamalunguja3287
@winfridamalunguja3287 Год назад
Hongera sana kiongozi kwa kutoa dira nzuri kwa wafanyabishara huo ndio uongozi mwenye hekima na hofu ya Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@denispaulo1295
@denispaulo1295 Год назад
Mzee Baba kaondoka na Makalaaa safiii sana Bado RPC na OCD na meneja wa TRA
@amysafi3032
@amysafi3032 Год назад
huyu baba .namķubali sana anajielewa sana .💪💞
@saidmabanga388
@saidmabanga388 Год назад
Ukimsikiliza vizuriii majqliwa ni mtuu mwenye nia ya dhatii kutuvusha ilaa tqtizoo warambq asariii akijipindua tu nae qtakuwa kama tupac
@doreennaftal4373
@doreennaftal4373 Год назад
😂😂😂
@sadickkalinga3182
@sadickkalinga3182 Год назад
😅😅😅
@lazarojosephat4417
@lazarojosephat4417 Год назад
Safi sana Wazairi wetu kwa hotuba nzuri, hakika unakomboa Inchi yetu,
@ReubenMeshack-ox3oq
@ReubenMeshack-ox3oq Год назад
Yaani hata huku mabarabarani sisi Madereva wa Malori ni kukaguli njia nzima na hao TRA iwe mchana au usiku, Hata Polisi na wamekuwa TRa hii ni kelo Maheshiwa Waziri mkuuul.
@fetty931
@fetty931 Год назад
Kariakoo hata ukipaki chombo cha moto ukiwa unanunua kitu faini tena sio ndogo bora lihame
@michaelmrema5233
@michaelmrema5233 Год назад
Yani katika mtu anaenibariki moyo wangu nimajaliwa pekee. Mungu akubariki sana
@christiankiponda4639
@christiankiponda4639 Год назад
Asante Sana Waziri Mkuu, Umekuwa ukitatua matatizo ya Watoto wa MUNGU wetu, TRA ni Mbwa Mwitu, wa Mjini, Hawa Mbwa Wameuwa Kampuni, yangu ya Ulinzi, Kiponda Security Company Limited, kwa Kunfungia EFD Mashine, Nawalaani wafe Kama walivyoniuwa Kimapato, Mama Samia Hassan Suluhu Hoyee
@denismosha8034
@denismosha8034 Год назад
Jamani kweli imekua sio ile Tanzania tulie itazamia yani 1.mzigo unapoingia bandalini Kodi kibao 2.kodi ya mapato 3.leseni 4.sevice levi 5.fire extinguisher 6.usafi wa taka kajenjere na usafi wa jengo 7.kodi ya flem 8.choo 9.ulinzi 10.umeme 11.wafanyakazi 12.ulinzi st 13.kodi ya pango la st 14. Kuna died stck 15.kodi ya egesho la gari 16. kibari cha TBS 17 Hapo Unasomesha shule watoto ambazo sio za selikari Hebu TRA nao wafungue duka kariakoo walipe hizi zote tuone kama wataweza!!!! Bila kuwa na umoja hii itakula kwetu Bado Tozo ya simu. MUNGU AWABARIKI watumishi wawe na hekima
@samweljames8947
@samweljames8947 Год назад
Yaani Mimi naona hopo selikali ilihifazi yai Zima Ili lialibike, lifike muda muafaka walipasue makusudi halafu wapige deki. Dawa ya yote katiba mpya Tena ileeeee ya warioba.
@davidndaha9607
@davidndaha9607 Год назад
Hata hospital kuna rushwa mbaya sana unaandikiwa malipo harafu ati malipo ya huduma zingine!!.
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Год назад
MUNGU Tusaidie turehemuu tusamehe Ongoza Maisha ya Watanzania na Utusamehe utuongoze utufundishe Ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai Barikiwa Tanzania
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Год назад
safi sana.majaliwa kuna.vijamaa vikitoka kitambaa cheupe vinasumbua sana hv vidogo.vya tra na.wale jamaa wa tigo ffu asee wanasumbua.sana watu kutoka.nje ya tanzania wanakufukuzia.mpk vichochoroni
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 Год назад
Kweli Tanzania kuna Kodi kubwa sana sana, sidhani Kama kuna nchi Afrika mashariki kuna kodi nyingi kama Tanzania.
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 Год назад
Maadili mabovu walaji wengi
@francodafa
@francodafa Год назад
TRA KERO SANAAA NIMEFUNGA BIASHARA KWAJILI YAOO SINA HATA HAMUNAO HAOJAMAA HALAFU MAOFISINI UKIWAKUTA FULL DHARAU SANAAA..
@blasimassawe4379
@blasimassawe4379 Год назад
Yaani ni kero
@francodafa
@francodafa Год назад
@@blasimassawe4379 ndguu siyo kero tuu zaidi yakero mtu anakukadiri mapato halafu unamuaambia mbona imekuwaa kubwa hivyoo anakuambia eti mbona mkipata faida hamtuambiaa halafu anakujibu hivyo hata biashara ilipo haijui ilipo.
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 Год назад
Tutakukumbuka daima hayati JPM kama ungekuwepo yaaingetokea haya
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 Год назад
Waliopo ivi sasa ni wapiga dili tu
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 Год назад
Madam JPM ameenda kila janbo litatokea na bado
@estherdominic1673
@estherdominic1673 Год назад
Hasante waziri wetu kututia moyo mama pia ni mama Kuna kitu anakiona na mama ajawahi kushindwa kutatua chochote kinapoingia nyumbani kwake mama ni msikivu tu mama Samia hongeraaa tunakuelewa
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv Год назад
MIKODI USUMBUFU HUU UTARATIBU MUMEONA WAPI DUNIANI.... KUDAI RISITI MAJIANI..... MTIHANI MKUBWA NCHI ZA KIAFRIKA KWA NINI HATUTIZAMI WENGINE WALOENDELEA WANAFANYA VIPI KWENYE MIFUMO KAMA DUBAI.....😢😢
@naftarleonard8543
@naftarleonard8543 Год назад
Mweshimiwa wazili mkuu respect nyayo za mzee
@ELIAMBATA-c1n
@ELIAMBATA-c1n Год назад
Tunakuamini sana wazir wetu mungu akusaidie sana mheshimiwa majaliwa
@aubreychuma5449
@aubreychuma5449 Год назад
Thanks very much our Prime minister
@christiankiponda4639
@christiankiponda4639 Год назад
Nimekuwa unalalamika kila Siku, TRA wa Vingunguti, Wamenifungia EFD Mashine, na Kusababisha Wateja wangu Wote Kuacha Kampuni yangu, Kufa, Leo hii nateseka Mtaani, Watoto wangu Wanateseka, Mke wangu anatese, Wazazi wangu Wanateseka, Na TRA Mnatanua na Malaya Mabaa, na Kununua Magari ya Rushwa, MUNGU amewalaani na Mtakufa Kama Mbwa Koko.
@Heismasai
@Heismasai Год назад
Huyu Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Mungu Amtunze sana
@elibarikiamoni1983
@elibarikiamoni1983 Год назад
Huyu ndio Rais sasa anajua nini cha kufanya na wakati gani
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Год назад
Kafanya nini kikubwa kwani sikaongea tu
@NellyWaKidato
@NellyWaKidato Год назад
Watanzania tumesha pumbazwa yaani siasa kidogo bila vitendo tayari anafaa kuwa raisi.... huyu bado sana hawezi kuwa raisi wa watanzania tunayemtaka maana hana alichokifanya hapo zaidi ya kuongea
@abduljuma2312
@abduljuma2312 Год назад
Imefikia mahali mfanya biashara ana ogopa tra kuliko kufa
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
😂😂
@veronicadominick8821
@veronicadominick8821 Год назад
Kweli kabisaaa tunaogopa TRA kuliko kifu! Tunafanya biashara bila faida yoyote,
@yvonnemashuda3004
@yvonnemashuda3004 Год назад
Hotuba nzuri sana Mheshimiwa waziri mkuu.. Wanatuharibia nchi hii Tanzania is a hub to all landlocked countries lakini sisi wenyewe ndo tunaleta uharibifu.. This is bad.. Rushwa Rushwa Rushwa
@allysalum1112
@allysalum1112 Год назад
munguu muwekee uyuuu binadam ingekua kunaa sheria yaa kubadirishaa kipengeree chaa sheria uyuuu ndie awee raisi manaa machozi yananitokaa mimi uyuuu nimakufuri mtupuuu
@estherdominic1673
@estherdominic1673 Год назад
❤wafanyabiashara tusikilize serikali tu ni sikivu viongozi wetu wko makini tyache propaganda za chuki tutafanikiwa tu tuwe watulivu tu mungu ni mwema
@johnkasuga3290
@johnkasuga3290 Год назад
Hongera Sana Waziri Mkuu ,huo ndio Utetezi kwa Wanyonge,watu wanafanyakazi kwa mazoea;;!!
@mdsaid1527
@mdsaid1527 Год назад
Hili jembe mungu alipe ulinzi WA nguvu maana mafisad wazurumaji hawataki mazuri haya
@YudaMwinami-ou3yu
@YudaMwinami-ou3yu Год назад
Nimingi sana mimi kwangu kuna mizigo toka 2021
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Год назад
Yaani ni RUSHWA tu, kila sehemu ni kukamua watu pesa....watumishi wengi wa serikali sio waadilifu, mpk siku zimwagike damu ndio mtaamka, ...mifumo ni mibovu sana , pesa za serikali watumishi wanatia mikono yao kirahisi sana, hii yote ni kwa sababu ya MIFUMO,...mbona nchi za wenzetu tunaona huku mifumo ipo stebo tu...hakuna huduma utaitaka halafu uombwe RUSHWA, hakuna...kila kitu kipo kwenye mifumo...! Kodi zinalipwa....parking zinalipwa , mtu akiwa mzembe mwenyewe atakutana na fine , bila bughudha wala purukushani mitaani..!..lkn kwetu ajabu , ni vurugu mitaani ....Kiukweli huu ni uzembe wa MIFUMO YA SERIKALI...! BANDARINI mtihani, huwezi kuleta mzigo ukafuta tu utaratibu ukachukua mzigo wako, yaani ni VIPENGELE kuzungushwa ili tu utoe RISHWA...!.. VIWANJA VYA NDEGE mtihani.....yaani unashuka Julius nyerere airport watumishi wanasimamisha watu wanapekua MABEGI bila sababu za msingi, MASHINE za ukaguzi zipo lkn ni RUSHWA tu, mbona viwanja vya ndege vya wenzetu havifanyi huo upekuzi bila sababu....yaani ni AIBU......Hebu rekebisheni MIFUMO YA KODI ...mtu alipe bila KUFUATILIWA MITAANI..!
@neemamohammed9176
@neemamohammed9176 Год назад
L
@alfredakabakama2010
@alfredakabakama2010 Год назад
Kamilishs TRA Kisha angalia tanesco maana sisi vijinini Bora wangebakiza ile 321000 za mjini kuliko ilivyo sasa kwani kama hujatoa zaidi ya million na kuendelea Hadi million 3 umeme utausikia kwa jirani hata wawakilishi wetu madiwani na wenyewe ni wa kwanza kuomba Rushwa
@yvonnemashuda3004
@yvonnemashuda3004 Год назад
Yan I experienced this on my last landing..perfum 5 ananiambia haziruhusiwi natakiwa kulipia kodi..mtu unashuka pale umechoka hata uelewi..wanakusumbua yan unahesabiwa hadi viatu eti wanakagua kama ni vipya ..mambo ya ajabu mnoo
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 Год назад
Hongera waziri kwa haraka sana kuchukua hatua una nia njema na wanainchi
@charleselijah-vq3hq
@charleselijah-vq3hq Год назад
Tunakuamini Mweheshimiwa Waziri Mkuu Kasim Majliwa Kasim. Ukoa Nchi pamoja na Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
@saidali3893
@saidali3893 Год назад
Mkuu hongerra sana hao watumishi wa wauma wanahitaji maamuzi magumu kama ya marehemu magufuli ndio watakuwa heshima kwa wakuu wa nchi
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 Год назад
Huyu ndiye Waziri Mkuu Wetu wa Tanzania.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Год назад
Wanadanganywa ili wafungue maduka hayo
@iwenikigodi5419
@iwenikigodi5419 Год назад
Hongera sana tungepata rais kama wazir hapa
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Год назад
"....kamatakamata inaua biashara. Inasababisha maduka kufungwa. Maduka yakifungwa kwa wakati ule pato la Serikali pia litapungua!"
@heliuthmbilinyi2733
@heliuthmbilinyi2733 Год назад
Tena rushwa ipo juu kuliko
@latifahkhalid7261
@latifahkhalid7261 Год назад
Asante Sana waziri mkuu Mungu azidi kukubariki wewe Ni mwamba akili imekaa sawa....
@clarencentani
@clarencentani Год назад
Asante baba Mungu akupemaisha marefu
@clarencentani
@clarencentani Год назад
🎉😅
@antonisia5670
@antonisia5670 Год назад
Safisana wazilimuku naTakaujeuwe laisi nakuombea kilasiku kwamungu ilaiposikumoja tu utakuwa laisi
@salmamzashi3609
@salmamzashi3609 Год назад
Mh waziri mkuu sio kwenye soko tu mpaka idara ya maji huku unakuta kwa mwezi bili ya maji inakuja kubwa tofauti na matumizi ukienda kuhoji wanasema kuwa walikosea Ile bili ilikuwa sio yenu ila mwezi ujao tutawapunguzieni Hali ndivyo ilivyo nchini mh wZiri mkuu
@rashidsalim7078
@rashidsalim7078 Год назад
Usiwe nyuma waziri wetu wewe ni Mtu muhimu Sana kwa serekali hii wewe ndio kila kitu, niseme tuu usituangushe tupambanie
@jn_mustonez7842
@jn_mustonez7842 Год назад
MAGUFULI ndio aliiweza nchi yetu
@Allystor
@Allystor Год назад
Mama alikosea mapema sana alivyoapishwa kua rais kitendo cha kusema yeye sio mkali kama aliepita alikosea kauli yake mbiu kazi iendelee ilikua nzuri. Bahati nzuri anaye waziri mkuu makini otherwise angepata wakati mgumu sana. Kuongoza nchi lazim uwe mkali ukicheka na nyani utavuna mabua
@IsmailMohamed-lu7ng
@IsmailMohamed-lu7ng Год назад
Jamani kama inafikia unafanyika mgomo manaake kuna madudu hapo kwanini musiwachukulie hatua? Waziri mkuu kama mkuu kwann usifukuze kazi mt hapo ili wengine wakae kwa haki fukuzaaaa
@kaburaberchimas6515
@kaburaberchimas6515 Год назад
Namuona Rais wa badae kwa mbaliiii
@LekokoLaisa
@LekokoLaisa Год назад
Ala Mungu wangu kwani akuna mukuu wa sirikali wana tetea wananchi ala wakati anafika t2
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 Год назад
Huyu ni Raisi mtarajiwa miaka 30 ijayo, very much good
@ajmstationery6157
@ajmstationery6157 Год назад
Asante,Waziri Mkuu, tusaidie baba
@MohamediNamkopa-qo1wz
@MohamediNamkopa-qo1wz Год назад
Baba nakuamini safi sana
@jn_mustonez7842
@jn_mustonez7842 Год назад
Ngoja n'a Sisi tuanze mgomo Wa nafaka, hatukubali
@danieljoseph7120
@danieljoseph7120 Год назад
Jaman vitendo ni muhim kuliko sound
@abbacushabba4110
@abbacushabba4110 Год назад
Dawa ni kuwafuta kazi haibu
@onesmomrisho5456
@onesmomrisho5456 Год назад
Hao TRA wauawe tu tatizo litakwisha
@BillyJohn-pe5hq
@BillyJohn-pe5hq Год назад
Is that the only solution
@elymollel
@elymollel Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Год назад
😆😆😆😆😆
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 Год назад
Tatizo mama anapelekeshwa na walamba asali , ndiyo tatizo moja tuuuuuu
@selemaniomary8146
@selemaniomary8146 Год назад
Safi mkuuu ubalikiwe sana tanzania kwaza
@samochristopherroche9953
@samochristopherroche9953 Год назад
Huwa nakubali kauli zako sema basi tu....hongera prime minister
@NellyWaKidato
@NellyWaKidato Год назад
Kauli hazisaidii bila vitendo ndo maana Magufuli Alipendwa maana hapo nachojua Wangetumbuliwa Watu
@elishazakayo3630
@elishazakayo3630 Год назад
Sema Banaaaaaa Semaaaaaaa Mungu aibariki Tanzania na Viongozi wake
@abdallahally842
@abdallahally842 Год назад
Badhi ya mafisa tra wako kwennye magari ya landcruser nyeupe wakiwa na police wanakamata kila gari kukagua na kulazimisha kosa na kudairushwa ukikataa wanakupeleka lumumbaa wameiba sanaaa na kunyanyasa wafanyabiashara tumechokaa rushwa wamekua miungu macho kariakoo imekua kero kuganya biasharaa
@Mnengatv
@Mnengatv Год назад
Kazi nzuri mh kasimu majaliwa
@happinesskessy9627
@happinesskessy9627 Год назад
Mungu wetu mwema na ayabariki haya
@rachidermak8827
@rachidermak8827 Год назад
Anatusumbua sana awo jamá chonde chonde atuiache Sisi tunapata tabu sana mozambique
@issakawaya8315
@issakawaya8315 Год назад
Mashaallah viongozi wetu
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Год назад
Sana sana Mbeya jmn😔
@JazzirNassor
@JazzirNassor Год назад
Wew ni rais mtarajiw 😂😂😂😂
@christinephilip5043
@christinephilip5043 Год назад
Hakika niyeye❤
Далее
Пчёлы некроманты.
00:46
Просмотров 28 тыс.
Cheese grater HACK
00:22
Просмотров 1,8 млн
Dulla Makabila - PITA HUKU (Official Video)
4:58
Просмотров 7 млн
Пчёлы некроманты.
00:46
Просмотров 28 тыс.