Тёмный

Lulu amwaga machozi Mahakamani 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 324 тыс.
50% 1

Kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili muigizaji, Elizabeth Michael (Lulu) imeendelea Mahakama Kuu ya Tanzania, ambapo leo muigizaji huyo alipata nafasi ya kujitetea katika Mahakama hiyo.

Развлечения

Опубликовано:

 

22 окт 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 79   
@jamilarajabu7526
@jamilarajabu7526 6 лет назад
pole sana Lulu mwenyezi mungu akufanyie wepesi kwa hili.
@fatumamtemvu5091
@fatumamtemvu5091 6 лет назад
Allah akufanyie wepesi kwenye kesi yako Lulu.Dr Cheni Allah akubariki kwa upendo unaouonesha
@elizaprotas7171
@elizaprotas7171 6 лет назад
Jamani mwacheni kanumba apumzike kwa Amani daah huu wimbo unatuliza jamani kipenz chetu kanumba mnatukumbusha machungu tu jamani mwacheni Alale kwa Amani 😢
@MdArif-or9um
@MdArif-or9um 6 лет назад
Dokta cheni mungu akupe nguvu kuisimamia kesi yahuyu bint..leo yeye kesho wew
@furahinimatayo7755
@furahinimatayo7755 5 лет назад
kweliiii
@rosemakange8163
@rosemakange8163 6 лет назад
Lulu nakupenda cna na mungu anakupenda zaidi yangu zd kumwomba mungu Nina imani utashinda!!!
@kamotimwamkale3722
@kamotimwamkale3722 2 года назад
Hakimu mkuu ni Mungu mamangu,mtoto wangu, My first bon is Lulu Kamoti from Kenya
@p.kasongot979
@p.kasongot979 6 лет назад
Love you bebe lulu mungu yupo nawewe
@lengoyamangoindakeni893
@lengoyamangoindakeni893 6 лет назад
dah!!! jamani huu wimbo umesababisha moyo wangu kusononeka Rest In Peace broo kanumba . lulu mungu akusaidie maana ndo mipango yake kwahiyo atakuto tuu😰😰😰😰
@beatricemapembe8941
@beatricemapembe8941 6 лет назад
Niko pamoja na wewe Lulu, endelea kuomba Mungu atatenda.Amina.
@lyndermassawe9618
@lyndermassawe9618 6 лет назад
Dk Chen god bless you
@victoriajoseph3950
@victoriajoseph3950 6 лет назад
pole sana mdogo angu duh! siamini kabixa nachokiona
@evidencemaimu151
@evidencemaimu151 6 лет назад
daaaah jaman GOD amuinue tuuuu nothing is imposible lulu
@kadzofaith5456
@kadzofaith5456 6 лет назад
Mungu wa mbinguni akufanyie wepesi dia
@furahinimatayo7755
@furahinimatayo7755 5 лет назад
jamanii
@sawanjema4166
@sawanjema4166 6 лет назад
pole lakini ulimkosea mungu kwa kufanya umaya.mimi hata nikihuzunika sana siwezi badili matokeo
@selinadeogratias7727
@selinadeogratias7727 6 лет назад
mungu akusaidi lulu Kwa wakat huu mgumu
@veronikamwamsimbi8412
@veronikamwamsimbi8412 6 лет назад
pole sana dogo lulu
@miriampaulo9027
@miriampaulo9027 6 лет назад
MUNGU akusaidie ushinde hapa duniani hakuna haki mtoa haki ni MUNGU peke yke
@husnahhamisi4488
@husnahhamisi4488 6 лет назад
Rest In Peace Kanumba😭
@sarafina6656
@sarafina6656 6 лет назад
Mungu akutetee
@asmeramir2371
@asmeramir2371 6 лет назад
waandishi wanaboa ,,mwenzao yuko ktk kpnd kigum mnabuguzi kwa cameras zenu mie nngewapush kusud zivunjike
@evangeliquehb4640
@evangeliquehb4640 6 лет назад
pole lulu Allah yupo na ww
@aishakidotigakii6157
@aishakidotigakii6157 6 лет назад
The song 😭😭
@MariamsLifestyle
@MariamsLifestyle 6 лет назад
Aisha kauthar 😌😌
@neemamussa6134
@neemamussa6134 6 лет назад
pole sana lulu mungu ndio muweza wa yote
@sheldamwalo4403
@sheldamwalo4403 6 лет назад
Miss u Lulu
@mamapekupekupilipilimuwash9016
mtu kesha kufa na siku zake lakini bado mna tesa lulu roho yake naomba awatokeee kanumba kwa kivuli awaibishe awambie muachane na hiyo kesi
@halmasaidi6688
@halmasaidi6688 6 лет назад
mama peku peku pili pili muwasho kwelii huko haliko hyuko npeace ajua ameacha mambo mkubwaa
@mamapekupekupilipilimuwash9016
Halma Saidi kabisa aki ina skitisha aoteshe kila mtu usiku wakiwa usingizini waachane na kesi
@halmasaidi6688
@halmasaidi6688 6 лет назад
mama peku peku pili pili muwasho mm nataka mzimu utokee hapo mahakamaniii
@halmasaidi6688
@halmasaidi6688 6 лет назад
mama peku peku pili pili muwasho , wamuache lulu aendleze ndoto zake ata wakimyonga au wakimfunga kanumba hatofufuka
@mamapekupekupilipilimuwash9016
Halma Saidi nakwambia w m ndio naomba
@quischrist9779
@quischrist9779 6 лет назад
pole sana lulu
@mossyahmada2188
@mossyahmada2188 6 лет назад
Mungu akusimamie lulu. Binadamuu kama hujafa hujaumbika
@fridamasimbani8817
@fridamasimbani8817 5 лет назад
Pumunzika mahari pema kanumba
@eliaszephaniah9463
@eliaszephaniah9463 6 лет назад
nampenda lulu👊👊👊👊👊
@fatumamacharia9465
@fatumamacharia9465 6 лет назад
It's well with you Lulu ....
@christinearotso8837
@christinearotso8837 6 лет назад
huuu wimbo daaa😢😢😢😢😢😢
@zuwenaalamini4158
@zuwenaalamini4158 4 года назад
Mama Lulu mkorogo utamuua
@melon8901
@melon8901 3 года назад
🤣🤣
@zuwenaalamini4158
@zuwenaalamini4158 3 года назад
@@melon8901 🤣🤣🤣🤣
@mercynkatha100
@mercynkatha100 Год назад
Huo nyimbo yanikumbusha majonzi ambayo bado yapo katika nyuso zetu
@scolasticamwende2614
@scolasticamwende2614 4 года назад
Aki machozi yangu hadi leo hayazuiliki
@nnnnjj9684
@nnnnjj9684 6 лет назад
Jamani munatukumbusha kanumba rip
@peninajuma4999
@peninajuma4999 6 лет назад
kanumba jamani haki itendeke
@JosephMichael-ln8il
@JosephMichael-ln8il 11 месяцев назад
Mamb
@witnessanthony691
@witnessanthony691 6 лет назад
Jmn untukumbush uchng upy duhhh
@marykuchuma6244
@marykuchuma6244 6 лет назад
we mama lulu unaraha gani kujipodoa hvo kwenye wakati mgm kama huu
@jacquelinempwani8532
@jacquelinempwani8532 6 лет назад
Mary Kuchuma ulitaka aje mchafu watu wengine sijui mpoje awe mchafu!???ushamba huo ww kwan yupo mahabusu chefuuuuuu!!
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 6 лет назад
mbona humuulizii lulu nae mbona kapendeza zaidi umemwona mama tu,
@nusretkoptekin4871
@nusretkoptekin4871 6 лет назад
Yan wand dish wana muganda
@thureasalim4391
@thureasalim4391 6 лет назад
mwenzenu naria eti
@deewallance9354
@deewallance9354 6 лет назад
Hakika huu wimbo unatia moyo
@prisca444david5
@prisca444david5 6 лет назад
Dee Wallance mam kanumba kapande bajaji mam
@leonardmagiyula18
@leonardmagiyula18 6 лет назад
umeona
@phemiarubali9708
@phemiarubali9708 6 лет назад
Mungu mwema nna Imani atakusaidia
@MariamsLifestyle
@MariamsLifestyle 6 лет назад
Karibuni kwenye channel yangu bonyeza picha yangu hapo ili uweze ingia kwenye channel yangu nafanya video za maisha ya Italy
@michaelminja
@michaelminja 6 лет назад
Upo Italy sehemu gani
@MariamsLifestyle
@MariamsLifestyle 6 лет назад
Karibu na Florence (toscana)
@olivierpatrick8001
@olivierpatrick8001 6 лет назад
Ina uma saana
@michaelminja
@michaelminja 6 лет назад
Sawa nimekuelewa mimi nipo Ascoli Piceno mkoa wa Marche karibu sana
@israelivan4299
@israelivan4299 6 лет назад
Tupeane link na sisi tuje huko Italy Jamani! Wenzetu mlifikaje?
@victoriajoseph3950
@victoriajoseph3950 6 лет назад
pole sana mdogo angu duh! siamini kabixa nachokiona
Далее
LULU AJIBU HABARI ZA KUMFUMANIA MAJIZZO
4:22
Просмотров 110 тыс.
Second-by-second: The attempted assassination of Trump
6:32
Bloomberg Real Yield 07/19/2024
22:32
Просмотров 3,5 тыс.
Khadija Kopa Top In Town Official Video
20:39
Просмотров 2,5 млн
Да блин 😀
0:19
Просмотров 1,2 млн
Заячий Стон - Рот пятничный
0:55