Тёмный
No video :(

Lulu Diva: Rich Mavoko mbinafsi, kanilipisha nyimbo tukiwa wapenzi, Lava Lava alisababisha niachike 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Lulu Diva anasimulia uhusiano wake na Rich Mavoko ulivyokuwa na walakini, jinsi Lava Lava alivyosababisha aachane na mpenzi wake, kauli ya Babutale bungeni na mengine
#ChillnaSky

Опубликовано:

 

1 июл 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@mankakessy6668
@mankakessy6668 2 года назад
Nmependa sana hii interview ya Lulu Napenda sana mtu anaekuwa mkwel Amekuwa mkwel sana kila kitu nadhan Pia naona jinsi Sky ulivyopata raha ya hii interview maana ulichokitaka umekipata Nadhan umeona hio hata wewe Nashangaaga sana wasanii wengi wanakubali interview alafu wanaulizwa maswali hawataki kujibu najiuliza wanakubali interviews za nini kama hawataki kujibu maswali au hawaelewi maana ya interview🤩🤩🤩
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 2 года назад
very true pia kwangu nahic huyu ni msanii wa kwanza kufanya interview nzuri na yenye ukweli na kujibu kila swali analoulizwa sio kama wengine ... mfano alikiba huwa ctakag hata kusikiliza interview zake na wengine wengi
@swalehesaad1143
@swalehesaad1143 2 года назад
Kuna utofauti pia wa wanaohoji maana Kuna mwingine utasikia kwanini huombi kolabo na mondi au una urafiki na harmonize na wcb unawezaje kumanage Hilo swala. Sasa lazima Kuna maswali lazima uyakaushie.
@mankakessy6668
@mankakessy6668 2 года назад
@@swalehesaad1143 okay nmekuelewa. Upo vzur my brother m ntazidi kukufuatilia sana maana naenjoy interview zako😍
@hilgathchambega4913
@hilgathchambega4913 2 года назад
Nakuelewa sana lulu uko vizuri sana kwa kweli ila naomba Mungu akupe mume wa kufunga naye ndoa na sio wskupita ili utengeneze family bora
@hellenmwasalwiba6555
@hellenmwasalwiba6555 2 года назад
AMEN
@anithanithaa2651
@anithanithaa2651 2 года назад
Nampenda Sana Lulu Diva ❤️❤️😘😘😘
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 года назад
Kazur mashallah 😋
@peterntabirangira905
@peterntabirangira905 2 года назад
Mimi naitwa Jean Pierre kutoka nchi Rwanda, nimependa sana mambo ya huyu mutajili wa uzungumzo pia anaonekana ni mtu mwema kbs. Halafu ninapenda nchi ya Tanzania na watu wote wa nchi hiyi yaani ninapenda sana sana lugha ya Kiswahili sanifu. Kwa hivyo ndiko Mupenzi wa misiter light sana, mungu awapatie amani.
@dadyjo_
@dadyjo_ Год назад
Tunakupenda pia
@marypaxan4124
@marypaxan4124 2 года назад
Unaongea kisomi,nimekupenda sana
@alexandrucarmen3185
@alexandrucarmen3185 2 года назад
Amefanyiwa interview nyumbani kwake🥰🥰
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 2 года назад
Hakukupenda alikutamani rich , lulu jamani ungetulia angekua mme ila ok aikupangwa
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 2 года назад
Sky, bro nmependa unavyosistizia misambwanda. Mambo ye2 sana.
@chocolatevivian830
@chocolatevivian830 2 года назад
😂 😂 😂 😂 😂 😂
@keipearlz
@keipearlz 2 года назад
Biashara ni biashara mami.Usimix business and pleasure uwe mwanaume au mwanaume.Imagine una biashara ya kuuza maandazi alafu 'baby ' na litumbo na njaa zake anakuja na kikombe kikubwa cha chai anakula stock yote...utafurahi?
@mohamedbakariwema3796
@mohamedbakariwema3796 2 года назад
😂😂😂
@devaxtz
@devaxtz 2 года назад
Piga kelele kwa rich wakeeeeee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 unafata mpk nyumban kuchukua hela ya kazi sasa luludiva ulitaka akuandikie nyimbo halafu usilipe 😂😂😂😂😂
@moa4122
@moa4122 2 года назад
Dont mix business and Pleasure dear.
@rahmatgateka6461
@rahmatgateka6461 2 года назад
umesema kweli yeye anakulipisha sasa ww akitak kukutumiya inabid akulipe
@gtunewaves2867
@gtunewaves2867 2 года назад
khaa sasa kwa sababu ni wapenzi ndo asilipe kazi ni kazi na mapenz ni mapenzi
@luqmanmbwambwa7127
@luqmanmbwambwa7127 2 года назад
duuh kweli mwambaa haelew show
@blueberrypotatogames7950
@blueberrypotatogames7950 Год назад
Hakuna muanaume uyo. Ni wahongasura.
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 2 года назад
Unapendeza lulu
@osmandingi
@osmandingi 2 года назад
Kazi ni kazi mapenzi Acha kitandani
@enockthomson1620
@enockthomson1620 2 года назад
Hapo kwenye room kwenye Tv ungeweka hata video ya Lulu Diva kuliko movie ya kichina ingeleta mantik fulan hivi @sns
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 года назад
Mwambie Lulu mwenye nyumba Sky amealikwa anahusikaje na 📺?
@SADEE._
@SADEE._ 2 года назад
Wabongo kujifanya wajuaji 🙌🏽
@ezeedi871
@ezeedi871 2 года назад
@@SADEE._ 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jenifernicholas81
@jenifernicholas81 2 года назад
@@aminanamoyo83 🤣🤣🤣
@bernmziki
@bernmziki 2 года назад
headroom
@tabasamtv6728
@tabasamtv6728 2 года назад
Kazi ni Kazi dada ulichanganya na mapenzi.
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 2 года назад
Hahaha 😁😁😁 ubahili kila angle
@najmamueez6815
@najmamueez6815 2 года назад
Jamani story bila vinywaji jamaniiii
@SADEE._
@SADEE._ 2 года назад
Nenda uko bhn hawana hela kama? Kama wabongo wanajifanyaga kujua
@kurthoomibraton6545
@kurthoomibraton6545 2 года назад
Wapelekee
@IMBRANDTZ
@IMBRANDTZ 2 года назад
Pale ni mchikichini nyuma ya kiwanda cha bia
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 2 года назад
Karume
@felisterchimtunga9386
@felisterchimtunga9386 2 года назад
Kuna muda namuona lulu mdogo lakini leo mbona namuona mkubwa. Bhana macho yangu yatakua yananidanganya. But nakupenda we mdada
@witnessmbilinyi3281
@witnessmbilinyi3281 2 года назад
Siyo mkubwa huyu ana27-29 havuki hapo
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 2 года назад
Una matatizo ya macho
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
@user-pg1xe1qs2g
@user-pg1xe1qs2g 2 года назад
Nmeifurahia interview
@user-pg1xe1qs2g
@user-pg1xe1qs2g 2 года назад
Njoo telegram fasta kuna utamu mwingi
@user-pg1xe1qs2g
@user-pg1xe1qs2g 2 года назад
😁😁😁😁😁😁
@user-pg1xe1qs2g
@user-pg1xe1qs2g 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Далее
до/после Знакомо?
00:16
Просмотров 12 тыс.
Rich Mavoko & Lulu Diva waweka wazi kuhusu uhusiano wao
23:25
Dealing with Failure and Self-Love with Salama Mohamed
35:27