Тёмный

STAGE YA WAKA MOTO | ELIZA UMEZEEKA | USHAKUWA SHANGAZI | HELLO MR RIGHT 

ST BONGO TV
Подписаться 165 тыс.
Просмотров 44 тыс.
50% 1

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Развлечения

Опубликовано:

 

2 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 135   
@estakapufi7582
@estakapufi7582 4 месяца назад
Huyu dada mnaishi na tahira kama hamjuwi mbona hajielewi jamani😅😅
@emmylizzo8220
@emmylizzo8220 4 месяца назад
Lulu umependeza sana ulivyovaa ,vaa ivi acha kuvaa uchi ukijistir iv unakua mwah
@shaydebby5678
@shaydebby5678 3 месяца назад
Eliza unaishije kwanza na majirani zako tuanzie hapo😂😂😂😂😂
@BillMos-mt3ts
@BillMos-mt3ts 3 месяца назад
Ase kama ni wanawake Eliza shkamoo
@aunesskinissa7548
@aunesskinissa7548 2 месяца назад
Jamani naomben kujuwa mwisho wa Eliza kaondoka na nani na ubishi wakeeee
@berndschneider372
@berndschneider372 4 месяца назад
Dadaangu Lulu MashaAllah wajua kupendeza, ila wakat mwengine mapaja wayaacha hoi😂
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 4 месяца назад
Kama ulikuwa wajitunza mbona hujapata mumeeeee😂😂😂eliza mwaya usiondoke unachangamsha shangazi😅😅
@user-on1hk3vi1h
@user-on1hk3vi1h 4 месяца назад
😂😂😂Eliza katafute hela tu maana ndoa imekukataa😢
@GiftAbduly
@GiftAbduly 4 месяца назад
Eliza bna adi wanaume wanakuzomea😂😂 utukome
@rashidmbaraka6867
@rashidmbaraka6867 Месяц назад
Eliza ni kivuluge jamani anaweza kuzekea hapo wewe toka hapo
@user-wm6vc2hp5b
@user-wm6vc2hp5b 4 месяца назад
😂😂😂😂😂Shangazi Eliza
@neemam5042
@neemam5042 4 месяца назад
Asanteni sana kwa ushauri mzuri Hosts. Kwa hao wadada wanataka wazee wakeeteeni wazee alafu tuone
@hawababy120
@hawababy120 3 месяца назад
Eliza amezeeka aondoke tu😂😂😂😂😂
@user-yv5wh1yk9t
@user-yv5wh1yk9t 4 месяца назад
Lulu umenifurahisha 😂😂😂😂😂😂
@user-uw4pu9nm1u
@user-uw4pu9nm1u 13 дней назад
Eliza unashida gan lakin 🤣🤣🤣🤣🤣 mbona unapenda ugomvi
@user-gp9rs3nb4x
@user-gp9rs3nb4x 4 месяца назад
Kwl kabisa lulu
@dorahkaruma9299
@dorahkaruma9299 4 месяца назад
Maskini Eliza😢😢 Ameshaanza kuwa na hasira na kila mtu loh🙆🙆
@movies2745
@movies2745 4 месяца назад
Ila elza bn 😂😂😂 fanyen mpango apate mtu mana naona akil yake isha corrupt
@elizabethcharles6527
@elizabethcharles6527 4 месяца назад
😅😅😅😅😅😅😅Eliza hahaha unavituko sana ww niwajina wangu usikasirike
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 4 месяца назад
Eliza ana matatizo
@SalmaKenyatta
@SalmaKenyatta 4 месяца назад
Jaman huyu eliza arudi akalime atasugua gaga
@shumbagirajames6508
@shumbagirajames6508 Месяц назад
Yani kuna vituko hapa wanawake hawa hawajielewi yani
@user-rl2bp8re9c
@user-rl2bp8re9c 3 месяца назад
😂😂😂😂mashangazi bana wana hasira
@josiahotiso1328
@josiahotiso1328 2 месяца назад
Am watching from Kenya and I have a question to ask.hii show ni ya watanzania tu peke yao ama hata sisi wakenya tunaeza join ili nasi tupate warembo wa TZ???pia punguza music warembo wanapo ongea ili tuwazikilisha please
@happynkya9770
@happynkya9770 15 дней назад
Eliza mshari kinoma
@user-rg8fq8fc3k
@user-rg8fq8fc3k 4 месяца назад
Kwani huyu eliza huwa anakuja kuigiza au vip
@Bizmind472
@Bizmind472 4 месяца назад
Eliza hayuko sawa kiakili😮😅
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 2 месяца назад
Nyie hawa st-bongo wanatunyanyasa hee wanatuekea vipande vifupi nabado tena wanatuekea sauti ya mzikii juu zaidi ya sauti za wenye show
@Yasintaloishiye
@Yasintaloishiye 4 месяца назад
😅😅😅😅😅dah eliza kudadeq
@habibamura5255
@habibamura5255 4 месяца назад
Eliza atapata baby kweli mana mukali balaa😂😂😂😂😂
@user-jo6qn9sb6z
@user-jo6qn9sb6z 2 месяца назад
Shangazi Eliza ondoka umeezeeka mama😅😅
@shakiralasway8821
@shakiralasway8821 2 месяца назад
Eliza ananongwa huyu demu,utaozea kizimbani mdada piga deki mdomo wako🤔
@beatricewilliam2779
@beatricewilliam2779 4 месяца назад
Mashangazi wote mtaolewa🤣🤣🤣
@ChimumyClassic-xq7dk
@ChimumyClassic-xq7dk 4 месяца назад
Kwani jamani ukitaka kwenda inakuaje😮😮😅😅
@divanamines5516
@divanamines5516 4 месяца назад
Elizaa ana matatizo😂😂, anahisi kila kitu Kina revolve around her… foundation na powder ni make up..😂😂😂 halafuu Mr right wala hakukutarget ww… Heal utoke kwenye podium… 😊😊
@sampachino5184
@sampachino5184 4 месяца назад
ELIZAAAAa❤❤❤❤❤❤❤
@simbahussein4416
@simbahussein4416 2 месяца назад
huyo eliza karogwa . urembo siyo kitu huyo shangazi eliza
@joycehaule9717
@joycehaule9717 4 месяца назад
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahha Eliza shangazi angu unanichekesha sanaaa nimecheka hadi machozi aisee
@Bovyoot
@Bovyoot 3 месяца назад
Eliza uyu cyo mzima ni chizi kila kitu yuwajishuki awa ndio wale watu wazima awana akili
@user-hp6bf5lh2d
@user-hp6bf5lh2d 4 месяца назад
Naona wengi wanamchukia Eliza nami nlikuw simpendi Ila now nampenda Coz anachangamsha kipindi Then Yani huwa hajali ye anakupasulia tu yai viza😂😂😂 Kongore Eliza usipate Mr.right mapema patapoa hapo😂😂😂
@danielndei5420
@danielndei5420 4 месяца назад
ila sas ni mziki tunaskiza au ni show tunatizama, mbona BACKGROUND MUSIC IS TOO LOUD ALWAYS
@user-qm7td2fx3k
@user-qm7td2fx3k 4 месяца назад
Maskini weee eliza daah
@user-rg8fq8fc3k
@user-rg8fq8fc3k 4 месяца назад
Ya leo nimeipenda huyu eliza anahitaji kufsnyiwa cancelled 😅😅😅😅maana mapenz yalimtesa anaonekana😅😅
@GregoryJacksonJacobJacob
@GregoryJacksonJacobJacob 4 месяца назад
Kuna mdd amenikosha jamniii😅😅😊
@henrychitepeterichard
@henrychitepeterichard 3 месяца назад
Mashangazi 😂😂
@OliverMassawe
@OliverMassawe 3 месяца назад
Nawezaje kufika apo jamanii natamani sana
@user-dr1su7pf7w
@user-dr1su7pf7w 3 месяца назад
eliza tulia utaolewa na unasura nzuri sana
@mathiasderick7995
@mathiasderick7995 2 месяца назад
Eliza ajielewi
@user-yj2qc6cw3q
@user-yj2qc6cw3q 4 месяца назад
Uyo Eliza ako na matatizo 😂😂😂😂
@mariambenimkus4490
@mariambenimkus4490 4 месяца назад
Jamani kwani uyueliza apoana fanyann 😂😂😂😂mbona kamaka pa gawauyu Dada au vip
@Victadavido
@Victadavido 3 месяца назад
Bila eliza kugomban hamna ladha yani
@stellabugingo4071
@stellabugingo4071 4 месяца назад
Eliza got anger issues 😂😂
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 месяца назад
😂😂😂eliza we umeshakuwa mtu mzima ndio sasa hupendi nn
@norahmosha854
@norahmosha854 3 месяца назад
😂Eliza kivuruge jmn
@greatwolfrare2128
@greatwolfrare2128 4 месяца назад
uyo eliza siku akitoka apo niko pale mniletee kiti nipumzike kwanza
@jakii7878
@jakii7878 4 месяца назад
😂😂😂 kweli Eliza bogus, kama sio bogus unamind nini sasa?😅😂😂 Shangazi bhuana
@user-ms2li9nx4z
@user-ms2li9nx4z 4 месяца назад
🤣🤣🤣shangaz umeezeeka kwel na akil huna fanya mambo mengn baada ya kitambaa cheupe kuuungaa ndo akaja hapo aende the great mbona inapokea wahudum
@bennylove6021
@bennylove6021 4 месяца назад
Eliza mpeleken kwa wataalam ww saikolojia
@isaacjosephjoseph2733
@isaacjosephjoseph2733 4 месяца назад
Ama kweli Eliza unafeli aisee hebu jilekebishe basi mbona wewe kila wakati ni kupaniki tuuu aisee!!! Sasa humo ndani kwa atakae kuoa mbona utakuwa moto!!
@aika3024
@aika3024 4 месяца назад
Sijawai kuona Raya mwenye utimamu wa Akili😅, Asa na uyu Eliza akonafanya nini apo🤔
@jacklinaman4219
@jacklinaman4219 4 месяца назад
Sijui na mm niende nikajalibu bahat yangu pale
@fimboonlinetv5282
@fimboonlinetv5282 4 месяца назад
Njoo kwangu
@ZaifathMustafa
@ZaifathMustafa 4 месяца назад
Lulu diva uko sahihi wapo watu wazima hawana point
@cimpayeriziki6680
@cimpayeriziki6680 4 месяца назад
Da Eliza Uwe unapunguza hasra j. Jazba
@user-en7zq9yq9v
@user-en7zq9yq9v 4 месяца назад
Shangazi anachangamsha sana
@JacksonMkamba
@JacksonMkamba 4 месяца назад
Jaman Mimi nampenda eliza nikiingia kutazama napenda kumuona Tu Eliza napenda anavyo kuwa mbishi mbishi yaan naenjoy kiufupi ningekuwa sipo kwenye mahusiano ningekuja kumchukua jaman
@godypeter7299
@godypeter7299 4 месяца назад
Huenda akakukataa na ww we mwone tu jinsi alivyo
@MwaniPh
@MwaniPh 4 месяца назад
😅😅😅😅
@joycehaule9717
@joycehaule9717 4 месяца назад
Mi mwenyewe Eliza nampenda kweli ...
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 месяца назад
Mfanye mchepuko akusumbue sumbue😂
@JacksonMkamba
@JacksonMkamba 4 месяца назад
Eliza asome Tu hizi comments jaman me kila nikiingia nataman nione Tu anavyo vurugua naenjoy sana jaman. Eliza endelea kuwavuruga. Jaman hakuna kitu kizuri kama eliza analichangamsha game sana
@LenashaNgulo
@LenashaNgulo 4 месяца назад
Jaman shangazi eliza😂😂😂😂😂😂😂😂
@RandB_Channel
@RandB_Channel 4 месяца назад
Shangazi Eliza unaujuwaji mwengine ndomana kupata mwana umme itakuwa ngumu wanakutizama ivi wana umme wamesha juwa tabiya yako . Mwana mke nitabiya sio urembo
@beatricewilliam2779
@beatricewilliam2779 4 месяца назад
Shangazi oyeeeeeee
@mayasahassan5698
@mayasahassan5698 4 месяца назад
Izo kichwan ni shanga ama😂😂
@stellawandiba7560
@stellawandiba7560 4 месяца назад
Vichekesho hivi huyu dada loo
@user-mn4yr5xh9l
@user-mn4yr5xh9l 4 месяца назад
Mungu hampagi mtu kilakitu kwahiyo Eliza anako kitu kimoja akili nahisiya
@edinamathews7717
@edinamathews7717 4 месяца назад
Mbona wa miaka 26 kazeeka kuzid mi wamiaka 32
@amosmahona433
@amosmahona433 4 месяца назад
Eliza yuko sawa na zile number plate za 3G.Eliza usoni amesinyaa bogazi kabisa shida ya kujihisi.kuna mmoja nimemuona kama pacalome .
@BillMos-mt3ts
@BillMos-mt3ts 3 месяца назад
Aki mko na chizii apoo
@juliusjkalela9164
@juliusjkalela9164 4 месяца назад
Kiukwel msimtoe Eliza nampenda xana
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy 4 месяца назад
C yupo kwenye kitimtim huyo eliza
@catherinedavidy1128
@catherinedavidy1128 4 месяца назад
Hata mm nilimuona shogaangu aigize tu kwa kweli
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy 4 месяца назад
@@catherinedavidy1128 kabisa ata uku ni drama tu
@ChristinaPeter-rl9wq
@ChristinaPeter-rl9wq 4 месяца назад
😂😂😂😂Eliza kiboko
@jacklinaman4219
@jacklinaman4219 4 месяца назад
Eliza kaka hapo mpka anawajua watu wote hapo majina yao
@Lulucut
@Lulucut 4 месяца назад
Kwani ZALISH alipata mpenzi jamn🤔
@kellyjohn100
@kellyjohn100 4 месяца назад
Huyo hataolewa hajielewi huyo bogazi mshangazi umejaa matombe kichwani
@erizabethchanga636
@erizabethchanga636 4 месяца назад
Eliza acha kututukana jamani
@hamisaabdulhamid529
@hamisaabdulhamid529 3 месяца назад
Huyu anamdomo kha
@AnitherSalum-ly6fd
@AnitherSalum-ly6fd 4 месяца назад
Jamn zarish alichukuliw na nan mbna hayupo
@sophsoph4740
@sophsoph4740 4 месяца назад
Had mim simuoni
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 месяца назад
Nashangaa hawajatuonyesha kisiki kilivyong'oka
@aminanimbona1861
@aminanimbona1861 4 месяца назад
Ametolewa kwenye stage
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 4 месяца назад
​@aminanmmh so hqkupata mtu Bali alitolewa😂😂😂imbona1861
@AnitherSalum-ly6fd
@AnitherSalum-ly6fd 4 месяца назад
@@SerenakaremboDzombo mbona haeajatupa huo mchap lakin jamn
@user-rb9zo7ud7d
@user-rb9zo7ud7d 4 месяца назад
LULU Diva umenivunja mbavu nikweli mwanaume hawimdogo
@rukiasalum2248
@rukiasalum2248 4 месяца назад
Kinaja huyu nipeni Mimi nimpe binti yangu
@elinapetro7136
@elinapetro7136 4 месяца назад
Eliza mpaka anakonda uso Kisa hasira
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 4 месяца назад
Shangazi Eliza anashida
@ZubedaRashidi-fv5nk
@ZubedaRashidi-fv5nk 4 месяца назад
Eliz acha kujicholesha
@user-yd8vv2sz4f
@user-yd8vv2sz4f 4 месяца назад
Eliza anamatatizo ndomana hawezi kupata mwanaume
@fridayuda9577
@fridayuda9577 4 месяца назад
😂😂😂😂😂
@davidoj6689
@davidoj6689 4 месяца назад
Lulu umependeza
@boashamah3642
@boashamah3642 3 месяца назад
Eliza hajielewi haki
@barakamazigo4840
@barakamazigo4840 4 месяца назад
Shanga eliza mda wako umeixha
@user-wm6vc2hp5b
@user-wm6vc2hp5b 4 месяца назад
Elza utasungua sana gaga hapo huwez Pata mchumba wewe unamdomo sana shangazi
@danielndei5420
@danielndei5420 4 месяца назад
huyu Eliza munamueka kwa show wa kazi gani, ana roho mbaya sana, hakuna jamaa atampenda huyu,..she is just a joke
@Justinaombay
@Justinaombay 4 месяца назад
Eliza hunaga jipya
@reginamlay5263
@reginamlay5263 4 месяца назад
Eliza anachonjomoa kipindi kinachqngamka
@ceciliapaul4161
@ceciliapaul4161 4 месяца назад
Wamtoe bhn
@SurprisedAtom-vp5qe
@SurprisedAtom-vp5qe 4 месяца назад
Eliza usiondoke hapo unatuchekesha sana
@JimmyJohn-qr8cu
@JimmyJohn-qr8cu 3 месяца назад
Elisa nimsumbufu san
@davidami7980
@davidami7980 4 месяца назад
Hii show Iko scripted
@user-hx4eh3cq1n
@user-hx4eh3cq1n 4 месяца назад
Mshangazi wewe
Далее
ROASTING Literally... EVERYONE on Omegle AGAIN!
8:18
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
Просмотров 7 млн
Армия США вошла в Зангезур
04:17
Просмотров 234 тыс.
The BIG Birthday SURPRISE | Welcome Home
51:58
Просмотров 22 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /24/ #love
30:52
Просмотров 25 тыс.
Dancing Together_061 😍🎵 #dance
0:30
Просмотров 15 млн