Тёмный

MACHO YA MWILINI NA MACHO YA ROHONI (OFFICIAL VIDEO) 

MAHUBIRI TV
Подписаться 215 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@rahabugina2097
@rahabugina2097 4 года назад
Asante kwa somo zuri mtumishi wa BABA,barikiwa
@rosepeter8996
@rosepeter8996 4 года назад
nimebarikiwa sana na mahubiri be blessed pastor🙏🙏🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞💞💞🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mossesjoseph2202
@mossesjoseph2202 2 года назад
Asante Bwana Yesu kwa kuwa u mwema🙏🙏
@conniemukami127
@conniemukami127 4 года назад
Amen pr, mahubiri mazuri ya kutia nguvu. Mungu akubariki sana
@zarubabelngowi9278
@zarubabelngowi9278 4 года назад
Pastor asante kwa mahubiri mazuri maana yananijenga vilivyo ingawa mimi ni dhehebu lingine il hakika MUNGU azidi kukutumia
@butondodavid2105
@butondodavid2105 Год назад
Paster Naruhusu Nguvu ya Mungu juu yako Umekuwa mbaraka na kuuona ukuu wa Mungu ukitenda katika Nguvu ya ajabu juu yetu sisi watazamaji Tukitumia formular zako pasipo kujua.Napokea macho ya rohoni kuanzia sasa kwan Namuona yesu kristo kupitia mafundisho yako Amina
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Год назад
Amen
@delishbby8542
@delishbby8542 4 года назад
Barikiwa Pastor. Watu wengi tumekuwa wa mwilini sana na siyo wa rohoni. Wakati everything in this world is spiritual inabidi wa Kristo tubadilike na kuwa sensitive rohoni. 2 Wakorintho 4:18
@maseaJoe8676
@maseaJoe8676 10 месяцев назад
Hallelujah hallelujah hallelujah Amen Amen Lord Amen 🙌🙌🙏🙏
@janetkahada5206
@janetkahada5206 4 года назад
Amen amen thank you be blessed.
@mariamrobart4198
@mariamrobart4198 Год назад
Mungu nisaidie nisimchukuie mtu yeyote yule katika maisha yangu iponye roho yangu dhidi ya vita vya kiroho
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 Год назад
Amen 🙏 🙏🙏
@jemimakengia7308
@jemimakengia7308 2 года назад
Amen
@happykilangi473
@happykilangi473 Год назад
Barikiwa sana pastor
@jonamdegera8753
@jonamdegera8753 2 года назад
iringa
@elizabethmwaka2921
@elizabethmwaka2921 2 года назад
Amen pastor ubarikiwa then Niko na swali pastor BT la mm binafsi hii fungu la Kumi naeza Tumia kununua vitu Kama chakula na nipeana Kwa wahitaji ama sahihi ni nimpe pastor wangu
@paulpeter2108
@paulpeter2108 Год назад
Fungu la kumi muhimu kutoa na msaada pia muhimu kutoa.vyote muhimu Kwa sababu Sheria ni kumpenda mungu(zaka) na kumpenda jirani Yako(misaada)
@agneskhakali2069
@agneskhakali2069 4 года назад
Asante sana mchungaji somo hili kwa kweli limeniguza.
@ocholawayoga5986
@ocholawayoga5986 4 года назад
Ni ombi langu Mungu anifunguwe macho ya rohoni
@jaredmayaka2993
@jaredmayaka2993 2 года назад
Amen glory to God ❤️❤️❤️❤️💓💓💗💗🙏🙏🙏🙏
@damah8431
@damah8431 4 года назад
Amen Amen pastor naomba mungu anipe ujasili na ujasho wa roho mtakatifu
@jessikaakinyi8445
@jessikaakinyi8445 4 года назад
Asante sana pastor Mungu akubariki unapotubariki ili macho yetu ya Rohoni yafunguke tumjue Yesu ni Nani
@estershayo2669
@estershayo2669 4 года назад
Nampenda sana huyu Pastor yan mahubiri yake yananitia moyo sana. Mungu akubariki mchungaji, azid kukutumia pia
@gracenjoroge4237
@gracenjoroge4237 4 года назад
Kwa akili zangu siwezi naomba Mungu anipe macho ya Rohoni
@ambrosemokaya9420
@ambrosemokaya9420 3 года назад
Check instruments sound,
@agneskhakali2069
@agneskhakali2069 4 года назад
Naomba sana nifunguliwe macho ya rohoni
@irenemakokha7615
@irenemakokha7615 4 года назад
Amina mhubiri , nimeguzwa na neno,,Mungu wa amani awe nawe.
@anastaziafrancis191
@anastaziafrancis191 4 года назад
Hakika somo hili limezidi kuniimarisha Mungu atukuzwe kwa kumtumia mtumishi wake kutulisha neno la uzima
@josephobedi5969
@josephobedi5969 4 года назад
Pastor Mmbaga, leo umeniongezea kitu cha muhimu sana katika maisha.
@MaryWilson-vg2mm
@MaryWilson-vg2mm 2 года назад
Amen umejua kutufundisha hakika hii injili inantia moyo sana,hata kama nna stress znaisha
@loyceackim4296
@loyceackim4296 4 года назад
Mungu awabariki kwa wimbo.
@albertinemacimu1247
@albertinemacimu1247 4 года назад
Mungu Ni mwema Sana 🙏 🙏🙏
@esternaftari4553
@esternaftari4553 4 года назад
Tunakufuatilia mchungaj
@mussangonya6179
@mussangonya6179 4 года назад
Mwanzoni siikutegemea kama mchungaji. Huyu ni. Mu SDA maana namna yake ya kuhubir ni tofauti maana wachungaji wengi wa SDA. Wamebase sana kwenye mahubir ya siku. Za. Mwisho sana
@mussangonya6179
@mussangonya6179 4 года назад
Mahubir ya vitisho lakin uyu. Pastor anafundisha. Zaidi
@habaritv6364
@habaritv6364 4 года назад
Tukiwa na Yesu tunaweza kila kitu,hadi siku za mwisho tutazikabili bila hofu
@mussangonya6179
@mussangonya6179 4 года назад
@@habaritv6364 nakubaliana na neno. Lako na kwakweli hizi ni zama za mwisho lakin kwa YESU mambo ni mengi kuna kona nyingi za kufundisha hata katika familia huwez kula chakula cha aina moja kila siku .we kila siku ni kuhubir 666 tu .lakin kwa pastor huyu naona anakitu tofauti ni pastor wa tofauti na nimageuzi makubwa katika imani
@mussangonya6179
@mussangonya6179 4 года назад
@@habaritv6364 yaani anamfunua YESU mzima mzima hatishi tishi watu na kwa YESU ni ivyo
@leilahl456
@leilahl456 2 года назад
Amen,nimepokea mibaraka japo baada ya mad,mungu hana time or distance,,amen
@manixkasoye9050
@manixkasoye9050 4 года назад
Amen pasta
@morineinziani1080
@morineinziani1080 4 года назад
Amen
@annawambura2889
@annawambura2889 4 года назад
Ubarikiwe sn pasta,kwa mafundisho mazuri
@tajitunzo1664
@tajitunzo1664 4 года назад
Ubarikiwe Mchungaji somo Hilo nimegusa Moyo wangu.
@mrembonaomi9077
@mrembonaomi9077 2 года назад
Mungu nipe macho ya rohoni
@mrembonaomi9077
@mrembonaomi9077 2 года назад
Amen mutumishi naitaji maombi
@gracemurondoro3869
@gracemurondoro3869 2 года назад
Naomba na yako ya simu nichangie ingalao kwa ajili ya kazi ya mungu unsyofanya
@annanasambu8711
@annanasambu8711 2 года назад
Mungu azidi akikupa nguvu pastor
@shaniachanceline2751
@shaniachanceline2751 4 года назад
Ameeeeen God bless you pastor 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💖💓🥰
@watwegopnina6480
@watwegopnina6480 4 года назад
Amen mchungaji wangu, Mungu akubariki.
@margrethkaserikali1458
@margrethkaserikali1458 2 года назад
AMEN AMEN🙏
@peninadunda6348
@peninadunda6348 3 года назад
Amen
@annawambura2889
@annawambura2889 4 года назад
Amina
@annawambura2889
@annawambura2889 4 года назад
Amina
@drostakalory5308
@drostakalory5308 4 года назад
Amina Mtumishi wa Mungu
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 4 года назад
Amen 🇰🇪
@vitalesikagi3475
@vitalesikagi3475 4 года назад
amen
@leeshayo
@leeshayo 4 года назад
Zaburi 138:2
@ciciandjojo7701
@ciciandjojo7701 4 года назад
Aneeeeernn
@janejoseph9009
@janejoseph9009 4 года назад
🤗🤗🤗had raha
Далее
TUMAINI LAKO LINAPO POTEA ( OFFICIAL VIDEO)
54:16
Просмотров 21 тыс.
ХОККЕЙНАЯ КЛЮШКА ИЗ БУДУЩЕГО?
00:29
Вопрос Ребром - Серго
43:16
Просмотров 1,5 млн
(OFFICIAL) HIVI MUNGU ANATAKA NINI KWAKO?
41:46
Просмотров 25 тыс.
Mwl. Mgisa Mtebe - KUWA NA MACHO YA ROHONI
2:45
Просмотров 17 тыс.
MACHO YA KIROHO KTK VITENDO‼️PRACTICTAL TIME
6:22
NEEMA MUHIMU YA NYAKATI ZA MWISHO. PR. David Mmbaga
52:17
KWANINI UNAPITIA VITA KIASI HIKI? ( OFFICIAL VIDEO)
58:25
VITA YA MIUNGU (ACHA MUNGU APIGANE MWENYEWE VITA HII)
1:00:19
Namna ya Kushinda hofu na Hatia Maishani Seh. I
43:09