Тёмный
No video :(

MADAM RITA AFANYA MAAMUZI MAGUMU 

BongoStarSearch
Подписаться 410 тыс.
Просмотров 461 тыс.
50% 1

Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 11 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 264   
@josephgadau8913
@josephgadau8913 3 года назад
Mnazingua Sana Majaji... Huyo dogo mwenye Sweta la njano anaweza na anakipaji sana.
@jothammwakudua1628
@jothammwakudua1628 3 года назад
There not serious kabisa only concentrate on drama and not listening to the guys singing
@raysateta7329
@raysateta7329 3 года назад
Ynii jmn me wa mwisho ata sjamuelewa 🥺 sweta la njano katisha daaah 💔😫
@aminamwenge344
@aminamwenge344 3 года назад
ru-vid.com/show-UCyUaTr9jxy-ebbGglJLj7cw
@tonnyelifurahamaturo5271
@tonnyelifurahamaturo5271 3 года назад
Tatizo wanaangalia uvaaji
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 года назад
Majaji mnapiga sana soga hatusikiii wasaniii wetu wakiimba kaeni kimya mnaboa
@joyjilien5432
@joyjilien5432 3 года назад
Kumbe umeona eee hawatulii sijui wamefata vipaji au 😫
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 года назад
Jamani majaji mnaharibu muwe mnazima mic kelele bhana
@isayarivis8289
@isayarivis8289 3 года назад
Hayo mambo yenu yakuchomowana yanaumiza sana kweli.
@allymsafiri5574
@allymsafiri5574 3 года назад
Yanaumiza bro lakin at the end lazima apatikane mmoja tu
@adelinegerald3500
@adelinegerald3500 3 года назад
mrudisheni wa sweta la njano he is a singer ,,ni the best of the best , ni chaguo la watazamjii ...
@joycekayibamiriam1922
@joycekayibamiriam1922 3 года назад
Aboubakar kamkosea nini master j . Yani anmchukia kama kamuibia mwanamke jamaani. Sio fresh
@chazgunda5823
@chazgunda5823 3 года назад
Sijaelewa nani kaachwa ila jamaa anaeimba song name uliza kiatu ni noma na nusu
@preciousmohmed7372
@preciousmohmed7372 3 года назад
Kwenye uimbaji wake kuna kitu inamiss sana kwa huyu jamaa
@speriussimba6717
@speriussimba6717 3 года назад
Uwezi amini kaachwa aisee
@ELISSKGTV
@ELISSKGTV 3 года назад
@@preciousmohmed7372 true
@mohamedbreez7688
@mohamedbreez7688 3 года назад
Jamaa wa njano mkali sana
@maryamsuleyman9141
@maryamsuleyman9141 3 года назад
Abuubakar namkubali sanaaaaaaaaaaaaaa❤
@johnkapama5914
@johnkapama5914 3 года назад
Huyu msenge wa njano ni noma sana
@muniraahmed624
@muniraahmed624 3 года назад
Ooh maskini they so talented😍😘
@ezekielsimfukwe2221
@ezekielsimfukwe2221 2 года назад
Mambo
@jackilinekasendamila6270
@jackilinekasendamila6270 3 года назад
Jamanii mbn mwenyew sweta la njano anajua sanaa
@sleyumsalum1114
@sleyumsalum1114 3 года назад
Ni kwli jamaa anajua wa njno
@radhiaoman2454
@radhiaoman2454 3 года назад
Hivi hamjui Kama hao majaji wanakuwa mshindi washamchagua toka mwanzoni!!? Kumbukeni madam ritha msimu uliyopita katika Interview alisema wao ndiyo wanampanga mshindi
@sleyumsalum1114
@sleyumsalum1114 3 года назад
@@radhiaoman2454 ni xwa sister ila inaumiza ety km ungelikuwa ndo ww ungelijiskiaje
@shanelymbunga302
@shanelymbunga302 3 года назад
Wanjano hajui
@shanelymbunga302
@shanelymbunga302 3 года назад
Wa nyeupo ndo anajua
@mohamediramadhani6120
@mohamediramadhani6120 3 года назад
Noma San wazee
@asmahussein
@asmahussein 3 года назад
Mwaongea sana hadi muna keraa.....sasa tuwasikize nyinyi ama wanao imba...hebu badilikeni...🤨🤦‍♀️
@lawagustino1887
@lawagustino1887 3 года назад
Majaji wasenge
@preciousmohmed7372
@preciousmohmed7372 3 года назад
My Abubakar😍😘 let's Go man
@hemedtawah4130
@hemedtawah4130 3 года назад
He is a winner
@adamduma5436
@adamduma5436 3 года назад
Judges nyamazeni tusikilize waimbaji! Mnaweza angalia judges wa AGT/BGT mnawaza jifunza kitu.
@mamujuma2304
@mamujuma2304 3 года назад
Kbsaaa
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 9 месяцев назад
kaka umeongea mana daah
@deomedia8492
@deomedia8492 3 года назад
Kijana yuko vizuri
@jaizaniimamu3880
@jaizaniimamu3880 3 года назад
Rita ni msenge uliza kiatu mkali
@ezekielkanyanyi3720
@ezekielkanyanyi3720 3 года назад
Maiki za ma jaji zizimwe mtu akiwa ana perfom. Ziwashwe akimaliza kuimba. Afu Mashabiki pia tuwe na kipengele chakumrudisha aliyetemwa na jaji tunayeona anajua endelee kupambania kombe
@Kienyeji_ideas
@Kienyeji_ideas 3 года назад
great point
@zappe5528
@zappe5528 3 года назад
There should be an option to turn off those mics, when the Artists are performing. It looks rather rude the way they talk and while the guys are performing..
@motonatembe4311
@motonatembe4311 3 года назад
You are right my bro
@eventelias3566
@eventelias3566 3 года назад
I agree and clicking the button tht is not yours is not good too
@faharumudrikhat5662
@faharumudrikhat5662 3 года назад
Hyoo namba mojaa nomaa
@user-kf4yz6sm1j
@user-kf4yz6sm1j 3 года назад
Huyo jamaa wa white amerudi tna namjua ako poa sana waah keep it up
@eunicehamisi6230
@eunicehamisi6230 2 года назад
jamaa amerud dah
@eunicehamisi6230
@eunicehamisi6230 2 года назад
apite plz
@glorycharles1620
@glorycharles1620 3 года назад
Fanya wonderful kaka tunakuaminia chuga tunaweza Giddy
@aminashembwana5844
@aminashembwana5844 3 года назад
Aludi wanjano huyo jamani
@jellycastro9037
@jellycastro9037 3 года назад
Both are good madam
@mwanaashashokowa2151
@mwanaashashokowa2151 3 года назад
Madam rita u pick the right person good
@wyckiewicked219
@wyckiewicked219 3 года назад
Kiingireza watanzania
@francismngumi5125
@francismngumi5125 3 года назад
Uliza kiatu yuko vzr sema rita hajui tu
@beberu29
@beberu29 3 года назад
Next 😎
@bernardsamba7118
@bernardsamba7118 3 года назад
ask my shouse he is good
@Beibemercy1961
@Beibemercy1961 3 года назад
😂
@nadyaalmhroki8890
@nadyaalmhroki8890 3 года назад
Uyo wa mwisho mbona kafanana na benpol au macho yangu tu
@6ix7ne
@6ix7ne 2 года назад
Kwel %% zte anaweza
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 3 года назад
Daaah!!,hao jamaa kweli ni wanajua Sana👍👍👍
@zainabgwasi5525
@zainabgwasi5525 3 года назад
mmmh mmemtoa Zuchu and the guys with guitar mbona bado kabsaaa
@latiphajackson4901
@latiphajackson4901 3 года назад
Nashangaa 😔
@rtlusungu
@rtlusungu 3 года назад
Pacha wa Zuchu kaniumiza Sana Yaan.. Nimeumia mno
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 года назад
@@rtlusungu weacha tu 😭😭😭
@sleyumsalum1114
@sleyumsalum1114 3 года назад
Jmaa wa njno mbna anajua
@derickdmaliganya4441
@derickdmaliganya4441 3 года назад
mshind bss 2020
@abdullaissa5250
@abdullaissa5250 3 года назад
Najuwa kama umelala mhh so nice
@lauraabass1077
@lauraabass1077 3 года назад
Daah hii nyimbo Lina alifanya kazi Walllah
@hawaabdallah4782
@hawaabdallah4782 3 года назад
Huyo mwenyez chano anaimba sana Ila tatzo lake Hana muonekano mzuri
@esthermaina1147
@esthermaina1147 3 года назад
🤣🤣🤣huyo jamaa wa jano anajua gatheri ni nini jameni🤭🤭🤭
@chidistar1944
@chidistar1944 3 года назад
Mwisho wa sikuu mshindii ni mmojaaa tuuu
@user-kf4yz6sm1j
@user-kf4yz6sm1j 3 года назад
Yellow waaah love it
@reshmajafar7931
@reshmajafar7931 3 года назад
Ilove this guy
@rasulyyoba8474
@rasulyyoba8474 2 года назад
Here Congratulations
@rybotreiz4329
@rybotreiz4329 3 года назад
Judges kweli wana yao ya kuboresha ila kwa mnaofikia kutukana na kufananisha na watu wengine mnazingua sana hayo mashindano ni yao wanayaendesha wanavotaka wao kwa sheria zao. Maoni yoa kama maoni sio kugandamiza
@lau_attitude8810
@lau_attitude8810 3 года назад
Jax kaimb nyimbo yake I lov him
@lithmanchaza1865
@lithmanchaza1865 3 года назад
Ndo maana Bongo star search haitoi nyota huyo dogo wa sweta ya njano yupo safi sana
@derickdmaliganya4441
@derickdmaliganya4441 3 года назад
jaman huyu broo alie anza kuimba anaitwa nan haaa jaman yaana anajuaaaa saaan nd mshind bss 2020
@nadiahussein5892
@nadiahussein5892 3 года назад
Yaani mmemtoa huyu Wa tisheti ya njano jaman😓😓
@spaice995
@spaice995 3 года назад
Rita anaangalia muonekano na kasahau anasikika akiongea kwa chini chini the guy with yellow anaimba Ila kasema hana muonekano Shame on you madam
@deelissa2746
@deelissa2746 3 года назад
Umalaya umemjaa 😂si anataka wamfanye ndio maan
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 8 месяцев назад
​@@deelissa2746😂😂😂😂khaaaa
@naimamunishi1241
@naimamunishi1241 3 года назад
jamny mbn uyo walomrudisha yupo vzr sn they not serious to them......so sad😢😢
@eliudingajilo1108
@eliudingajilo1108 3 года назад
mamb kubavigez dada
@teddymduluh4642
@teddymduluh4642 3 года назад
Mast J Mbona leo umepita my Dear
@amaruaugust1722
@amaruaugust1722 3 года назад
The guy in yellow sweater damn 🔥
@Bensonfrank25
@Bensonfrank25 3 года назад
AISEHHH!!! THIS WAS HARD CHALLENGE
@erickimambo4544
@erickimambo4544 3 года назад
Dgo mwenye sweta la njaano mbali ya kwamba anajua kuimba na kucheza gitar amekuwa creative ya kutunga nyimbo yake
@agneskauzen7701
@agneskauzen7701 3 года назад
Nic
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 3 года назад
Alovaa nyeupe nice wallah
@wiliampaulo5556
@wiliampaulo5556 3 года назад
Mwaka huu kazi ipo
@Miriamosward
@Miriamosward 3 года назад
Yani mtatufanya mashabiki wa BSS tusepe kwa stahili hii huyo wa sweta la njano mrudisheni watu wengi wanalalamika hadi uku kitaa yani. Roho yangu imeniuma aswa
@allyahahmed1091
@allyahahmed1091 3 года назад
dah 😂kweli kuna bahati na kipajin😂tuyaelewe haya
@Miriamosward
@Miriamosward 3 года назад
Majudge mnaboa sana huyo kaka mwenye sweta la njano mrudisheni anajua sema nyie mnapenda sana wabana pua kuweni kama majudge wa nje yani mmenichefua sana mrudisheni jamani
@hyasintakundy3568
@hyasintakundy3568 3 года назад
Yameniboa huyo wa t,shirt nyeupe hujui anaimba au anaongea
@waternews4831
@waternews4831 3 года назад
Hivi kipindi kinarushwa muda gani
@ericksunday689
@ericksunday689 3 года назад
Was cool
@cutetalliatalliacute7381
@cutetalliatalliacute7381 3 года назад
Nime notice wakiimba nyimbo za Kenya hawatambuliwi😭😭
@highthemetv7857
@highthemetv7857 3 года назад
Na bado 😁😀
@ezrasafari9449
@ezrasafari9449 3 года назад
I don’t like the way they ask the audience to sing and they don’t listen to them that’s kinda annoying 😔
@elizabethjoseph8357
@elizabethjoseph8357 3 года назад
Exactly 😫
@Kienyeji_ideas
@Kienyeji_ideas 3 года назад
they act soo childish
@rithamosha1960
@rithamosha1960 3 года назад
They listen with ears not eyes or the whole face
@hassanmassaga2476
@hassanmassaga2476 3 года назад
@@rithamosha1960 eye contact is part of listening skills
@rithamosha1960
@rithamosha1960 3 года назад
@@hassanmassaga2476 not every time
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 года назад
Hik kitabia kinakatisha tamaa sana
@mwasitiiddy7425
@mwasitiiddy7425 3 года назад
Minimemuelew wauliz kiat hawa majaj miyeyush hawan sikio lakusikiliz kipaj sijui
@neemakilango7445
@neemakilango7445 3 года назад
Hatamm nimeona
@missbartanzania688
@missbartanzania688 3 года назад
Mwenye sweta la njano uuuwiiii
@joycejohn7754
@joycejohn7754 3 года назад
Wa yellow anajua sana
@vadescoretv4103
@vadescoretv4103 3 года назад
Huo ni ukuma uliopitiliza mpka mkunduni asa huyo dogo wa njano anajua kuzid huyo jamaa anayerap kama kashikwa kabali
@ericaleopord20
@ericaleopord20 3 года назад
Mwenye njanooo jaman kawazid wotee😒😒 wamemtoaa jaman wameniuziiiii
@mwastynhand4421
@mwastynhand4421 3 года назад
Hajatolewa
@mbarukuamani6524
@mbarukuamani6524 3 года назад
Rita umezingua mwenye njano yupo freshi acha hizo
@mariyaal5366
@mariyaal5366 3 года назад
Jamani Zuchu mmemtoa😭😭😭😭
@massudbiz9828
@massudbiz9828 3 года назад
Wawili hao wamepita Wanaweza
@faithwambui9135
@faithwambui9135 3 года назад
Full episodes please
@derickdmaliganya4441
@derickdmaliganya4441 3 года назад
huyu broo anajua
@weedkillerOG
@weedkillerOG 2 года назад
Madamu anazingua
@Radga23
@Radga23 3 года назад
Sisi washabiki lazima tutambue pia kuwa hapo ni wakati mgumu hata tukijiweka katika nafasi yao ni lazima mmoja aachwe hata kama wote wanavipaji at the end mshindi ni mmoja so haina haja ya kulaumu sana, pale Jaji sasa itabidi tu aangalie kwa upande wake ni yupi anamhitaji zaidi, kama vile ambavyo ungekuwa wewe ungefanya.
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 3 года назад
Judges hamko serious mnabonga xanaa!xjui nimdudu gn kaingia at
@fainajaffary4070
@fainajaffary4070 3 года назад
😃😃😂
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 3 года назад
Watu wanajua sio powa
@theodoryjaphet9726
@theodoryjaphet9726 3 года назад
Saf
@teddymduluh4642
@teddymduluh4642 3 года назад
Mast J leo umepoa
@jimmy26jackson99
@jimmy26jackson99 3 года назад
Rap gang! gang! gang! Gone against the vocalist n won. Dis niqqa ze'fly! That was wise o' u! Or BSS could have been trash all over😎 though y'all shall consider callin bac who u subtracted coz he better more 2 some early chosen!!!!
@Envelope_grene
@Envelope_grene 3 года назад
Asee n mparangano
@nagmynamahin2463
@nagmynamahin2463 3 года назад
Majaji dharau hamuwapi atention waimbaj
@shamsamwantum2106
@shamsamwantum2106 3 года назад
Ok honestly I don't see the essence of choosing someone if you gonna replace him or her with someone else ... I thought kila mtu anapewa nafasi ya kuimba so nashangaa where this whole "replacing someone" is coming from 😏😏😏😏😏 .
@melaniehalla4654
@melaniehalla4654 3 года назад
Usenge huu
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 года назад
Huyo mwenye white ni zero madam ana mahaba nae binafsi nyau
@sleyumsalum1114
@sleyumsalum1114 3 года назад
Haaa😄😄
@raulasuphi8916
@raulasuphi8916 3 года назад
Munaongea sana ma judge munatu distruct
@aminamollel5725
@aminamollel5725 3 года назад
Sweta LA njano arudishwe Bss jamani
@justelena4517
@justelena4517 3 года назад
Post the whole thing 🙄
@amadimuhamedmuhamediomal7243
@amadimuhamedmuhamediomal7243 2 года назад
Mm kwajina naitwa amady nimsani, naitaji msada wako ninashida naimba
@kikundahassani8149
@kikundahassani8149 3 года назад
afu mnasema daimondi anajua kuimba kamasio ndumba ninini
@missbartanzania688
@missbartanzania688 3 года назад
Hivi mnajua mziki kweli
@agnessmalasusa3609
@agnessmalasusa3609 3 года назад
Jaman sidhani kwakwel
@emyfasa8324
@emyfasa8324 3 года назад
Judges should close their mouth when someone is singing.
@mpjrtv1260
@mpjrtv1260 3 года назад
Exactly, and the way they judge it's so bad. they should learn on AGT judges...
@hamiskisime4354
@hamiskisime4354 3 года назад
Wakwanza na wapili kiukweli wote wako vizur Sana.
@abdulkarimkuchengwa4900
@abdulkarimkuchengwa4900 3 года назад
If only these amateur judges could see how professional judges in AGT and BGT conduct themselves, poor judges!
@agapesaligawesasaligawesa2781
@agapesaligawesasaligawesa2781 3 года назад
Uyo kaka wa kwanza namkubari saaana
@willeymwamwezi663
@willeymwamwezi663 3 года назад
DG mwenye njano mbna namujua mimi
@alexmutembe7089
@alexmutembe7089 3 года назад
Those judges need to be trained kwanza huwezi ku judge mtu wakati wewe mwenyewe hujui kujijudge mwenyewe. So sad
@joanithamwaudama9928
@joanithamwaudama9928 2 года назад
Exactly
@ymusic1299
@ymusic1299 3 года назад
Mnatoa watu wa kali why?
@Miriamosward
@Miriamosward 3 года назад
Awajielewi hao yani hata master j kawa kipofu
@dogojmzaifu5961
@dogojmzaifu5961 2 года назад
Hiy. Bonba
@ramakoba4611
@ramakoba4611 3 года назад
😂😂😂😂😂😂 apa madam mbaka kachanganyikiwa kuchekecha akili kati ya wakwanza n wapili
@mariasixmund7964
@mariasixmund7964 3 года назад
🤔🤔🤔majudge mnatumia nini kumjudge mtu na hamsikilizi akiwa anaimba
@bahajajuma5947
@bahajajuma5947 3 года назад
Ht kipindi ni chako hebu kua "mtulivu" km umechangamka hd unakera😏Madam
@gftdaniel2198
@gftdaniel2198 3 года назад
Hahahqaaa anawashwaaaaa
@azizaalwan8686
@azizaalwan8686 3 года назад
Alieva sweatshirt ya yellow anazo vocals mrudisheni jamaniiii
@sleyumsalum1114
@sleyumsalum1114 3 года назад
Wana ubaguz
Далее
BELLA AFANYA MAAMUZI MAGUMU
6:50
Просмотров 455 тыс.
when you have plan B 😂
00:11
Просмотров 5 млн
VIDEO: Mwanzo Mwisho Alivyopatikana mshindi wa BSS 2018
2:25:23
Bongo Star Search 2021 Episode 03 Mbeya
1:05:38
Просмотров 237 тыс.
BSS 2020 EXTRA DAR ES SALAAM
17:50
Просмотров 222 тыс.