Тёмный

MIAKA 30 JELA, MTEGO WA MADAWA YA KULEVYA WANASA | HIVI NI KWELI 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 82 тыс.
50% 1

KIJANA Huyu au yeyote aliyeonekana kwenye video hii hausiki na biashara ya madawa ya kulevya. Video hii ni igizo kama sehemu ya kipindi cha Hivi Ni Kweli cha Wasafi TV na haina uhalisia wowote.
MIAKA 30 JELA, MTEGO WA MADAWA YA KULEVYWA WANASA | HIVI NI KWELI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

1 авг 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 618   
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Год назад
Nimempenda kijana ana hofu ya Mungu Mashaallah 🥰🥰hongera nyingi kwa wazazi wake🙏
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 Год назад
kweli kabisa 🙏
@uislamutv2573
@uislamutv2573 Год назад
Ndio kabisa hadi raha Masha'Allah
@hutheinplat5881
@hutheinplat5881 Год назад
Hakika
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Год назад
Hiki kipindi kimetoa mafunzo mengi sana wazazi tujitahidi kulea watoto wetu katika maadili mema kama huyu kijana badala ya kuanza kubishana ovyo yeye kamkumbuka Mungu kuwa ndiye msaada pekee🙏
@dullahmtoo6666
@dullahmtoo6666 Год назад
Kabisa
@malikamir9400
@malikamir9400 Год назад
😭😭😭
@kajugaa4537
@kajugaa4537 Год назад
Ukishasema Allahu akbaru tayari umemaliza Kama ni Jambo baya kwa kuwa umemuita aliyeumba mema na yasiyo mema basi huwa anaitikia wito na kuwa karibu na wewe na kukisikia kilio chako Allah atujaalie kauli thabiti tupatwapo na Jambo baya
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Год назад
@@kajugaa4537 Ameeen
@zuhurahamisi8687
@zuhurahamisi8687 10 месяцев назад
Ooh Yani mpaka nimelia😢😢😢kama kwer
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 Год назад
hakuna zaidi ya Allah ,dogo anamlilia Allah wake amsaidie 😭😭🙏
@hammynassor3028
@hammynassor3028 Год назад
Kabisa kaka MUNGU ndo kila kitu🙏🏻
@malikamir9400
@malikamir9400 Год назад
Exactky AllAH ndo kika kitu kwenye ulimwengu wetu
@hutheinplat5881
@hutheinplat5881 Год назад
Allah akbar
@user-mu5ik5jy4y
@user-mu5ik5jy4y 11 месяцев назад
Exactly brother
@occupeparjesus6768
@occupeparjesus6768 Год назад
Kwa kweli Sanya huendi mbinguni 🤣🤣🤣 hii ya leo imeniuma sana aisee 😭 much love from CONGO 🇨🇩♥️
@daniel.shao.9028
@daniel.shao.9028 Год назад
Dogo mcha Mungu sana....yapasa kujifunza hata pale tunapofikwa na mazito Allah pekee ndio kimbilio letu....Hongera sana dogo kwa kumtumainia Mwenyezi Mungu!
@sicatz9204
@sicatz9204 Год назад
Although I'm not understanding but the story is highly good.more love from US🇺🇲🇺🇲🇺🇲
@santosdanny9243
@santosdanny9243 Год назад
Hey there
@othan_5abdi264
@othan_5abdi264 Год назад
Daaaaaaah Dogo Anamlilia Allah Amsaidie Allah Ndio kila kitu Mpaka Machoz Yamenitoka Jamani😭😭
@uislamutv2573
@uislamutv2573 Год назад
Ndio kabisa yani nimelia
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 11 месяцев назад
😢😢😢😢Allah Akbar yy ndiyo kila kitu ktk maisha yetu
@gordonisaac1467
@gordonisaac1467 Год назад
Sanya unazingua sana mwenetuuu 😂😂😂😂 The boy is very humble n God fearing person 🙏🏾
@salim02tv24
@salim02tv24 Год назад
Mo Sanya uendii mbinguni na uyoo mwanaoo 😭😭 Eeeeh mwenyewezi mung 🙏nisaidiee mjaa wako dah.. anaimanii sana
@habibmringi9498
@habibmringi9498 Год назад
😭😭😭😭😭😭😭 Dah!! Wallah dogo alivyoanza kumuomba M/Mungu nimejikuta nadondosha chozi ghafla tu😭😭😭😭😭😭😭. N:B Sanya cku mkikutana na mwana sheria bobez hawezi kukubali huu upuuzi lazima aruke nanyi tu.
@mamyfattykhaleed7709
@mamyfattykhaleed7709 Год назад
Hadi huruma, hizi nyengine si zakufanya fanyeni za kawaida mtakuja kuuwa watu kwa pressure kila mtu na hali yake, mtafuteni uyo kijana mumuongeze hela, Kijana MashaAllah ana hofu ya Mungu
@tajiguapo3743
@tajiguapo3743 Год назад
I'm watching this from America 🇺🇸 i really enjoy this show Mr sanya your so creative much love to all my Tanzanian people 🇹🇿💞
@ammarsalah5693
@ammarsalah5693 Год назад
Masha Allah I loved the kid he is so humble
@kitindisultani7200
@kitindisultani7200 Год назад
Amna baya wasafi tv mnafunza japo inaumiza hongereni sana ila inaumiza. Kazi nzuri sanya
@zamoyonimaulidmangile7016
@zamoyonimaulidmangile7016 Год назад
Allah Akbar, jamaa imemuumiza sana
@mpalazotz7753
@mpalazotz7753 Год назад
😭😭😭imenliza pale jamaa anaomba Dua e mwenyezimungu nsaidie unanjua wew
@Conshamusic
@Conshamusic Год назад
Dah! Rayvany akifokewa na diamond kama mtoto mdg👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html
@habibmringi9498
@habibmringi9498 Год назад
Kila mwenye chembe ya imani lazima alie kipande hichi
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Год назад
@@habibmringi9498 😭😭😭
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 Год назад
Nimejikuta nalia yarabii😭😭😭😭
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 Год назад
Am tz 🇹🇿Masikin kaniliza mpaka mm 😭😭😭kijana ana maadili na malezi mazur naipenda nchi yang MOO SANYA UNGEMPIGA ZA UZO JAPO KILO ELF3O angerudisha nguvu🤩💋❤
@user-py6mn1uq7z
@user-py6mn1uq7z Год назад
Kweli haswaa kipindi chote kakinogesha dogo
@ministeribramore3694
@ministeribramore3694 Год назад
this man is talented and educative
@kasimramadhani1502
@kasimramadhani1502 Год назад
Nielimu...ila itafanya wema wasisaidike ..kingine dogo ni mcha mungu sana na ameliza wengi
@abinetymsigwa6317
@abinetymsigwa6317 Год назад
Inaumiza ila zaid inafundisha...hapo ndipo unaamin msaada wa kwel umebaki ni kwa Mungu pekee Jamaa walivyo sikia tunakuja kuwabeba wote hawajataka hata kumsaidia mwenzao dogo hapo ndipo anakumbuka nimebaki na Mungu pekeyake😭😭
@hemedzahor2002
@hemedzahor2002 Год назад
Mashaallah m.mungu amuepushe na kila la shari inshaallah
@malikamir9400
@malikamir9400 Год назад
Amiym yarabbi
@amanizoamc4384
@amanizoamc4384 Год назад
Kaka MO TOWN Sema Tukupe Mawazo Mtauwa Watu Sijapenda Kaka Sio Poah Wazee😥
@samybaro3428
@samybaro3428 11 месяцев назад
Ila nawaapia Wallah Billah Thumma wallah mm Samy baro msanii wa Bob junior Mm kama mm Mtego wenu haunipati Ng'oooooooh Nimeshajua Mbinu zenu zooote #Motown
@sundaymwita8228
@sundaymwita8228 Год назад
Huyu dogo hii prank hatowahi isahau maisha yake yote😂😂
@salim02tv24
@salim02tv24 Год назад
Amiiin lazmaa awadiithiee kizazi chake chote
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 11 месяцев назад
Kabisaaaa
@ip_header
@ip_header Год назад
Elimu ya Uraia inahitajika, inakuwaje mtu anashikwa haulizi hata Kitambulisho cha Police? Hapa ndio utajua Tz tunatiisheria kwa uoga na sio kufahamu. All in all huyu dogo inaonyesha anahofu ya Mungu, Mwenyezi Mungu amjaalie mwisho mwema!
@gilbertfuria5817
@gilbertfuria5817 Год назад
We unakula makofi hakuna muda wa kuuliza
@eastafricaqualitychickenfa9916
Haya mambo IPO siku mtakuja kuuwa mtu kwa Presha
@josephluvanga5233
@josephluvanga5233 Год назад
Bagamboni Wilaya mpya Sanyaaaaa 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@Conshamusic
@Conshamusic Год назад
Dah! Rayvany akifokewa na diamond kama mtoto mdg👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Год назад
Kijana wa watu kachoka akili na mwili 🤣🙆siku nyingine hawezi kukubali kuingia kwenye gari la mtu asiyemfahamu
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 Год назад
Amepata Bonge la Funzo" atamani Ardhii" ipasuke aingie ndani🤣🤣🤣🤣
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Год назад
@@barakatabdul3212 🤣🤣aisee usiombe ikukute
@abuuyasirshaban9377
@abuuyasirshaban9377 Год назад
Jamani isifike huko dogo ywalia bado mwamfanyia mitani sio freshi hivo... Nkt.
@Conshamusic
@Conshamusic Год назад
Dah! Rayvany akifokewa na diamond kama mtoto mdg👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 Год назад
dogo analia but bado wasenge wanaendelea kumfanyia ujinga 😡😡😡😡
@Qeek_Smart
@Qeek_Smart Год назад
That's not fair 😥😥😥 kaka ameniuma huyu😭😭😭 mumlipe vikubwa mmemzalilisha sanaa
@maombifranco
@maombifranco Год назад
Jamani mpk nmelia ila nmempenda huyu kijana anaimani na Mungu wake akita gumu alilololiona mbele yake alimtaja Mungu wake.
@mangisenya4012
@mangisenya4012 Год назад
Kwa mimi binafsi sijaridhika kabisa na hii kipindi, nimeumia sana kwakweli. inabidi mumpe kitu cha maana chaku mrudishia imani yakk
@barakabenard3140
@barakabenard3140 Год назад
Daaah Sanya we ni muuaji 😁 you killed it bro 💪🏿
@Johanah7721
@Johanah7721 Год назад
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 masikiiiiiini mtoto wawatu ivi ili wazo mlilitoa wapi nizuri linachekesha Ila Uyu kijana kaniumiza maskin😢😢😢😢
@lameckmusamba7960
@lameckmusamba7960 Год назад
Sema moh Town una ubunifu sana bro 😅😅😅😅upewe Uwezo kbsa 🇨🇩🇨🇩🇺🇬🇺🇬✌🏻✌🏻🎉
@hidayamgeni4938
@hidayamgeni4938 Год назад
sijapenda leo ,,, mbka anatia huruma mwaya😑
@abdibilali4186
@abdibilali4186 Год назад
inabidi wamlipe pesa nyingi na anaweza kuwashtaki
@iankiprotich3111
@iankiprotich3111 Год назад
Nice to hear tz🇹🇿🇹🇿iko freshi barida
@johnsonkibadeni5053
@johnsonkibadeni5053 Год назад
Dogo amenitoa chozi aisee,they are just acting but it happens in real life watu wanabambikiwa sana kesi mtaani 😭😭😭😭
@salickrawahy9962
@salickrawahy9962 Год назад
Dah inasikitisha Sana hii video kweli IPO kwenye igizo km mtego lengo ni kichekesho na wengi limewachukiza hili tukio km udhalilishaji lakini hili tukio km ni funzo na somo kwsbb lipo kiuhalishia katika Maisha ya sasa haya mambo yanatokea unakuta mtu unaingia kwenye mattz wala hahusiki so naiomba serekali kesi zengine zifanyiwe uchunguzi wa kina ili kuondokane na uonevu km huu
@zuberkalume7053
@zuberkalume7053 Год назад
Sio kuchukiza hii ni funzo kwa upande mwengine usikubali kila kitu raisi
@pko1761
@pko1761 Год назад
🤣🤣🤣
@leonardkapati3125
@leonardkapati3125 Год назад
Yan badala tuone funzo tunabaki kukosoa tu Haya Mambo yako Sana watu wanapenda magar ya bure
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
NYEI 😪 sijapenda ،kabisa 🤣🤣🤣 Siku nikiwaona wasafi nakimbia stk mimi mambo gana ayo🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️
@malikamir9400
@malikamir9400 Год назад
😂😂😂
@heriforeal
@heriforeal Год назад
Mtakuja kuua watu kwa presha😂
@ablahal-balushi3137
@ablahal-balushi3137 Год назад
Kwa kweli
@Conshamusic
@Conshamusic Год назад
Dah! Rayvany akifokewa na diamond kama mtoto mdg👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html
@abduswamadutuwa699
@abduswamadutuwa699 Год назад
🤣🤣🤣
@patrickbin4539
@patrickbin4539 Год назад
Yani leo nimejikuta 😭😭dhuuh!ila kunakitu nimejifunza
@geofreybahema5118
@geofreybahema5118 Год назад
Jamaa ana hofu na MUNGU kiukwelii ile Allah akbar ni USHINDI TOSHA anajua kila jema na baya MUNGU anabaki mtetezi wake
@uislamutv2573
@uislamutv2573 Год назад
Nimelia sana na mimi
@mustaphasayyid6740
@mustaphasayyid6740 Год назад
Maisha yanafundisha mengi mno yaweza ukawa sio muhuni, sio mtu wa makundi mabaya, lakn ukakutana na matatizo kam aya na zaidi, Allah tujaalie mwisho mwema sisi tusiojiweza
@payasstudios92
@payasstudios92 Год назад
Nimelia hii. Mob love from 254!
@madechambila6683
@madechambila6683 Год назад
tuna beba wote hahaaa nimecheka sana
@Conshamusic
@Conshamusic Год назад
Dah! Rayvany akifokewa na diamond kama mtoto mdg👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html
@lambickmanda9125
@lambickmanda9125 Год назад
Inaniumiza sana hii ya leo sijui mnafanyaje ili kumrudisha kwenye ali yake ya kawaida na moyo wake ukunyuke kama awali😭😭😭😭😭😭😭
@alphadreammedia
@alphadreammedia Год назад
😁😁😁😂😂😂😂😂
@salim02tv24
@salim02tv24 Год назад
Pesa tu akipewa mtezeeee ck imepitaa
@stephenmsanzu9850
@stephenmsanzu9850 Год назад
Big lesson sana bro
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Год назад
Nimejikuta naumia hapo tuu, alipokuwa anamlilia Mwenyezi Mungu wake😭
@africamz1762
@africamz1762 Год назад
Também Não gostei, Fiquei muito triste
@mbesseonlinetv5389
@mbesseonlinetv5389 Год назад
Katika video zako zote hii umeuwa masha💯💯💯💯💯
@keifatuke99
@keifatuke99 Год назад
Huu ndiyo ukweli wa Africa,watu wanaonewa kwa njia hizi,jambo muna act ndiyo ukweli wenyewe.
@berthamahangila4462
@berthamahangila4462 Год назад
Sio Africa tu uonevu upo kila mahala
@keifatuke99
@keifatuke99 Год назад
@@berthamahangila4462 Africa wamezidi miye naishi Ulaya huu mwaka 19,una right zako,huonewi mtu,na kama utaonewa unawafungulia mashitaka.
@berthamahangila4462
@berthamahangila4462 Год назад
@@keifatuke99 hahhaa inategemea na nchi, izi nchi uonevu upo tena wakiona ww mweusi
@keifatuke99
@keifatuke99 Год назад
@@berthamahangila4462 mimi hajawahi nitokea,ubaguzi upo wa wazi wazi kwa baadhi yao lakini angalau kuna afueni kuliko nchi za Africa
@sosom14
@sosom14 Год назад
Nikweli
@nassoroally725
@nassoroally725 Год назад
Unaenda ndaniii centroooo😃😃😃😃
@africamz1762
@africamz1762 Год назад
Na África você ajuda alguém e acaba se metendo em problemas
@zuberkalume7053
@zuberkalume7053 Год назад
Kweli umemuuliza Dogo akili hila ni funzo kwa wengine mimi binafsi siwezi msaidia mtu nikaingia ndani ya gari✌️✌️✌️✌️✌️
@esthershaban6103
@esthershaban6103 Год назад
Sijapenda Mumlipe wazazi wake wakiona mnajua kama niwagonjwa wa moyo watakuaje
@aloycemassawe900
@aloycemassawe900 Год назад
Inaumiza sana huyu kijana anamoyo wa Imani sana
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 Год назад
Tanzania nisehemu yakuishi inawajinga wengi sana inabidi inabidi mimlipe pesa nyingi sana kwa mshtuko mliompa nyinyi mnaingiza hela mwenzenu mmempa mawazo maisha yake yote
@eashaeasha9776
@eashaeasha9776 Год назад
Sana hiki kipindi kina nikela Sana kina wazalilisha watu na kuwapa mstuko Sana watu wanaweza kuuwa mtu
@jacktonjoseph3479
@jacktonjoseph3479 Год назад
@@eashaeasha9776 SASA DADA ANGU KAMA HUKIPENDI HIKI KIPINDI....KWANN UNAKIFATILIA????🤔🤔🤔🤔HIZI NI PRANK.....DUNIA NZIMA ZINAFANYIKA SIO KAMA NI JAMBO JIPYA😅😅😅SEMA WAKIMALIZA HUWA WANAWAPOZA WANA WAPA HELA KIDOGO
@abdulazizimohamed3093
@abdulazizimohamed3093 Год назад
Ningalikuwa mimi nawaburuza mahakamani haiwezekani kumshtukiza mtu hivyo bila hata kumuandaa mwishowe umwambie eti naigiza tu
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Год назад
Nikweli kabisa usemacho sio vizuri waliomfanyia
@gilbertfuria5817
@gilbertfuria5817 Год назад
Akipata wanasheria anachukua pesa kama ndugu abiria
@mahongohilunga9067
@mahongohilunga9067 Год назад
Inaniuma napo ona jamaa anaomba sala ya mwisho akijua anaenda jela najikuta nalia mm 😥😥😥😥😥😥duuu
@joshuayasolo4199
@joshuayasolo4199 Год назад
Mwenyewe nimelia sana imeniuma na ,imewahi nitokea pande za Chanika mwisho daah Mungu wangu 🙏🙏🙏😭😭😭😭
@mwanguohermanmwasoko3954
@mwanguohermanmwasoko3954 Год назад
This one though,nahisi ikiwa real. It's touching venye jamaa anahurumisha😔😔😔
@ndikumanarodrigue5657
@ndikumanarodrigue5657 Год назад
Dogo dini imekaa!! ManshaAllah
@justineinnocent1514
@justineinnocent1514 Год назад
Ama kweli kwenye matatizo huwezi pata msaada wowote angalia jins walivyo mkataa sitaki kuongea mengi ila kiufupi hii imeniumiza sana 😢😢😢
@isaacvtv547
@isaacvtv547 Год назад
ndio maana hapa USA kama hakujui hakuna cha lift or kusaidiana. Hapo jamaa hatosaidia mtu tena na tatizo ni nyinyi.
@hamisrashidi3413
@hamisrashidi3413 Год назад
Keeping moving sanya
@qaboossalim47
@qaboossalim47 Год назад
Mnavyofanya sio wazee mnawezaa mkauwaa sometime
@nassoroally725
@nassoroally725 Год назад
Kijanaaaaa kijanaaaaa daaaah
@Conshamusic
@Conshamusic Год назад
Dah! Rayvany akifokewa na diamond kama mtoto mdg👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html
@mkamajames2786
@mkamajames2786 Год назад
Mtakuja uwa watu kweli Kwa presha maana sio Kila atembea barabarani anakua Yuko sawa maisha magumu haya najua ninyi mnafanya content ila mnawalipa elfu kumi au ishilini nyie mnaingiza nyingi sio vizuli Ivi uyo dogo angeanguka na akafa ingekuaje ata mngelipia mazishi yake isingekua tija yali mshampoteza mue mnaangalia nasehemu au maanzali yakufanyiq kipindi iwe kalibu na hospitali kama uyu dogo.ndo ningekua mm ata kama mnanitania basi ningewabadilikia maana ata amjui siku yangu ilikua vip
@Qeek_Smart
@Qeek_Smart Год назад
Kwel kabisa
@ramarite4841
@ramarite4841 Год назад
😂😂😂Afande tunakamata wote waliokuahapo wana wamesepa fasta 🙌
@neemadaud5395
@neemadaud5395 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@antonio-tv
@antonio-tv Год назад
Freshi barida to the world 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@isayleonard6267
@isayleonard6267 Год назад
dah mtakujaaaa uwa watuuu na pleshaaaaaaaaa!!!! KUWENIIII MAKINIIIII NA VIPINDII VYENUUUU😡😡😡😡😡😡😡😡😡
@changanataliforlife3760
@changanataliforlife3760 Год назад
😡😡😡😡
@ablahal-balushi3137
@ablahal-balushi3137 Год назад
Kabisa kwa kweli
@sosom14
@sosom14 Год назад
I didn’t like that
@frankthegreat2427
@frankthegreat2427 Год назад
Allah Akbar 🙏😭😭😭 it really hurts
@malikdangote2362
@malikdangote2362 Год назад
Jmn anahofu ya mungu nimelitu😭
@majaonlinetv3851
@majaonlinetv3851 Год назад
Unyama ni mwingi SEMA daah mmemdharirisha kiasi flani
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 Год назад
Shida ya watanzania tunajifanya mioyo Safi ukiambiwa kitu unafanya mwisho wa siku unaingia kwenye matatizo hii ni funzo Sana japo wameigiza
@isombajohn65
@isombajohn65 Год назад
Kabisa
@mxodyeddy1200
@mxodyeddy1200 Год назад
Yeah
@mwalimumasoudy4699
@mwalimumasoudy4699 Год назад
Yaaah point
@salim02tv24
@salim02tv24 Год назад
Ndo asilii yetuu ukarim bro ..ndo manaa tukaweza kuwa na makabilaa zaid ya 40 na tukaelewana bila tatizo.. kitu icho ambazo nchi NYINGI zimeshindwa mf.rwanda n.k kwaiyo kila taifa Lina asili yao ya tabiaa..
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 Год назад
@@isombajohn65 ndio Mana tunaweza ingia kwenye hatari bila kujua
@abdullahnassor9504
@abdullahnassor9504 Год назад
Sema wazee mtakuja kumuuwa mtu kwakeli ningekuwa mm apo ulipomwita kuongea naye ingekuwa nishasepa mbio nyingi 😂😂😂
@isiakaugwa1439
@isiakaugwa1439 Год назад
Kiukweli kijana ameongea na mungu live ila nimeumia sana na sijajisikia vizuri kabisa
@malikamir9400
@malikamir9400 Год назад
😭😭😭
@mustafaabdulhafidh3257
@mustafaabdulhafidh3257 Год назад
Afande kwenye radio: tunabeba wote kwenye eneo hilo, jamaa ahh mie mpita njia tu😂😂
@deboramanoti6698
@deboramanoti6698 Год назад
Daaah nmechka kwel
@eduwadylelya
@eduwadylelya Год назад
WCB mmetisha sana
@abdisalanissa6526
@abdisalanissa6526 Год назад
Best prank ever, but dogo katulia sana Masha Allah
@fatuma_kenya
@fatuma_kenya Год назад
Hayuko sawa hata kma umesema ni uongo 😭😭😭😭😭💔💔
@directornyambi9888
@directornyambi9888 Год назад
Noma
@africamz1762
@africamz1762 Год назад
Fiquei muito triste, por ver o Jovem a implorar por Deus, Não façam mais isso
@nutaylakitchen7627
@nutaylakitchen7627 Год назад
Nikukutana na sura ya sanya nakimbia vibaya sana 😢
@aashayhakeem
@aashayhakeem Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu
@allysulesulei3936
@allysulesulei3936 Год назад
Kiukweli mumemdhalilisha huyo kijana sio poa
@fathmaoman1186
@fathmaoman1186 Год назад
Nimelia jamani. Ni funzo kweli. Itatufanya tushindwe kuwasaidia hata wanaohitaji msaada kweli
@momomlaga7403
@momomlaga7403 Год назад
Uyo jamaaa policee anaee sema kijaaaanaa ananifraisha sana
@Conshamusic
@Conshamusic Год назад
Dah! Rayvany akifokewa na diamond kama mtoto mdg👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html
@danismakundi275
@danismakundi275 Год назад
Huyo ni Sekion David
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Год назад
Hii Dunia kumbukeni hayo ni maisha munapita leo yeye Kesho wewe uwezi jua kesho kuweni makini wasafi tv
@Qeek_Smart
@Qeek_Smart Год назад
Kabisaa cjapenda kabisaa
@mysaramohamed4832
@mysaramohamed4832 Год назад
Mpita njia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣haki nimecheka ety hatuelewi chochote🤣🤣🤣🙌🙌🙌
@Conshamusic
@Conshamusic Год назад
Dah! Rayvany akifokewa na diamond kama mtoto mdg👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s3Z4iLM_TIc.html
@deboramanoti6698
@deboramanoti6698 Год назад
Chezea jera wewe
@g_eazmusic1329
@g_eazmusic1329 Год назад
Tuna beba wote 🤣🤣🤣🤣
@official_ys
@official_ys Год назад
Yooh kitaa flani hapo Kenya nipe like becouse nafagilia Tz citizens one love
@jadenbarick3061
@jadenbarick3061 Год назад
Unatisha sana Sanya 🔥🔥🔥
@ramadhantiba4592
@ramadhantiba4592 Год назад
Ilianza fresh mpaka kufika kati ikawa nzuri sana [ ilitosha pale], lkn mlimkazia sana kijana wa watu huko mbele kitu ambacho sio sawa kabisa, nimebubujikwa na machozi mengi sana juu ya kijana huyu, kwa mazingira sasa kijana bado anawadai, kuna kesi muhimu sana hapo, ni funzo zuri sana na mambo hayo hutokea lkn extra miles mlizoenda kwa kijana ndio tatizo lenyewe.
@hemedikombo1968
@hemedikombo1968 Год назад
Jamani hili nifunzo tusipende kujingza kwenye magar ya watu Tu mtu kakuita humjui anakwambia niseidie ingia kwenye gari unapata matatzo hata huhusiki
@trayoversion
@trayoversion Год назад
Maisha hayapo mara mbili mdogo wangu usikubali unyonge kama unaojipa kama ni Sifa ila sio sifa unyonge usiupe nafasi kabisa wengine tungesharusha ngumi hapo
@shemndoatz..1492
@shemndoatz..1492 Год назад
WALIOKUWA ENEO LA TUKIO WOTE TUNABEBA LIKE APA..
@goodluckkivuyo6669
@goodluckkivuyo6669 Год назад
Daaaah dogo anatia huruma adi anataka niliza
@elvisbahati243
@elvisbahati243 Год назад
Wasaf siopowa 😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide Год назад
Kijana alikuwa na Iman ya kila namna Mwenyezi Mungu ana maksudi
@assignment2853
@assignment2853 Год назад
Ni prank ila mmeenda beyond aisee kwa hili....huyu angepata tatizo mngemsaidia?!
Далее
小天使和小丑离家出走#short #angel #clown
00:36
MADAWA
9:09
Просмотров 457 тыс.
MBOTO AWAVUNJA MBAVU WASANII WENZAKE "MMETUROGA"
8:36
Просмотров 281 тыс.
Mboto awatoa machozi waalikwa
8:06
Просмотров 180 тыс.
Кошки не нарушают закон😂
0:34