Mazoezi kila siku halafu makali useme eti hawa wachunguzwe kwanini hawachoki utachoka wakati mwili umezoea sulubu mkipigwa nyingi oooh.wananunua kumbe zoezi pigeni kazi vijana Daima mbele nyuma mwiko
Kuna watu nimeona wamepostiwa et wako gym lakin wamekauka hao utadhani wametoka kulala na ni wako gym akf wakwetu huku wanapga mazoezi kweli kweli tena wengne wana had mazoezi yao binafsi kama wakna pacome alf wanatokea vichaa fulani hiv et wanasema wachezaji wetu wanatumia madawa ya kusisimua misuli ebu washindwe kabsa waache wachezaji wetu wanajituma sana
Sio kama makolo wanafanya mazoezi kwa kificho hata zile game zao za kirafiki Egypt walikuwa wanacheza kwa kificho chumbani halafu anatokeza tu Ahmed ally sebuleni kabana pua kutuambia huko chumbani kashinda mechi. Hii ni Young Africa bhana mazoezi nje nje na game za kujipima nje nje kila mtu anaona.
Timu kubwa mambo Makubwa, AMA HAKIKA MAZWAZWA utasikia hii yanga WANANUNUA MECHI WANADHANI USHINDI UNAPATIKANA KWA POROJO, KWA MAZOEZI HAYA TIMU IKIFUNGWA TANO USHANGAE?