Тёмный

MAGUFULI - "HIVI NIKIFA LEO ITAKUWAJE, MTAWEZA KWELI KUSIMAMIA?" 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 36 тыс.
50% 1

MAGUFULI - "HIVI NIKIFA LEO ITAKUWAJE, MTAWEZA KWELI KUSIMAMIA?"
Rais Dkt John Magufuli, leo Agosti 01, anazindua jengo la tatu la abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere...
#RaisMagufuli
www.youtube.co.... www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/

Опубликовано:

 

17 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@joromimwanga3274
@joromimwanga3274 5 лет назад
Mungu akusaidie sana Magufuli, Miaka yote tuliomba tumpate raisi mwenye kutenda haki hakika Mungu alisikia kilio chetu.
@justindaniel7298
@justindaniel7298 3 года назад
Hon.Magufuli tunaamini bado upo pamj na watanzania, shujaa hafi bali hupumzika tu 💪🏾🇹🇿
@japhetdaud3781
@japhetdaud3781 5 лет назад
Hakuna kufa kabla ya kumaliza jukumu la nchi na Taifa Mungu aliye hai atakutunza
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 5 лет назад
Mzee hakuna wa kukufikia kwa mazuri uliyofanya.Mungu akulinde milele siku zote.
@benjaminabisemba5331
@benjaminabisemba5331 3 года назад
RIP mzee wetu JPM 😭😭😭
@omaryhabibu8725
@omaryhabibu8725 5 лет назад
Mungu akulinde maana hakunakiongozi anaweza kuongoza kwa miladi yote kwasababu watu wenginaviongozi wengi hawana mawazo kama yako
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 2 года назад
Natamani ufufuke Baba😭😭😭
@mwajumamachalila2928
@mwajumamachalila2928 5 лет назад
HUYU NDIE MWANANGU MPENDWA NILIYEPENDEZWA NAE MSIKILIZENI YEYE SAUTI ILISIKIKA KUTOKA MAWINGUNI.
@mkorintodickson1725
@mkorintodickson1725 3 года назад
Da? iv nikweli umelala baba😢😢😢😢😢😢
@georgemallya4311
@georgemallya4311 5 лет назад
Hongera bosi
@ericktemba192
@ericktemba192 3 года назад
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAGUFULI MAHALA PEMA PEPONI. MACHINGA TUTA KUKUMBUKA SANA BABA. HUYU MAMA KASHAANZA KUTUZINGUA TENA. DAHHHH
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 5 лет назад
Kaza buti kura yangu ushapata
@monicalushola443
@monicalushola443 3 года назад
Wameshindwa
@Hashim-tp2ti
@Hashim-tp2ti 5 лет назад
👍👍👍👍 hamna m'badala wake kwa kweli
@lusajotange3402
@lusajotange3402 5 лет назад
all the way from temeke sokota DSM naunga mkono Hon. KOMAAAAA kaza mpaka kitaeleweka mzee baba!!!
@robertjohn8472
@robertjohn8472 3 года назад
Lo
@robertjohn8472
@robertjohn8472 3 года назад
Oooo
@robertjohn8472
@robertjohn8472 3 года назад
Pp
@abeidmasaka6918
@abeidmasaka6918 3 года назад
Halafu leo hii unawasikua mbuz wanasema mama kaagiza ndege wakati zilishalipiwa na mwamba
@hafidhothman4588
@hafidhothman4588 3 года назад
Ata mii nashangaaa mama hana ishu
@oberdntalisha9041
@oberdntalisha9041 5 лет назад
Haufi baba munguu anakuonaa
@adammakoye4198
@adammakoye4198 5 лет назад
Tunahofia baada yko hizo ndege ndo zikawa zinakula pesa zaidi kuliko kuingiza maana wasijewakafanya ndo tax zao za kuwapeleka kule walikokuwa wanaendaga awamu iliyopita.
@michaelserikali2029
@michaelserikali2029 5 лет назад
Ukwel unatoka moyon mwa mtu, kusimamia miradi kwa masirahi ya nchi na vizazi vijavyo ni kwa neema ya mungu tu bila hivyo hata wewe ungeshindwa mkuu ila mungu yupo nawe.
@dionisemyigezo9137
@dionisemyigezo9137 5 лет назад
pambana mheshimiwa, Uko njema sana walau kwa kuona kwa macho yangu na akili yangu,,, Angalizo kwa hao waheshimiwa wanaokaa nyuma yako na wote walio katika njia ya kumlinda mhrshimiwa:wapambane na kuendelea kuwa makini ili mkuu azidi kupiga kazi akiwa salama,,, Tukiendelea hivi navoona walai kwa macho yangu, tutafika mbali sana sana sana kuzuri.
@Hashim-tp2ti
@Hashim-tp2ti 5 лет назад
Ulipozuia mikutano ya vyama vya siasa nilikua sielewi ulikua unamaanisha nini, sasa nimeelewa ungeacha wanasiasa wafanye mikutano haya maendeleo tusingeyaona wangekutoa kwenye reli big up pressident
@barikimwakajumba2627
@barikimwakajumba2627 5 лет назад
Ndugu. Mikutano ya kisiasa kila cku inatutoaga kwa njia ya maendeleo. So magufuli hima
@EK-kp2np
@EK-kp2np 5 лет назад
Umefanya mengi Mheshimiwa Magufuli, miaka 5 ya kutimiza ndoto za Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere umefanikisha kwa asilimia 100%; tunasuburi miaka 5 ya ndoto ZAKO WEWE MWENYEWE👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻, Bulldozer la Chato oyeeeeeeeee🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@melkizedekiwiliam5533
@melkizedekiwiliam5533 5 лет назад
jaman hakuna uwezekano wa kuongeza miaka kama 20 ili huyu Rais Magufuli aendelee kutawala?
@geraldgodsontv7982
@geraldgodsontv7982 3 года назад
Uwezekano upo.... Muongezee
@lusupi
@lusupi 2 года назад
@@geraldgodsontv7982 🤣🤣
@godfreyapollo1864
@godfreyapollo1864 5 лет назад
AMA KWELI KATIBA NZURI HAINA MAHUSIANO YOYOTE NA MAENDELEO........
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 5 лет назад
Kila serikali ilioingia ilikua na challenge zake.. Kufanya unayoyafanya ni wajibu wako, umechaguliwa kufanya hayo na sio hisani kwa Watanzania.
@allysuleiman6254
@allysuleiman6254 5 лет назад
Kabisa unayosema Mr juma wala ujakosea tatizo linakuja baada ya kupata sifa nyingi bas ndo anapojiona kama hivi vitu anafanya kwa matakwa yke wkt sivyo
@samwelkillasy9181
@samwelkillasy9181 5 лет назад
Rais wangu. Usijinenee kifo. Watanzania tunakuombea uishi miaka 100 ili utimize dhamira na malengo yako memw kwa wa Tanzania
@bakarizuberikambanga4531
@bakarizuberikambanga4531 5 лет назад
Nawale wasemao serikari hii haijafanya chochote wako Wapi
@autorichdiagnosis3632
@autorichdiagnosis3632 5 лет назад
Hahaaa wako rikizo asha wakanyaga
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 3 года назад
HAKUNA. ANAWEZA KUKURITHI
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 5 лет назад
Ni kweli kabisa utajiri upo Tanzania, ndio nachukia kusikia hii ni Serikali ya wanyonge.. Mnyonge ni mkosa haki.. Atakosaje haki Mtanzania kwenye nchi yake? Watanzania ni maboss sio wanyonge!
@benjaminfataki6898
@benjaminfataki6898 5 лет назад
usife araka ukifa araka maskini watazidi kuzoofiki na wanyonge wataongezeka baba.mungu yu pamoja nawe kwa kila utendacho,wewe na kundi lako.
@fadhiliefron6356
@fadhiliefron6356 5 лет назад
Ukweli nikwamba my president unazidi kujisifia na kujivunia nchi yangu Tanzania .....kwakweli unaifanya nchi Kuwa yakimaifa known every where... Heshima ipo unaijengea nchi yetu heshima ilio Kuwa haipo..... Now Tanzania ni international
@johnsonfrodianus6237
@johnsonfrodianus6237 5 лет назад
Sawa mweshimiwa
@justinmmbando5386
@justinmmbando5386 5 лет назад
Baba alinambia ukiwa unachagua kiongozi yoyote basi chagua mawazo yake na sio yeye maana yeye anaweza kufa mda wowote ila WAZO halitakufa hivyo usijli Mkuu kuna wazalendo kama wewe katika milioni 50 ya watanzani hatuwezi kukosa hata was 5
@elinikomniko4411
@elinikomniko4411 5 лет назад
Shida Ni KWAMBA mzee anaamini kuwa yeye ndiye aliye bora Tena peke yake Kati ya watanzanis woote mil 50
@frankkashner
@frankkashner 3 года назад
Kaka ona tulipo daah
@stansilauseliasi7883
@stansilauseliasi7883 5 лет назад
Mi sioni cha maana ukifa wengine watatokea
@asosamwanilwa9099
@asosamwanilwa9099 5 лет назад
cha maana anacho baba yako aliyekufanya uwe mbumbu
@kareemesmael2265
@kareemesmael2265 2 года назад
Wengine walio tokea nadhan umeshawaona eeeh hahaha
@lusupi
@lusupi 2 года назад
@@kareemesmael2265 wanaupiga mwingi😺
@karimkimbugimbugi6106
@karimkimbugimbugi6106 5 лет назад
Yooote anasimamia Mungu Rais wetu mpendwa usijisahau Mungu ndiye mfanyaji na ukifa atamchagua Mwengine zaidi yako wewe wakawaida tu.
@tycoon9540
@tycoon9540 3 года назад
Daima Tutakukumbuka kipenzi chetu, Rais wa mioyo yetu
@braxedafiroza2444
@braxedafiroza2444 5 лет назад
Usife bhana tafadhali
@mbuhilosanga6619
@mbuhilosanga6619 5 лет назад
Hongera sana mkuu wa nchi kwa kazi nzr unayofanya pamoja na wasaidizi wako.... Hakika nchi inasonga mbele.
@goodlucksemba1145
@goodlucksemba1145 5 лет назад
Mbona wewe umemaliza uliyo yakuta waliyo azisha watangulizi wako, tuwe na imani yako nayo watayamalizia tu kwa uwezo wa mungu kiongozi.
@elinikomniko4411
@elinikomniko4411 5 лет назад
Haswaaa
@bennycanysiuc9015
@bennycanysiuc9015 5 лет назад
Sisi wakristo biblia inakataza kujikweza, alikufa baba wa taifa na tumeendelea na maisha. Wewe ni nani kwamba ukiondoka kisifanyike kitu, so far hamna lolote ulilofanya kwa maslahi ya wananchi. Sekta ya ndege ndio channel kubwa ambayo viongozi wa afrika wanaongoza kwa kuibia pesa. Yaani hata leo we sepa tu na maisha yataendelea, tena mazuri kuliko haya. Mhofie sana anayekutamkia kila siku anakupenda, wanaopenda wanapenda kwa matendo
@frankkashner
@frankkashner 3 года назад
Haya kafa Umeona vilivofanyika mkuu Uwe unaelewa
@swagger7053
@swagger7053 3 года назад
N kweli beñny lkn ucfkil kuongoz nchi n kz ndogo hiv kumbe kuna watanzania wengine hawaonagi iv elimu bure unaichkuliaje nchi nzm y Tanzania watt wanasom bure saiv unaon kinachoendelea msiongee kufurahish midomo n bora mkae kuiombea nchii
@ggmmedia1757
@ggmmedia1757 2 года назад
wavivu utawajua tu
@boniphacemasau3068
@boniphacemasau3068 Год назад
Comment ya kitoto na kijinga sana. Tangu jpm kaondoka Samia kafanya nini zaidi ya kujirundikia mali mwenyewe, waarabu na mabeberu wa marekani. Na kama sio upumbavu ulionao then ulikuwa fisadi na JPM alikudhibiti usiibe mali ya watanzania. RIP Magufuli
Далее
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14