Тёмный
No video :(

MAHAKAMA YAMUAMURU ENG. HERSI SAID KUACHIA NGAZI NAFASI YA URAIS YANGA SC/MTIKISIKO MKUBWA 

Mpenja TV
Подписаться 531 тыс.
Просмотров 47 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 293   
@IssaOmary-r7h
@IssaOmary-r7h Месяц назад
Hawa wazeee walikua wapi mda wote huuu mbona wanatuvuruga
@alfredsaliga1554
@alfredsaliga1554 Месяц назад
Kwanza kabla hatujaenda mahakaman tunaomba tuwaone hao wanachama waliowapeleka mahakaman
@therealaitar4149
@therealaitar4149 Месяц назад
Mwenyezi Mungu ibariki young Africans na viongozi wake ila hao wazee wapeleke motoni mapema maana hawahitaji furaha za wateule wako!!
@user-vs9jt6ki8y
@user-vs9jt6ki8y Месяц назад
hahahaha
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le Месяц назад
Hamuwez kushindana na sheria hata cku moja
@mohammedsheikh654
@mohammedsheikh654 Месяц назад
Umefurahi dogo na sauti leo umetoa😊
@SubiraMohammed-ks6qg
@SubiraMohammed-ks6qg Месяц назад
Mchawi ndugu ila kitaumana hatuwezi kukubali njama zao
@TOLA92
@TOLA92 Месяц назад
Sisi ndo wenye team na mkitufanyia ujinga tutaandamana hatuutaki uongoz wowote kwa sasa zaidi ya engineer
@abdaa800
@abdaa800 Месяц назад
Uhakika
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Месяц назад
Hiyo ni njama jamani tuamke tuipanlmbanie timu yetu
@kolosii4351
@kolosii4351 Месяц назад
Naomba wanachama na mashabiki yanga wasinyamazie kimya hili shauri chafu la waroho wa pesa wachache waliopanga kuiangusha yanga, msikubali walikuwa wapi wakati yanga inayumba?? Kwa nini sasa wakati Injinia anaipaisha yanga???
@ObeyEmmanuel-lb9lc
@ObeyEmmanuel-lb9lc Месяц назад
Ivi unajua tukion sura zao wa mekwisha ivo vichawi
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Месяц назад
Wachawi hao hawana lolote na wala sio wapenzi wa yanga
@hamisishabani4072
@hamisishabani4072 Месяц назад
HAO WAZEE NI WACHAWI.WANAONYESHA NI MAMLUKI HAO WAZEE WANAONYESHA SIO WANA YANGA!! NA WANATAKIWA WASIWEPO KABISA HAPO CLUB WAO WANAOJIITA WANACHAMA TOKA UWEPO WAO WALIISAIDIA NINI YANGA? YANGA IMEPITIA VIPINDI VIGUMU,NA KAMA WAO WALIKUWEPO WALIISAIDIA NINI YANGA!! TUNAWAOMBA WASITURUDISHE NYUMA!! NA KAMA WAMETUMWA WATUELEZE WAMETUMWA NA NANI? HAWA WANAJIITA WAZEE WA YANGA,KWA MAENDELEO YANGA ILIYOYAFIKIA KWA KIPINDI HICHI KIFUPI WASITAKE KUTURUDISHA NYUMA NA KUTAKA KULETA VURUGU NDANI YA CLUB YA YANGA!! HAO WAZEE WASITUKETEE HABARI YA KATIBA YAO YA MCHONGO YA KUTAKA KUIHUJUMU CLUB YA YANGA.SISI WANA YANGA TUNAHITAJI MAENDELEO!! NA MAENDELEO YALIYOPATIKANA KWENYE HII KATIBA MPYA NDIO TUNAYOITAKA!!NA NDIO ILIYOLETA MAENDELEO!! HAWA WAZEE WA TATU WATUONYESHE UWEZO WAO WA KUENDESHA CLUB KISASA NA WATUONYESHE MIPANGO YAO YA KIUCHUMI IKOJE JUU YA KUENDESHA CLUB.YA YANGA. HAWA WAZEE WASITAKE KUIVURUGA YANGA KWA TAMAA ZAO NA UCHU WA MADARAKA WANA YANGA TUNAHITAJI MAENDELEO!! KATIBA ILIYOFELI KUTULETEA MAENDELEO HATUITAKI!! BALI TUNAITAKA KATIBA ILIYOLEYATA MANUFAA,MAFANIKIO NA MAENDELO HATA KAMA IMETUNGWA JUZI!! HAWA WAZEE TUNAWASIWASI NAO NI AINA ILE YA KIZAMANI YA KUIFUNGISHA YANGA NA KUIVURUGA PINDI WAKIWA WANAHITAJI MASILAHI YAO BINAFSI NA KUUTETEA UONGOZI AMBAO UTAKUWA UNALINDA MASILAHI YA MATUMBO YAO WAO NA FAMILIA ZAO!! SASA KWA KUWA UONGOZI ULIOPO MADARAKANI UPO KWA MASILAHI YA CLUB YA YANGA NAO WAMEGUNDULIKA NI MAMLUKI HAPAWATI MASILAHI YA MATUMBO YAO BAADA NJAA KUWAZIDI KWA KUTEGEMEA BAHASHA ZA FITINA WALIZOZIZOWEA TUKA HUKO NYUMA WAMEONA.BORA WALETE VURUGU YA KUTAKA KUIVURUGA YANGA ILI USEMEMI WA WATU WENYE ROHO YA KWANINI UTIMIE,MAANA YAKE NI BORA TUKOSE WOTE!! WATU WA AINA HII NI.HATARI SANA KWENYE KWA JAMII INAYOTAKA MAENDELEO.HAWA WAZEE KWA UJUMLA NI WATU HATARI HAWAFAI HATA KITWA WANACHAMA WA YANGA!! NI BORA HATA KUWEKEWA KIKAO NA UITISHWE MKUTANO MKUU WA WANACHAMA WOTE KUWAPIGIA KURA YA KUWAONDOSHA HAWA MAMLUKI 3,NA WENZI WAO WALIOJIFICHA NYUMA YA PAZIA!! MAANA HAWA NDIO SUMU YA KUTAKA KUIRUDISHA NYUMA CLUB YA YANGA!!! HAWA WAZEE HAWAFAI HATA KUJIITA WANACHAMA WA YANGA!! YANGA SASA HIVI INAHESHIMA KUBWA BARANI AFRIKA NA NJE YA BARA LA AFRIKA KWA UONGOZI HUU WA RAIS INJINIA HERSI SAIDI NA VIONGOZI WAKE WOTE ANAOSAIDIANA NAO KATIKA IDARA MBALIMBALI ZA KULETA MAENDELEO YA CLUB YA YANGA!! WANA YANGA TULIO WENGI HATUHITAJI KUYUMBISHWA NA MAMLUKI WACHACHE WENYE CHUKI BINAFSI, UCHU WA MDARAKA KWA MASILAHI YA MATUMBO YAO NA FAMILIA ZAO.KWANZA CLUB HAIWEZI KUENDESHWA KWA MANENO NA FITINA!! NA SIKU ZITE UKIONA KITONGOJI,MTAA AU MJI HAUNA MABADILIKO YA KIMAENDELEO,NA WATU WANAOGOPA KUJENGA HATA KIBANDA CHA VYUMBA VIWILI TU CHA KISASA.TUNATAKIWA TUJUE MAHALA HAPO NA AINA HIYO KUNA CHAKA LA WACHAWI WENGI NA WANGA WENGI!! MAANA HAWA KAZI YAO KUBWA NI KJITAHIDI KUROGA WATU WANAO PENDA MAENDELEO,ILI WA HARIBIKIWE NA NDIO FURAHA YA WACHAWI NA WANGA WOTE DUNIANI!!! WALIOPITIA TAALUMA CUBA WATAKUWA WAMENIELEWA HATA KWA UCHACHE!! HAWA WAZEE 3 NA WENZI WAI NYUMA YA.PAZIA NI SUMU KWA YANGA HAWAFAI HATA KUJIITA WANACHAMA WA YANGA!!
@jimmypetr572
@jimmypetr572 Месяц назад
🎉hasaaaaa pamenukaaa
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Месяц назад
Patakaa sawa tu
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 Месяц назад
Engener hersi hatoki 💪💪💪🔰🔰💚💛
@FracioElias
@FracioElias Месяц назад
Haya sawa bwana
@user-ff1it9og8y
@user-ff1it9og8y Месяц назад
Magoma mzee wetu upo sahihi
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi Месяц назад
Kama Mangungu
@husseinmejja8041
@husseinmejja8041 Месяц назад
Shenz kabisa tutawapiga mawe
@StevenMatimba
@StevenMatimba Месяц назад
Kama ndo mbinu ya kututoa mchezoni mmegonga mwamba!!!kolo mmekuja na mbinu nyingine siooooo😅😅😅
@BenjaminChakwe
@BenjaminChakwe Месяц назад
Hayatuhusu unaona kuna kauli inaizungumzia simba mnyama apo
@joshuamwangalika2653
@joshuamwangalika2653 Месяц назад
Msitusingizie bwana
@omarymzuri8012
@omarymzuri8012 Месяц назад
"" TUTAANDAMAANAA!! Mpaka Kwa RAIS WA TANZANIA ......
@ErnestMoyo
@ErnestMoyo Месяц назад
Engineer akuna kutoka wazee awawezi wakatushinda sisi kwanza awana elimu
@EverEmanuel-k1h
@EverEmanuel-k1h Месяц назад
HAWA WAZEE WAKOJE WANAOTAKA TEAM IHARIBIKE
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Месяц назад
Vichawi hivyo
@MuhidiniMatibwa
@MuhidiniMatibwa Месяц назад
Kweli wazee hao niyanga kweli au makolo
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Месяц назад
Naona ni makolo hao ila hawataweza
@iddfundikira2817
@iddfundikira2817 Месяц назад
Hamna ukweli wowote hapa ni kuichafua Yanga tu hili itoke mchezoni kamwe hamtoweza tutakata rufaa
@BigZhumbe
@BigZhumbe Месяц назад
Mtakata rufaa wakati katimuliwa kwa katiba mlioiandika wenyewe 😂😂😂😂😂
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Месяц назад
Hicho ni kikundi Cha makolo yanga tuwe makini sana ndani na nje hiii inaashiria msimu ujao tunatakiwa tuwe makini sana sizani kama Kuna mwanayanga halisi anaweza akafanya hicho kitu naona genius wetu Mr president hens kasha Anza kupigwa vita
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Месяц назад
Sana
@checkchannel3876
@checkchannel3876 Месяц назад
Taarifa za mapato na matumizi ya fedha husomwa kwenye mikutano mikuu, sasa hawa wanaodai taarifa ya fedha huwa wanakuwa wapi??? Kweli duniani kuna watu na VIKARAGOSI!!!
@harunayman
@harunayman Месяц назад
Hiyo mahakama ni rushwa tupu. Hatuitambui
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 Месяц назад
Thibitisha hiyo rushwa ya mahakama😂😂😂
@sadih5333
@sadih5333 Месяц назад
Shika adabu yako wewe usitukane mihimili ya Taifa
@ben_digital
@ben_digital Месяц назад
Una mwana sheria kweli?
@AntonyNdayanse
@AntonyNdayanse Месяц назад
Heéee!. Yan binadam jaman wameona Tim yetu inaenda vizuri basi wameamua kutuvuruga mda wote walikuwa wapi?.
@user-rj3cd2lh8w
@user-rj3cd2lh8w Месяц назад
Hao sio wazee wa yanga huo ni mchongo wameshaona yanga ina mafanikio wanaanza ujinga wao tunasema patanuka zaidi ya kenya
@lydianguma1212
@lydianguma1212 Месяц назад
Kabisa
@TOLA92
@TOLA92 Месяц назад
Ukifanya huo ujinga kadi zetu za uanachama tutazitia moto na tutahama team..
@dickMassawe
@dickMassawe Месяц назад
Dah nimekosa cha kusema
@user-vh8kx5bu9p
@user-vh8kx5bu9p Месяц назад
Inauma eeeh
@sumbaonline4002
@sumbaonline4002 Месяц назад
Wazee 😢😢
@checkchannel3876
@checkchannel3876 Месяц назад
Hakimu mhukumu wa kesi asije akawa kolo...!!!
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Месяц назад
Hao niwatu walijikusanya amepewa pesa ili injinia achie ngazi yanga iyumbe amepewa pesa hao wasenge
@kolosii4351
@kolosii4351 Месяц назад
Hapa walipochokoza ni pabaya, moto utawaka kweli! Unamwongelea Injinia mtu mwenye mafanikio lukuki? Yanga kaibeba mabegani? Anatunza wachezaji wa nje kama wanao?? Hapo sasa mashabiki wataingia barabarani.
@allyjuma9260
@allyjuma9260 Месяц назад
Najiuliza hawa wazee walikuwa wapi kipindi icho haijiwezi hawa wametumwa kuja kutuyumbisha hawa wazee nazani hawajui wanalofanya swala muda
@Veni584
@Veni584 Месяц назад
Hiyo mizee imeshajichokea madishi yalishayumba kitambo
@ShafiiAlly-bq4gx
@ShafiiAlly-bq4gx Месяц назад
Hao wazee wamechka kuish dinian eee
@user-fy3cf1ri8m
@user-fy3cf1ri8m Месяц назад
Ila mpira wabongo sijui ukoje😮😮
@BenjaminChakwe
@BenjaminChakwe Месяц назад
Mwanzo wakuharibika kwa yanga ndo huu sasa hii ndo tz
@Paulkessy-j8n
@Paulkessy-j8n Месяц назад
Hahahaaaaa ubaya ubwela mamae kimenukaa
@veelmng7746
@veelmng7746 Месяц назад
Mahakama wa ya kipuuzi tu. Hao wanachama walikuwa wapi miaka yote katiba mpya ni mwaka wa tatu sasa. Hao wanachama naamini hata kadi zao za uanachama hazijalipiwa.
@DoreenTesha-kk2kw
@DoreenTesha-kk2kw Месяц назад
Jmni raisi wetu mama samia aingilie kati uyu raisi wetu wa klabu ametuletea mafanikio makubwa sana
@JumaIssa-xp6zx
@JumaIssa-xp6zx Месяц назад
Hahahahaha pameanza kuchangamka
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 Месяц назад
Ya wananchi😊😊😊😊😊
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 Месяц назад
Imeisha hiyo mahakama imeamua kisheria... Sasa nyuma mwiko..hersi anasepa na akina Aziz wake..chama kimenuka... hapo..patamu dadeki 😂❤
@ismailmutambara7770
@ismailmutambara7770 Месяц назад
Uyo hakimu atizamwe anaweza kuwa ni Makolo
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 Месяц назад
Eeee mungu hatimaye wanasimba tumepata kucheka😂😂😂
@gerrymimi9387
@gerrymimi9387 Месяц назад
Hiyo si ni rahisi tu. Ita uchaguzi mpya
@user-wu2du6jy5c
@user-wu2du6jy5c Месяц назад
Mtaatalisha maisha ya binadam
@lydianguma1212
@lydianguma1212 Месяц назад
Bora wafe sisi tuendelee na yanga yetu!
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py Месяц назад
Hatoki yanga 💪💚 hayo madheee yatoke yatoke hers hatoki
@Wonderkid15-xu1mc
@Wonderkid15-xu1mc Месяц назад
Apan bwan iii siy saw kabisa jamn awawez kututolea injinia wetu kibabe babe ivyo jamn awo wazee uzee una wasumbua wamwach injinia wet kam alivy kisa kash tufikish mbal ndo wanaon wamtoe wamevurugwa nin watuach jamn na injinia wet
@berthasamwel8661
@berthasamwel8661 Месяц назад
Uchaguzi uitishwe leo waone tunavyomthamini eng. wetu
@user-bi1pw9hp8x
@user-bi1pw9hp8x Месяц назад
Hatokimtu
@dentomedicalresourceslimit4602
@dentomedicalresourceslimit4602 Месяц назад
Tunakata Rufaa. Hao waliokuwa wazee wa zamani wa Yanga wakaunde Timu yao.
@MathiasKunnanga
@MathiasKunnanga Месяц назад
Mm ni simba ila hii sio sawa ni kurudisha nyuma michezo ya Tanzania
@mwambajr7679
@mwambajr7679 Месяц назад
Hao wasenge wanaotaka kuturudisha kwenye umasikin wakome mamae zao watoke wao wamuache rais wetu
@sultanamry7505
@sultanamry7505 Месяц назад
Bola tubomoe mahakama
@user-iv3gk1vo3y
@user-iv3gk1vo3y Месяц назад
Churaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t Месяц назад
Hii ndo maana halis ya ubaya ubwela😂😂😂😂😂😂
@AUGENSYLIVAND-rq7hz
@AUGENSYLIVAND-rq7hz Месяц назад
Hahahaha na kombe linaenda hivyo me Niko pembeni nimetulia tuli
@gililwise
@gililwise Месяц назад
Hao wazee wafe tu hatutaki kuwaona
@user-ue2nz3vc4j
@user-ue2nz3vc4j Месяц назад
Hiyo kesi ilikuwa inaendesha kimya kimya nn, mbona hafla bin vuu namna hii hamjawahi kutujuza kabla....
@gabapentin8070
@gabapentin8070 Месяц назад
Huu ni upumbavu ndo mana hatuendelei
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Месяц назад
Hujuma hiii inaelekea kufelisha nchi inamaana TFF pia haijielewi Hadi Sasa na mafanikio yote haya hawayaoni hwa watu walikua wapi tangu mwanzo wa uongozi wake kweli kama ikiamriwa kweli nanamashaka na Mahakama zetu
@dullamuso6955
@dullamuso6955 Месяц назад
Hivi hao wanaojiita wanachama wanajielewa, sasa iko hivi wafanye madudu yao nasi tutakaaa pembeni kwani kushabikia mpira ni lazima
@DanielMarwa-q1j
@DanielMarwa-q1j Месяц назад
Kolo hao wote mpaka hakimu
@user-ot3mj7nt2r
@user-ot3mj7nt2r Месяц назад
Hiyo mahakama hiyo ni yamchongo sisi ndo yanga na yanga hii ndo tunaitambua ya hao wazee hatuijui
@zainabuhussein
@zainabuhussein Месяц назад
Aiseee m naogopa mwenzenu akiondoka rais yanga imeisha hata cjui itakuwaje nmekosa aman asubuhi tu yan 😭😭 kwan wao hawapendi kuona yanga inamafanikio c wangeacha tu jmn au hawatak kuona yanga inafika mbali😢
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Месяц назад
Usihofu kila kitu kitakaa sawa hawatawez kuiboboa
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Месяц назад
Mie mwana yanga sema kuna wapigaji wengi .
@EdsonDaud-rg5jk
@EdsonDaud-rg5jk Месяц назад
Watu hatutaki abaki yanga milele
@SelestineJoseph-ww5gl
@SelestineJoseph-ww5gl Месяц назад
siyo kwely kabisa ivyo
@godfreysimoni4270
@godfreysimoni4270 Месяц назад
Kwa hili hao wazee wajiandae kupoteza maisha maana kwa mandamano yatakayo tokea hawataamini
@abdallahsaidi2899
@abdallahsaidi2899 Месяц назад
Fact. Wanaweza Kufa Kabla Ya Nyakat Zao Kufika.
@user-is2pj2vq3r
@user-is2pj2vq3r Месяц назад
Hivi kuua ni dhambi???
@kanyeshahigirimana5686
@kanyeshahigirimana5686 Месяц назад
Hapana mkuu kuua sio dhambi tena kwa ushenzi kama huu wa hawa mbwa wadogowadogo Shenzi kabisa
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 Месяц назад
Hawez kutoka abadani
@godsonmolla1594
@godsonmolla1594 Месяц назад
😂😂😂😂😂 Pameanza kuchangamka
@heronimomsefya3190
@heronimomsefya3190 Месяц назад
Fitina mbaya ngoja atoke waone kuporomoka kwa klabu 😂😂
@ngorshermelody2021
@ngorshermelody2021 Месяц назад
Ndoman watanzania weng tv inayooaminika ni milard ayo tu.wengne Hawaii wanafek informtion
@eliakimedward7863
@eliakimedward7863 Месяц назад
Na yeye kashatoa habari mzee😂😂
@JULIUSJASTINCHARLES
@JULIUSJASTINCHARLES Месяц назад
Kwani kisutu ni tff mbona kama mnanichanganja mimi nina presha oohooo
@user-re5xb2hk4g
@user-re5xb2hk4g Месяц назад
Ivi hao wazeee kweri nimashabiki wa yanga au ni koro walio changamuka
@hagaisanga7286
@hagaisanga7286 Месяц назад
Imeshutakiwa bidy ya wadhamini halfu unasema hersi asipotekeleza hatua zakisheria zitachukuliwa hersi nd bod??
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 Месяц назад
Tuwaone hao wanachama waliomshitaki kama mlivyotuonyesha mshitakiwa wetu
@BigZhumbe
@BigZhumbe Месяц назад
UBAYA UBWELA 😂😂😂😂😂😂😂
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 Месяц назад
Wenye yanga yao dadekiii 😂😂😂
@user-jk3qx3dt6c
@user-jk3qx3dt6c Месяц назад
Ni Serikali ipi inayoweza kuruhusu Taasisi kama Yanga kufanya, mabadiliko ya muundo na mengineyo choni ya Katiba isoyosajiliwa Wala kutambuliwa? Huyo Hakimu na Madunduka wenziwe wanatafuta faraja kabla ya vipigo vijavyo tu. Ngoja tusubiri kumjua nani amewaruhusu Yanga kufanya michakato yote hiyo kinyume na kanuni na Sheria za nchi???❤
@ChefasNganda-pl5yj
@ChefasNganda-pl5yj Месяц назад
We gunnya
@JaphetysimonMasumbuko-nh4xp
@JaphetysimonMasumbuko-nh4xp Месяц назад
Hao walioushitaki uongozi uliopo walikuwaga wapi kipindi young Africans ilipokuwa kwenye kiwango Cha chini
@ngorshermelody2021
@ngorshermelody2021 Месяц назад
Mpenja kwel umwruhusu tv yako iwe inapost udaku kweli??
@terrence9477
@terrence9477 Месяц назад
Tena hiyo taarifa kaisoma mwenyewe,ndio ujue!
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Месяц назад
Sasa kwanini wamejikita kwenye taasisi moja tu(RITA) Je hio taasisi ina exclusivity gani kwenye usajili wa vyama? Tuanzie hapo. Je mamlaka za wilaya na mkoa, wizara, chama cha mpira cha nchi, caf na fifa vinaitambua yanga ipi?
@AlafaHaruna
@AlafaHaruna Месяц назад
Hii ni hujuma inaamua kutengenezwa na wahuni wachache et wazee sy wazee Bali hao ni wahuni Kam wahuni wengine hvyo vizee vina Kaz gan pale yanga au mchango gn timu Haina xhida viongoz hawan xhida mnakuj kutuletea xhida bila xhak najua Kuna mtu nyuma Yao amewatuma kuihujumu yanga kwa taarifa yenu mmexhindwa xhenz nyny
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Месяц назад
JAMANI MSISHANGAE HUU NDO UPUUZI WA SOKA LETU SASA NI ZAMU YA SIMBA SPORTS KUTAMBA HAKUNA SIKU TIMU ZETU ZITAKUJA KUWA ON 🔥🔥🔥 NI LAZIMA ZIPISHANE NI UPUUZI MKUBWA SANA SANA,, SAWA WATANI PAMBANENI WATANI WANAWATOA KWENYE RELI WANGESE HAO
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 Месяц назад
😂😂HII SASA NDIO MAANA YA NENO UBAYA UBWELA... MLITUCHEKA KWA NGUNGU BOY SASA YAMEWARUDIA..😂😂
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Месяц назад
Hayamrudii mtu subir uone linaisha mapema tu hutaamini
@IddyAmir-gq1jr
@IddyAmir-gq1jr Месяц назад
Hao wazee wanatafuta kufilwa, uwezo wa kumlipa hata mkude hawana
@IddrisIsco
@IddrisIsco Месяц назад
Waliokwenda kuahitaki n wasenge wakutupwa.....sisi tumesharizk na pira biriani wao wanaleta ufala....n ndio maana Africa hatuendelei
@EmanuelMuna
@EmanuelMuna Месяц назад
ivi kama hua hamna vya kupost mna tesekaga kumbe
@ObeyEmmanuel-lb9lc
@ObeyEmmanuel-lb9lc Месяц назад
Tutachoma nyumba za hao wazee nyiee oooh
@TinaMzava
@TinaMzava Месяц назад
Hapa cyo keny😂
@user-xh4jt7nt7z
@user-xh4jt7nt7z Месяц назад
Hao wazeee waache njaa au wametumwa
@johnsonemanuel-rd1xe
@johnsonemanuel-rd1xe Месяц назад
Mpeni uraisi chama
@Kanyawela
@Kanyawela Месяц назад
Niliwai kusikia eti Yanga na Simba uwa zinapeana Ubingwa kwa kuwa ni timu za tz kwa hili naweza kuliamini bas mpe Azamu
@wakilisharaw
@wakilisharaw Месяц назад
Wanainchi iyo mahakama imetoa maamuzi kulngana na ushabiki,,,,, yani unataka kusema sisi wanainchi hatjui sheria? Hatujui katiba yetu??? Hahaha,,,, wanasheria tunao na katiba tunao na wajue mtu akili timamu, akili ya pesa GSM hawekezi kama kipofu
@user-he1om2lu1f
@user-he1om2lu1f Месяц назад
Haya yote ni makoro kushukuka kiwango mpira na sisi kama mashabiki wa mpira atukubaliani nayo na wala mahakama hiyo iliyo towa ukumu iyo hakika tutaandamana wasituletee umasikini waho katika kilabu yetu ya yanga
@MjakaAkida-fd5ck
@MjakaAkida-fd5ck Месяц назад
Hapo wazee wahuni wanalana niwezi tu wanataka kupiga ela waondoke wao kwani wao pia hawapendi maendeleo ya yang afrika
@user-mp6zd2ui7r
@user-mp6zd2ui7r Месяц назад
Juma magoma akaongoze familia yao mpuuzi hiyo
@checkchannel3876
@checkchannel3876 Месяц назад
Jinsi jambo hili lilivyokuja ni kushughulika nalo hivyo hivyo, kwa kutumia sheria hizo hizo, pamoja na kukanyaga VICHWA VYA VIKARAGOSI husika MPAKA KIELEWEKE!!! Hakuna cha Uongozi wote uliopo kutoka madarakani!!!!!
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Месяц назад
Kweli jamani dunia Ina vituko nyie wazee mnataka nn njaa mbaya sana mnaharibu timu
@user-bn6iz2ve1n
@user-bn6iz2ve1n Месяц назад
Hao wazee waje niwaowe mke mdogo na mkubwa tutaandamana tutauana huu usenge kabsa
@seiphomary834
@seiphomary834 Месяц назад
Nch pekee inayo amin maneno kwenye ujinga tu
Далее
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Просмотров 14 тыс.