Тёмный

Mahmud Nirudishie Watoto Wangu | Uliwapeleka Uingereza 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Mama huyu amekuja katika Leo Tena kuwatafuta watoto wake ambao walipelekwa Uingereza

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@africano98.
@africano98. Год назад
Apo kitu ni simple tu waende ubaloz wa uingereza wakadai wote watapatikana hao ulaya everything is System
@asiaokelay8421
@asiaokelay8421 Год назад
Mama ezena huyo pole sana mimi mama shakila
@janetmagiri7511
@janetmagiri7511 Год назад
Hiyo yawezekana walipata abuse then social services wakachukua. Very common ulayani
@hamidahamad1905
@hamidahamad1905 Год назад
Yes exactly
@pendokissatu937
@pendokissatu937 Год назад
Mimi labda Mdogo angu wa kuzaliwa nae ndo ntampa wanangu Others wise ntapambana na shida zangu
@asheriobadiah
@asheriobadiah Год назад
Hata mdogo usiamini, pambana na maisha usaidie watoto mwenyewe
@mwajumamwajuma55
@mwajumamwajuma55 Год назад
😂du we unaroho mbaya
@aminambughi9613
@aminambughi9613 Год назад
Duuh! Nashauri muone waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa atasaidia
@happinessmarijani2783
@happinessmarijani2783 4 месяца назад
Wasilianeni na balozi Mbelwa kairuki swala hilo ndio balozi wetu wa uwingereza
@Kindishi
@Kindishi Год назад
Clouds hilo ni swala lakidiplomat na nirahisi ubalozi ukishirikiswa ili ushirikiane na uimgereza kufanya uchunguzi. Miaka 29 imepita watu wanakuwa wanazeeka nahata kufa hivyo pakuanzia ni ubalozi
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Duu ajafanya vzr
@wakatv3704
@wakatv3704 Год назад
clouds achen uongo hamna msaada wowote ule. mshaurini amfate waziri mkuu ndio kimbilio letu kwa sasa
@Aliceedwardmfinanga-ex5kr
@Aliceedwardmfinanga-ex5kr Год назад
Pole sana dada yngu,umetetemeka sana mji walioshukia watoto wako ni lecaster sio Manchester
@carolema3569
@carolema3569 Год назад
Msaidie kurekebisha unampigia tu geah arekebishe
@ngadupalaamour
@ngadupalaamour Год назад
Ni Leicester city
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Год назад
Hats miaka mitano mtoto anakumbuka Sanaa tuu
@carolema3569
@carolema3569 Год назад
Balozi wa uingereza msaidieni huyu mama
@marygregory7566
@marygregory7566 Год назад
NASHUKURU MUNGU SINA MOYO WA KUMUACHIAGA MTU MWANANGU HATA HUYU MKUBWA WA MIAKA 11 SIMPU MTU HATA KAMA SINA CHAKULA NITAPAMBANA HIVYO HIVYO
@ashnaom2270
@ashnaom2270 Год назад
Ndugu wengine bhana
@SaudaIrakoze
@SaudaIrakoze Год назад
Alishindwa kuwaleya ao aidha wawo hajapenda kulelewa na huyo baba msomali ndio mana wakapelekwa kituo cha kuleleya watoto wakiwa chini ya umri(18) ndio utaratibu wa ulaya
@simonitaagesti4765
@simonitaagesti4765 Год назад
nenda ubalozini mama
@Lucyphilbert-pr9zh
@Lucyphilbert-pr9zh Год назад
nakumbuka nliwah kumwambia mm yang naenda nje ya nchi nlijifunza kt maana jb alilonipa lmenifanya nkakataa na wanang kuixh nje y'a nchi h wasomal n atr xan hawana mung
@zahrayusuf5985
@zahrayusuf5985 Год назад
Sa unawatukana wasomali kwa nini wa kulaumiwa ni hao wazazi waliogawa watoto wao at least msomali kamfikisha UK hao wazazi tamaa imewaponza
@alhabibsudi7997
@alhabibsudi7997 Год назад
Ninataka kusaidia hii kesi Diaspora tujitokeze tuungane kesi ndogo sana kwa tulioko huku.
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Год назад
Msaidieni huyu mama jmn
@carolema3569
@carolema3569 Год назад
Msaidieni jamani
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Год назад
Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi na awepe Nia thabiti ya kumsaidia,amiin amiin
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 Год назад
Nenda ubalozi
Далее
MAMA WA WATOTO NANE AONA MAAJABU MCHANA
6:43
Просмотров 31 тыс.
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
"Nisamehe sana mwanangu Peter" Fatuma
5:12
Просмотров 16 тыс.