Тёмный

Majambazi Waua Polisi Wanne Dar 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 134 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@joelndunguru6615
@joelndunguru6615 8 лет назад
kamanda silo nakuamini sana unajua kupambana ba majambazi naamini utawamaliza wote
@pendosumary4343
@pendosumary4343 8 лет назад
poleni sana wazazi wa solgers hao mungu awafanye bustani ya milele
@chefmustafaiddi406
@chefmustafaiddi406 8 лет назад
Dah hakika kwa staili hii Allah ashushe rehma zake tuu,yatupaswa kumuomba mungu sana ndugu zangu
@gozbgozbert9995
@gozbgozbert9995 8 лет назад
Poleni sana wazazi wamalehemu hao munguazilaze mahalipema loho zao
@honestmghase9598
@honestmghase9598 7 лет назад
tatizo polisi wa Tanzania ni wachache sana SERIKALI iongeze wawe wengi ili wakabiliane na wauwaji vizuri
@yothamalex8157
@yothamalex8157 7 лет назад
Honest Mghase lllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllľllľlllllpllllllll
@saulimwakyusa149
@saulimwakyusa149 8 лет назад
mungu bariki askari wetu kwani mengi yanawakumba pia huu UKUTA utakao fanyika Alhamic wapo watu watafanya vitu vicyo na maana
@janewacera7812
@janewacera7812 8 лет назад
Sasa nyinyi police mkiuwawa na majambazi Sisi raiya tufanye nini? Naomba serikari iongeze Police kwa wingi, ubaya police Wa Leo hula hongo Sasa hatuwezi tuka jua kama ni wenyewe kwa wenyewe Wamefanyiana unyama, hiyo sasa yakuvamiwa wakibadilishana Shift inaonekana ni wenyewe kwa wenyewe hata wao wanafaa wachungane Sio raiya peke yake poleni kwa msiba ni huzuni sana, Maoni yangu ni hicho kisa Ati walivamiwa waki badilishana shift kwani wanakuja kazi bila silaha yoyote Na kituoni hakuna police wengi kwa Nini. Nimebaki na maswali Mengi sana
@adageimalenge8394
@adageimalenge8394 8 лет назад
S
@johnnikolas2937
@johnnikolas2937 7 лет назад
natoa ushaur tuwekenguv kwenye kuktama majambaz sio boda boda wasio vaa helement
@oyay2821
@oyay2821 8 лет назад
poleni sana
@johnsonmaro3819
@johnsonmaro3819 8 лет назад
wamezidi kukamata na kuonea raia wema wafe 2
@mottofoundationinc.3492
@mottofoundationinc.3492 8 лет назад
mwanangu unahatari...ww
@saulimwakyusa149
@saulimwakyusa149 8 лет назад
mh jamaangu angalia
@joelndunguru6615
@joelndunguru6615 8 лет назад
wewe ujitambui kabisa yani unacho kitaka utakipata
@saulimwakyusa149
@saulimwakyusa149 8 лет назад
+Joel Ndunguru kipi sasa kwa mfano
@ashahaji4936
@ashahaji4936 8 лет назад
mkuu watu wanakuja na silaha za vita shirikishi itafanyaje mkuu
@asasally3978
@asasally3978 7 лет назад
Damarion Jenningss
@jumasudy487
@jumasudy487 7 лет назад
mmmmh.ikija.boko.haram.itakuaje.kama.mnakufa.kizemba.ivyo
@Fenty966
@Fenty966 8 лет назад
Magufulis doing,if only the economy wasnt this hard😩🤔
@ashahaji4936
@ashahaji4936 8 лет назад
mnafanyaje sasa na hvyo watu wanakuja kwa kujiamin kwahyo hamujaamka si ndiyo na eneo mnasema hatar
@sadickabdallah4459
@sadickabdallah4459 8 лет назад
aaaaaah aya mi napita
@ajuxman9382
@ajuxman9382 7 лет назад
wacha wauliwe wanavo uwa wenzao kumbe mkuki kwa nguruwe tu kwa binadamu mchungu
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 лет назад
Ajux Man polce kamata ajux man haraka iezekanavyo hii nchi inakwenda ndivyo sivya inamaana majamba z walambe?
@joshuawwalwa3533
@joshuawwalwa3533 7 лет назад
Ajux Man wewe sio mtanzania eti poa
@joshuawwalwa3533
@joshuawwalwa3533 7 лет назад
Ajux Man kaka Pole sana sina chakusema juu yako ila mwongoni wawahalifu nawewe umo kabisa
@abdulmalickupete9015
@abdulmalickupete9015 7 лет назад
police angalieni comments za wauaji zimo humu ajabu sana
@adelinemizengo5019
@adelinemizengo5019 8 лет назад
no researcj no right to say sio mnawabebesha tuhuma ukawa mnauhakika gan kama ndo wamejihusisha na mauaji hayo hii n tz yetu wote na watz ndo cc.wenyewe kwann tunapandikizana chuki zisizo na maana hapo fanyen utafit police hao hao ndo wanajuana haiwezekan kirahc hvo kwa raia
@benjaminijosephatisombi8699
@benjaminijosephatisombi8699 8 лет назад
unanga
Далее
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Просмотров 55 млн
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Просмотров 72 млн
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Просмотров 55 млн