Hebu anzisheni kampeni ya kuhimiza mambo muhimu km baitul maali waislaam tunakufa kwa dhiki alaf mnajadil mambo yasiokua na manufaa na umma sasa nikuulize swali hivi akiingia motoni au peponi ww na jamii mtapata khasara gani au faida gani labda?!!!
Kinachokuzuia wewe usianzishe hizo harakati za baytul mali nini? Kwa ujinga wako huwezi kuona faida ya hii mada lakini wewe hukuzuiwa kufanya hayo unayoona nı ya msıngı
Jitaahid kuwaunganisha kaka ila twaona misikiti ya maibadhi na ya mashafi pachapacha na hawa wasema wako pamoja upamoja huu ukoje why wasiswalo msikiti mmoja
Mtu yoyote akienda kusoma kwa mawahab bila kuwa mtu wa fitna bado hajasoma yaani kwa mujibu wa kiwaahabi ukitaharaj elimi ya juu ni lazma uwe ni mtu wa fitna