Тёмный
No video :(

MAJIBU KWA KIBARAKA WA QASSIM MAFUTA JADIDA HASSAN WAZIRI || Muhammad Bachu 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 63 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 410   
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri Месяц назад
Wallahi Mimi ninavyo mpenda Muhammad Bachu kwa ajili ya Allah na usalafi, naomba Allah anijalie niwe kama yeye au kama sio Mimi angalau mtoto wangu au mwengine apatikane kama sheikh wetu Muhammad Bachu inshaAllah.
@azamomar9920
@azamomar9920 Месяц назад
Amiin
@musabahaliou-lo9xe
@musabahaliou-lo9xe Месяц назад
Somo juu ya somo mashaallah akhy Muhammad, Allah akufanyie wepesi kwenye mambo yako.
@UmmuFaaruq
@UmmuFaaruq Месяц назад
نسأل الله أن يهدي هذا الرجل الجاهل الذي لا يريد تعليم الناس بل يريد تضليلهم وإخراجهم من المنهج الحق الى الضلالات
@UmmuFaaruq
@UmmuFaaruq Месяц назад
Unadai wamtetea abuu Muawiya haliyakuwa wewe nwenyewe wajua abuu Muawiya hayuko pamoja na wewe toka akiwa hai mpaka amekufa na ata Hilo walijuwa wewe
@JumaAbeid-y5p
@JumaAbeid-y5p Месяц назад
​@@UmmuFaaruqSASA ikiwa yeye alimkata unataka akataliwe na yeye Yani MTU akifanya ovu na ww ufanye ovu SASA huu ndio ujadida wenyewe
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Месяц назад
​@@UmmuFaaruqkapike huko mandazi. Acha shughuli zakiume
@JumaAbeid-y5p
@JumaAbeid-y5p Месяц назад
@@James_Jay_Jay Al akhii ww unashindwa kufahamu hakuna anaepinga usalafi tunatambuafika Kia usalafi ndio njia sahihi Bali kinachopinga ni hiki kikundi kilichojinasibisha na usalafi na wakawa hawaufuati ule usalafi wenyewe Yani wanapetuka mikapa Kwa kuwaita watu wa Sunna wenziwao kua mahizbi na majina mengine mengi ndio maana wakambiwa kua wamekuja na usalafi mpya Yani salafia jadida haukuepo Zama izo hiki ndicho kinacho pingwa.
@yusufathman2478
@yusufathman2478 Месяц назад
Maa shaa allah kipenzi cha watu nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh muhammad bachu. Ni mmi nwanafunzi wako
@saeedqaseem3172
@saeedqaseem3172 Месяц назад
Ukiiiacha Akili yako kuwa huru na kuwa ikhlas basi masalaf wanaotuhumiwa wanayo sababu yakukaa kujibu hizi hoja kwa ikhlas ili kuweka mambo sawasawa.. Allah atuongoze na atuhifadhi sote Amin
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
@@saeedqaseem3172 Majibu kwa M.bachu na timu yake ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-qoGcpPr5NfM.htmlsi=0q3GglwKZ90zAy32 Kwa ziada ya majibu sauti na makala peruzi kwenye hiyo hiyo channel
@user-fv4lt8bu5n
@user-fv4lt8bu5n День назад
Mashaallah Allah amuhufadhi shekh wetu wallah nimepata faida kubwa
@aishabiwott2413
@aishabiwott2413 Месяц назад
جزيت خيرا شيخنا الفاضل علي هذا التبيين ويجعل الله في ميزان حسناتك....
@hashimabdulrahman4532
@hashimabdulrahman4532 Месяц назад
Shekh Bachu Ahsante sanaaaa Unatutoa Matongo kwakweli Allah akuzidishie elimu ww na sisi Inshaallah
@user-eu7jo4lx1c
@user-eu7jo4lx1c Месяц назад
Wallahi shekhe na kuelewa vema Allah akuhifadhi
@abdiazizmohamed444
@abdiazizmohamed444 Месяц назад
Usalafi ni fitna
@ayubumasudi8380
@ayubumasudi8380 Месяц назад
MaashALLAH❤ JazzakkALLahu khairat apa elimu tu ALLAH akuhifadhi sheikh wetu
@user-zj6uz6dt9j
@user-zj6uz6dt9j Месяц назад
Yaani hili ni somo kubwa saana , allah akuhifadhi na mambo haya hayataki ata ushabiki bali ni kufuat na kukubali lililo sawiyya.
@user-ug8hc4yh5k
@user-ug8hc4yh5k Месяц назад
Shukran sana sheikh wetu Muhammad bacho Uyu mafuta aweze kujibu lolote mafuta ni kutowana kwenye sunaa to Sheikh Muhammad bacho endelea kurekebisha hawa masalafiya jadidah wakina mafuta na wenzake
@malelembaabdulrahim9107
@malelembaabdulrahim9107 Месяц назад
Jazakallah kheir Ahsante kwa elmu nzuri
@aishabiwott2413
@aishabiwott2413 Месяц назад
Mashaa Allah shukran jazakallahu kheiran wabarakallahu fiika...
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Месяц назад
Allah akulipe kheir kwa kulibainisha kundi la majadida Lenye mrengo wa kuwatowa watu kwenye uislamu
@abdiazizmohamed444
@abdiazizmohamed444 Месяц назад
Usalafi ni fitna
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
Ah! Wana mrengo wa kuwatoa watu kwenye uislamu!!! Watakuwa ni waislamu kweli hao? Au ni wanafiq waliojichomeka kwenye dini? Kama ni hivyo ni watu wabaya sana hao
@muhammadkhamis9396
@muhammadkhamis9396 Месяц назад
Maashaallah Shekhe kwa juhudi kubwa
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini Месяц назад
mashaallah allah amzidishie elim sheikhe wetu kipenzi muhamadi bachu natumai mulizaji amejibiwa napia amesomeshwa
@bakarisalimu8421
@bakarisalimu8421 Месяц назад
Kabla ya kumshajiisha hivi walijua neno analo tumia kila mara JADIDA JE wajua ni nini maana ya JADIDA? Ni akina nani hao JADIDA? Lini walianza hao JADIDA? Nani kaanzisha huo UJADIDA? Je unao ushahidi juu ya hilo? Twaomba kujua kwaajili ya elimu wala sio ubishani inshaa-allah
@sultansaidsalehe3805
@sultansaidsalehe3805 Месяц назад
​@@bakarisalimu8421kamuulz shekh bakar abuu zayd swali lako hilo
@JumaAbeid-y5p
@JumaAbeid-y5p Месяц назад
​@@bakarisalimu8421kafungue kitabu cha Abdul Rahman nasor Saad Al hadhu alal ijitimai kalimatul muslimiin au kafungue kitabu cha Ibni uthaimin sherhe ya hilyatu twalib ilmi utakuta majabu yote ya swali lako.
@bafaaabuu
@bafaaabuu Месяц назад
Mashaallah Allah akuongoze uzidi kutupa elimu naona huyo kaja kuchukua elimu na sio kutoa elimu juu ya maswali uliyo wauliza hawajajibu na wanaogopa kujibu wanatuma watu ili wakujue unategemea ponti zipi kabla hawajakujibu ili wasije kichwa kichwa kama umewaelewa huyo nikibaraka katumwa kwamba muulize hivi na hivi ilitujue ana nini anatemea yani ww unaegemea kwenye Pont zipi ili wasije wakaaibika kwa hoja zao kua zaifu juu yako hivyo kua makini unapo wajibu maswali yao wakati yako hawaja kujibu shekh bachu
@ShemsaSheranee
@ShemsaSheranee Месяц назад
Assalaam alaikum wa rahmatullah wa barakatuh.vp hali yako sheikh wetu Muhammad bachu.Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu wenye amali njema sheikh wetu.Aamiin
@omarykibunta4950
@omarykibunta4950 Месяц назад
Assalam alaykum Hali yako shekh wangu Muhammad nassori bachu
@MusaHamisi-d2s
@MusaHamisi-d2s Месяц назад
بارك الله فيك أخي الكريم
@saidsalum523
@saidsalum523 Месяц назад
Kwakweli aliekua hamfahamu Muhammad Bachu atakua ama ana ufahamu mdogo au KAAMUA TU KUMPINGA BACHU BILA YA HAQQI
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 Месяц назад
MASHAA ALLAH Shukrn kwa eml sheikh
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Месяц назад
Wallah kuna mda nafurah sana kukusikilza yaani saivi watu watiana peponi na motoni kirahisi hivi kweli Dr Islam,Qassim Mafuta nk mtu anakwambia usisome kwao kirahis maana waonekana kabisa watu wa sunna mtihani Wallah
@khamisoothman5294
@khamisoothman5294 Месяц назад
Jazak Allah khair
@abuibra
@abuibra Месяц назад
ALAIKUM SALAM WARAHMATULLAH WABARAKAT,SHAIKH VITABU VINGI SANA VIHIFADHI KWENYE KABATI ITAKUA BORA SHUKRAN.
@hatimabubakar1791
@hatimabubakar1791 Месяц назад
Jazaka Allah kheirah yaa shk
@abduswaburmuhammad6625
@abduswaburmuhammad6625 Месяц назад
Aslm alkm warahmatullah wabarakatuh sheikh bachu unajaribu kuwaeleza Hawa watu ukweli wao wanakuja Na Shari so sioni wakikufaham Ni Bora utufundishe Sisi wasio jua lolote tutakufaham wao darsa zao Ni kutoa watu katika uisalm Na ukuwaingiza wengine so Allah atuongoze sote amiin
@Dawah99
@Dawah99 Месяц назад
Mm namshangaa sana huyu bachu, yeye anamsimamo wa kuwaita maulamaa majadida na biwabidi’isha mashekhe wakubwa kama Shaykh Muqbil, Shaykh Rabee na Shaykh Muhammad Aman Jamee. Huyu usalafi haujui. Allah amuongoze
@Najma_Mbaruk
@Najma_Mbaruk Месяц назад
Wewe wache upuuzi, lini umeskia amewabidiisha hao mashekh? Kama Huna akili vizuri katafute spitali kwanza utibiwe kisha ndio uje comment hapa.
@bakarisalimu8421
@bakarisalimu8421 Месяц назад
​@@Najma_Mbarukkamuulize Muhammad bachu hivi Ni nini maana ya JADIDA? Ni nani hao JADIDA? Walianza lini hao JADIDA? Nani kaanzisha huo UJADIDA? Ushahidi uko wapi? Hapo ndipo utajua anaitikadi gani kuhusu hao masheikh kama sheikh raby na sheikh muqbil na wengineo
@Dawah99
@Dawah99 Месяц назад
@@Najma_Mbaruk mimi sitokujibu baada ya hii, mambo huyajui kaa kimya dada
@abuumansour8479
@abuumansour8479 Месяц назад
Wapi bachuu kumbdiisha Shekh muqbel,Rabee nk​@@Dawah99
@nasirdinmohammed8741
@nasirdinmohammed8741 Месяц назад
​@@Najma_Mbarukukisema wameanzisha usafi fake au hizbi jadida uko si kuwabidiisha ewe jahik
@KijoJr-r1l
@KijoJr-r1l Месяц назад
Ndugu zangu wa kisalmu tumefundishwa mambo dini tusi tiye maneno ya ovyo oyvo hii ni Dini mungu akujaliye herii muhammad bachu
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota Месяц назад
Kwel we kichwa sheikh muhamad bachu hoja umezivunja vzr sana
@KashinnaKashinna
@KashinnaKashinna Месяц назад
Asalamu alaykum warahamatulah wabarakaru alihamdulilah tunazidi kupata elimu,kwanza nawashangaa wanao comment kwa ushabiki,sisi sote ni waislamu,na kutofautiana kupo na kutaendelea kuwepo,ukiangalia tangu mwanzoni hadi sasa tofauti zipo na hazitaisha,mimi nimeelewa jambo moja hapa kwenye hizi mada,kuwa haifai kumtoa mtu kwenye dini kwakua mnatofautiana jambo flani,sasa wengi wetu ni wana sunna ila wana comment ushabiki na matusi,namuomba Allah atuongoe sote inshallah
@rajabumbendenga5480
@rajabumbendenga5480 Месяц назад
Nani katolewa ktk dini ndugu
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 Месяц назад
Jamani wanaosema tuchangie hii channel kwa ajili ya ubunifu zaidi naomba tu comment usipooze huu ujumbe tumshajiheshe sheikh letu aendelee kupambana...nani yuko tayari inshaallah
@MuhammadabedAbedi
@MuhammadabedAbedi Месяц назад
Maashaaanllah
@Najma_Mbaruk
@Najma_Mbaruk Месяц назад
Mimi pia naunga mkono. NA mimi nishaanza kutuma mchango wangu .❤ Nampenda sana huyu mtu wallahi❤
@sadikiissa7756
@sadikiissa7756 Месяц назад
Sahihi kabisa. Hakika huyu Bachu ndo anatuonyesha njia Sahihi. Kwa maana watu wengi walikuwa wanaogopa kusoma Usalafi Kwa sababu mafunzo yao mengi yanalenga kuwagawa Waislam hata kama wanajitahidi kufuata Sunna na kujiepusha na Bidaa.
@Abuunuwayra
@Abuunuwayra Месяц назад
Mungu Mahifadhi Sheikh Bachu
@musabahaliou-lo9xe
@musabahaliou-lo9xe Месяц назад
❤❤❤
@shekhmansoor5421
@shekhmansoor5421 Месяц назад
Allah akuhifadhi akhui
@user-rq8le1cd9b
@user-rq8le1cd9b Месяц назад
A, alleykum allah atuongz inshallah endelea kutufunza maan ni mtihan huko tunapoelekea na vizaz vyetu vijavyo tunakupenda kwaajir ya ALLAH usichoke wala usikate tamaa na pia nna shida na no zako kam itawezekan inshallah
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b Месяц назад
Manshallah
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b Месяц назад
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Месяц назад
51:19 hahaha لا إله إلا الله umeamua kuchezea dini والله
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
Hahahaha!!! Anajifanya kugonganisha kauli za wagonjwa wenzake #mahajawira ili apate uchochoro wa kupisha #uhizbiyya na #ujinga wake!
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
Tunamuuliza M.Bachu na waliomtuma na wanaomshabikia, Kwani nyinyi #maAnswari hamna hoja za #kuwajadidisha Masalafi? Hoja zenu zinatosha? Zinamashiko? Zileteni tuzione
@AbdallahAbdurahman-cj2qp
@AbdallahAbdurahman-cj2qp Месяц назад
Shkh Muhammad nakupa Salam assalam alykum warahmtllh wabarakatu
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Месяц назад
Allah akuhifadhi
@jamaldineali3228
@jamaldineali3228 Месяц назад
Wallahi sheikh nakupenda sana kwaajili ya Allah
@abusalmadangaadam708
@abusalmadangaadam708 Месяц назад
Muhammad bachu allah akulipe kwahakika wewe ni kiungo
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Месяц назад
45:07 utamjuaje kama hastahiki hujajibu swali ujanja ujanja Tu
@abulfidaassalafiyyah
@abulfidaassalafiyyah Месяц назад
Mashaallah Sheikh umeanza vizuri sana nikakuelewa lakini kile ambacho ulikikataa ww mwenyewe umekitumia. Ulikataa kuitwa mjinga ila baadae umelitumia neno hili kumuita mwenzako mjinga. Kingine hujatupa audio ya Qassim Mafuta kwamba amewatoa watu katika sunnah, ukawaunganisha Mahajawirah ukasema ni sawa na kina Mafuta ilihali Qassim Mafuta na wenzake kina Abdallah Humeid (Allah awahifadhi) wanawakemea kila kukicha. Huu si uadilifu kama ulivyosema mwanzoni.
@maadinaJuma
@maadinaJuma Месяц назад
Allha akulinde na maadui wote
@LuqumanOmar
@LuqumanOmar 16 дней назад
Duuu bachukumbe umepinda
@husseinmongolare3417
@husseinmongolare3417 Месяц назад
Shukran ❤❤❤
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
Utoto wa M.bachu haujifichi hata kidogo. Elimu si kubwabwaja sanaaa mitandaoni na kukaza macho.
@user-zj6uz6dt9j
@user-zj6uz6dt9j Месяц назад
Assalamu alaykum Allah akulipe kheir akhy, Ww umeyajibu maswali wao mbona hawataki kujibu uliyouliza , hii inaonesha hasa hawa watu wamezidiwa. Tunaomba kwa allah awaongoze na atuongoze sis pia kwa wote.
@salumtakao9828
@salumtakao9828 Месяц назад
Mm pia nilishanga nilitmn tukabainishiw majibu ya mswal yalioulizwa ila chkuskitisha kumezuka maswal mapya 😂. Hawa jama hawako serious wamekamatw ndipo haswa hawachomoki Hawa. Wajibj maswal waliouluzwa kwamza hlfu km wan yao watajibiwa. Shekh qassim anamyindo huo huo na yeye ukimuliza swal ankuliza swali sasa hapo ndo Nini jmn ah wanzingua Hawa Hawa hoja
@AbdulwahidAli-md6re
@AbdulwahidAli-md6re Месяц назад
Wambie waje Zanzibar wasome lugha ya kiswahili kwanza, halafu wajibu kwa ufasaha hayo maswali
@nasirdinmohammed8741
@nasirdinmohammed8741 Месяц назад
Kwani uyo Hassan wazir mtu WA wapi na anakaa wapi msiwe kama makondoo mnafuata Tu someni acheni ujinga
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 Месяц назад
Wewe ulishaanguka ili usimame rudi katika njia ya sawa
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 Месяц назад
Jibuni maswali Kwa dalili tupate elimu sio maneno tuu
@Najma_Mbaruk
@Najma_Mbaruk Месяц назад
Kaanguka kwako tu, Lakini duni nzima inajua kama huyu mtu yupo imara pamoja na misuko suko yote anayopata
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Месяц назад
amekosea wapi katika hoja zakee hapo? au ndio mmebakia na muhahoo?🤣🤣
@salumtakao9828
@salumtakao9828 Месяц назад
Huyu aliejibu nadhan anjihisi ovyo saiv akisikia hii clip. Na halfu mkiulizwa maswali mjibu kwanza msianze kuuliz maswali yenu. Twambie kwaza abuu muawiyyah kakhalifu kipi mpk mumtoe hmna hojja juu ya hiloo ni chuki na ushabiki ndo umewaja yawa salafi jmni . Wabdilike tu
@rajabumbendenga5480
@rajabumbendenga5480 Месяц назад
Subiri dawa iwaingie mbona RUDUUD zinaendelea inshallah na mtakaa mjue kuwa huyo ibn bacho ni debe tupu..
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Месяц назад
shukran
@ashekhajabir2469
@ashekhajabir2469 Месяц назад
mashaallah
@user-xk6lv2yz9y
@user-xk6lv2yz9y Месяц назад
Allah akuwekee wepesi ktk mambo yako
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me Месяц назад
Dawat salaf ni nuru ya Allah na nuru ya Allah hawapewi mahizbi
@salumtakao9828
@salumtakao9828 Месяц назад
Si usalafi wa shekh qassim lkin. Naon mmekamatw ndipo hamjibu maswal manuliza maswali na bado mmejibiwa kielim zaidi . Mnaaaibika majadida . Toen hijja Kwan hmumuon bacho anvopekula vitabu ? Mjibubi basii km kaongea pumba ila mnashindwa
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
​@@salumtakao9828ni usalafi wa barahiyani na m.bachu eee?
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
​@@salumtakao9828 Kupekuwa vitabu si hoja, hoja ni anakielewa anachokisema? Hata masufi na mashia hupekua vitabu wateteapo upotofu wao. Tutoleeni ushamba na ulimbukeni wenu. Kinachotakiwa ni hoja, na m.bachu hakika hana hoja ana #Viroja tu.
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Месяц назад
mmebanwa haswa hapa
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Месяц назад
@@SonofJacol-t6h amekosea wapii sasa katika hoja zakee? au ndio cha kujibu hauna umebakia kuwa na muhahoo😅
@user-km5zc8zp8x
@user-km5zc8zp8x Месяц назад
حوار مع هذا الفتى!!!
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op Месяц назад
Kwakweli sheikh Qassimu mafuta, au Sheikh Mujjahid, au Sheikh Abdalla humeyd, au upande wakina Sheikh Abuu Haatim au sheikh Abuu usama khamis ame, au upande wa kina Sheikh Abuu muwawiyya, Hawa wote chanjo cha ugomvi wao umetokea kwa masheikh wakubwa kama Sheikh YAHYA ALHAJURY, na sheikh ALWASWABIY, na sheikh RABIY ALMADKHAR, na sheikh, MUHAMMAD IMAMU, kwakutofautiana kwao masheikh wakubwa tena wote wa sunna ndio nahuku kwetu yametokea hayo, kwahio masheikh hawa wakwetu wanashindwa kuelewana kwasababu wanaona watawakharifu masheikh zao haliyakua masheikh wote ni watu wasunna masalafiyun Kwakweli tuna mtihani mzito Allah atuongoze sisi na masheikh zetu wote hao wa sunna na masalafiyun
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm Месяц назад
Mashallah umesema vizur allah atuhifadhi na hizi fitina maana zinatokeya kama zilivyo tabiriwa ktk maandiko namuomba allah anipe salama duniyani na akhera
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
Maa shaa Allah! Na huo ndio msimamo wa Abu Muawiya na Muhammad bachu wanapoanza kuwakusanya watu ili wawasikilize huanza na msimamo huu huu. Mambo yakienda mbele Alhamdulillah tunajua wanapoishia ni wapi.
@imranmrisho
@imranmrisho Месяц назад
Anajijibu mwenyewe maskin ,,,
@AbiyolaSaidi-qe2ku
@AbiyolaSaidi-qe2ku Месяц назад
Allh akibr allh akuongoz san man hun akir ya saw na maswal kam 4 ukijib nakup magar yang ma 3
@user-cp1ms3cm1o
@user-cp1ms3cm1o Месяц назад
Unasema kwa uhakika?au ndo yale ya kumchaleji mtu ?Kama unauhakika maswali yako yapo kwenye msingi ya dini yetu uliza inshaallah
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm Месяц назад
Shida ndugu yangu wew hujulikan washika wapi kwanz nan aliyeanzisha kundi hilo la majadida
@wardinizuri
@wardinizuri Месяц назад
Kaanzisha mwalimu nyerere😂😂😂
@Najma_Mbaruk
@Najma_Mbaruk Месяц назад
Hahahaha😂 eti mwalimu nyerere
@universitylink
@universitylink Месяц назад
Sheikh Bachu wewe ulianza kutoa hojà ilikuwa wajibu hoja Kisha ndio wakuulize maswali lakini wamebadilishà meza sasa wewe ndio unajibu maswali yao
@abdallaali4260
@abdallaali4260 Месяц назад
Ukiskia kelele nyingi jua ngumi imeingia, mahizby wataka nusuru nafsi zao na wala si daawa
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 Месяц назад
Toeni majibu acheni ngonjera sisi tunataka faida uhizbiya wenyewe hujui ni nin hapo ulipo
@Najma_Mbaruk
@Najma_Mbaruk Месяц назад
Hakuna anaenusuru nafsi yake hapo, kinachpingwa hapa ni tabia yenu mbovu ya kuvuka mipaka na kujiona MASALAFI ni pekeenu.
@abdallaali4260
@abdallaali4260 Месяц назад
@@saidimkwinzu9106 bali alama kubwa za mahizby n kumchukia sheikh rabii na sheikh amani aljaamii.....
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
​@@Najma_Mbaruk Oh! Hivyo kumbe wao si masalafi peke yao tu nanyi pia ni masalafi wenzao!! Haya maneno ukiyatafakari kwa kina Wallahi utajicheka
@yunus-or3ny
@yunus-or3ny Месяц назад
ukiishi darul kufru marumbano hayaishi
@musabahaliou-lo9xe
@musabahaliou-lo9xe Месяц назад
❤❤❤❤❤
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Месяц назад
Nawaona majadida wanavyo ingiya nakutoka vikao kama vyote wanatafta uchochoro mdogotu wautumiye kumtukana mtu Allah awape kheri
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Месяц назад
41:51 hivi huyu anapata wapi ujasiri huyu ibnu uthaimin kamnukuu halafu akaleta kanjanja…ibn uthaimin hajataja imam amesema jitenge na jamaa zote
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 Месяц назад
Unakataa lugha chafu wakati wewe kwenye kichwa cha habari tu ushamuita mtu kibaraka Kama lengo ni dini basi rekebika wewe kwanza
@Najma_Mbaruk
@Najma_Mbaruk Месяц назад
KIBARAKA NI MTUMISHI WA MTU, SASA TUSI VIPI APO, HUONI KAMA HAO WANATUMIKISHWA KUJA KULETA FUJO?
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Месяц назад
Hyu anatafta views tu biashara iende hana abdu ya kuongea wla kujishusha hataki anajiona anajua yeye kila kitu angekuwa na elimu kama ya shekhe OTHOMAN MAALIMU cjui ingekuwaje othaman maalimu anajuwa kujishusha mno na bado anaitafta elimu watu wanamtukana yeye kimya misho wa cku wao wenyewe wanaenda kumuomba msamaha hyu sasa kuwafedhehesha watu na Kuwaita watu majina ya aibu fedheha ndio anajua
@Najma_Mbaruk
@Najma_Mbaruk Месяц назад
​@@azizayassin3623Wewe Huna ujualo tulia pembeni, huu uwanja wa watu wa sunna wewe unatutajia Othman Maallim!!! Huoni haya wewe? Hapa huyo Othmani hastahiki hata kutajwa, kama angekuwa na elimu asingekuwa mtu wa Bidaa
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 Месяц назад
​@@azizayassin3623 kwahilo ni uongo hatafiti views na umejuaje kama uthman Maalimu ana elimu kubwa kumshinda Muhammad bachu hata kama humkubali mtu ila kuwa muadilifu Allah akuongoze ww na mm
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Месяц назад
anae endesha hii channel sio yeye wala sio yeye anae upload videos
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 Месяц назад
Hakuna hoja ya Al alkh abbul abbas iliojibiwa kiilmu ata moja ,,,tumeona kutafuta huruma kwingi tu ,,,,hoja zingine ameziruka ,,,lkn in shaa Allah mahizbiy mtabainishiwa haqq tu ivi punde .
@abuumansour8479
@abuumansour8479 Месяц назад
Hhhhhhhhh kipofu Kwel ww taassub ishakuzonga
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 Месяц назад
@@abuumansour8479kipofu ni wewe unayedai umeona ilmu na Hali hamna,,,sikiliza kwa maakini tena utaona venye bachu maswali yamemshinda.
@abuumansour8479
@abuumansour8479 Месяц назад
@@ABUUJAAFAR92 nyie maboya kwel yan Bach alianza kuuliza yeye maswal, uadilif ni kumjib maswal kisha ndo muuliz sasa nyie bana mnatabia ya kuruka maswal so maswal hamuwez kuayjib na kimakala uchwara hhhhhhhhh mim nakijib yan mpaka jina halijui anaitwa bachu sio bacho hhh
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 Месяц назад
@@abuumansour8479 si unaona sasa hata hufuatilii inaonekana ,,wadandia tu juu ,,,bachu amemtaja sheikh qaasim mafuta kwenye clip zake ,,,ambaye tayari alitoa hoja zake dhidi ya uhizbiy wa barahiyani na dr Islam,, hizo hoja za sheikh qaasim hazijajibiwa ,,bachu sasa angekuja akataja zile za qaasim mafuta azivunje kiilmu,,,lkn amejifanya hazijui akaja na zake ,,sasa ukisema bachu ametangulia kuuliza utakuwa humkweli
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 Месяц назад
@@abuumansour8479 sasa wewe subiri al akh abul abbas ,atakuja kumnyoosha huyu kijana wenu ,,kwahio subiri ,,,ikiwa hauko kishabiki utaelewa biidhnillahi
@user-ov9nj7hp1s
@user-ov9nj7hp1s Месяц назад
Unakiu kweli na Abulfadhli
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Месяц назад
😂😂😂Abul fadhwil anamuogopa japo anajifanya kashaakua mwamba hataki kumjibu Abul fadhwil kopo la choosing kweli
@Najma_Mbaruk
@Najma_Mbaruk Месяц назад
Tena kiu kali sana, na akijaribu kuinua kidole tu, tunamuumbua😂
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
​@@Najma_Mbaruk Na kweli m.bachu anaisubiri sana hiyo sauti angalau hata ya dk. 2 kutoka kwa Sh. Qasim atajwe tu asikie raha aanze kubwabwaja masaa kwa masaa. Bila shaka Islam anaelimu kumzidi m.bachu, basi twamuomba kwa hisani zake abainishe kwa uwazi (asifuge funge) kuhusu hao majadida na Masheikh zake angalau hata dk. 5 kisha ndio tunaelewana vizuri. Kiufupi ni hivi Masheikh zetu hawahangaiki na mikia wao wanapiga vichwa. Vichwa vitakaposimama tujulisheni
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Месяц назад
46:04 hapa swali bado linakudai uende ukatafute wanawachuoni wanasema ninan anayestahiki kubidiishwa?
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Месяц назад
Khilafu ambayo mtu anapewa udhuru ni ipi sasa sheykh BACHU…mbona huiraji ili kina Abu muawiyah nawao wapimwe kwa kipimo hicho hicho kilo wapima kina ibn Hajar
@ramadhansaid778
@ramadhansaid778 Месяц назад
Asie kuelewa Sheikh BACHU basi juwa yakuwa yeye ndio anakasoro
@bacteria5184
@bacteria5184 Месяц назад
Sheikh uthaymeen MashaAllah alishawaona zamani kwa mbali hata kasema hilo kundi lina matatizo.lkn majajida wanaenda kama kondoo
@bakarisalimu8421
@bakarisalimu8421 Месяц назад
Kabla ya kumshajiisha hivi walijua neno analo tumia kila mara JADIDA JE wajua ni nini maana ya JADIDA? Ni akina nani hao JADIDA? Lini walianza hao JADIDA? Nani kaanzisha huo UJADIDA? Je unao ushahidi juu ya hilo? Twaomba kujua kwaajili ya elimu wala sio ubishani inshaa-allah
@bacteria5184
@bacteria5184 Месяц назад
@@bakarisalimu8421 majadida ni kundi linaloitwa salafy ilianzishwa na baadhi ya masheikh saudia.mtume saw hakutuachia kundi linaloitwa salafy,kundi linatoa waislamu na hata kukataa kwenda kuzika ndugu yao abu muawiya.
@bakarisalimu8421
@bakarisalimu8421 Месяц назад
@@bacteria5184 naomba kuwajua hao masheikh wa saudia walio anzisha hilo kundi
@abuumansour8479
@abuumansour8479 Месяц назад
​@@bacteria5184fact
@JumaAbeid-y5p
@JumaAbeid-y5p Месяц назад
​@@bakarisalimu8421ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-G1DGZxUCMRI.htmlsi=gv_CMFuSrORQc3bJ sikiliza hii upate majawabu yako
@KhamisDaud-nz3rc
@KhamisDaud-nz3rc Месяц назад
Anaetaka kujifunza atajifunza bi idhinillah bali yule alieshikilia ushabik ataruka patupu
@BizimanaYahya-y4o
@BizimanaYahya-y4o Месяц назад
Wallah ukijibu haya maswali nilioyaona ndasema WWE nimwacuoni
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini Месяц назад
hivi hawa watu wanashida gani mbona nikitu simpo tyu mmeulizwa maswali jubuni sio kumtukana hatuwaelewi mnashida gani usimtukane mtu jibuni kwabusara tuwaone
@bakarisalimu8421
@bakarisalimu8421 Месяц назад
Kuna maswali yaliulizwa tangu miaka 3 ilio pita mpaka leo hakuna majibu bali mnatuongezea tu kutatizika maswali kaulizwa sheikh Saalim barahiyyan Sheikh Ductur Islam Na wewe Muhammad bachu ila mpaka leo hakuna majibu Ni nini maana ya JADIDA? Ni nani hao JADIDA? Walianza lini hao JADIDA? Nani kaanzisha huo UJADIDA? Ushahidi uko wapi?
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 Месяц назад
​@@bakarisalimu8421hiliswali lishajibiwa sana Akhii hata katika kitabu cha sheikh Salimu Barahiyan majibu yapo
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Месяц назад
Hawawezi kujibu hawa kazi yao nikusema. Hizbii 😂jaahil murankab baasi. Hawana. Lingine
@bakarisalimu8421
@bakarisalimu8421 Месяц назад
@@abbaspaziaog2188 nakuhurumia sana
@JumaAbeid-y5p
@JumaAbeid-y5p Месяц назад
​@@bakarisalimu8421Al akhii Ayo maswali yote sheikh Muhammad bachu kashalizungumza ila ww unaonekana haya mambo umeanza kufatilia juzi ila nitakutumia clip ya sheikh bachu usikilize kama unahitaji elimu pia nenda kafungue kitabu cha ibn uthaimin sherhe ya Arobaina nawawia au sherhe ya hilyatu twalib elmu
@abubakarshaban6118
@abubakarshaban6118 Месяц назад
Sio kila mtu anajibiwa tu... ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-gPWZPwNE628.htmlsi=5mMP38BnehB2VHVp
@WazirrashadYussuf-um5uq
@WazirrashadYussuf-um5uq Месяц назад
Saupalo na Venezuela ,Brazil hahaha إذا عرف السبب باطل العجب
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Месяц назад
ndio hoja hiyo, au ni bora ukoments tuu na wewe. huu ni muhahoo
@seifsalum3018
@seifsalum3018 Месяц назад
Wengi wanaokoment ummu ni wale bendera wasiopenda kuisom dini na kaz yao ushabiki
@usrahismail3196
@usrahismail3196 Месяц назад
Tanzania mnatuongoza wakenya kwa makundi na malumbano
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Месяц назад
38:18 hapaa kajigonga gonja imam Nnawawiy kumbe amekhalifu aqidah ya salafiy? Nini sasa kili mbakiza wakati umetusomea maneno ya ibn Taymiyyah kuwa akikhaalifu aqidah ya salafi anatolewa katika sunnah??
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws Месяц назад
Waislamu wenzangu uislamu haun madhehebu na qur ani imeshasema tusigawe uislam vikundi vikundi tusijikweze leo tunjiita majina tofauti tofauti muislam w kweli alishaelezwa n qur an n hadithi za mtume ay makundi makundi waanzilish wake ni wayahudi imkuw sas mt kuslim imkuwa shida pia waislam kw waislam kuombana maji tatizo kisa mtu ni salaf cijui sunni n makundi mengine kaeni mufkiri muipeleke din y uislam mbele mtu akiulizwa mtume alikuw kundi gani jibu hamna n mitume waliopita walikuw makundi gan majibu hamna ispokuwa walikuw waislam wa kweli.
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev Месяц назад
Ungoja mbona umekimbia
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
1:02:57 kwani Shekhe lako #HasaniAwadhi sio #Dai ni muislamu wa kawaida tu? Hivi unajua kweli unachokizungumza kweli au umeamua kuwapotezea watu muda?
@yahyaphd
@yahyaphd Месяц назад
bacho huna hoja za mana hata kidg hueleweki wapi upo kuna siku ukasema mtu atakae msema vibaya barayyaan akatike nguvu za kiume leo unakuja unamtetea amabae anampinga barrayaani UPO WAPI WEEE MTANGA NA NJIA BACHOO HIZBI ANNSWAR SUNNAH
@AbdulfatahWanyamaAngachi
@AbdulfatahWanyamaAngachi Месяц назад
Watafuta kiki😅😅😅😅😅
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Месяц назад
hoja hakuna kwako, ukaona bora uonekane na wewe umeandika comments🤣
@abuubakarmohd7532
@abuubakarmohd7532 Месяц назад
1:04 umetamka ujinga
@uledihassan6065
@uledihassan6065 Месяц назад
Hawa majadida wana lugha chafu sana
@abdallaali4260
@abdallaali4260 Месяц назад
Maneno ya sheikh abdallah humeid ama kweli😂 ukiona mtu kwa video yake kaweka vitabu mrundo n hafungui hata kimoja ni kuvuta taswira ya watu wamuone ana elimu😂😂
@Najma_Mbaruk
@Najma_Mbaruk Месяц назад
Kaa Na ujinga wako , zama za sasa unachapwa kwa vitabu kwenye pdf tu, huoni njia anayotumia Muhammad bachu kuonyesha hoja zake kwenye screen? Nyinyi mbona hamufanyi hivyo? Wehu nyinyi.
@abdallaali4260
@abdallaali4260 Месяц назад
@@Najma_Mbaruk bila ya mavideo alhamdulillah tandika wtu wa bidaa mpka kueleweke siku zote haqqi itashinda batwil twamuomba Allah thabat juu ya kushikamana n manhaj salaf
@user-iu3me2sm2h
@user-iu3me2sm2h Месяц назад
Wajikweza kweli sio uongo ndio maana ulishindwa kujibu suali La yule Sufi kwa kujikweza.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
tunataka rais wnu wa majadida sshk kasimu mafuta atutaki nyi vifaranga ambao hamjui kitu jibuni maswali kazi yenu kutukana t
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Месяц назад
​@@user-yj5on8cz3enaam vifaranga. Vina taaabu. Hivi
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Месяц назад
😂😂😂😂😂duuh. Hii midude akina qasimu mafuta sijui ipoje. Maswali yakijinga kweli harafu ikiulizwa. Haitaki kujibu 😂😂😂 duu. Itakua. Ina laana au
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
@@abbaspaziaog2188 makombora mzito ya nyukla hyo shekhe yamewashinda na huoni wanataja nyusi za bachu hawana issue kichaka chao kimewashwa moto
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Месяц назад
@@user-yj5on8cz3e naam kabisaa Rais wao. Hizbii mafuta anajikuta. Yy ni mwamba hamjibu. Bachu. Kumbe. Hamuwezi. Anaogopa. Kuaibika😁😁majadidah
@user-ov9nj7hp1s
@user-ov9nj7hp1s Месяц назад
MBONA HUKAI MSKITINI UKAWARUDI WAJIFUNGIA VYUMBANI KAA MSKITINI TUKUULIZE MASWALI NA SISI
@JumaAbeid-y5p
@JumaAbeid-y5p Месяц назад
Nyinyi ambao mupo msikitini jibuni Yale maswali 6 mulioulizwa.
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
​@@JumaAbeid-y5p Majibu kwa M.bachu na timu yake ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-qoGcpPr5NfM.htmlsi=0q3GglwKZ90zAy32
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Месяц назад
ndio hojja hii kweli?
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
@@ibrahimjumaa538 Ni majibu kwa m.bachu je, umesikiliza?
@Athumaniomari-ge2gs
@Athumaniomari-ge2gs 22 дня назад
Huyu kaw mwiba kwa kundi la kasim mafuta na humeid
@abuubakarmohd7532
@abuubakarmohd7532 Месяц назад
Vimondo vya radd vinavyoendela kwa bacho
@abuubakarmohd7532
@abuubakarmohd7532 Месяц назад
ru-vid.comUgkxwHCJj3pG_RZg_LekfggREoJAeAaaYfBe?si=N8bjwb8BLZLNSGsu
@abuubakarmohd7532
@abuubakarmohd7532 Месяц назад
ru-vid.comUgkxx0GWvdZ8T9gYvTbNbayJp8qg1wLrOQoP?si=avTIIja7Fl4FNNAm
@abuubakarmohd7532
@abuubakarmohd7532 Месяц назад
🔥 الصواعق المحرقة لشبهات محمد باشو وفقه الله تعالى...التائه عن الحق 🔥 🔰 *MAQALA NAMBA MBILI..* ❇️ Anauliza Bwana Mdogo Bacho Swali la kwanza akisema ... "Tunaomba mikhalafa aliyo kuwa nayo Abuu muawiya yaliyo mtowa katika usalafi ? Tunamuuliza Abul Fadhil [Qasim Mafuta] Kosa lake Abuu Muawiya ni lipii? Je amekhalifu Quran, Amekhalifu sunnah, Au amekhalifu ijmaa,? Kwasababu sisi tunafahamu mtu akikhalifu Quran tunamtowa, Akikhalifu sunnah tunamtoa, Akikhalifu ijmaa ya ahali sunnah tunamtoa, 📘Jawabu, kwanza kabisa nisahihishe ufahamu wako mdogo, wa kwamba nyinyi mwafahamu mtu akikhalifu Qur'an mnamtoa au akikhalifu sunnah mnamtoa au amekhalifu ijmaa ya ahali sunnah mnamtoa kwenye usalafi, maneno haya hayako kwenye msingi sahihi wa kielimu kwasababu mtu anaweza akaikhalifu Quran kwamfano akanywa pombe allah atulinde au sunniy ikatokea amekurubia uzinifu au kazini au kusikiliza mziki bila shaka amekhalifu Quran. je mta mtoa kwenye manhajj mtu huyo ? Kama ni ndiyo basi huo ndiyo ukhawariji baridi. Mtu anaweza kukhalifu sunnah kama vile sunniy kuvaa (isbali) kwa maana akaburuza nguo yake au sunniy akamgusa mwanamke ambaye si halali kwake bila shaka atakuwa amekhalifu sunnah, je mtamtowa kwenye usalafi? Kama ndyo basi huo ni ufahamu finyu unaohitaji kusahihishwa na uongeaji wako unaonesha wazi wewe ni mjinga kwasababu maneno yako hayajajengeka kwenye misingi ya kielimu. 👉Na kuhusu ijmaa ya ahsunnah ikiwa mtu atakhalifu ijmaa kwenye masaili ya kimatendo kwenye fiqhi mtamtoa kwenye usalafi !? Kama ndiyo basi masalafi wengi mtakuwa mmewatoa kwenye usalafi wengine maulamaa 👉Ama kama una maana atakae khalifu ijmaa ya ahalisunnah kwa maana misingi na mambo ya iitikadi na misimamo [misingi ya dawa] waliyo kubaliana hilo ni sawa lakini hulijui pia hili ndo nikakuulizwa swali hapo awali, Kiufupi kaa chini usome kijana ili ulelekee kwenye njia ya salafi na da'wa yao, wala usidai tu na kutamani kuwa kama wao hali yakua haumo. 🔵Jambo la pili 👇👇👇 Sisi tumemuhukumu Abuu Muawiya kuwa si salafiy kwasababu ameuvunja msingi katika misngi ya da'wat salafiyah waliyo kubaliana salaf kuwa atake uvunja huo au mwengine hatokuwa katika wao ( yaani katika watu wa sunnah) Nao ni msingi wa kukaa mbali na watu wa bidaa mahizbi na kuto kuwatetea 👇👇 وكذا قال شيخ الإسلام أبو عثمان الصابوني في كتابه عقيدة السلف أصحاب الحديث [ص (٩٩ - ١٠٠-١٠٦) ، حيث قال: (ويتجانبون أهل البدع والضلالات، ويعادون أصحاب الأهواء والجهالات، ويبغضون أهل البدع الذين أحدثوا في الدين ما ليس منه، ولا يحبونهم ولا يصحبونهم، ولا يسمعون كلامهم ولا يجالسونهم، ولا يجادلونهم في الدين ولا يناظرونهم،) قال الإمام إبن بطة العكبري في الابانة[ ومن السنة مجانبة كل من اعتقد شيئاً مما ذكرناه [أي: من البدع]، وهجرانه، والمقت له، وهجران من والاه، ونصره، وذب عنه، وصاحبه، وإن كان الفاعل لذلك يظهر السنّة] وقال أبو داود السجستاني: قلت لأبي عبد الله أحمد بن حنبل: أرى رجلاً من أهـل البيت مع رجل من أهل البدع، أترك كلامه؟ قال: لا، أو تُعْلِمه أن الذي رأيته معه صاحب بدعة، فإن ترك كلامه وإلا فألحقه به، قال ابن مسعود: المرء بخدنه"طبقات الحنابلة" وقال الإمام البربهاري: وإذا رأيت الرجل جالساً مع رجل من أهل الأهواء فحذّره وعرّفه، فإن جلس معه بعد ما علم فاتقه؛ فإنه صاحب هوى. [شرح السنة (ص: 121)] Amesema Al Imamul Al Barbahariyu "ukimuona mtu amekaa na mtu wa wabidaa ( mzuzushi) mtahadharishe na umtambulishe kama atakaa naye baada ya elimu na kujua basi muepuke hakika huyo ni mtu wakufuata hawaa za nafsi yake ..." وقد سئل سماحة الشيخ عبد العزيز بن باز في شرحه لكتاب: "فضل الإسلام"، ما نصّه: الذي يثني على أهل البدع ويمدحهم، هل يأخذ حكمهم؟ فأجاب- عفا الله عنه -: " نعم ما فيه شكٌّ، من أثنى عليهم ومـدحهم هو داعٍ لهم، يدعو لهم، هذا من دعاتهم، نسأل الله العافيـة". 🔥Na aliulizwa shekh Ibn Baazi Allah marehemu je, Anaye wasifu watu wa bidaa atachukua hukmu yao ?🌎 Akajibu "ndiyo hapana shaka atakae wasifu huyu analingania kwenda kwao..." 💦*Na Abuu Muawiya imethibi kwake kumnusuru Muhammadil Imam ambaye tayari maulamaa wa sunnah wamembidiisha kwa uhizbiya wake kwa hoja,pia Akiwa hami akina Abdul qawiy wa Arusha na cheni ya Akina Barahiyani kama Doctor Islam, Wa Kenya ambao wanashirikiana na watu wa bidaa Mfano Barahiyaani (KICHWA CHA MAHIZBI TANZANIA) n.k*💦 يقول شيخ الإسلام بن تيميّة فيمن يوالي الاتحادية وهي قاعدة عامة في جميع أهل البدع: " ويجب عقوبـة كل من انتسـب إليهم، أو ذب عنهم، أو أثنى عليهم أو عظم كتبهم، أو عرف بمساندتهم ومعاونتهـم، أو كره الكلام فيهم، أو أخذ يعتذر لهم بأن هذا الكلام لا يدرى ما هـو، أو من قال إنه صنف هذا الكتاب، وأمثال هذه المعاذير، التي لا يقولها إلا جاهل، أو منافق؛ بل تجب عقوبة كل من عرف حالهم، ولم يعاون على القيام عليهم، فإن القيام على هؤلاء من أعظم الواجبات؛ لأنهم أفسدوا العقول والأديان، على خلق من المشايخ والعلماء، والملوك والأمراء، وهم يسعون في الأرض فساداً، ويصدون عن سبيل الله. " [مجموع الفتاوى ( 2/132 )] Anasema Sheikhul Islam Ibn Taymiyyah kuhusu watu wa bidaa [ittihadiyah] na huu ni msingi enevu kwa watu wa bidaa wote, 🚦"Na ni wajibu kumuadhibu kila atakae jinasibisha na wao au akawatetea au akawasifu, au akatukuza vitabu vyao au akajulikana kusaidiana nao au akachukia wao kisemwa au akawa anawapa udhuru ya kwamba haya maneno hajui ni yapi,....Bali ni wajibu kumuadhibu kila atakae fahamu hali zao na hajatoa mchango wa kusimama dhidi yao hakika kusimama dhidi ya hawa ni katika mambo ya wajibu zaidi...."🚨 *Inaendelea....* MWANDISHI; *ABUL ABBAAS HASSAN BIN WAZIRI SOLOKA ALLAH AMUHIFADHI*
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
17:51 M.bachu kaona tusi kuitwa MJINGA #jahili na kujifanya eti anabusara sana.! Wakati huo huo kwenye kichwa cha habari cha video yake kamuita Abul Abbas ni #kibaraka!!! Hilo kwake yeye na wapenzi wake kwao sio tusi!!! Allahul Musta'an
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot Месяц назад
Na Shekh Nuhammad hajaandika makala, bali ameongea wazi mbele za watu. Majibu yaje hivihivi mubaasharatan
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
Majibu kwa M.Bachu na timu yake ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-qoGcpPr5NfM.htmlsi=0q3GglwKZ90zAy32 Wasambazie na wengine
@abdulkarimurassaabdulkarim2477
@abdulkarimurassaabdulkarim2477 14 дней назад
Ugg
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Месяц назад
Majadidah😂😂😂😂😂 hayana hoja eti usije kulamba midomo nakushika nyusi. Duuhh. Hiii mijadidah mijadidah kweli
@user-ix3pl1ey6n
@user-ix3pl1ey6n Месяц назад
Shekh twakupenda ila pambana na kina sabas ila kwa shekh kasm mafita unacho kitafuta utakipata utapigwa radi Moja tu
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas Месяц назад
Bas ndio tunasubiri ilo radii mojaa kwa huyo daruweshi Kasim mafuta
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
​@@AbAlhuraastunamtaka shekhe lenu rais wa majadida tz ajibu nyi vifaranga hatutaki mana wafata mkbo hamjui kitu mnasetiwa kama maroboti usimsikilze fulani na ww humsikilizi atimae unapishana na hakki
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas Месяц назад
@@user-yj5on8cz3e kijana vp mim npo mbaali na ujadida kbs Nashkuru san na hlo pote nimejipusha zaman san
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
​​@@AbAlhuraasNa kweli m.bachu anaisubiri sana hiyo sauti angalau hata ya dk. 2 kutoka kwa Sh. Qasim atajwe tu asikie raha aanze kubwabwaja masaa kwa masaa. Bila shaka Islam anaelimu kumzidi m.bachu, basi twamuomba kwa hisani zake abainishe kwa uwazi (asifuge funge) kuhusu hao majadida na Masheikh zake angalau hata dk. 5 kisha ndio tunaelewana vizuri. Kiufupi ni hivi Masheikh zetu hawahangaiki na mikia wao wanapiga vichwa. Vichwa vitakaposimama tujulisheni
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas Месяц назад
@@SonofJacol-t6h ukiwataja wengne huwpi cheo cha usheikh ,lakn bos mafuta unampa cheo au utakosa ubwabwa ,ukiwapa hao wengne cheo cha usheikh
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Месяц назад
50:08 sasa hapaa ndio umefanya nini wewe kweli umekulia mtaa wa venezuela
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Месяц назад
unajua kabisaa katika nafsi yako ni ni Muhammad amejibu.. lakini kibrii tuu.. suali, je ni wapi amekosea katika hojja zake zote hapa? usifuate itikadi pasi na hakki...
@SimbaHaji-jm7md
@SimbaHaji-jm7md Месяц назад
Fitna ndio dini sikuhizi
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Месяц назад
58:20 Muhammad bichwa ww ni #jaahil mada imekushinda unajifanya muda umekwisha. Hizo Athar za Salaf ulizowekewa ni kitanzi kwako. Unabakia kuuliza "shida iko wapi, shida iko wapi" huku ukikaza macho!!!. Mambo ya kielimu hayapelekwi hivyo huo ni #utoto
@HassanJamada-pf4jt
@HassanJamada-pf4jt Месяц назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-gPWZPwNE628.htmlsi=2o6ywiNbAHgMXzfg SIKILIZENI HII MTAJUA KWA NINI SHEKH ABULFADHLI HAMJIBU MJINGA HUYU
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
Acha porojo qassimu mafuta akiona kazidiwa hajibu hizbu wa pongwe salafiya jadida
@HassanJamada-pf4jt
@HassanJamada-pf4jt Месяц назад
@@HassanHamad-rf9tq ungekuwa ni mtu wa elimu usingesema maneno kama hayo lakini Nina khofu kuwa wewe ni mtu anayejishughulisha na kusaka tonge tu hata yakitajwa mambo ya kielimu huna zaidi ya ushabiki, mtu wa elimu anakuwa anajua kuwa sio Kila mzungumzaji hujibiwa
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Месяц назад
Hizi hojja amekosea wapii?
Далее
لدي بط عالق في أذني😰🐤👂
00:17
Просмотров 3,2 млн
Ustadh Haji Upepo amtetea Dr Sule kuhusu kutumia jini
11:34