Тёмный
No video :(

MAKOMDA amtumbua mtendaaji "Haufai hata kua MFAGIA ofisi, kuanzia leo wewe sio MTENDAJI" 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@menelus911mene5
@menelus911mene5 2 месяца назад
Mhe Makonda hamna kumbwelambwela Arusha kazi tunaiona mh endele na spana wengi watajifunza kwako nawaona mungu azidi kukubariki. Insha Allah ❤
@yusuphmwambete2777
@yusuphmwambete2777 2 месяца назад
Miaka mitatu nje ya utumishi kumbe ulikuwa darasani. Hongera mwamba Makonda
@ramadhanseif4178
@ramadhanseif4178 2 месяца назад
Mungu akuongoze kk watuwenge wanaonewa sana wasaidie
@user-yf2ro1wb4y
@user-yf2ro1wb4y 2 месяца назад
Fire fire fire @Makonda chumaaa
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 2 месяца назад
Kamanda hapa Tanzania wapo wawili wa kwanza Makonda wa pili Chalamila hawa wanaojitambua sana wakuu wa mikoa iliyobaki hawafai
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp 2 месяца назад
Na sillaa basi
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 месяца назад
Hapo ndipo ccm. Inachafuliwa kwa kuajili ndugu mbumbu waajiliwe wasomi kama hapa gongolamboto bwana afya mwekiti katibukata wa mtaa shida
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 месяца назад
😮 yaani kweli useme umejenga kitu na kumbe hujajenga? Like serious?
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp 2 месяца назад
Ndg makonda kuna mtu hawezi kujieleza hadharani kwa kushtukuzwa. Mtu ana 59 hawezi jua kila kitu papo hapo
@OnesphoroLema
@OnesphoroLema 2 месяца назад
Mweshiwa makonda ata uku sinoni mtaa wa engosingiu kuna kivuko kina ubadhirifu kama cha uko matevesi kilichokuwa kikijengwa na tasafu having kiwango
@JamesChrizestome
@JamesChrizestome 2 месяца назад
Mmmmmm haya bana tutayaona mengi?
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 месяца назад
Mtendaji nikiboko
@mtummoja6882
@mtummoja6882 2 месяца назад
Amemuonea
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 месяца назад
Nani kaonewa? Mtendaji anasema amejenga darasa wakati hajajenga?
@mpindafamily1496
@mpindafamily1496 2 месяца назад
auna uwezo wa kumfukuza kazi mtendaji.mbona unaingilia mamlaka yasiyo yako.makonda badilika
@ThomasMayungaCharles
@ThomasMayungaCharles 2 месяца назад
sᴘᴀɴᴀ ᴢɪᴇɴᴅᴇʟᴇᴇ
@MosesMnyantope-zw4ed
@MosesMnyantope-zw4ed 2 месяца назад
Duh
Далее
Mwanzo Mwisho Lissu Afunguka Kilichotokea Mbeya
23:21