Тёмный

MAKONDA AKUTANA na "WADUDU wa CHUGA" USO kwa USO, WAFANYA KIKAO KIZITO,. 

HABARIMPYA TV
Подписаться 633 тыс.
Просмотров 53 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 95   
@YusufSasamalo-uz4ii
@YusufSasamalo-uz4ii 6 месяцев назад
Good approach of leadership Building trust is important Huyu makonda ni kipaji
@aminaomary5567
@aminaomary5567 6 месяцев назад
Nakuombea maisha marefu mwanangu Makonda'Mtani.❤❤❤❤❤❤
@LEDINASHEMZIGWA-t7t
@LEDINASHEMZIGWA-t7t 6 месяцев назад
Safi sana, kiongozi ni hekima na lugha tu nzuri and then kila kitu kinaenda sawa
@alipomwamahonje
@alipomwamahonje 5 месяцев назад
Mungu akuongoze kiongozi mahiri ❤
@ANTHONY.V.I.Ptanzania
@ANTHONY.V.I.Ptanzania 6 месяцев назад
Hujawahi kuniangusha kaka makonda.mungu wangu akulinde uendelee kutumikia vema taifa hili
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 6 месяцев назад
Makonda anabongo Sana kawabadilisha wadudu duuh😊
@EmmmaTembo
@EmmmaTembo 6 месяцев назад
Huyu kenyonyo umakini wake ni feki Hapo ukimuuliza Makonda kasema nini hakumbuki😂
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 6 месяцев назад
😂😂😂😂
@abelmsumba6649
@abelmsumba6649 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 6 месяцев назад
Ukitaka kuwaongoza wagojwa wa akili na wee ujifanye tu km wao ama uende km waendavyo wao ndo hi Mh Makonda anavyo kwenda nao safi Sanaa 😂😂😂😂😂😂
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 6 месяцев назад
Sidhani kama ni wagonjwa, ila vijana waliozama kwenye culture ya tofauti, ukitaka uishi nao lazima uwe level yao understand level yao then change their system , na huu ndio uongozi si maguvu
@maulidimopen1273
@maulidimopen1273 6 месяцев назад
Wape Kandarasi ya kusafisha Mji, hao Wadudu ❤
@mudhihirIbrahim-hb7ry
@mudhihirIbrahim-hb7ry 6 месяцев назад
Makonda ana akili nyingi sana anaweza kuongea nakila rika awe mzee kijana
@zariadunia6328
@zariadunia6328 6 месяцев назад
Mama Rais wetu hebu punguza kusikiliza washauri wabaya dhidi ya makonda mama huyu kijana ana mapungufu yake lkn kwa sasa nionavyo mimi ni kijana pekee ambaye atakusaidia sana bila kurubuniwa na wabaya wako mama usiwasikilize watu wanaomkataa makonda sio wazuri wanamchukia coz ana nyota ya kupendwa na watu hiyo mizee haitopenda anavyoshangiliwa na wananchi ni lzm wamtafutie majanga tu lkn tunamuombea sana makonda
@geey7893
@geey7893 6 месяцев назад
Umeongea ukweli mtupu ndugu yangu. Daah! Jamaa wazee wenye tamaa waliofelisha nchi hawamtakii
@marthaadammakatobemwakatob4246
@marthaadammakatobemwakatob4246 6 месяцев назад
Makonda ni jana nimetoka kukuombea kwa Mungu mwenyezi Mungu akulinde
@isayakatuwa9482
@isayakatuwa9482 5 месяцев назад
Hawa wadudu wametulia kama wana akili timamu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@LastKakats
@LastKakats 6 месяцев назад
Watabadilika tu hata mi naona tena inawezekana akawatumia hawa kuibadilisha chuga nzima, jamaa anaakili
@osmundpius
@osmundpius 5 месяцев назад
Sana mwana hapo mambo safi
@mabeleleheven1467
@mabeleleheven1467 6 месяцев назад
Mdogo wangu nilijua mungu mwema tangia domu
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 6 месяцев назад
Ila kwakwerrrr lichosema kenyonyo kiulizwa alicho sema makonda akuna atakacho jibu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ashaomar9999
@ashaomar9999 5 месяцев назад
Mungu amtuze rais ajae
@touches4lifeonlinetv46
@touches4lifeonlinetv46 5 месяцев назад
Ishi miaka mingi saana PM🎉
@MakokeHassan
@MakokeHassan 6 месяцев назад
Kunakajamaaa kapimbiii wanakabania hapo aahhh😅😅😅😂😂😂
@sarahdeograthias9097
@sarahdeograthias9097 6 месяцев назад
Samia kapata kiongozi,Uyu kiongozi Makonda wangemwacha aendelee kuwa Mwenaezi wa chama cha mpinduzi naimani Uchaguzi wa Urais kwa mchakato wa ndani wa Chama cha m...wangepata wakati mgum sana....Big up MAKONDA
@matatamatatatours3237
@matatamatatatours3237 6 месяцев назад
MAKONDO NII HAKIKA MAMA JITAFAKARI USIJE UKAMUACHA MAKONDA HUYU NIKIPENZI CHAN WANYOONGE NDO WENGI KULIKO MAFISADI WANAO MPIGA VITA OGOPA WANAVOSEMA CHAMA KINA WENYEWE NI WAO NA WATOTO WAO. ANAETETEA WANYONGE KWAO NIADUI OGOPA SANA WATU HAO
@J4UPro
@J4UPro 6 месяцев назад
Makonda upo vizuri sana kiongozi
@lucyvalerian2324
@lucyvalerian2324 5 месяцев назад
Makonda Oyeeeee...!
@AbdulMajid-kj5bi
@AbdulMajid-kj5bi 6 месяцев назад
Safi sana mh makonda
@RahelSimon-pl6yt
@RahelSimon-pl6yt 6 месяцев назад
Mji unamambo, mungu akusimamie kamanda
@fahadfahmy
@fahadfahmy 6 месяцев назад
Sisi kama wadudu tunamkaribisha mkuu 🤣🤣
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 6 месяцев назад
Hili siyo taifa la kihuni wasanii siyo mitaani
@grationkato7658
@grationkato7658 5 месяцев назад
Ndio maana nakupenda rc makonda
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 6 месяцев назад
Mh Makonda 😅😅😅unaongea Huku unatizama miatu yao km mkonga wa tembo 😅😅😅😅.
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂aisee kuongoza wadudu,busara inahitajika🙏🙏
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 6 месяцев назад
@@sarahkinyashi6213 yani ningekuwa mimi ningepata homa ghafula
@erickenock3198
@erickenock3198 6 месяцев назад
Kazi ipooo!!!
@pulikisia7963
@pulikisia7963 6 месяцев назад
Duh!! Sijui itakuaje mdudu mmoja hapo akaamua kuwa Samia😂😂
@MikidadiHussein-d8m
@MikidadiHussein-d8m 6 месяцев назад
Arusha nimewakubali sana kiukweli nime aprishiert
@mwinyichinchibera4875
@mwinyichinchibera4875 6 месяцев назад
Makonda oyeee
@LEHALEI-w8f
@LEHALEI-w8f 6 месяцев назад
Makonda wew ni noma 😂😂
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 6 месяцев назад
Uko vyema sana mkuu
@ShazmaRamadhan-w4o
@ShazmaRamadhan-w4o 6 месяцев назад
Mtu wa kwanza kupiga stor na wahuni na wakamuelewa😊😊😅
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 6 месяцев назад
Wabadilishie mavaz 😂😂
@evidencekangimba1538
@evidencekangimba1538 6 месяцев назад
Hawa wamekuwa ni kivutio sana kwa mkoa wa Arusha hivo mavazi ni muhimu sana
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 6 месяцев назад
Jamanii mimi nakuja kumuona Baba Makonda live.. Jamani hili ni JEMBE LA MaDINI YOTEEE🎉🎉🎉
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 6 месяцев назад
@godfamilyministry-ov1ch
@godfamilyministry-ov1ch 5 месяцев назад
Unafaa kuwa rais wa tz naona wa kuvaa viatu vya magufuuuuuuuuuuu niiiii makoooonda
@rabiimhando7586
@rabiimhando7586 6 месяцев назад
Sio powa salamu kwa mkono wa kushoto
@edwinelias8554
@edwinelias8554 6 месяцев назад
Km umemuona Dogo kabeba Dundo ( buffer mchongo ) tujuane kwa like😂
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 6 месяцев назад
Ushindi katika mapambano yoyote yale ni mbinu za midani.Makonda Ni kamanda mzuri
@HamisRashid-xl4mn
@HamisRashid-xl4mn 6 месяцев назад
WANAELEWA AU WANAPIGA2 MAKOFI😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@AMANIISSA-b5c
@AMANIISSA-b5c 6 месяцев назад
Wakuu wa mikoa wamuige makonda kwa kutetea lesirimari ya nchi
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 6 месяцев назад
💪🏾💪🏾💪🏾
@zuhurafulela7007
@zuhurafulela7007 6 месяцев назад
Mdogo Wangu umeona wazuri hao
@SimonMaregge
@SimonMaregge 5 месяцев назад
NjAaa mbaya
@AreKiwango
@AreKiwango 6 месяцев назад
Ni wadudu mtu au
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 6 месяцев назад
Wenzetu wamepata viongozi wazuru ila makonda mumepata mtu wallah natafuta nauri nije kwa makonda
@JescaBenardy
@JescaBenardy 6 месяцев назад
😊
@wilhardvawunge-ns2ks
@wilhardvawunge-ns2ks 6 месяцев назад
Bange ya Arusha
@dilludillu2747
@dilludillu2747 6 месяцев назад
Wadudu oyee
@barakarobert1029
@barakarobert1029 6 месяцев назад
Madogo wametulia
@YohanaMadata
@YohanaMadata 6 месяцев назад
Mung akubarik baba
@rajabujumanne9519
@rajabujumanne9519 6 месяцев назад
Uyo alioongea mbona kama sio mdudu
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 6 месяцев назад
Vijana mmepewa mlango. Tumieni wakati huu kufikiri lakufanya mpatiwe mitaji. Mbadilishe staili muonyeshe utalii wa mji wenu.
@beatusmajumbi7125
@beatusmajumbi7125 6 месяцев назад
Hakika wewe ni kiongozi
@AbduliKilungula
@AbduliKilungula 6 месяцев назад
Wameumbwa kwa mfano wa mungu mungu Gani huyo..
@veronicasarita8422
@veronicasarita8422 5 месяцев назад
MUNGU Mwenyezi
@joackimumalya7138
@joackimumalya7138 5 месяцев назад
Sasa hutaki au
@adamhashim3352
@adamhashim3352 6 месяцев назад
Mama kashawaona imeisha iyoo atawazibgatia
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 5 месяцев назад
Wasikikizwe maoni yao then hawa wasaidiwe
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf 6 месяцев назад
Uyo aliyevaa kofia ya jkt ni kama nani hasa?
@josephatdunda1937
@josephatdunda1937 6 месяцев назад
Hawa vijana ni balaa
@GideonJackson-bq2lg
@GideonJackson-bq2lg 5 месяцев назад
Huyu jamaa mwamba
@ramlamohamed4401
@ramlamohamed4401 6 месяцев назад
Makonda tunakuomba usije ukaondoka Arusha wewe ni wakwetu Hatutaki ujinga wa Lema tena Hivyo Mama yetu Samia tunamshukuru kutupa Hitaji la Mioyo yetu Arusha Makomda Mama Tunakonda ikiwezekana Makonda awe Raisi upande wa Chuga Makonda tunakupenda
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 6 месяцев назад
Ataondoka tu, mpangaji na mteuaji akiona anafaa sehem fulani hamna namna
@bushbabytz
@bushbabytz 6 месяцев назад
nyoko wewe lema anachukua arusha yake asubuhi mapemaa...huyu mwendazake ataenda tu..
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 6 месяцев назад
@@bushbabytz angeweza miaka miwili nyuma, kwa sasa kisha chelewa
@ramlamohamed4401
@ramlamohamed4401 6 месяцев назад
@@bushbabytz lema ni mchumba sasa hivu
@bushbabytz
@bushbabytz 6 месяцев назад
@@ramlamohamed4401 tupo hapa tunaoishi arusha na kuijua arusha....hatuna mafala ..arusha kaskazini nzima ni chadema
@JosephM.meiliari
@JosephM.meiliari 6 месяцев назад
Kwa mavazi hayo vp kiukweli binafsi sielewi kizazi kinaelekea wp na serikali imeshaunga mkono
@kijanamatata7135
@kijanamatata7135 6 месяцев назад
Hao ni wasanii acha kukaza fuvu wewe😂😂😂
@joackimumalya7138
@joackimumalya7138 5 месяцев назад
Hilo ni vazi kama vazi longine tu
@kanaanimpya2340
@kanaanimpya2340 6 месяцев назад
Hekima sana
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 6 месяцев назад
Hao ni njaaa wote wanunulie wali maharage
@joackimumalya7138
@joackimumalya7138 5 месяцев назад
Wewe unanini wewe
@RafikiNapepa
@RafikiNapepa 6 месяцев назад
Safi sana
@jacobmwanga7722
@jacobmwanga7722 6 месяцев назад
Chinyonyo 😂😂😂
@paschaljoseph3590
@paschaljoseph3590 6 месяцев назад
Makonda anakipaji
@huldamichael4445
@huldamichael4445 6 месяцев назад
😂😂😂mwana
@shekhaahmed3961
@shekhaahmed3961 6 месяцев назад
Madesigner hawa😂
@HamisRashid-xl4mn
@HamisRashid-xl4mn 6 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@TheopistaMuheta-qp1bc
@TheopistaMuheta-qp1bc 6 месяцев назад
Haaaa🎉🎉🎉🎉
@vivianezekiel-ef3iy
@vivianezekiel-ef3iy 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@JescaBenardy
@JescaBenardy 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂jmn
Далее
Ванька пошел!!!! 🥰
00:18
Просмотров 234 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full  episode /53/ #love
20:30
Просмотров 164 тыс.
Walichozungumza Tulia Ackson na Rais Putin
4:13
Просмотров 25 тыс.
The Day Ronaldinho Became a Brazilian Legend
12:50