Тёмный

MAKONDA AWAVAA VIONGOZI WA DINI/"MANABII NA MASKOFU FEKI"/"WANAMSIFIA MBOWE" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 318 тыс.
Просмотров 3,5 тыс.
50% 1

Akizungumza na maelfu ya wananchi wanaohudhuria kongamano kubwa la Operesheni Washa Taa linaloratibiwa na Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka watanzania kuwakataa watu wanaotumia Neno la Mungu na mavazi rasmi ya Viongozi wa dini katika kuwarubuni Watanzania na kujinufaisha kupitia maandiko matakatifu.
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@ChikiraMnkeni
@ChikiraMnkeni 2 дня назад
Makonda tangu lini akawa mtumishi wa Mungu...sasa ipo ivi saivi mkiua hatuombi tu ila tunawashitaki nje kwa mababazenu wanaowakopesha....ila mwisho wa CCM unakuja....
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj 17 часов назад
Huko kaka sijakuelewa ila kwanondo za kiserikarj .tunakuelewa sana
@KatotoEvarest
@KatotoEvarest 2 дня назад
Uko sawa makonda
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw 2 дня назад
Wewe mchugaji uliokaribisha Hilo jini bashite umevuliwa nguo wewe ni tapeli ndio bashite kakuaibisha
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu День назад
NABII FAKE NI HUYO TAPELI MWAMPOSA ALIYENAYE HAPO ANAYEUZA MATUNGURI YA CHUMVI SABUNI UDONGO ETC... MWAMPOSA ANA HESHIMA GANI MWIZI HUYO... MWAMPSA NA MAKONDA WOTE NI WANAMAZINGAUMBWE
@YohanaSemeka
@YohanaSemeka 5 часов назад
MANENO YAKO YANAMCHOMA SANA MWAMPOSA KWA SABABU HAJAITWA NA MUNGU ILA AMEITWA NA SHETWANI.
@Stevenmwanisawa-dt5vb
@Stevenmwanisawa-dt5vb 2 дня назад
Makonda hutaki viongozi wa dini wahubiri amani katika taifa letu. Panapotokea mauaji katika taifa hili unataka wakae kimya
@starlily07
@starlily07 2 дня назад
Mmeanza kwenda makanisani sasa kutafuta kupigiwa Kura, yaani mnapewa kabisa madhabahu na maiki kuongea pumba, mwamposa mwenyewe mpigaji tu Hana lolote
@christophermboya7676
@christophermboya7676 2 дня назад
Makonda huna akili Unashindana na mungu Subiri atakujibu kwa wakati
@YohanaSemeka
@YohanaSemeka 5 часов назад
MAKONDA MAMBO HAYO UNAYOYAONGEA YAMEFICHWA MACHONI PAKO LAITI UNGEFUNULIWA KIDOGO TU JUU YA HUYO MWAMPOSA UNGEMKIMBIA.
@husseinmtima6106
@husseinmtima6106 День назад
Hii nchi bhana Kila mtu yeye msafi ila akikaa peke yake kwenye Kona anaijua nafsi yake mbele ya mola wake!
@mackMmathayo
@mackMmathayo 2 дня назад
Emungu mubariki sana mpenzi wako makonda❤❤
@reginas1832
@reginas1832 2 дня назад
Kweli huna adabu. Ndiyo maana ulimpiga Mzee Warioba
@jumamsechu
@jumamsechu 2 дня назад
Sawa tapeli wa maneno
@jizzomonster
@jizzomonster 2 дня назад
Huyu nae fisadi mbona ww mama ako msabato pale igoma na shemasi lkn mbona hajawah kukukataa naww feki
@JocelyneMary
@JocelyneMary 2 дня назад
Mwisho wa dunia umefika magufuri angalia Tanganyika inapalanguka
@alphoncempemba4932
@alphoncempemba4932 6 часов назад
Yaani pale anapokosoa uharifu unaoendrea
@ThomasErro
@ThomasErro 2 дня назад
Nafarijika nimwonapo Makonda, aongeapo jukwani kwani tuliogopeshwa alipokuwa likizo, hongera sana kiongozi wetu
@reginas1832
@reginas1832 2 дня назад
The killer
@IddiBakari-uj4te
@IddiBakari-uj4te 2 дня назад
Kwanihuyo ndiye aliyempiga mzee wazili mkuu msfahafu? Mzee waliyoba! Wtz tumerogwa nanani?
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw 2 дня назад
Makonda umekua watu wengine tuambie aliemteka mo deuli beni sanane ACHA uongo huna ukweli wowote hayo makanisa mnaokaribishwa ni matapeli tuu
@GwakisaMwasemele
@GwakisaMwasemele 2 дня назад
Hapa tumepigwa
@dentomedicalresourceslimit4602
Na viongozi wa Serikali nao wanauliza maswali, hawana majibu!!!!
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 дня назад
Makonda mpumbavu, laana juuuu yako
@IddiBakari-uj4te
@IddiBakari-uj4te 2 дня назад
Du? Huyondiyo haduhi. Anajificha
@davidyHaramanda-qh9qd
@davidyHaramanda-qh9qd 2 дня назад
Unauhakika gani huyo sio feki😂
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 2 дня назад
Matango pori.unachanganya platform.propaganda
@YusuphMdaki
@YusuphMdaki 2 дня назад
Dini na siasa au Dini na serikali??????
@SubiranTimo
@SubiranTimo 2 дня назад
Heeee basi tuache kuogopa kuchinja ni kawaixa mayooooooo
Далее
Сняли домик блин🏠
23:19
Просмотров 333 тыс.
MNYIKA ATILIA MKAZO ''SAMIA LAZIMA TUMUONDOE........''
29:22