Тёмный
No video :(

MAKONDA;KWANINI UNANIDANGANYA?INJINIA ABANWA VIKALI SANA SAKATA LA MAJI/INJINIA AOMBA RADHI 

JAMBO TV
Подписаться 916 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@simonhombo9767
@simonhombo9767 3 месяца назад
Mungu anawaona CCM....wanawaweka wasio na uwezo afu wakibabnanishwa wanadanganya na kulalama wanadhalilishwa
@menelus911mene5
@menelus911mene5 3 месяца назад
Waone hata macho yao yana wasuta mhe wa kamuwe hao mpaka wavae miwani nakigugumizi chao kiwaishe piga kazi mhe na mungu akusimamie insha Allah❤❤❤
@menelus911mene5
@menelus911mene5 3 месяца назад
Namtazalilishwa kwa sana mungu anawaona mnavyo wa ibia wanyonge. Mkuu wa mkoa Arusha. Lete haki hapo
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 3 месяца назад
Back to back wanajaza matumbo yao tu na kula kodi zetu hlf kuna watu wanasema watu wanadhalilishwa hawa wakuwafukuza kabisa
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 3 месяца назад
Akili zangu tutaenda sasahivi
@HusseinAmiri-pp8dy
@HusseinAmiri-pp8dy 3 месяца назад
😂 A.a tunaongelea kutoka kwa maji, God bless Mh Paul Makonda
@azimioalbertongellangella8970
@azimioalbertongellangella8970 3 месяца назад
New Magufuli💪💪
@emmanulvictory507
@emmanulvictory507 3 месяца назад
Tunaongelea kutoka kwa maji❤
@mwanjaa9213
@mwanjaa9213 3 месяца назад
Wanatoa maaingzo lakn tatizo haliishi wakishatoa maagzo wawe wanafatilia
@noahemanuel7015
@noahemanuel7015 3 месяца назад
Dah😂😂😂😊
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 месяца назад
Makonda wabane hvo hvo had kieleweke
@user-vn9om8wg2h
@user-vn9om8wg2h 3 месяца назад
Monduli kuna shida ya maji sana yaan maji yanatoka tu Monduli mjini kijijini hamna maji
@newbornhaule
@newbornhaule 3 месяца назад
Kiujumla makonda una akili nzuri ila shida najua ilipo
@amiribakari2528
@amiribakari2528 3 месяца назад
Watendaji wengi wa serekali wapo hivyo
@egfridmkoba4767
@egfridmkoba4767 3 месяца назад
Hakuna njia nyingine sahihi ya kuleta mapinduzi ya utendaji zaidi ya hii. Mh. Rais akiridhia atoe agizo kwa wakuu wote wa wilaya na mikoa kufanya hivi hadharani. Huyu injinia angeshushwa cheo, wazembe waliobaki watakaa mguu sawa.
@ngwandukadama4229
@ngwandukadama4229 3 месяца назад
Aiseee
@mahengedaktari-ek8go
@mahengedaktari-ek8go 3 месяца назад
Hivi utatwambia makonda hafai tutakwelewa kweli
@Yasini-ub3hw
@Yasini-ub3hw 3 месяца назад
nikweli
@jacobmakono4399
@jacobmakono4399 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂Engeneer atakufa jamani!
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 месяца назад
Macho km pus kashikwa mkia😂
@HeriMagwaza-cd4wg
@HeriMagwaza-cd4wg 3 месяца назад
Tupa ndani mzee
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 3 месяца назад
Huyu jamaa ashafukuzwa na wazir wa maji juma aweso nashangaa kumuona hapo tena
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 3 месяца назад
😅😅😅shikamooo Makonda
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 месяца назад
Injinia 😂😊
@erickenock3198
@erickenock3198 3 месяца назад
Naona kipindi cha kubatizwa kwa moto kimeanza tena
@menelus911mene5
@menelus911mene5 3 месяца назад
Anatapatapa peleka ndani
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 месяца назад
Mjusi kabanwa mlango
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 3 месяца назад
bado hujasema
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 3 месяца назад
😂😂
@user-jj1sx1ow4h
@user-jj1sx1ow4h 3 месяца назад
😂😂😂😂
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 3 месяца назад
Acha kuita mtu mheshimiwa.nyerere Alikataa ita mtu ndugu loll
@user-jj1sx1ow4h
@user-jj1sx1ow4h 3 месяца назад
😂😂😂😂
Далее
SIGMA ENVY IS UNTOUCHABLE 🔥 #insideout2
00:10
Просмотров 2,6 млн
Кого из блогеров узнали?
00:10
Просмотров 383 тыс.
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Просмотров 5 млн