Mkiact halafu mkiingiza na mambo ya kiisilam basi ni bora muwaulize masheikh! Kitanda hakizai haram lkn mnakosea kusema ati muishi na musahau yaliopita kwa kua tu ati wazee mlikosana na mkaishi nakuzikana. Zinaa ya ndani ya ndoa m’ke haruhusiki hata kukaa eda namna Allah anavyoichukia zaidi.