Тёмный

MAMA mzazi wa GIGY MONEY Afunguka MAZITO/Nilikua ZAIDI ya GIGY/NAIMBA/MODEL/MISS 

Rick Media
Подписаться 860 тыс.
Просмотров 42 тыс.
50% 1

Huyu hapa mama mzazi wa Mwanamuziki GIGY MONEY. Mama Gigy amezungumza na Rick Media kwenye uzinduzi wa Reality Tv Show ya Mwanae. Mama Gigy amefunguka kuwa enzi za ujana wake alikuwa zaidi ya Gigy Money, anayoyafanya sasa mwane ni vitu ambavyo alishavifanya miaka ya nyuma
_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe RU-vid channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

Развлечения

Опубликовано:

 

2 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 107   
@MariamSaidy
@MariamSaidy 2 месяца назад
Hongera sana mama kwa majibu mazuri ukiwa kama zazi mpe mwanao Baraka zako❤❤
@aishaz1
@aishaz1 2 месяца назад
Nimekupenda bure mama G mstaarabu sana unajibu maswali kiutulivu Mashallah❤❤
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 2 месяца назад
Gigy Hongera sana Mama amekuheshimisha kwamba sikubali kufanya Interview mpaka nimuulize Gigy❤
@dianangailo9878
@dianangailo9878 2 месяца назад
Nimekupenda Mama ❤ Mungu akutunze sana
@user-hx9to8jv6l
@user-hx9to8jv6l 26 дней назад
Wew mama mungu akulinde wew ni mama bora natamani hata uwe mama ang mungu akulinde unabusara san
@winifridamassawe7198
@winifridamassawe7198 2 месяца назад
Kafanana na maimartha kwa mbali
@rinaellasroy1210
@rinaellasroy1210 2 месяца назад
For me, it's a smile. The woman got a very beautiful smile.
@MorejayTz
@MorejayTz 2 месяца назад
Wewe mama ni star unaweza maringo mpaka unaweza tena sio kitoto nakupenda tu❤😊
@naidamwakibinga6309
@naidamwakibinga6309 Месяц назад
Nakupenda sana mama Gigi mungu akulinde sana 🙏🙏🙌♥️❤️💯
@stn4873
@stn4873 2 месяца назад
Born here here huyo mtoto wa TMK utamwambia nini😂😂😂😂
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 2 месяца назад
Kwakweli 😂😂
@jasminealmasy1170
@jasminealmasy1170 2 месяца назад
anavyoongeq kama Boss lady flan hv😅😅😅
@sweet16honey75
@sweet16honey75 2 месяца назад
Asante mapenzi Mimi pia nampenda Gigy Mimi hupenda mtu wa kusema uwazi
@faridapandu7579
@faridapandu7579 2 месяца назад
❤❤😂😂 hongera mama Gigi upo sawa mashaallah ila mtoto mapepe akikuwaatacha❤❤😂gigikama gigi
@JacklineMakundi
@JacklineMakundi 2 месяца назад
Nimependa anavyompendq mwanae na kumzungumzia vizuri, Mungu akubarik mama
@ineykis-vf4ig
@ineykis-vf4ig 2 месяца назад
Kafanana sana na gift mpaka sauti uwiiiii
@pendojeremiah1023
@pendojeremiah1023 Месяц назад
Nimempenda sana huyu mama❤❤
@JasminEddy-cc3tx
@JasminEddy-cc3tx 2 месяца назад
Mama Yuko vizuri sana anajibu kama mama
@mariamzubeiri1723
@mariamzubeiri1723 2 месяца назад
Mama gigy mzuri jamn❤❤❤
@EmmeryhanaKolima-jz4mh
@EmmeryhanaKolima-jz4mh 2 месяца назад
Mama jamn i like that❤
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b 2 месяца назад
Mama kama mama
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад
hawa kina Gigi na dada zake wanafanan sana na mama yao. mama yao ana uzuri wa asili..ni mrembo sana..
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 2 месяца назад
Nataman kumfuta jasho😢
@israeluronu9958
@israeluronu9958 2 месяца назад
😅😅ilaa
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 месяца назад
Sasa si utamtolea hizo rangi mwenzio
@nancyg8664
@nancyg8664 2 месяца назад
Hhahaha ata mimi
@norahmajaliwa3841
@norahmajaliwa3841 2 месяца назад
Mama Gigy unajua kuringa
@norahmajaliwa3841
@norahmajaliwa3841 2 месяца назад
Nimekupenda bure
@sofiajumaa4538
@sofiajumaa4538 2 месяца назад
Jamani mpaka kuongea 🥰🥰
@KituRu
@KituRu 2 месяца назад
❤❤❤
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 месяца назад
❤❤❤mothers
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 2 месяца назад
Mama anajitambua sana
@DarKopo
@DarKopo 2 месяца назад
Nimekupenda mama Gigy
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 месяца назад
Hakuna mimba ya bahati mbaya
@user-fx2fn2qs3t
@user-fx2fn2qs3t 2 месяца назад
Mimi naipenda sana hii midia imetulia sana kama boss lick mwenyewe
@JosphineMwachima-co4ex
@JosphineMwachima-co4ex 2 месяца назад
Mashallah ❤❤mzuri ❤❤
@omanmct135
@omanmct135 2 месяца назад
Hakuna kamama❤❤
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 2 месяца назад
Kumbe hya mambo ya vyeti feki yapo tu jaman🤣🤣
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 месяца назад
Wanafanana sana sura na Gigy
@user-jh4hg2ev9s
@user-jh4hg2ev9s 2 месяца назад
Zipo hata kwa waloolewa.unatumia kinga hujajipanga na unaipata.
@haileymghoi1582
@haileymghoi1582 2 месяца назад
Kabla hamja record jamani muwe munamueka mtu sawa kwanza..ili video iwe bora zaidi❤
@catherinekiwipa9271
@catherinekiwipa9271 2 месяца назад
Ubora upii
@haileymghoi1582
@haileymghoi1582 2 месяца назад
@@catherinekiwipa9271 wakimwonekano
@monicaalute3143
@monicaalute3143 2 месяца назад
Of course😂😂😂😂😂
@naomicharles5444
@naomicharles5444 2 месяца назад
Bendera chuma mringoti chuma😅😅😅
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b 2 месяца назад
😅😅😅😅😅
@jj-nj7gg
@jj-nj7gg 2 месяца назад
😂😂
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 2 месяца назад
Mama amepoa amepoa amepoa 😂😂😂
@gracewairimu800
@gracewairimu800 2 месяца назад
Iyo of course inanimaliza aisee😂😂😂😂😅
@nancyg8664
@nancyg8664 2 месяца назад
😂😂😂
@user-bu8ts3hv4l
@user-bu8ts3hv4l Месяц назад
😂😂😂😂
@Sunshine0222
@Sunshine0222 2 месяца назад
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 2 месяца назад
Umevimba kama kiboko karibu utapasuka kwa pressure hiyo.
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 2 месяца назад
Wengne hawana ni mwili wake tu.
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 2 месяца назад
Sasa kauli gani ya kumwambia mtu amevimba kama kiboko?
@NeemaNderingo-jh5ij
@NeemaNderingo-jh5ij 2 месяца назад
That of course for me😂😂😂😂😂😂😂😂
@RamlahNassoro
@RamlahNassoro 2 месяца назад
Kafanana na Riyama Ally kuongea hadi mifumo yake uso unavouweka
@nancyg8664
@nancyg8664 2 месяца назад
Sauti ndio
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 2 месяца назад
Of course ya mama ime zidi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-co6el7tn4b
@user-co6el7tn4b 2 месяца назад
Hapo kwenye of coz😂😂😂
@zainabumtubwi1055
@zainabumtubwi1055 2 месяца назад
Lisa Lisa mwenyewe hqna tabu na mtu .kila mtu anapenda.mtoto wake
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 2 месяца назад
Mama Gigy numeongea vizuri heshima yako. Yaaninni 🔥🔥🔥🔥
@evamdumaedward7402
@evamdumaedward7402 2 месяца назад
Amefanana na mama yake macho
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 2 месяца назад
Hadi sauti
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 месяца назад
Mie iyo of course nachoka jamn uwiiii 😅😅😅😅
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 месяца назад
Malaya mpemvu.zuri kwa mambo yetu hili.mikao ya ajabu ajabu..ila halijielewi.elim duni ya kujitambuwa
@youtuberheart1648
@youtuberheart1648 2 месяца назад
Anaongea km mwanawe wamefanana hadi sauti😂
@jenny79517
@jenny79517 2 месяца назад
Mama Gigy mstarabu hadi rahaa❤❤❤
@monicaalute3143
@monicaalute3143 2 месяца назад
Copolocated😂😂😂😂 of course
@MarryMbiu-si2sz
@MarryMbiu-si2sz 2 месяца назад
Mama gigi nimekupenda san Maana unajitambua huwezi kumchagulia mtoto mwanaume mfundishe mama gresi
@BerthaModest
@BerthaModest 2 месяца назад
😂😂😂😂jamn mama gress kimemlamba
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 28 дней назад
Malaya waliozeeka hawa
@Chris_jemcheka
@Chris_jemcheka 2 месяца назад
Huyu mama ni shangingi mzee nyieeee alikua anadanga na mzee majuto enzi za uhai wa majuto😂😂😂😂
@ReyRoman-kb6re
@ReyRoman-kb6re 2 месяца назад
Danga na wew
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 месяца назад
Anaonekana tu ni moto huyu mama. 😂
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 2 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti daaanga
@youthchanel8612
@youthchanel8612 2 месяца назад
Cha ajabu
@user-jb6ri9db6b
@user-jb6ri9db6b 2 месяца назад
Wabongo mmezid na nyiyi unauwakika na mzee majuto
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 2 месяца назад
ofcourse🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@joycekalago532
@joycekalago532 2 месяца назад
Heshima yako maana yake nini hqlaf unarudia tena kusema shikamoo,na huyo mama anajua mambo ya giggy na chuma
@shamlimah5682
@shamlimah5682 2 месяца назад
WA mama wenye miaka hizi aki paint sura hivi walai naogopa. I think wen u grown woman u need to live simple life but too much makeup . This are women who spoils our young sons .
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 месяца назад
C'mon stop it. English is not your cup of tea. Use Kiswahili my dear.😊
@elizabethdamas-zp9xl
@elizabethdamas-zp9xl 2 месяца назад
😂😂😂😂
@shamlimah5682
@shamlimah5682 2 месяца назад
@@Brunn-mh2bq sorry I don't know kiswahili perfect ok I just fought to write wat u saw ok
@joycekalago532
@joycekalago532 2 месяца назад
Huyu mama et global kibao zinanifuata😂😂😂 sema media wee mama
@vivianjonathan1783
@vivianjonathan1783 2 месяца назад
Lazima ndo sababu unaona mama wa wasanii kibao wanafuatwa ila go ndo hapend mama yake ahojiwe emb msikilize vizur
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 2 месяца назад
Ila mama huna mtoto gigy umekula hasara
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 2 месяца назад
Tema mate chini
@user-mh9wy5ui8t
@user-mh9wy5ui8t 2 месяца назад
Mbona anaongea kama anajosa pumnzi au amejibana
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 месяца назад
Mmmm ni kwa Maringo tu anaongea mapozi
@user-jb6ri9db6b
@user-jb6ri9db6b 2 месяца назад
Jman mwil mkubwaa kwaiyo lazima awe hivyooo
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 2 месяца назад
hamuon unene maswali ya kijinga
@prezgal8869
@prezgal8869 2 месяца назад
Mapozi tu
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 2 месяца назад
Toa magaga puani. Punguza kula utachanika
Далее
HOUSE GIRL  EP 21 || love story💞💕
21:54
Просмотров 160 тыс.
Must watch new special comedy wait for end 😆🤣
0:49