Тёмный

HOUSE GIRL EP 21 || love story💞💕 

BUSATI TV
Подписаться 89 тыс.
Просмотров 147 тыс.
50% 1

#bongomovie

Кино

Опубликовано:

 

25 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1 тыс.   
@busatitv
@busatitv 14 дней назад
*JE UPENDI CHAT ILA UNATAMANI KUPATA LINKS KWA GROUP?* Usijali sasa tumekusaidia njia Mbadala ya Wewe kupata Links kwa wakati bila kupata usumbufu wa Chat 1. Tuna Group maalum la links. Group hili la Links tumelifunga ni admin pekee ndio utuma links za episode mpya hivyo hata ukiwa hauupo online unaipata link kwa wakati. Bonyeza maandishi ya blue kujiunga group letu la Links pekee. Pia tunatuma na links zetu za movie nyingine 👇🏻👇🏻 chat.whatsapp.com/Jf3PLbJkKbTLEiNFD1aJ3o Lakini pia tuna WhatsApp Channel... Hii itakusaidia zaidi kupata habari zetu zoote bila usumbufu wa aina yoyote. Na hakuna Mtu ambaye anaweza kukuona kama ume follow WhatsApp channel yetu 👇🏻👇🏻 whatsapp.com/channel/0029VaEXYzkEVccPBP347F2c *KARIBU BUSATI TV BURUDANI BILA KIKOMO*
@user-qv2de8ig2k
@user-qv2de8ig2k 13 дней назад
Yes Nataka
@SilivesterkalaniJr
@SilivesterkalaniJr 11 дней назад
Ipoooooo hiyo
@ZuhuraAhmad-xm1qx
@ZuhuraAhmad-xm1qx 11 дней назад
House girl episode 22
@JasinthaAngelo
@JasinthaAngelo 5 дней назад
Fresh zuuu umenipata
@AdijaWashuma
@AdijaWashuma 14 дней назад
Wanao mkubali Kai amuoe zuu gonga like
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 14 дней назад
👍👍👍😂😂😂
@AgnessYohana-rd8ny
@AgnessYohana-rd8ny 14 дней назад
Waoo Kazi nzuli zuu
@user-le6xc6ei5x
@user-le6xc6ei5x 14 дней назад
Yan mm ndo nitatembeza juice😂😂😂
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 14 дней назад
@@user-le6xc6ei5x mimi nitapokea wageni 🛍️🌹😂😂😂😂
@23Maryamu
@23Maryamu 14 дней назад
Tupo wengi😊
@jacklineshayo3962
@jacklineshayo3962 14 дней назад
Waliofurahia zuu alvyomjb candy. Nasbria likes zenu hapaa🎉❤
@RamadhanChaba
@RamadhanChaba 14 дней назад
Zuu kanifulaisha Sana kaupiga mwingi kwako Kai ❤❤❤❤❤ tunazipenda Kaz zenu jaman
@AsDg-zd4hg
@AsDg-zd4hg 14 дней назад
❤❤❤❤❤
@AsDg-zd4hg
@AsDg-zd4hg 14 дней назад
❤❤❤❤❤
@MwajuuIddi-we4wv
@MwajuuIddi-we4wv 14 дней назад
❤❤❤
@DhenaAly
@DhenaAly 14 дней назад
❤❤❤❤
@OliverSanga-jw7cd
@OliverSanga-jw7cd 14 дней назад
Jamn leo zuu kafunguka wanao mkubali zuu gonga like hapa
@user-pt6nl5vt2g
@user-pt6nl5vt2g 14 дней назад
Leo amenifurahisha
@priscilladama8686
@priscilladama8686 14 дней назад
Nmependa alivyonyanyuka zuu ma kujiamin ❤❤❤❤❤
@user-wm9xn9iy4s
@user-wm9xn9iy4s 14 дней назад
Kabisaa
@ElizabettEmanuel
@ElizabettEmanuel 14 дней назад
Uwi nauku mchawi
@SabrinaOfficial-qh2nq
@SabrinaOfficial-qh2nq 13 дней назад
@user-fh5ko7he2z
@user-fh5ko7he2z 14 дней назад
Simba Mpole ndio mla nyama hongera zuu kuwa jasiri kendi asikutambie, team zuu naomba like leo jamani na mm
@user-pq9yd1zg5k
@user-pq9yd1zg5k 14 дней назад
Team zuuu oyoooooo🎉🎉🎉🎉🎉❤
@MARYNAGUJustin
@MARYNAGUJustin 14 дней назад
patam hapo 😊😊😊😊
@vumiliajerome7402
@vumiliajerome7402 14 дней назад
Yani apo nimepapenda balaa😍
@user-wh6xd6ez5y
@user-wh6xd6ez5y 6 дней назад
Hapo umetisha zuuu maua kwako🎉🎉🎉🎉🎉
@abedysteven4930
@abedysteven4930 6 дней назад
😂😂😂
@WittyWitty-cc8rs
@WittyWitty-cc8rs 14 дней назад
Tujuwane tunaokubali Kai amuoe zuu like 10
@user-nf7kt6wp6s
@user-nf7kt6wp6s 14 дней назад
34
@fettylove1561
@fettylove1561 14 дней назад
Wale wakuangalia uku tunasoma coment like apa❤😂
@user-wb2wp5pe9p
@user-wb2wp5pe9p 14 дней назад
😂😂😂😂tupo apa
@RachelPaul-gb3po
@RachelPaul-gb3po 14 дней назад
❤❤❤❤❤Zuuu
@shangaokigwada5053
@shangaokigwada5053 14 дней назад
😂😂
@JacklineMwano-jr5vl
@JacklineMwano-jr5vl 14 дней назад
❤❤❤❤
@AishaTondwe
@AishaTondwe 14 дней назад
😂😂😂
@WeddyMithika
@WeddyMithika 14 дней назад
Team zuu gonga like jameni❤❤
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 14 дней назад
Tugonge kwa wapi
@LinasMwenda
@LinasMwenda 14 дней назад
😂😂😂​@@calvinshirima2654
@DzameBEGA
@DzameBEGA 14 дней назад
❤❤❤❤❤
@JohnMakee
@JohnMakee 14 дней назад
Waleee😅😅
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 14 дней назад
Kama unahamin ndoa ya khai na zuuh kama itafungwa mwaga like zakutosha tusiache ata moja...😂😂😂😂😂❤❤❤
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 14 дней назад
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 14 дней назад
❤❤❤
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 14 дней назад
🎉🎉🎉🎉
@RechoMasele
@RechoMasele 14 дней назад
🎉🎉 🎉❤
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 14 дней назад
😂😂😂😂
@omankafa1555
@omankafa1555 14 дней назад
Sijawah kutoa comment ila Leo zuuh wangu umenifurahisha sana kumjibu kendy
@HusnahMariam
@HusnahMariam 14 дней назад
Nakwambia anenfurahishaje
@user-xr8qv9mw9v
@user-xr8qv9mw9v 14 дней назад
Wanao mkubali zuu weka like ndoa ipo au haipo❤❤❤
@user-zp6xx5xd7g
@user-zp6xx5xd7g 14 дней назад
Ndoa ipo🎉🎉🎉🎉
@user-pt6nl5vt2g
@user-pt6nl5vt2g 14 дней назад
​@@user-zp6xx5xd7gIpo
@EmJesho
@EmJesho 14 дней назад
Ipo inanukia
@VailethChimais
@VailethChimais 14 дней назад
Ipo
@VailethChimais
@VailethChimais 14 дней назад
❤❤❤❤
@FurahafutakazaGloria
@FurahafutakazaGloria 14 дней назад
Whaou ❤️ ❤️ nimewai naombeni like 👍 zenu natokea 🇨🇩
@VenilaSaria
@VenilaSaria 14 дней назад
Ndoa ya zuuu na Kai inafungwa haifungwi team zuuu gonga like za kutosha❤❤❤❤❤
@JosephineMbelwa-jy3qy
@JosephineMbelwa-jy3qy 14 дней назад
Nimependa Khai alivyomkumbatia zuu like jamani 😉😉🤗🤗🤗🎉❤❤
@SuzannMukuna
@SuzannMukuna 14 дней назад
wakwanza kuona kutoka Mozambique naombeni likes zangu timu zuu❤❤❤❤❤❤
@nabillsuede1465
@nabillsuede1465 14 дней назад
Mimi piah nipo Mozambique 🇲🇿🇲🇿❤❤❤❤❤
@NancyKadzo-zk3tp
@NancyKadzo-zk3tp 14 дней назад
nimekuwa wa tatu leo wap likes za zuu na kai much love froma kenya❤❤❤
@FatmaMama-qq7ye
@FatmaMama-qq7ye 14 дней назад
Mwisho wa ubaya ni aibu,utapamban na Bibi na Mungu pia maan Cheitwan hua hanalolote mbele ya Allah
@FattyDapetty-tj9vr
@FattyDapetty-tj9vr 14 дней назад
Sjachelewa Leo ulipo nipo nawapenda sana team zuuu tujuane sasa muv ndo inaanza mkuki kwa nguluwe 😂😂😂😂😂😂😂😂maua yenu hayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@charitychadrek
@charitychadrek 14 дней назад
Nimewahi reo jamani tame zuu gongen like hapa❤
@PhilosLove-cb1oj
@PhilosLove-cb1oj 14 дней назад
Mmmh uy candy anaroho mbay kwel
@user-vf6on6xy5l
@user-vf6on6xy5l 14 дней назад
Kali sana Leo nimekuwa kwanza from Kenya kazi njema ,,, kongole🎉🎉🎉❤
@glorymhanga8718
@glorymhanga8718 14 дней назад
Candy ondokaaa mwache Kai ale Raha mama😅😅😅😅
@ZabibusuphianialisuphianiAlly
@ZabibusuphianialisuphianiAlly 14 дней назад
Maweeeeee huko kwa mganga sasa ni fire 🔥😂😂team zuu kujeni na like Moja moja hapa😂🎉❤
@SalomeNkwabi-jy4nu
@SalomeNkwabi-jy4nu 14 дней назад
Candy kaa kwakutulia mmeo kashachukuliwa hvo😂😂😂😂 team zuuu wapi like ❤❤❤❤
@essaqoffsett
@essaqoffsett 14 дней назад
Wakwanza mim naomba like zenu
@AdijaWashuma
@AdijaWashuma 14 дней назад
Daah zuu kajipa ujasir like kwa zuuu jaman
@user-ls7ww5fg3y
@user-ls7ww5fg3y 14 дней назад
wanao mkubali zuu naombeni like zenu jmani 🇰🇪🇰🇪
@MauwaAsese
@MauwaAsese 14 дней назад
naombeni like zangu nipo USA hapana Leo nimekua namba moja
@tausimct
@tausimct 14 дней назад
Jamani wezangu nyie muda wote mpo yutupu naombeni like zenu
@VeronicaIbrahim-wv4dg
@VeronicaIbrahim-wv4dg 14 дней назад
Nimewahi jamani like zangu
@sommohd7903
@sommohd7903 14 дней назад
Jaman namie niwah Leo 😂
@user-bm1oe9lh1m
@user-bm1oe9lh1m 14 дней назад
Nimewahi n mm leo naombn like Ata 2😢😢❤🎉
@FettyAbdallah-s1l
@FettyAbdallah-s1l 14 дней назад
Jaman tim zuuu naomben like zenu❤
@MariahJuliuss
@MariahJuliuss 14 дней назад
Wadau ndoa tunayo 🎉🎉🎉🎉 kend kwisha abali yake nipeni like zangu
@atupelyelawi4602
@atupelyelawi4602 14 дней назад
❤❤❤
@AnnaBrown-on5oz
@AnnaBrown-on5oz 14 дней назад
Tunao jua ndoa ipo gonga like ❤❤❤❤
@FatmaMama-qq7ye
@FatmaMama-qq7ye 14 дней назад
Nikiwa Buja,Kai Ndoa tunayo ss tunasimama n,Allah,hico🎉 kikaragosi cako hakijiamini kilicezea shilingi kwenye tundu lacho, oyeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@LassonDominick
@LassonDominick 14 дней назад
Mmmmmh!! Kila nikiona hii movie namkumbuka baby wangu jaman😢😢😢😢😢!! Zuu kabadilika amekuwa simba sasa🎉
@user-qg7wx1ou5b
@user-qg7wx1ou5b 14 дней назад
Tunayo ifatilia house girl toka peased 1 adi leo 21 tujuane kwa like🎉🎉
@glorymhanga8718
@glorymhanga8718 14 дней назад
Wapi team zuuuu😂😂😂😂mauwa yetu basi wakati wetu umewadia saaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@Jackiline-kw3zq
@Jackiline-kw3zq 14 дней назад
Wakwanza leo ❤❤ , mov tamu sana nawapenda sana
@glorymhanga8718
@glorymhanga8718 14 дней назад
Umejua kutufurahisha kaka Kai, asante sana 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@Zenabeby
@Zenabeby 14 дней назад
Ila naomba izo dawa zisimshike Zuu juu analindwa na mizimu ya kwao au vpy jaman like bas😅
@user-sk7un6ls2t
@user-sk7un6ls2t 14 дней назад
Sijachelewa na mm naomba like kidogo😂😂😂 safi sana zuuuuuu
@RuthAkinyi-pq7ci
@RuthAkinyi-pq7ci 14 дней назад
Zuu kafanya jambo poa👍❤️❤️❤️❤️❤️
@nadyasabur8613
@nadyasabur8613 14 дней назад
Wao mashallah. Hongereni kazi mzur allah awasimamie 🤲
@SwaumMapunda
@SwaumMapunda 14 дней назад
Nikichoka kuvumilia ntakuzibua 😂😂😂 aisee zuuh chukua maua yako🎉🎉🎉🎉 nakupend mpk naumwa candy by kwa kai😂😂😂
@amissidelphin8616
@amissidelphin8616 14 дней назад
Mm wakwanza naomba like yangu ❤❤❤
@nice7706
@nice7706 14 дней назад
Unafanyia nn
@TumainiJaphary
@TumainiJaphary 14 дней назад
Penzi jipya tam bhn gonga like km unakubal penzi jipya la kai
@IlhamShaban-vq3kx
@IlhamShaban-vq3kx 14 дней назад
Jaman mambo ni moto
@Marrymboya-cl9io
@Marrymboya-cl9io 14 дней назад
Dakika chache tuu commet nyingi wapendwa ni wengi
@PeninahMomanyi-ol3mk
@PeninahMomanyi-ol3mk 14 дней назад
❤❤❤
@glorymhanga8718
@glorymhanga8718 14 дней назад
Mwambie huyo zuu,hakujui enheeee 😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-kp4yg7sh7j
@user-kp4yg7sh7j 14 дней назад
Wapendwa munajuwa kuwah nikajuwa wa kwanza😅😅❤❤❤🎉🎉
@jacklineshayo3962
@jacklineshayo3962 14 дней назад
2naoikubal house girl na mafundsho yake nasbria likes zenu🎉🎉
@user-pn5sj7qo1l
@user-pn5sj7qo1l 14 дней назад
❤❤❤❤❤❤bro kay unaitaji mauwa yaupendo wallahi💋😘🎉🎉
@user-gc7go5we4g
@user-gc7go5we4g 14 дней назад
Kaka Kaye wowa mbiyo nikupe like1000
@user-bb6oy5dl6y
@user-bb6oy5dl6y 14 дней назад
Congratulations 🙌 my people one ❤️ from 🇦🇺
@AsiamandutaAsiamanduta
@AsiamandutaAsiamanduta 14 дней назад
M nawapenda sana muv zako Kai uchelewesh adi lahaaa
@user-rh7kx5xp4f
@user-rh7kx5xp4f 14 дней назад
Jaman kwa zuu kumeniga leo zuu kaongea ❤️❤️❤️😂😂😂😂😂
@AngelMbaraka
@AngelMbaraka 14 дней назад
Ety dk 6 lakin sio wakwanza😢 Mko fasta Sana I'm waiting for like
@FloridaAndrew330
@FloridaAndrew330 14 дней назад
😂😂😂😂
@FurahafutakazaGloria
@FurahafutakazaGloria 14 дней назад
Whaou ❤️ ❤️ ❤️
@safiahilali3352
@safiahilali3352 14 дней назад
Na mie nipoo msinisahau 😂😂
@JustineSilukala-io3nd
@JustineSilukala-io3nd 14 дней назад
Whaooo zuh apo umejiamin Tetea penzi lako zuh big app sana zuh salut kwako
@user-zv5ny8np8d
@user-zv5ny8np8d 14 дней назад
Nimekua wapili leo jamn❤❤❤😂😂😂😂😂
@user-sk4yh5kw9j
@user-sk4yh5kw9j 14 дней назад
Kaz Safi jmn nawapnda kinoma ❤❤❤
@SalhaHamad-mc6jj
@SalhaHamad-mc6jj 14 дней назад
Movie tamu sanaaa,hongera kai ❤
@HamisiSuma
@HamisiSuma 14 дней назад
Mmmh watu mnajuwa kuwahi...... Ila asanteni kwa ep 21
@irakozeshela1809
@irakozeshela1809 14 дней назад
kumekuchaaaaa😂😂😂😂❤mambo yamecemka😅😅😅
@LucyKapaga
@LucyKapaga 14 дней назад
Namkubali sana zuuu
@margparet5741
@margparet5741 14 дней назад
Kazi nzuri sana
@ediselaemmanuel1930
@ediselaemmanuel1930 14 дней назад
Mimi wa kwanza naomba like zangu
@happinessjulius-up3sw
@happinessjulius-up3sw 14 дней назад
Weeeeeeee hatari Leo muv tamu sana
@LucyKhachiti
@LucyKhachiti 7 дней назад
Team house girl woyeeeeeeeee 🎉🎉🎉 hawa wamama yafaa tuwape adabu ,,gonga like tukisonga
@busatitv
@busatitv 7 дней назад
🙏🙏🙏
@Marry0-ce6vu
@Marry0-ce6vu 14 дней назад
Team Kai wanao mkubali amuoe zuu wapi likes❤❤❤
@-kagerayetubw9jx
@-kagerayetubw9jx 14 дней назад
Nimesau kuomba like aise naomba ata like 5 tu
@zuleykhasaid967
@zuleykhasaid967 14 дней назад
Asa huyu anafata nini kwa mke mwenzake 😂😂😂sijapenda
@YusuphSabuli
@YusuphSabuli 14 дней назад
Hata mm sijapentaaa
@zuleykhasaid967
@zuleykhasaid967 14 дней назад
@@YusuphSabuli 🤣🤣🤣 tufanye maandamano
@emmanuelmanirambona6495
@emmanuelmanirambona6495 14 дней назад
Wanaopenda namna zuu anavyojitetea mbere ya kendi nipeni like hap
@fammamourchy2164
@fammamourchy2164 14 дней назад
Oyooooo Kumbe bibi kwa boss mchawi ana TV ukutani Ila bhona anaona mbali namkubali 🎉🎉🎉🎉
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee 14 дней назад
Lkn ivyo n vitu za kitambo
@user-mx2ff7ny5z
@user-mx2ff7ny5z 14 дней назад
Hapo itakuaje nikama atamrudisha zuu
@user-qq1kt3hg1l
@user-qq1kt3hg1l 14 дней назад
Jaman candy anampenda Kai gonga like
@RosemaryMurefu
@RosemaryMurefu 14 дней назад
Kampenda tangu lini jamani😂😂😂😂😂😂😂
@RosemaryMurefu
@RosemaryMurefu 14 дней назад
Kampenda tangu lini jamani😂😂😂😂😂😂😂😂
@MaryPendo-gy4yr
@MaryPendo-gy4yr 14 дней назад
Akakojoe alale yake yameisha😹
@NipaelyGoodluck
@NipaelyGoodluck 14 дней назад
Jaman nimekua wa mwisho lakn naomben like zenu
@JastonnaruweniJaston-cu5rm
@JastonnaruweniJaston-cu5rm 14 дней назад
Saviiii
@SmilingBackpacker-dr5hx
@SmilingBackpacker-dr5hx 14 дней назад
Next 22tunasubilia kwa hamu🎉❤❤❤ kai na.zuu waowane❤ tuu wanaenda❤
@user-qm8uf9qv6l
@user-qm8uf9qv6l 14 дней назад
Mi nimeikubali ndoa yao ,❤❤❤❤
@user-vv8nw5jj4r
@user-vv8nw5jj4r 13 дней назад
❤ wow napambika mie ❤❤❤❤🎉
@violangaira
@violangaira 14 дней назад
Mwanamke huna heshima hata baba mkwe. mwache Kai amuoe zuu
@pillymakambi9133
@pillymakambi9133 14 дней назад
Oyaa nimewah japo nimechelewa kidogo nipe maua yangu🎉 na like kam zoteee
@user-rz6nz5dg1u
@user-rz6nz5dg1u 14 дней назад
Nilitegemea bibi aonyeshwe wanavyoenda kwa mganga wakulu wanamuonyesha matukio yaliopta wakulu wamezngua 😅😅😅
@ZamdaJumaRamadhan
@ZamdaJumaRamadhan 14 дней назад
Hahahaha et wakulu
@user-rz6nz5dg1u
@user-rz6nz5dg1u 14 дней назад
@@ZamdaJumaRamadhan ndio ni wakulu hao
@MarthaTabindi
@MarthaTabindi 14 дней назад
Heshima ni kitu cha muhimu Sana katika Maisha Yetu ucmdharau mtu ucye mjua,, Ona sasa Candy dharau zmekuponza😅😅
@mwanajumakomar3831
@mwanajumakomar3831 14 дней назад
Nmecheka apo kwa vurugu yaan 😂😂😂😂hongera zuuuu wetu 😊na mm naomba like zenu kila cku nawapa nyinyi tu😢na mm leo mnipe😊
@MauaSaid-t4b
@MauaSaid-t4b 14 дней назад
Asante kaka kai kwa maamuzi mazuri safi, zuuu vunja ukimya mtoe kope hizo😅😂😅😅😊
@user-pr3hf4lm9o
@user-pr3hf4lm9o 14 дней назад
Leo nimefurahishwa sana mapema tu nimekua wakwanza
@AgnessBenard
@AgnessBenard 14 дней назад
Da! Kai na zuu uyoooo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-ii1ym5fe7j
@user-ii1ym5fe7j 14 дней назад
Leo mm niwa 20000000000000 nawapa mauwa yenu nyooote mnio hona ep21 kwa wakat🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ediselaemmanuel1930
@ediselaemmanuel1930 14 дней назад
😂😂😂😂ya leo moto😂😂😂
@user-yi6xp4my6w
@user-yi6xp4my6w 14 дней назад
wuuuwi natamani niwe zuuu haki na wewe genty ungekoma matusi
@Ummymohamedi
@Ummymohamedi 9 дней назад
Ndoa tunayo kend kwisha like
@MariamRamadhan-co1ev
@MariamRamadhan-co1ev 14 дней назад
Waooo zuu nimependa kuonesha ujasir alikuwa anakuchukulia poa😅🤣🤣 manshaallah ❤❤❤❤
@jubaidamiss2409
@jubaidamiss2409 14 дней назад
Next 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-cr4xl9tq5s
@user-cr4xl9tq5s 14 дней назад
Sio poa awajamaa
@FatinaShedafa
@FatinaShedafa 14 дней назад
Waoo upole mzuri jaman zuu zamu yako
@SalmaKenyatta-cn8tg
@SalmaKenyatta-cn8tg 14 дней назад
Yani hapo mzee kma unatwanga maji kwenye kinu😂😂😂Babu umepiga mwingi❤❤❤
@LymoGladyx
@LymoGladyx 14 дней назад
🎉🎉🎉🎉you deserve sis kula kiburi
Далее
HOUSE GIRL  EP 22 || love story💞💕
19:45
Просмотров 137 тыс.
HOUSE GIRL  EP 39 || love story💞💕
19:52
Просмотров 16 тыс.
Беда приходит внезапно 😂
00:25
Просмотров 612 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/14/ #love
30:06
Просмотров 184 тыс.
Will you marry me EP 1
39:53
Просмотров 29 тыс.
THE HOUSE GIRL EP 1
9:36
Просмотров 3,9 тыс.
HOUSE GIRL  EP 38 || love story💞💕
21:43
Просмотров 79 тыс.
MKE WA JIRANI PART { 7 }
23:22
Просмотров 26 тыс.
SNAKE BOY | ep 27 | SEASON TWO
32:35
Просмотров 420 тыс.
HOUSE GIRL  EP 30 || love story💞💕
24:11
Просмотров 141 тыс.
PENZI LA SHEMEJI 01 || SIRI
18:21
Просмотров 55 тыс.
The 100 #Show
1:00
Просмотров 10 млн
The 100 #Show
1:00
Просмотров 10 млн