Тёмный

MWANAMKE ALIEPACHIKWA MIMBA NA KAKA YAKE SIRI YAFICHUKA MUMEWE AJA JUU NA KUMKATAA 

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Подписаться 47 тыс.
Просмотров 106 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 425   
@DativaMassawe-wk2nz
@DativaMassawe-wk2nz 2 месяца назад
Naomba roho iliyotumwa kufuatilia na kuharibu maisha yangu iharibiwe na kurudi huko ilikotoka kwa jina la Yesu
@user-th4ut7zw8m
@user-th4ut7zw8m Месяц назад
Bwana Yesu asifiwe,mtumishi hii kwakweli inatosha na inatufundisha kua kuna Mambo mengi ya sirini ambayo Duniani watu wanatenda,tunaomba Mungu ahusikike juu ya haya atuondolee vitu vya sirini ambayo vinatutesa
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 7 месяцев назад
Yesu mkono wako si mfupi ha usiweze kuokoa mao u yeti yametufarakanisha na uso wako Niokoe Mimi na uzao wa tumbo langu Amina
@DanielDhahabu-bk9hd
@DanielDhahabu-bk9hd 3 месяца назад
Bwana Yesu asifiwe Nabii kiboko ya wachawi naomba mchawi anayefuatilia maisha yangu na makusudi ya Mungu aliyoyaweka katika maisha yangu afe kwa jina la Yesu leo.Amen.
@amanibalama5251
@amanibalama5251 6 месяцев назад
Asante Mungu kwa kutuletea pastor dominic Mungu akupe maisha marefu-Amani
@mr_voiceeyounghustler149
@mr_voiceeyounghustler149 Месяц назад
Ukiwa mchungaji mm nakushauli jalibu kuwa nahekima Ndio Hilo Tu Kaka yangu maana kunawatu ukiwambia papo hapo nyumban kwao huko wanaweza wakuwana
@dainessjoseph9296
@dainessjoseph9296 6 месяцев назад
Unawapeleka jehanam watu hao kwa uongo unaotengeneza.....Mungu aliye hai hatakuacha salama
@neemajafali4468
@neemajafali4468 6 месяцев назад
Kanisa la wakongo matapeli wote.Shuhuda zote za usiku zimerekodiwa ni COMEDY, hata zile za kanisani zimepangwa wanaigiza Dominick anafanya mazingaombwe tu,hakuna huduma yeyote ya kiroho. Amkeni watanzania.
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 3 месяца назад
Amka mwenyewe,
@StelaKomugisha-cb3zb
@StelaKomugisha-cb3zb 4 месяца назад
Amina baba nisaidie nikomboe mm na familia yangu
@user-qo7hz6jy4u
@user-qo7hz6jy4u 6 месяцев назад
Mume wangu ni mtumishi lakin Jana upako, anatamani kuwa kama wewe baba😊❤ 3:41
@MeshackNanyaro-xg8qg
@MeshackNanyaro-xg8qg Месяц назад
Dah!! Kweli nyakati zilizotabiriwa kuwa nizamwisho hatimae zimefika yani watu wanakamatwa maskio laivu kabisa na shetani jaman watu wa Mungu ebu funguen macho muone mbele rudini miguuni mwa Mungu na msome maandiko vizuri mtambue kuwa muda umeisha
@DativaMassawe-wk2nz
@DativaMassawe-wk2nz 2 месяца назад
Bwana Yesu asifiwe Nabii wa Mungu naomba uniondolee hii roho ya uhari ifu iliyo tumwa na wachawi kufuatilia maisha yangu na kunisababishia magonjwa nndoto mbaya uangushe hiyo roho na kuirudisha huko iliko toka kwa jina la Yesu
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 7 месяцев назад
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@user-ol1mv8fc3t
@user-ol1mv8fc3t 2 месяца назад
Mm naitwa Emanuel Habibu Nyenzi nakuja japo sijawahi kukutana na wewe mm ni dreva wa mabasi ya kwenda nchi za nje Mungu naomba tuonane Ubarkiwe na Bwana Yesu uishi kama Mungu aishivyo
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 Месяц назад
Thank you 🙏 Lord Jesus
@MohamedHassan-eq9os
@MohamedHassan-eq9os 5 месяцев назад
Ameen nabii ubarikiwe 2:48 3:08
@MohamedHassan-eq9os
@MohamedHassan-eq9os 5 месяцев назад
Ameen nabii ubarikiwe 2:48
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 7 месяцев назад
Mama Amina mwenyewe Kama akili zake hazipo sawa 🤣🤣🤣
@Caritune
@Caritune 6 месяцев назад
Nimesikia Kuna mama kaibiwa tulubai kanisani Kwa kiboko mpaka sasa ajalipwa ukizingatia kiboko wewe tunakuamini uyu mama inakuaje tulubai lake au habali ujaisikia 😢😢😢😢😢
@user-nt6ng4ey1z
@user-nt6ng4ey1z 6 месяцев назад
MUNGU akulinde baba
@FrankJoseph-ex8kl
@FrankJoseph-ex8kl 3 месяца назад
Amina
@JastiNjau
@JastiNjau 3 месяца назад
Bwana asifiwe baba naitwa jastini mamboyangu yameyumba sana baba
@user-nx4lx6jl6c
@user-nx4lx6jl6c 3 месяца назад
Bwana yesu asifiwe pole na kazi Baba
@user-qo7hz6jy4u
@user-qo7hz6jy4u 6 месяцев назад
Amina Baba
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 месяцев назад
Absolutely right indeed Daddy
@doranasinyari3090
@doranasinyari3090 4 месяца назад
Amen
@Cecelia-hn8bx
@Cecelia-hn8bx 5 месяцев назад
Amina sana baba
@DevothaMichael-hp4oj
@DevothaMichael-hp4oj 5 месяцев назад
Bwana yesu asifiwe mchungaji wng... Naitwa Devotha Michael mteng Naomba maombi yko nimjue anaye niroga baba!!
@MozahGreyson
@MozahGreyson 4 месяца назад
1.Wathesolanike 5:20 amina m2mishi. Mungu aendelee kukupa uzima
@MohamedHassan-eq9os
@MohamedHassan-eq9os 5 месяцев назад
Ameen nabii ubarikiwe
@BarakaSagamba
@BarakaSagamba 2 месяца назад
Mungu akutunze baba yangu wa kiroho ipo siku Mungu atakulipa
@LovenessGrayson
@LovenessGrayson 5 месяцев назад
Amina baba naomba unifungulie nipate kazi
@user-yp9pt8tw1p
@user-yp9pt8tw1p 6 месяцев назад
Amina naamini ilo mtumishi
@StellaVicent-lg6yy
@StellaVicent-lg6yy 3 месяца назад
Amen postar
@angolina1768
@angolina1768 6 месяцев назад
Ubarikiwe baba
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 6 месяцев назад
Ila na sisi ifike mahara tumtafute mungu wa kwel kuliko kutafuta miujiza hyu mchungaji mwenyewe amejichubua hvi na mijitu imekalisha makalio inamsikiliza kwel jaman hapana
@athumannyungundileki9799
@athumannyungundileki9799 5 месяцев назад
Igizo hao wote hapo wanaigiza mchungaji kajikoboa kama enock inonga
@kandilesteven7889
@kandilesteven7889 3 месяца назад
Wanaigiza, hadi mtoto mdogo akiangalia anaona maigizo
@ThadeusShao-er5jq
@ThadeusShao-er5jq 3 месяца назад
Mlichofanywa nyie mm sijui hii ni kweli
@JanethNathan
@JanethNathan 2 месяца назад
Kweli kabisa
@HappyMallya-mg1gr
@HappyMallya-mg1gr 2 месяца назад
Hayajakupata dada acha kuongea mdm utakuponza ,ndo nyinyi wachawi mnatutesa pumbafu zetu amekuja kiboko yenu acha awaue hata kama anajivhubua muache ni sehemu ya kupenda ngozi yake na ni asili yao achana nae
@MohamedHassan-eq9os
@MohamedHassan-eq9os 5 месяцев назад
Ameen nabii ubarikiwe katika kaz zako
@zakariamwamburi-7940
@zakariamwamburi-7940 3 месяца назад
I love prophecy man of God
@user-ww8pv5qw2v
@user-ww8pv5qw2v 6 месяцев назад
Amina mtumixhi wa mungu
@MosesMbise-p2r
@MosesMbise-p2r 2 месяца назад
Bwana yesu asifiwe mtumishi Mama yangu anaumwa na hawezi kutembea miguu Haina nguvu
@mercyjohn9676
@mercyjohn9676 4 месяца назад
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa mungu
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 5 месяцев назад
Mungu amuinue zaidi
@amanterry5427
@amanterry5427 5 месяцев назад
Bwana yesu asifiwe naitwa Aman niko goba naomba nitabirie uchumi wangu mbaya
@AndrewMbembati
@AndrewMbembati 3 месяца назад
Baba naomba ufungue maisha yangu, fungua uchumi wangu, na Vito vyote walivuonifanyiya
@mohamedhamad2374
@mohamedhamad2374 19 дней назад
Wajinga ni wengi😅😅
@aishaoman138
@aishaoman138 2 месяца назад
Naitwa maria nabii naomba unitabirie mm na mme wangu pamoja na familiy yangu maana najiona mwenye mikosi kwenye maisha yangu😭😭
@deborambanga5759
@deborambanga5759 4 месяца назад
Bwana yesu asifiwe nabii kiboko ya wachawi naitwa Debora Mbanga nipo dodoma naomba ufungue maisha yangu.
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he Месяц назад
Mwambie Mungu afungue maisha yako na sio binadamu mwenzio,,unamtukana Mungu
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 месяцев назад
Aminaaaaaaaa Daddy
@user-qt2ht7sk5f
@user-qt2ht7sk5f 7 месяцев назад
Bwana Yesu asifiwe nabii naitaji maombi Yako maana changamoto. Nayoipitia naisi kukataa tamaa majaribu yamekuwa meng peke yangu siwez kila mwaka nnn mmm tu nabii nafukuzwa kazi naomba unisadie nabii
@NeemaGladsoni
@NeemaGladsoni 6 месяцев назад
Acheni manabii wa mungu wagichue kweli ya mungu
@SaimonEmmanuel-qm2xk
@SaimonEmmanuel-qm2xk 4 месяца назад
Bwana yesu asifiwe nabii naomba msaada baba
@richardmboyo8724
@richardmboyo8724 2 месяца назад
Ubarikiwe nabii hakika wewe ni kiboko ya wachawi
@jasmineissa3778
@jasmineissa3778 7 месяцев назад
Amina baba naomba maombi nipate mume nakipato maisha nimagumusana
@Grace-rf7st
@Grace-rf7st 3 месяца назад
Ameen Baba
@LovenessGrayson
@LovenessGrayson 5 месяцев назад
Kazi baba
@user-ki1tn3dz1m
@user-ki1tn3dz1m 3 месяца назад
Ameeen
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 3 месяца назад
Mungu Akubariki sn Mtumishi.
@sophiahalfani1870
@sophiahalfani1870 7 месяцев назад
Jamani nakuelewa Sana nafunga safar kuja hapo mungu anitangulie
@user-nq7rm3lr7w
@user-nq7rm3lr7w 7 месяцев назад
Amina baba naitwa Rita damiani naomba umuombee baba watoto wangu anipe mtaji baba
@ChristopherMgoli-m2y
@ChristopherMgoli-m2y 6 месяцев назад
Mpenda tu mumeo naanza kuomba wewe na kumshirikisha wewe zaidi
@user-gh9ph2xl7f
@user-gh9ph2xl7f 7 месяцев назад
Bwana asifiwe baba
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 Месяц назад
Hayo ndio watanzania wanapenda,wacha wateswe na wachawi na lana za aibu ,wewe utabakia kuwa nabii wa Bwana kiboko ya wachawi
@John12Mapunda-iw4mq
@John12Mapunda-iw4mq 6 месяцев назад
Amina baba naomba nitabilie toka kwa wazazi wangu na kwangu naitwa john toka kinyerezi
@vickymeikasi1628
@vickymeikasi1628 7 месяцев назад
Hongera sanaaaa mtumishi wa Mungu
@osbonmusa2619
@osbonmusa2619 5 месяцев назад
Mmh Mungu tusaidie
@SalomeKundaely
@SalomeKundaely 4 месяца назад
Bwana yesu asifiwe kwa majina naitwa Angel naomba uniombee mume wangu amenitelekeza na mtoto nisaidie mume wangu arudi
@elikanamagomba4407
@elikanamagomba4407 6 месяцев назад
Asante nabii kiboko ya wachawi...
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 7 месяцев назад
Mungu ni wa aja bu sana
@ShebyKandome
@ShebyKandome 5 месяцев назад
Amen nabii mm ninamatatizo Kuna mtu namdai hatak kunilipa naomba unisaidie nataka nizipate pesa zangu
@pamelaroya5693
@pamelaroya5693 4 месяца назад
Tabiri juu ya maisha yangu mtumishi
@Yahaya-o5m
@Yahaya-o5m 2 месяца назад
Aitwa yahaya mkewangu alifaliki miaka2 je alikufa kwahalali au❤❤
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 7 месяцев назад
Aminaaa
@friminakiwale7017
@friminakiwale7017 Месяц назад
Baba naomba uniombee nifunguliwe kifungo cha madeni
@lusajoully
@lusajoully 3 месяца назад
👏🏾
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 месяцев назад
Yeeeeeeeeeeeeees Daddy
@SalomeMkada-su4qg
@SalomeMkada-su4qg 4 месяца назад
Baba mimi nina shida naomba nisaidie ninaota nalishwa vitu ndotoni na kuna vitu vime nikaba kooni sina ata rahaa naomba uni saidie vitoke baba nakuomba sana pia naomba nipate kazi baba niinuke kiuchumi
@KulekatsengeHaruni-sb6qc
@KulekatsengeHaruni-sb6qc 7 месяцев назад
Amen yesu ni kweli tuseme kweli nakweli itatuweka huru.
@user-ow6tx2is8b
@user-ow6tx2is8b 6 месяцев назад
Paulina mombo Babati manyara
@user-ow6tx2is8b
@user-ow6tx2is8b 6 месяцев назад
Paulina mombo Babati manyara Nabii na mwomba mungu anisaide nilipwe mahindi niliyo dhulumiwa maroba 60 na Abdala manyungu aweze kunilipa naomba nabii unisaidie katika maombi Inaniuma mno nabii Bwana yesu asifiwe sana
@ABDALAHSALUM-rf3dt
@ABDALAHSALUM-rf3dt 4 месяца назад
Baba naomba unitabirie unachokiona ndan ya maisha yng kwan nakuamini
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 месяцев назад
Omg ♨️
@h.mau9989
@h.mau9989 5 месяцев назад
bwana yesu asifiwe basta
@rauhiyasoudy9988
@rauhiyasoudy9988 3 месяца назад
Baba naomba ufungue maisha yangu ya kupata watoto na kurudishwa kazini kwangu nilikokuwa nikifanya kazi
@eaglegirl907
@eaglegirl907 6 месяцев назад
Baba naomba nisaidie baba niokoe baba nakuomba baba angu
@bensonmoris463
@bensonmoris463 5 месяцев назад
god bles u
@user-wu1kl8ci5z
@user-wu1kl8ci5z 7 месяцев назад
Naomba mungu wa kiboko ya wachawi anisaidie nso yangu inateketea uchumi wangu ufunguke naitwa coreta Niko buguruni
@user-qo7hz6jy4u
@user-qo7hz6jy4u 6 месяцев назад
Mume wangu ni mtumishi lakin Jana upako, anatamani kuwa kama wewe baba😊❤ 3:41 😢
@SaraAloyce-hm2vu
@SaraAloyce-hm2vu 5 месяцев назад
Nabii naomba nitabirie maisha yangu
@mercyjohn9676
@mercyjohn9676 4 месяца назад
Nahitaji kutabiliwa mtumishi wa mungu maisha yangu siyaelewi
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 Месяц назад
Chaaaaaaa ni dangerous vibes
@AnaMauricioPatricio
@AnaMauricioPatricio 2 месяца назад
Nami mume wag anagufu mungu msaidie mume wag
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he Месяц назад
Watu washapewa hela waje kujibizana upuuzi
@floridandayisaba
@floridandayisaba 3 месяца назад
Habari yako mutumishi Namm naomba maombi nifunguriwe.nikama nimefungwa Kwasababu natafta spati mtoto Wangu mutundu sana naomba uniombee niko inchini.marecani mafanikio.sion
@HamisSalmin
@HamisSalmin 5 месяцев назад
Nataka Kuona mafanikio ktk maisha yangu maana naona shetani ameniwekea mfumo wake nataka utoke pesanine mm naitwa Andrew jelemia
@user-yu9vw3db1p
@user-yu9vw3db1p 3 месяца назад
Kwa majina naitwa ibrahimu baba mm nimekuwa sifanikiwa kwenye kila jambo nalofanya na mjomba aliniambia ananipa miezi sita nitakuwa nimepotea
@angelsaid7869
@angelsaid7869 7 месяцев назад
Sema ukweli baba siku zote msem kweli apendwi ila sisi tunakupenda bwana aimidiwe🙏
@dannysimonny2048
@dannysimonny2048 5 месяцев назад
Bwana asifiwe
@user-jz5wz3mz6h
@user-jz5wz3mz6h 7 месяцев назад
Naomba mungu aniteende
@AsteriaJoseph
@AsteriaJoseph 2 месяца назад
Jaman wew kam uwamin ni wew wacha kumu mtukn Mt w amin unap amin bwan s tunaamin na tunamuamin bwan
@SakinaMohamed-up6eo
@SakinaMohamed-up6eo 3 месяца назад
Wachaw wafe tuu na bila miujiza kama hii wachawi walikua wanafupisha maisha ya watu tabir baba,anayeongea vibaya hayajampata
@HappyMallya-mg1gr
@HappyMallya-mg1gr 2 месяца назад
Exactly
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 6 месяцев назад
WACHA kupoteza watu..hio ni ZINAA kubwa sanaa.DUA GANI HIZOO MNAZOZISOMAA
@hellenjohn3484
@hellenjohn3484 4 месяца назад
Amen Amen Nabii kiboko ya uchawi naitwa Hellen John Mushi
@masellemaziku1096
@masellemaziku1096 5 месяцев назад
Amen. Amen. Amen. Nitabirie Mtumishi wa Mungu. Mimi Dr Maselle
@user-ow6tx2is8b
@user-ow6tx2is8b 7 месяцев назад
Abii nisaidie nimedhulumiwa mahindi maroba 60 Nimehangaika sana Niko manyara uwezo wa kuja dar sina Nisaidie nabii
@ticia950
@ticia950 7 месяцев назад
Badala umuombe Mungu unamuomba binadamu mwenzio ila nyie😢
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he Месяц назад
Hahaa,,watu wanakataa baraka za Mungu
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he Месяц назад
Ndonini kutembea na bordgard jukwaa zima
Далее
Как вам наши образы?🥰🥰🤍🤍
00:10
MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI
28:20