Тёмный

MAPAMBAZUKO YA MACHWEO 

MAWANDA YA LUGHA TV
Подписаться 969
Просмотров 4,9 тыс.
50% 1

Karibu sana mashabiki wetu katika hadithi ya tatu katika msururu wa hadithi katika diwani wa Mapambazuko ya machweo na Hadithi Nyingine. Hii ni hadithi ambayo inamlika wahusika wawili marafiki ambao maisha yao yanafanikiwa katika siku zao za uzeeni. Tazazama uchambuzi huu upate mengi. asante.

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Natumai mashabiki wetu mnaendelea kufurahia uchambuzi wetu. usikose kufuatilia uchambuzi wa hadithi ya Mapambazuko ya Machweo
@dorothyachieng3772
@dorothyachieng3772 Год назад
Kazi nzuri sana
@magdalinejepkosgei9502
@magdalinejepkosgei9502 9 месяцев назад
Kazi safi...endeleeni vivyo hivyo
@nancyodoyo3893
@nancyodoyo3893 6 месяцев назад
Tafadhali mwalimu chan naomba unisaidie kuchambua nguu za jadi,ni phylis mwanafunzi wako,asante
@oscarnasikungu5464
@oscarnasikungu5464 Год назад
Ahsante Sana walimu,kazi Murwa kabisa,ila pengine mdhihirishe utofauti wa mbinu ya istiara na jazanda, Ahsante 🙏
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante. Karibu.
@ufanisi901
@ufanisi901 Год назад
Nawapongeza kwa kazi yenu nzuri.
@salanusmigiro4803
@salanusmigiro4803 Год назад
Asante kaka Deon.
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante Ndugu Deon
@BoazNyangau-fj2om
@BoazNyangau-fj2om Год назад
Safi shehe
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Sawa kijana. Alama nzuri nategea.
@MegaPapajohns
@MegaPapajohns 9 месяцев назад
kazi nzuri lakini ningeomba muthibitishe ukurasa katika maudhui
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 9 месяцев назад
Asante sana ndugu. Tutajaribu ingawa muda wa kufanya hili huwa changamoto.
@simonkahinga8401
@simonkahinga8401 Год назад
kazi nzuri ila katika utangulizi mwasema '' karibu katika uchambuzi wa riwaya ya....'' hii ni hadithi fupi na wala sio riwaya. nadhani ni haraka ya uandishi
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante. katika harakati za uploading kosa hili lilifanyika. Karibu kwenye ukumbi huu mwalimu.
@ALFONCEMUTINDA-b2e
@ALFONCEMUTINDA-b2e Год назад
Nina swali kama mwanafunzi hilo swali kuhusu madhari ya pango katika hadithi hii.naomba kujibiwa wenzangu
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Baadhi ya hoja: Madhari haya yanaendeleza maudhui ya uharibifu wa mazingira-Makutwa anachimba migodi bika kujali usalama wa mazingira. 2. Yatumiwa kujenga sifa za wahusika-kwa makutwa ni katili, anashirikisha vijana katika uchimbaji migodi badala ya kuwa shuleni. Nk..
Далее
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10
Просмотров 3,9 млн
Mzimu wa Kipwerere
47:42
Просмотров 7 тыс.
UCHAMBUZI WA HADITHI YA AHADI NI DENI
47:53
Просмотров 2,8 тыс.
Fadhila za Punda
50:40
Просмотров 4,8 тыс.
Nipe Nafasi
39:53
Просмотров 3,6 тыс.