Тёмный

Fadhila za Punda 

MAWANDA YA LUGHA TV
Подписаться 969
Просмотров 4,8 тыс.
50% 1

Fadhila za Punda ni mojawapo ya mkusanyiko katika Diwani ya Mapambazuko ya Machweo na hadithi nyingine, hii ni hadithi ya kwanza inayoangazia ndoa, dini, elimu na usaliti miongoni mwa maudhui mengine. Wahusika wakuu ni Lilia, Luka na Seneor Pastor Lee Imani. Wahusika wengine ni mamake Luka, kimada wa Luka na askari.

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Shukrani sana watazamaji. Tunaonea fahari kila mchango wako katika ukumbi huu. Asante.
@annaajwang
@annaajwang Год назад
Am proud of my teacher Mrd Chan
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Tunashukuru kwa kauli yako hii.
@ShilaKageah
@ShilaKageah 9 месяцев назад
Kazi nzuri saana
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 9 месяцев назад
Shukrani sana Sheila. Asante pia kwa kukubali kuwa shabiki wetu.
@eugenekiarie1759
@eugenekiarie1759 Год назад
Asante sana
@cansycandy
@cansycandy Год назад
Ilikuwa ya msaada kwangu Asante mwalimu wangu. Mr salanus migiro
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante kuwa shabiki wa ukumbi huu. Asante.
@salanusmigiro4803
@salanusmigiro4803 Год назад
Karibu mwanafunzi wangu.
@cansycandy
@cansycandy Год назад
@@salanusmigiro4803 asanti mwalimu
@NasriMohamed-d7q
@NasriMohamed-d7q Год назад
Shukran
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Karibu kwenye ukumbi huu kaka.
@druscillaolubuyi5209
@druscillaolubuyi5209 Год назад
Kongole kwa kazi safi. Kiswahili kitukuzwe.
@salanusmigiro4803
@salanusmigiro4803 Год назад
Asante sana
@dorinechan7653
@dorinechan7653 Год назад
Spira wetu kiswahili kitukuzwe
@jamesvurache33
@jamesvurache33 Год назад
Kali hii
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante bwana James kwa kukubali kwa shabiki wetu na kututia moyo. Barikiwa.
@jobnyabuto3552
@jobnyabuto3552 Год назад
Kazi nzuri.mungu awabariki
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante ndugu. Karibu.
@salanusmigiro4803
@salanusmigiro4803 Год назад
Asante kaka
@dorinechan7653
@dorinechan7653 Год назад
Nyabs wetu wacha sasa tunoane
@mosesmwaura2839
@mosesmwaura2839 Год назад
Heko mwalimu Migiro tulisoma na tukahitimu pamoja chuo cha Egerton 2016
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Twashukuru kaka. Asante.
@salanusmigiro4803
@salanusmigiro4803 Год назад
Karibu ndugu.Nakukumbuka vizuri sana.Nipigie simu
@salanusmigiro4803
@salanusmigiro4803 Год назад
Vipi kaka Mwaura.Habari za Lenana School?
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante kaka kwa kukubali kuwa shabiki wetu.
@catherinebhoke272
@catherinebhoke272 Год назад
Good job
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante dada kwa kuwa shabiki wa ukumbi huu.. asante
@dorinechan7653
@dorinechan7653 Год назад
Cate asante
@catherinebhoke272
@catherinebhoke272 Год назад
@@dorinechan7653 welcome
@marlowaggrey1693
@marlowaggrey1693 Год назад
Elimu; Tunaambiwa Luka na Lilia wamesoma hadi chuo kikuu, tena ni chuo kikuu kimoja; Elimu ni ghali- Luka anashindwa kupata pesa za kulipia karo yake, Elimu inawawezesha watu kupata ajira- baada ya Elimu Lilia aliajiriwa kama meneja wa benki moja mjini
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Hizi hoja mwalimu ziko sawa. Asante kwa mchango wako.
@solomononkanya9654
@solomononkanya9654 Год назад
Pamoja
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Karibu kaka Solomon katika huu. Asante
@osorojove2511
@osorojove2511 Год назад
Mapambazuko ya machweo si Riwaya Ni hadithi fupi
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante mwalimu kwa kuliona kosa hili. Tuligundua kosa hili baada ya 'uploading' Asante kwa umaakini huu.
@salanusmigiro4803
@salanusmigiro4803 Год назад
Tutarekebisha hili
@estherwangeci6154
@estherwangeci6154 Год назад
Shukran
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante sana Esther wangeci. Endelea kuwa shabiki humu. Twashukuru.
@nancymongina7696
@nancymongina7696 Год назад
Ustadhi napenda kazi zenu kongole
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
asante dada mwalimu. karibu katika ukumbi huu.
Далее
SABINA
34:09
Просмотров 2,6 тыс.
Nipe Nafasi
39:53
Просмотров 3,6 тыс.
Which version is better?🎲
00:14
Просмотров 3,4 млн
ОНА БЫЛА ПЕВИЦЕЙ🤪
3:13:12
Просмотров 1,1 млн
Kifo cha Suluhu
47:03
Просмотров 4,6 тыс.
Nguu za Jadi Full Movie ||KCSE2024
59:31
Просмотров 104 тыс.
SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA
55:48
Просмотров 68 тыс.
JINSI YA KUJIBU MASWALI YA FASIHI ANDISHI
39:08
Fathers of Nation Play (Part 1)
1:17:41
Просмотров 295 тыс.
Mzimu wa Kipwerere
47:42
Просмотров 7 тыс.
Uchambuzi wa hadithi ya Nilitamani
33:24
Просмотров 3,2 тыс.
Which version is better?🎲
00:14
Просмотров 3,4 млн