Тёмный

MAPYA YAIBUKA KIFO CHA ASIMWE 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 18 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@lazaroaloyce6649
@lazaroaloyce6649 3 месяца назад
Nchi ipitishe tu sheria ya kuuwawa watu kama hao wakibainika maana hawafai kuishi kwenye jamii zetu
@EmmanuelProtuce
@EmmanuelProtuce 3 месяца назад
Inauma sana. Ila ikumbukwe na paroko ni binadamu alizaliwa katika jamii kama za kwetu pia ana tamaa kama watu wengn.
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 3 месяца назад
Watu.wengi.wamewatoa watoto.wao.Mungu.asante kufichua.ihubiriwe.kwa.nguvu
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 3 месяца назад
Karibuni sana kwenye uislamu dini ya haki mbele za Mungu hizo dini nyingine ni motoni
@linashayo2068
@linashayo2068 3 месяца назад
Kwani hujasikia waislamu wakijitoa muhanga na kuua watu? Popote duniani hakuna binadamu mkamilifu, sote ni wenye zambi. Mungu pekee ndiye mtakatifu na sio watu wa dini fulani. Dini tumeikuta duniani na tutaiacha duniani. Na mbinguni tutahukumiwa kwa dhambi zetu tulizofanya duniani. Na sio kuhukumiwa mtu wa dini fulani. Kuishi kwa kumpendeza Mungu ndio itakayo tuponya na sio dini.
@pengefeza2563
@pengefeza2563 3 месяца назад
​​@@linashayo2068Wanabaka watoto wa myaka 9 kwa njia la ndoa
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 месяца назад
Mwenyezi mungu akusamehe ujuhi utendaro hakuna cha dini ushetani upo Kila sehem mungu mwenyewe ndo anae jua mimi na wewe atujuhi
@Kidotii
@Kidotii 3 месяца назад
Sawa mungu!
@modestamodesta3940
@modestamodesta3940 3 месяца назад
Mungu ni mmoja tu
@teknoamanda1000
@teknoamanda1000 3 месяца назад
Ikumbukwe kuwa hata police wanausika kwenye ujambazi sana tu
@RamadhaniRichardson
@RamadhaniRichardson 3 месяца назад
Dini imekua siyo wito na Imani,mm naona tu vitabu vya Imani vigawiwe Bure Kila mtu ajisomee nyumbani,maana utasikia paroko ndiyo kama vile sheikh nae kalawiti Sasa tumuamini nani dini imekua pakujifichia tu MUNGU atunusuru binafsi viongozi wa dini mm Imani sinao tena
@JulyKione
@JulyKione 3 месяца назад
Hadi paroko Mungu atusaidie
@omarcarlos4595
@omarcarlos4595 3 месяца назад
BABA mzazi,duuhh
@vero57
@vero57 3 месяца назад
Mbona sasa paroko unatuaibisha sisi , tamaa mbaya sanaaa, unauwa mtoto kwa ajili ya tamaa zako !!!!! AIBUUU SANA
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 месяца назад
Umehonae mwenyezi mungu atunusuru na vizazi vyetu inauma sana
@SaudaNodrini
@SaudaNodrini 3 месяца назад
Baba huyo hatar sana maana nikisema shetani ,shetani huyo huyo ana abudu
@MaryamuHussein
@MaryamuHussein 3 месяца назад
Duh mpaka baba mzazi inaumiza sana 😭😭 kwa kweli
@zaharamustafa-t1l
@zaharamustafa-t1l 3 месяца назад
Kweli ilitakiwa baada ya baba kuoatikana na simu usiku ule ule angebanwa
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 3 месяца назад
Swari je kama warimushika baba mapema kwanin wasingemuwai kuwashika wengine mapema kabura awajafanya mauaji
@JudithGeorge-mw7fe
@JudithGeorge-mw7fe 3 месяца назад
Hilo nalo neno😢
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 месяца назад
Polisi watakua wametembeza kichapo majina yote yametoka, Mungu awalaani kabisa
@vero57
@vero57 3 месяца назад
SASA KAMA PAROKO , NA BABA YA MTOTO WANAFANYA HIVYOO!!!???WATUU WENGINE WAFANYE NINI????? HIII INAUMA SANA!!!
@righitkileo
@righitkileo 3 месяца назад
Baba mzazi???baba mzazi?? Baba mzazi?? Damu yako kweli?? Baba mzazi viunqo vya mwanao?? Analia Baba??? Baba?? Baba???baba???? Ee Munqu Nimefika mwisho wa akili zanqu..
@annamussa185
@annamussa185 3 месяца назад
Mbona kesi zingine wanachukuaga muda
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 месяца назад
Dam nzito kuliko maji aiwezi kumwagika bule lazima wajulikane haraka uyu ni Malaika
@AihmAli-d8x
@AihmAli-d8x 3 месяца назад
Dam zito kuliko maji watajulikana 2
@VianeMakarious-lt3is
@VianeMakarious-lt3is 3 месяца назад
Ndo mjue kwamba kanisa katolic lina wapinzani wengi,binarsi sijaamini tuviachie vyombo vya dora.
@EsterPaul-jt5im
@EsterPaul-jt5im 3 месяца назад
Mimi akili yangu imeshika breki yaani imesimama yaani mtoto wakati wanamuua cjui nimaumivu gani aliyoyasikia mtoto napia cjui alitamka maneno gani mtoto wakati anapata maumivu makali limeliya sana mimi mtoto hana hata zambi jamani
@floraflora5964
@floraflora5964 3 месяца назад
😭😭😭nami najiuliza alipata maumivu gani😭😭😭
@robertphilip385
@robertphilip385 3 месяца назад
Kamata kamata ya police hatakama huhusiki utapewa kibano kikali ponayako ukiritu mimi siamini kamawalio kamatwa wanahusika woto saingine tuache ushabiki kwajambo tusilolijua walioko kwenyemazingira husika ndoo wanaojua kiasi niwatu wangapi kwenyehiinchi wamebambikiwaga kesi za ajabu? Acheni ushabi
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 3 месяца назад
Yaani hapa kuna kitu chini ya carpet ck 17 wameshindwa kuokoa maisha ya mtoto ila ck moja tu baada ya mwili wake kupatikana wote wamekamatwa,kwann nguvu hiyo isinge tumika kuokoa maisha ya mtoto na kwa hali hiyo mtoto alikuwa mazingira hayohayo,halfu kuna kitu hakiniingi akilini ety walikutwa wanatafuta mteja wa hivyo viungo,kwa hiyo mpaka wanafanya mauaji walikuwa hawajui wanapeleka wapi hivyo viungo? Au boss wa kununua hivyo viungo kafichwa nina mashaka na hilo.
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 3 месяца назад
Hv ww unawajua wauaj vzr ? Mtu anakuua dakika 2 unakufa Sasa hata wangetumia nguvu kubwa wangemkuta kashakufa tu
@afreytonemajidi6909
@afreytonemajidi6909 3 месяца назад
Na wao wauwawe hao tena wanyongwe iwe funzooo
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 месяца назад
MADELEKA VIPI PAROKO MBONA KIMYA AMEGOMA KULA TUNASHANGAA HUBWEKI WEWE NA PADRE SLAA😅😅😅😅😅ANATAKA UDHAMINI
@mataypanga5262
@mataypanga5262 3 месяца назад
Mhusika hapo ni baba mzazi
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 3 месяца назад
😭😭😭😭
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 3 месяца назад
Tunataka auwawe wote
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 3 месяца назад
Baba alirahisisha kukamatwa wengine atakuwa kawataja
@IrineKimaro
@IrineKimaro 3 месяца назад
Duuuu😢
@ramadhaniramadhanihalidi
@ramadhaniramadhanihalidi 3 месяца назад
dah
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 3 месяца назад
Poroko mmh!
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 месяца назад
TUKIMSIKILIZA SANA MAKONDA UTUBA ZAKE UTAJUA VIONGOZI WENGI WANAKAA KATIKA VITI KWA MAUAJI YA MINADAMU AIBU KUBWA KWA TAIFA LA TANZANIA 🇹🇿 MAKONDA UWAMBIA UCHAWI UMESHAKWISHA NGUVU ZIMEBAKI SUPANA SUPANA SUPANA 😂😂😂😮😮😮
@CosmaMwale
@CosmaMwale 3 месяца назад
Hiyopesa aliempamganga bolaangewapelekea watoto yatima kaenda kupelekapesa kwenyemauwaji
@mkudesimba9518
@mkudesimba9518 3 месяца назад
Hakuna mjadala isipokuwa jee adhabu gani itakayokomesha unyama juu ya albino ! In kuwachinjia shingoni kuekea kooni !ik
@Yassinseleman
@Yassinseleman 3 месяца назад
😭😭😭
Далее
Слушали бы такое на повторе?
01:00
NDOA YA RINGO NI VITUKO, UTACHEKA UFE
21:49
Просмотров 48 тыс.