Serikali yangu naiamini sana. Wafanye uchunguzi makini tu. Na baada ya kuupata ukweli tu , wahusika wanyongwe tu. Ukatili huu haukubaliki hata kidogo. Na kama baba mzazi kahusika ndo waanze naye kumnyonga. Mshenzi sana.
Huko bukoba kuna sehemu chafu kama hizo, kuna kijiji kimoj kiko ishozi katolelwa alitokea tendo la kinyama kama hilo lakn watu walilipuzia, naomb kupitia hili naomba selikali yangu ifatilie hilo swara.