Тёмный

LIVE: MTOTO Amtafuta mama mzazi | Mjomba amueleza ukweli juu ya kifo cha mama yake..! 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 67 тыс.
50% 1

#LEOTENA
LIVE Kijana Anakutana na MAMA yake Mzazi | KITAMBO kirefu Rasmi Apatikana | LEO TENA

Развлечения

Опубликовано:

 

12 май 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 140   
@fatmabukuku5384
@fatmabukuku5384 3 года назад
Cloud mimi ndio maana nawapenda sana mnafanya kazi kubwa sana ya kusaidia jamii.
@moricemorice75
@moricemorice75 3 года назад
Mimi nimelelewa na wazazi wote ila hili nimetoa macho Dr pole Sana kijana mwenzangu cloud #Mungu awe nanyi katika kazi yenu
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 3 года назад
CLOUDS Jumba la wabunifu,mnanikosha sana, NA HONGERENI SANA
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 Год назад
Yani ihii radio mungu awabariki sana tena sana maana mnasaidia sana sio kama radio nyingine kazi umbea tu utasikia za ndani apo anatetwa mtu
@godfreyjames8582
@godfreyjames8582 3 года назад
NYIE CLOUDS Fm Mungu anawaona atawalipa tu,, atawaongezea mlipotoa kwa ajili ya watu Eeeh Mwenyezi Mungu nisaidie nami nimpate baba yangu mzazi natamani ajue kuwa nampenda hata kama hatujaonana miaka 29 mpaka leo
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 года назад
Hee pole sana
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Год назад
Pole Sana
@victoriamazula5592
@victoriamazula5592 24 дня назад
Mntangazo yalikuwa too much
@alhabsi6430
@alhabsi6430 2 года назад
Mungu akuwekee wajomba zako wakupende uwapende
@mariamthomas3902
@mariamthomas3902 Год назад
Yaan alipoanza kujitambulisha mjomba me uso wote umejawa machozi hata sijielewi barikiwa mjomba 😭😭😭😭
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Год назад
pole sana kija mungu akutetee mjomba ni mama hivyo hongera sana mjomba kwa kumtafuta mtoto
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 года назад
Yani imeniuma kweli pole sana mdogo wangu
@mozasaid3869
@mozasaid3869 2 года назад
Hongereni Clouds Media kwa kazi mnayoifanya ya kukutanisha familia zilizopteana,
@sumayasumaya6455
@sumayasumaya6455 Год назад
Mjomba is very smart man, na kina temba wako Barabara mungu waongoze na mtoto wenu anatia huruma sana..kukosa mapenzi ya mama yake.pole kwa sote hata mie
@jaycee9067
@jaycee9067 3 года назад
Leo Tena best radio program in Tanzania. 🙌🏿
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 года назад
Pole Saana Mwanangu M/MUNGU Awajalie Mshikamano Upendo Na Amani Wewe Na Wajomba Zako Na Ndugu Na Jamaa Zako Wote
@gracewambura8539
@gracewambura8539 3 года назад
Clouds mwenyezi Mungu hazidi kuwabariki sanaaa ktk kipindi icho Cha kuwatafuta waliopoteana 🙏
@mwanamwantumazizi1869
@mwanamwantumazizi1869 2 года назад
Jamani munafanya kazi nzuri sana naombeni nMimi minisaidie nimepoteana na familia yangu tunazaliwa tumbo moja tumepoteana kwa muda mrefusana
@muddysasma3037
@muddysasma3037 3 года назад
Dah clouds hongereni SANA. Mjomba ni mama
@moricemorice75
@moricemorice75 3 года назад
Dahuu love you Yan unaongea na masikitiko mpka nimetoa machoz dr
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 года назад
Hongera mjomba kwani duniya ilipo fikiya ni wachache wenye roho kama yakwako hongera da. Geya na timu mzima
@diyaosman6268
@diyaosman6268 3 года назад
Hongera clouds fm mungu awabariki sanaaa
@agyjackkalwela6377
@agyjackkalwela6377 2 года назад
Pole kwa kupokea taarifa ya kifo cha mama yako najua imekuumiza
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 8 месяцев назад
Wa mma wengine awanaga uchingu wa m tto mm pia mma yangu alinicha nikiwa na umli mdogoo waka tengan na bba yangu nikalelewa na bbi. Tokaspo mma alikua anaishi mkoani. Lindi mm nikiwa dar tokaaapo mma akunitafuta. Ilammi ndonilimtafuta. Ata mmi sinadana upendo na mma. Bba ndo. Namuerewa saana. 😢
@eggysulle7988
@eggysulle7988 Месяц назад
😢
@salumbakari
@salumbakari Месяц назад
😊😊😊😊
@user-mc6um1it1r
@user-mc6um1it1r Год назад
Mungu awabariki sana kwa kazi nzur san❤
@sebonikegobi6244
@sebonikegobi6244 2 года назад
Wakina mama tusiwaache watoto wetu tukubali hata kufa nao
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 года назад
Kwa Kweli Dear
@user-ky6tv6lk5x
@user-ky6tv6lk5x Месяц назад
Yes my
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 Месяц назад
Kuna mda inabidi 😢😢 mm nimejifunza kuto jurge sana
@monadinadi5295
@monadinadi5295 Год назад
😭😭Dah tushikane na familya zetu hkn km Mam. Mama ndio kiungo cha familya
@munirahassan5013
@munirahassan5013 28 дней назад
Mjomba ukiona anakutafuta na mama hayupo. Jua ana upendo sana, wachaga oyeeeeee
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 2 года назад
Hongera sana mjomba angu
@MADAMMACKTV
@MADAMMACKTV 2 года назад
Duu inauma naimenigusa hatamm mwanangu yipo arusha baba yake atakinimuone nakudaii mm simpendii mwanangu inauma sana nanaumia sana polekijana baba zenu shida
@ednaJF1028
@ednaJF1028 Год назад
it's very sad jamani . Yani hamu yote yakuonana na mama ndo imeishia hapo my heart is so broken haki💔💔
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Месяц назад
😢😢
@UpendoLukas-s1u
@UpendoLukas-s1u 2 дня назад
Jamani nisaidieni nimpate babangu.
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 3 года назад
Mungu ni mwaminifu jaman,kijana anaonekana amekomaa kwaakil hata hajalia ila huyo baba yake jaman mmh. Hongeren clouds.
@irenekilawe9476
@irenekilawe9476 2 года назад
Mimi nimepotelewa na mjomba angu toka mwaka 1998 paka Sasa atujui aliko
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 2 года назад
Mungu amlehem mjomba wangu
@khadijatonge3636
@khadijatonge3636 3 года назад
😢
@roseamos9930
@roseamos9930 2 года назад
Mjomba yupo vizuri sana 😍
@roseamos9930
@roseamos9930 2 года назад
😍😍
@singleparent7483
@singleparent7483 2 года назад
Dah jamani tusiwatenge wtt na mzee mmoja shida ndo kama hii
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 года назад
Hii story imeniliza💔
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 2 года назад
Mungu mwema kwakweli dah
@tricemollel6739
@tricemollel6739 2 года назад
Jamani leo tena mpo juu saanaa! Ila watu ni wengi wanatafutana ila mngefanya kwa muda mrefu naona muda ni mfupi sana please 🙏
@juneydeatakujadaimondomar5549
@juneydeatakujadaimondomar5549 2 года назад
Masha Alla mjomba
@tanzaniatouristsattraction1622
@tanzaniatouristsattraction1622 3 года назад
Pole sana
@omaryshabani3389
@omaryshabani3389 Год назад
nini sasa nanyie mnatukatisha sitore
@adidjakhalfani2661
@adidjakhalfani2661 3 года назад
😥😥
@rukiashunda9364
@rukiashunda9364 3 года назад
😥😥😥
@teklalumalanja1752
@teklalumalanja1752 2 года назад
Tunaomba namba zenu studio
@nurubrown3154
@nurubrown3154 3 года назад
so pain😢
@realramjen3270
@realramjen3270 3 года назад
Mjomba ni mama
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 3 года назад
😭😭😭 inauma mno
@user-kb7co8xk4o
@user-kb7co8xk4o Месяц назад
Pole sana aise inauma
@trifoniambilo2400
@trifoniambilo2400 2 года назад
Najikuta nalia
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 года назад
Kuzaa zaa ovyo ni shida jamanii hatari maskini na bara mikoa mikubwa tofauti na Zanzibar
@kiri5807
@kiri5807 3 года назад
wanaume na nyie mutumie uzazi wa mpango hivyo hivyo.
@lucylucy3678
@lucylucy3678 2 года назад
Mjomba amekamilika kisawasawa,ndo maan nawapenda wajomba zang hatr .
@happykisarika1337
@happykisarika1337 2 года назад
Wako vizur
@lucylucy3678
@lucylucy3678 2 года назад
@@happykisarika1337 san my
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 года назад
😢😢🥰🥰🥰
@preciousprince9159
@preciousprince9159 Год назад
Naombeni na mimi namba ya clouds
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 2 года назад
Dahaa miezi 3 hata kama nina shida kiasi gani siwezi muacha mwanangu
@devothakawogo3460
@devothakawogo3460 Год назад
Jamani nisaidieni namba yenu tafadhari
@mercynadia3140
@mercynadia3140 2 года назад
Hii story umeniuma sana mpaka nimelia,yaani unamtafuta mama unakuta ameshafariki jamaniii
@estherbakari9534
@estherbakari9534 2 года назад
Pole Sana
@MaryJohn-hh2ku
@MaryJohn-hh2ku Год назад
Mababa awatafutwi naona ni.Wamam.tu 🤣 au waon.awajapotezana na watoto Nini
@MaryJohn-hh2ku
@MaryJohn-hh2ku Год назад
Mababa awatafutwi naona ni.Wamam.tu 🤣 au waon.awajapotezana na watoto Nini
@preciousprince9159
@preciousprince9159 Год назад
Naomba namba za cloud maana nina uncle wangu hamjui baba yake
@alfredinafelix836
@alfredinafelix836 Год назад
Basi tu ni utukutu wetu wanadamu kukiyuka tamaduni na mipango ya kuishi iliyowekwa na wazee wetu walio tutangulia kuishi…kila mipango yao waliipanga kwa maana flani na ilikuwa na maana…unapopata mpenzi au mchumba msiishi kinyemela hadi kuzaa pasipo kufaamiana ktk familia ndicho kilichomkuta huyu mtoto…wazazi wake walijifanya wanajua
@siwonikewilliam9146
@siwonikewilliam9146 Год назад
Pole sn
@merinajuma6948
@merinajuma6948 3 года назад
😭😭😭😭😭sjui kwann nalia jmn
@user-br3sc8bm4t
@user-br3sc8bm4t 2 года назад
Kiubinadam unaguswa na ttzo la mwenzio unajatibu kuvaa kiatu chake kinabana lzm chozi likutoke
@priscaalphonce1662
@priscaalphonce1662 2 года назад
Dah Kama mimi nimelia Kama nimefiwa. sijui kwa kuwa mama yangu alifariki af nnavyotamani ningekua nae , continue rest in peace mama yangu. Upewe pumziko jema.
@farhatomar78
@farhatomar78 2 года назад
Mjomba hongera kwa kumfatilia mwanao na wote mlolifatilia hili jambo
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Год назад
Pôle sana ndugu yangu hiki kipindi kidumumilele
@lydiahbhoke2284
@lydiahbhoke2284 Год назад
Nitaishi na watoto wangu jamani sitaki ushauri Waje kunitafuta
@juneydeatakujadaimondomar5549
@juneydeatakujadaimondomar5549 2 года назад
Mjomba mtu mzuri sana
@rehemaabdy2830
@rehemaabdy2830 Месяц назад
Wachaga nawapenda sanaaaaa wanapendana mnoooo yaan atalelewa vizuri sanaaa
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 года назад
Ila. Wanawake jmn muda mwingine tuache ushetani ivi unamuacha mtt miaezi mitatu ili iweje hs alafu ktt km akujui na kusaidi utasema mbayq
@user-br3sc8bm4t
@user-br3sc8bm4t 2 года назад
Muombe mungu sana kama uko kwenye ndoa au mahusiano na ukapitia wakati mgumu ukiwa na mtoto mdogo ,wale wenzangu na mie huwezi kushangaa hili kikubwa dua yasijirudie
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 года назад
@@user-br3sc8bm4t aise akuna kipindi chochote ambacho uweze pt ujasir unaacha mtt wako kwann uko unapo kimbilia usiki mbie na mwanao
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Год назад
Inaumiza kweli jamani bora ukimbie nae tu maana kumuacha Mtoto na usingizi unakua upati kbs😭😭
@Goldenbutterfly-hk1hp
@Goldenbutterfly-hk1hp Месяц назад
Acha ujinga ww atakama umepata shida vp usiache mtoto wako​@@user-br3sc8bm4t
@user-kb7co8xk4o
@user-kb7co8xk4o Месяц назад
I see
@marygregory7566
@marygregory7566 2 года назад
Daa😭😭😭😭
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 Месяц назад
Matangazo mengiiii du😢
@mspwjjjso6261
@mspwjjjso6261 Год назад
Daah
@JacklinDavid
@JacklinDavid Месяц назад
Dah hii imeniuma 💔💔
@lucyigwathuigwathu8038
@lucyigwathuigwathu8038 2 года назад
Mutoto. Ni. Mama.
@samissa1755
@samissa1755 3 года назад
Hatari san
@zulfashafeeq8437
@zulfashafeeq8437 2 года назад
Tunaombeni namba zunu
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 2 года назад
Kabisa kwa kwel
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 2 года назад
Wachaga hawaachagi watoto
@husnasalim9614
@husnasalim9614 2 года назад
Masiki alafu anafanana namjomba yake
@quentinsylvia3877
@quentinsylvia3877 2 года назад
Huyo baba alienda nae arusini Kwa kaka yake pengine alikua mchepuko ndiyo maana kijana hajamtambua
@omaryshabani3389
@omaryshabani3389 Год назад
mnaaribu matangazo
@isamony58
@isamony58 Год назад
mnabowa matangazo marefuuu
@portinagodson3836
@portinagodson3836 3 года назад
MASIKINI KIJANA HAAMINI MPKA AONE KABURI LA MAMA YAKE JAMANI WAMAMA TUSIACHE WATOTO HATA IWEJE NIMEUMIA SANA😭😭😭
@ednaJF1028
@ednaJF1028 Год назад
Yani nimeumia sana haki dah!
@barakamelkzedecknkini4514
@barakamelkzedecknkini4514 3 года назад
Mimi Kama mdau, nashauri Kama itawezekana jaribuni kufuatilia upatikanaji wa huduma ya DNA. kipengele Cha DNA test kwa case Kama hizi Ni muhimu. Inawezekana ni ghari Sana sijui inagharimu kiasi gani, au utaratibu wa kisheria unasemaje, Ila litazameni. Kama Maury Show.
@alicedavido1330
@alicedavido1330 3 года назад
Kwamba huamini au
@enockm6101
@enockm6101 3 года назад
@@alicedavido1330 Mimi nimemwelewa sana @Baraka Nkini, ni sahihi kabisa maana inawezekana habari zinafanana ila watu ni tofauti. Kijana akajikuta kaingia kwenye familia ambayo siyo yake. Maana hapo ni vithibitsho vya midomo vimetumika na hamna hata sheria iliyotumika. Hebu fikiria hivi:- ikaja familia nyingine yenye story kama hii; Au mama mmoja kaibuka na kusema mimi sijafa na ndiye mama yako mzazi? mtamwamini yupi? ILa kazi waliyofanya siyo ndogo, kijana kama alikuwa anapoteza mwelekeo na kukata tamaa kashapata baadhi ya majibu aliyokuwa akijiuliza. Heko clouds
@jaycee9067
@jaycee9067 3 года назад
Umewaza mbali. Nafikiri ni vizuri ingefanyika hivyo.
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 2 года назад
Hiyo DNA anapimwa na mjomba km kitu CHAKO na mtu kajieleza vya kutosha. Mbona inatosha mtu anapata history na a Namjuwa ndugu yake
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 2 года назад
Huyo kijana wakat amefika moshi alihangaika na akapelekwa baadhi ya nyumba. Na ikadhindikana lakini alivyokuja clouds. Amejieleza vya kutosha na mpk mjomba aliposkia na mjomba ameambiambiwa tuu na amejiaminisha na kufunga safar usiku huo huo ndio ujue damu nzito kuliko maji. Sasa tulidi hy kupima DNA anapimwa na nanii kwa mfano baba anae mama kafa au mjomba? Tufahamisheni wajinga tupate elimu
@rahelngulwa9632
@rahelngulwa9632 2 года назад
L
@jenabmakobeh3694
@jenabmakobeh3694 2 года назад
natamani kumtafuta babangu lkn naogopa cje akawa amekufa
@florakihwele9183
@florakihwele9183 2 года назад
Mtafute tu ili ujue
@jenabmakobeh3694
@jenabmakobeh3694 2 года назад
@@florakihwele9183 naogopa wachaga cjui naanzaje wacha nikae tu
@shamsamuhammad3677
@shamsamuhammad3677 Год назад
mutafute to usiogope labda yupo mm mwenyew nitamusak my dady wangu sijawaikumuon nikimuliza mama ananifokea siku nitatinga studio we acha
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Год назад
​@@shamsamuhammad3677 nikupatie mfano mdogo tu .mimi nilipewa mimba bwana akasema kaitowe sitaki mtoto wa haramu na nina family yng. Wakati mwanzo hakusema haya. Mimi nikarudi kijijini nikazaa mtoto na aliponiambia nitowe mimba no yk nilifuta na tulikutana America. Mimi nikiwa mgeni si mwenyeji wa kule na niliporudi mpaka leo hii mtoto ananiona mimi napambana kwa ajili yake. Mfano sasa uwe wewe uniulize babayo hapo nitqkujibu nini? Maaana huwa nikimtizama mtoto ambaye alisema nimtowe waraah huwa simtamani kumuona na mpaka leo hii sijui kama yuhai au laah .ninachokijua mimi ni kutafuta maisha ili hata nikifa huyu mtoto nimuache kwenye kiota asiwe wa kuzunguka kwa ndugu
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Месяц назад
Mjomba ni mama😢
@badrahassan7513
@badrahassan7513 2 года назад
Namtafuta baba yangu ni f.f.u alikua anafanya kaz pale kituo kimoja kabla ya kufika gereza la ukonga ukitokea mjini anaitwa Charles 😭😭😭😭
@faidhakaoneka883
@faidhakaoneka883 2 года назад
Badra Hassan mzima wewe je waishi wapi?
@faidhakaoneka883
@faidhakaoneka883 2 года назад
Njoo in box aixeee
@badrahassan7513
@badrahassan7513 2 года назад
Naishi mlandizi kwa sasa
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Год назад
Wafate kina Gea chapu unampata
@majukigagaboy7931
@majukigagaboy7931 3 года назад
Kwaupande Fulani mwamba anajitoa lakin Mama mjinga wa namna hyo siwezi kumtafta Mama wa mjinga alieniacha na miezi mitatu
@kiri5807
@kiri5807 3 года назад
nazi haishindani na jiwe .
@houseofbeatytv9682
@houseofbeatytv9682 2 года назад
Usiseme ivo wew mshukuru tu mungu kama wazazi wako uponao
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 2 года назад
Anataka kumjuwa mama na ndugu zake wengine amefanya vizur
@lucymollel8212
@lucymollel8212 2 года назад
Je kama huyo sio mjomba maana hii dunia ni tambala bovu wakapimwe DNA tu
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 2 года назад
@@lucymollel8212 wewe ndio unaona sio. Jomba subiria wewe yakikufika au kizaz CHAKO mtaenda kupima ujiridhishe maana nyie watu wa mtandaoni unapenda kuzungumza sasa watajuwa wenyewe sisi hayatuhusu km sio ama ndio
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
Pole sana
@queenchalamila322
@queenchalamila322 2 года назад
Jamani mungu awabarikisana nyie watu hata mm napenda kumjuwa baba angu aliniacha nikiwa na nyonya naitwa Nora ruwanda na baba yangu anaitwa hebethi ruwanda nampenda japo simunyui mnitafuti jamani
@omaryshabani3389
@omaryshabani3389 Год назад
mnabowa Sana tunamukumbuka mpaka marehemu ruge mtahaba
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
@@omaryshabani3389 wanaboa nn
Далее
شربت كل الماء؟ 🤣
00:31
Просмотров 12 млн
Must watch new special comedy wait for end 😆🤣
0:49