Тёмный

SINTOFAHAMU NYUMBANI KWA SATIVA ALIYETOWEKA RAFIKI YAKE ASIMULIA A TO Z "SIMU ZAKE HAZIKUITA TENA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 60 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 170   
@pceodhc
@pceodhc 25 дней назад
Mungu Aliye hai amlinde na kumrudisha salama kwa familia yake Katika jina la Yesu! Amen!
@ginimbifamily3995
@ginimbifamily3995 25 дней назад
Amen 🙏
@happinesserasto4806
@happinesserasto4806 25 дней назад
Mungu mlinde sativa popote alipo arejee akiwa salamaa
@ProscoviaBrayson-ni8hv
@ProscoviaBrayson-ni8hv 25 дней назад
kapatikana ​@@ginimbifamily3995
@Official83640
@Official83640 25 дней назад
Kashapatikana Mkoa wa Katavi yupo hoi Subhannallah
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 22 дня назад
Amen
@martinamahenge4476
@martinamahenge4476 25 дней назад
Huyu ndio rafiki wa kweli ❤😊
@sophsoph4740
@sophsoph4740 26 дней назад
Huyu kk ni rafiki wa kwer❤❤
@Star_one-975
@Star_one-975 26 дней назад
Sana
@nancyg8664
@nancyg8664 26 дней назад
usiseme hvo😢, binadamu tunasiri sana yan sana, na usiamuamini kila mtu
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 25 дней назад
​@@nancyg8664kabisa kabisa
@joycekalago532
@joycekalago532 25 дней назад
Unaweza kukuta nae anahusika usiusemee moyo wa binadam😅
@BROTHER-FOR-BROTHERS
@BROTHER-FOR-BROTHERS 25 дней назад
Hujui kitu kumanyoko , ​@@joycekalago532
@EarnOnlineX
@EarnOnlineX 26 дней назад
Asante sana Millard kwa kutuongezea nguvu
@LuckyTemu
@LuckyTemu 26 дней назад
Huyu sativa yupo peace sana❤ na watu nmuonea huruma mam yake😢
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 26 дней назад
Huu mtindo umerudi sikuizi watu hatupo salama hata kidogo nchini kwetu km Gaza tu
@salomewandya7257
@salomewandya7257 25 дней назад
😨😨😨😨
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 25 дней назад
Unapajuaaa GAZA
@emmanuelmwasyoge2053
@emmanuelmwasyoge2053 25 дней назад
Mwenyewezi Mungu amlinde ,arudi akiwa mzima kabisa
@user-vz6kk8id2f
@user-vz6kk8id2f 25 дней назад
Daaah huyu ndorafiki wa kweli
@KitangariGenerations
@KitangariGenerations 25 дней назад
Inaumiza sana kiukwel, na mimi nimempoteza ndg yangu hapo hapo dar Mbezi Beach, tokea tarehe 31 ya mwezi wa 3, na had leo hatujafanikiwa kumpata, inaumiza sana kiukweli hili swala. Mungu abarik aonekane na tuwapate ndg zetu wote waliopotea.
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 25 дней назад
Subuhanallah. Pole mtihani sijuiwanawapelekagawapi.
@KitangariGenerations
@KitangariGenerations 25 дней назад
@@HanifaOman-oo4pl yani kupoteza mtu kwenye familia ndio mwanzo wa kuyumba kiuchumi ki familia mzima, maana had sasahivi mambo yalivyo kwenye familia yetu yamekuwa magumu sana kiukwel.
@user-fi2bu5pk9l
@user-fi2bu5pk9l 25 дней назад
L
@user-fi2bu5pk9l
@user-fi2bu5pk9l 25 дней назад
​l@@KitangariGenerations
@user-fi2bu5pk9l
@user-fi2bu5pk9l 25 дней назад
​😊 4:00
@shabanisalumu4366
@shabanisalumu4366 25 дней назад
#WhereIsSativa mungu amlinde huko alipo 🙏🙏
@user-it7qs3nh4o
@user-it7qs3nh4o 24 дня назад
Dah J polen sana mwanangu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 25 дней назад
Subuhanallah. Mtihani
@dafrosamonko8254
@dafrosamonko8254 26 дней назад
Big up mtangazaji unahoji maswali muhimu
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 20 дней назад
Mkaka anaongea me namtamaniaaa woooih Yaani anaongea kwa kujiamini ❤❤
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 20 дней назад
Huyo kaka rafiki yake na sativa 😊♥️♥️♥️♥️
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 20 дней назад
Mungu mlinde huyo mtoto arudi salama. Mama pole sana
@mahambamujengwa8059
@mahambamujengwa8059 25 дней назад
Get well soon broh
@HassaniMohamedi-lk7ow
@HassaniMohamedi-lk7ow 25 дней назад
UMOJA NI NGUVU KIJANA APATIKANE KIJANA ASIYEKUWA NA SHIDA NA MTU🙏
@YakoboDaudi-hp2mt
@YakoboDaudi-hp2mt 25 дней назад
Miradiayo, nami Nina taarifa hapa naomba mnisaidie kunipazia sauti! Nimetafuta namba zenu nikazikosa, Niko mwanza!
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 26 дней назад
Dah mtihani
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 25 дней назад
watu wanatekwa na kuuliwa sijui shida ni nini 😢😢😢 binadam hawana huruma
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 22 дня назад
Shida ni kuikosoa Serikali
@mariajames5558
@mariajames5558 23 дня назад
Mmm yaan inaumiza sana
@user-hf1wo3zd2m
@user-hf1wo3zd2m 25 дней назад
Kikubwa amepatika
@Star_one-975
@Star_one-975 26 дней назад
Tusaidieni mwanetu apatikane🙏
@farajiissa560
@farajiissa560 16 дней назад
Mm nikiwa nakampun yangu au biashara zangu bora nifanyie kazi kenya au uganda Tanzania si salama ukiwa tajir mamlaka zinakuchikia
@RichWise671
@RichWise671 25 дней назад
Kapatikana katavi yu Hoi 🙌🙌🙌
@evasilaa9064
@evasilaa9064 25 дней назад
Kama ni kweli tunamshukuru Mungu
@user-vz5ti5ot8u
@user-vz5ti5ot8u 25 дней назад
Kweliii kpatkana Mung n mwema😢​@@evasilaa9064
@issaramadhaniathuman
@issaramadhaniathuman 22 дня назад
Nikweli kpatkana
@davicekombe4932
@davicekombe4932 25 дней назад
Dah hadi chozi limenitoka 🥺
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 24 дня назад
Yani inaumiza sana
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 26 дней назад
Wasiojulikana hao ndio mtindo wä siku hizi.
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 20 дней назад
Mmmmmmhhhh siri kaliiii
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 26 дней назад
Jamani ameenda wp kijana wa watu dah mungu mpe uzima mlinde na maadui mana kupotea kwa vijana imekua kawaida 😢
@KitangariGenerations
@KitangariGenerations 25 дней назад
Kuna video imewekwa kwenye akaunt ya samsago inaonyesha kaonekana huyo SATIVA, kaonekana Katavi, ila amepigwa sana, wanaemfaham kwa sana watembelee akaunt ya samsago.
@omanmobile5746
@omanmobile5746 24 дня назад
Ndio kapatikana ila kapigwa vibaya mno sijuk ata aliwakosea nini mpaka wakamteka jmn😢😢😢😢
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 25 дней назад
Ukisoma ripoti za haki za binadam kuhusu Tz mmmh sio sehem salama saaana , tena kuna balozi wameanisha maenezo ambayo ni hatari kuishi au kutembelea nyakati za usiku na maeneo ya mbezi , kimara wamejaa watu wa kaskazini kuna matukio ya ujambazi saaana
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be 25 дней назад
Kwamba watu wa kaskazini ndo wanaongoza kwa ujambazi😅😅
@julianmsele3880
@julianmsele3880 25 дней назад
sisi wa kaskazini ni wastaarabu sana labd utuchokoze
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 26 дней назад
sisi wenye dii mbili tushaelew ila mh
@beckamuziki2785
@beckamuziki2785 21 день назад
Kabisaa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 24 дня назад
Nchi hii daah😢 mambo haya yana rudi sasa 😢
@vibetz9991
@vibetz9991 25 дней назад
Au Kuna MTU alipigwa mamillion kwenye betting,,,, akasema sikubari
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 25 дней назад
Kwaiyo Mama nae ameamua atuteke sio.. 🙄🙄
@jaymotz7523
@jaymotz7523 25 дней назад
Taivina ni rafiki haswaaa
@Cryptocurrency_bitcon_Pi_Coin
@Cryptocurrency_bitcon_Pi_Coin 24 дня назад
Oya na mpatajee uyoo taivina ni blood yangu classmates
@Cryptocurrency_bitcon_Pi_Coin
@Cryptocurrency_bitcon_Pi_Coin 24 дня назад
Oy wazee mm nina shida na uyoo jamaa anae hojiwa hapo Taivana mc ... Anajulikana vipi kwa social medias
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 20 дней назад
Wamtaka wa nini??
@nancyg8664
@nancyg8664 26 дней назад
jmn tutaogopa kuwa maarufu
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 25 дней назад
Kina partnership haoo
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 20 дней назад
Wamerudi tena hawa? Wasiojulikana? Mungu wangu walinde watoto wetu.
@AngelaMollel
@AngelaMollel 22 дня назад
Kwani amekosea nn ? Na kama amekosea nisawa2 hakuna binadamu aliyekamilika ata kama ametembea na mke wa mtu siyo kwa mateso hayo kikubwa Mungu amemufunika mpaka sasa yuko hai Mungu ataponya
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 25 дней назад
Taivina,sativa na sadati,,,hizi AKA kulikoni
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 20 дней назад
Mwanaume anaongea vizuri Hadi raha
@japhetluhende4901
@japhetluhende4901 26 дней назад
hatupo salama wakuu😢
@noeljacob9644
@noeljacob9644 26 дней назад
Alikuwa anajihusisha na siasa za upinzani Kwanza?
@herotv3609
@herotv3609 26 дней назад
Kubet
@praisesteven7774
@praisesteven7774 26 дней назад
uyu itakua mambo ya siasaaa maan nackia alikua maaarufuu twitter 🌚🌚🌚
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 25 дней назад
Mzee wa kubet huyo muuza Mikeka ya mtandaoni," wanashirikiana na makampuni ya Betting kushawishi watu wajiingize kwenye Betting kwa mikeka Yao ya kueditt'
@h169_Jo
@h169_Jo 25 дней назад
​@@jumaamohamed2815mikeka ya ku edit wewe Kuma Kama hujui kitu Kaa kimya mwana tu napiga nae kazi ya betting mimi ni zaidi ya miezi 6 now na tume tengeneza pesa nyingi kupitia betting zake tuna nunua mikeka kwake na ku bet mikeka anayo post mwana anajua kisenge KUNA WEWE🚮
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 25 дней назад
​@@herotv3609biashara za kishetani hizo ndo zinapelekea kudhulumiana mwisho zinaishia hivyo!
@alivinydeusdedit4958
@alivinydeusdedit4958 26 дней назад
WHERE SATIVA
@CalvinCosta-rq6ql
@CalvinCosta-rq6ql 25 дней назад
Dogo amepatikana leo ila kaumia
@motiruhega
@motiruhega 25 дней назад
Tunamshukuru Mungu Amepatkana salama ila amepigwa vbaya sana 😢😢 Sa iv dar imebadilika imekua ya kutekana kuuwana Kila sku inahuzunisha sana
@user-yc1rr7ry9u
@user-yc1rr7ry9u 25 дней назад
Ya kweli
@christaoman8890
@christaoman8890 25 дней назад
Nikweli kapatikana au unatufariji.bas ashukuriwe Mungu
@christaoman8890
@christaoman8890 25 дней назад
​@@user-yc1rr7ry9u Hakuna uhakika
@user-vz6kk8id2f
@user-vz6kk8id2f 25 дней назад
Kweli kapatikana huko Katavi
@zeddysamo1276
@zeddysamo1276 25 дней назад
​@@user-vz6kk8id2faisee kutoka dar mpk katavi M.MUNGU amfanyie wepesi amnusulu hilo na lingine tena.
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 25 дней назад
Ni hiyo post ya mwisho
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 22 дня назад
Huyo due aliepatikana katupwa msituni huko Arusha? Kama alitekwa vile kutoka Dar?
@wahidamohammed7294
@wahidamohammed7294 25 дней назад
Hivi hi sehemu anayoishi usiku anarudi vipi?mmmh
@pumpandnozeltec3019
@pumpandnozeltec3019 25 дней назад
MAMBO YA MATUSI AYO SIO MAZULI JAMANI😂
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 25 дней назад
Post yake ya mwisho imemponza
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 21 день назад
Post yake ya mwisho ndiyo. Imemletea matatizo.
@msabatozeson9023
@msabatozeson9023 25 дней назад
TAIVINA I SEE U
@Cryptocurrency_bitcon_Pi_Coin
@Cryptocurrency_bitcon_Pi_Coin 24 дня назад
Oy taivina ana tumia jina gan Instagram
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 20 дней назад
Dah hata huko anaishi hakuko salama mbona mballi hivo
@asteriashios1852
@asteriashios1852 23 дня назад
Tanzania na watu wasiojulikana nchi ya mama Samia kwanini Hilo?
@gasanatv4077
@gasanatv4077 20 дней назад
Kwanini ulibadilisha ratiba ya kwenda nae? Na baada yakuona unampgia hapokei wewe kama rafiki yake wa karibu?
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 25 дней назад
Dar napaogopa sana, na ndio nahamishiwa huko kikazi. Da!
@AlfaEnock-st9md
@AlfaEnock-st9md 25 дней назад
Pole ukifika nitafute nitakuwekea ulizi pia mwenye wako
@nancyenock5601
@nancyenock5601 23 дня назад
Ukifika unitafute nikufunze mapambano lmenikuta swala mwaka juz ilikuwa hatari
@rosehaule6765
@rosehaule6765 25 дней назад
Uenda amegogwa na Gari jamani Mara nyingine inatokeq mtu kagigwa vibaya mpaka ajulikani Mungu
@witnessmbilinyi3281
@witnessmbilinyi3281 25 дней назад
Alitekwa kapatikana hifadhi ya katavi huko
@nancyg8664
@nancyg8664 26 дней назад
sorry, mtangazaji usikunje sana sura jmn kah unakua kama imelda wa global bhn😢
@juniorsonofgod5675
@juniorsonofgod5675 25 дней назад
😂😂😂watu mnatoaga huu ujinga wp lkn jmn😅😅😅
@nancyg8664
@nancyg8664 25 дней назад
@@juniorsonofgod5675 😆😆😆
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 25 дней назад
😅😅😅
@firdausqutty2067
@firdausqutty2067 12 часов назад
Ila😅😂😅😂😂
@emmanuelleonando361
@emmanuelleonando361 26 дней назад
Pray 4 SATIVA
@JudithAdonis
@JudithAdonis 25 дней назад
Mungu amponye - EMEN !!
@user-vz6kk8id2f
@user-vz6kk8id2f 25 дней назад
Amepatikana kapigwa sana Mungu amsaudie apone😢
@tumpeernest9690
@tumpeernest9690 25 дней назад
Wee kweli?
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 25 дней назад
Kapatikana wapi jamani. Sababu ya kupigwa je. Mungu msaidie jamani kaka wa watu
@fraitmgala5966
@fraitmgala5966 25 дней назад
​@@HappyMwaigwisyaamepatikana hifadhi ya katavi national park
@immaculatepeter3229
@immaculatepeter3229 25 дней назад
Amepotea dar es salaam kapatikana kativi mkoa wa rukwa huko ameumizwa vibaya
@mwitaagness455
@mwitaagness455 24 дня назад
​@@fraitmgala5966Mungu wangu😢
@Vinchi255
@Vinchi255 22 дня назад
nimesoma comment nimegundua kuna watu wengi wanaoishi ukanda wa mbezi wanatoweka na hawajulikani walipo...Tatizo ni nini
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 22 дня назад
Kuikosoa Serikali
@yassinmrishoyassinmrisho6573
@yassinmrishoyassinmrisho6573 25 дней назад
Jamaa kapitikana ila wamempiga sana 😢
@user-yc1rr7ry9u
@user-yc1rr7ry9u 25 дней назад
Wap kapatkana
@witnessmbilinyi3281
@witnessmbilinyi3281 25 дней назад
​@@user-yc1rr7ry9u hifadhi ya Katavi
@user-oq8gm5pe5h
@user-oq8gm5pe5h 25 дней назад
Katavi​@@user-yc1rr7ry9u
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 25 дней назад
Mungu wa mbinguni amtetee apone
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 26 дней назад
Nyumban huku Masikini nime misss home 😢
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 25 дней назад
Mpuuzi kweri wew si uwende yani sis tunahuzuni alafu wew unatuambia umemis kwenu kwenu kwenyew Kuna upotevu wa watu alafu unatulingia
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 25 дней назад
@@user-sv6zy3hc8o Ahsante sana my dear friend Ubarikiwe ❤️
@Rehemamakuka
@Rehemamakuka 25 дней назад
​@@user-sv6zy3hc8oKunywa maji makubwa nakuja kulipa mana umenifurahisha
@alfredsaliga1554
@alfredsaliga1554 25 дней назад
Au kaenda kenya kwenye maandamano
@halimamasai2234
@halimamasai2234 22 дня назад
😂😂😂😂😂
@collinsstanley6126
@collinsstanley6126 25 дней назад
Kama Gaza
@apollojarden867
@apollojarden867 26 дней назад
#free sativa
@nancyg8664
@nancyg8664 26 дней назад
free "angekua lock up ya police kweli"
@husseinlatifa1443
@husseinlatifa1443 25 дней назад
Kwanini mtangazaji anamuhoji mtu uku anaangalia pembeni? Naona ni kama dharau hivi!
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 25 дней назад
Siyo dharau bwana wengi wao huwa wanaogopa camera 📸 kukaa mbele ya camera sio mchezo
@user-nf1tg3kt3y
@user-nf1tg3kt3y 25 дней назад
Jeshi la polisi na vyombo vyote vya usalama linajificha hamnazo kila siku watu wanapotea tu
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 25 дней назад
Kumbe hii ya kupotea watu kwenda wasikojulikana bdo ipo??duh!!!!!!!nikajua maguful alikufa nayo
@messiasulleydidy2585
@messiasulleydidy2585 26 дней назад
Sativa au Santiva?
@abuuabuu6856
@abuuabuu6856 26 дней назад
IT'S TYPING ERROR MZEE
@innocent__tz
@innocent__tz 26 дней назад
Sativa
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 25 дней назад
Huyo rafiki pia si wa kumuamini wambane tu siri itajulikana. Siku hizi hakuna ndugu wala rafiki wa ukweli ni tamaa kwenda mbele!
@user-hq5fg1zj5n
@user-hq5fg1zj5n 25 дней назад
It's okay ila usipende sana kuwa in negative thoughts most time,basi utakuwa huna mtu karibu maisha yako yote ama hutakuwa na mtu wa kushirikiana nae..it's okay urafiki umekuwa mtihani ila haimaanishi kuwa ndio hutakuwa na mtu wa karibu wa kushirikiana nae ktk mambo madogo madogo
@Rehemamakuka
@Rehemamakuka 25 дней назад
Huoni Kuna watu wamefia ndani kwa miaka miwili kwa kukosa kuwa karibu na watu mpaka miaka miwili watu ndo wanajua kafia ndani toa hoja zako za upuuzi
@georgebrown7391
@georgebrown7391 25 дней назад
Two years back nilikuwa nafanya nae mazoezi mkwajuni But Leo hii inauma sana kusikia tarifaa hii😢 Allah amfanyie uwepesi
@AloyceTz762
@AloyceTz762 25 дней назад
𝗠𝗶𝗺𝗶 𝗽𝗶𝗮 𝗻𝗶𝗺𝗲𝗺𝗽𝗼𝘁𝗲𝘇𝗮 𝗷𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗬𝗮𝗻𝗴𝘂 𝘆𝗮𝗮𝗻 𝗔𝗺𝗲𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗮𝗻𝗮𝗲𝗹𝗲𝗸𝗲𝗮 𝗸𝗮𝘇𝗶𝗻𝗶 𝗔𝗺𝗲𝗮𝗴𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗺𝗸𝗲 𝘄𝗮𝗸𝗲 𝘃𝗶𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗷𝗶𝗼𝗻 𝗠𝗱𝗮 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗸𝗮𝘇𝗶𝗻𝗶 𝗝𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗵𝗮𝗸𝘂𝗼𝗻𝗲𝗸𝗮𝗻𝗮 𝗠𝗮𝘇𝗶𝗺𝗮 𝗮𝗱𝗶 𝗟𝗲𝗼 𝗺𝗶𝗮𝗸𝗮 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗶𝗻𝗻𝗲
@mambas264
@mambas264 26 дней назад
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 26 дней назад
💯
@slimbaj3148
@slimbaj3148 26 дней назад
🐊
@nancyg8664
@nancyg8664 26 дней назад
😂😂😂
Далее
Sativa kupatiwa matibabu Dar, ndege yapata dharura
5:00
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Просмотров 14 млн
Я ПОКУПАЮ НОВУЮ ТАЧКУ - МЕЧТУ!
39:05
Andrew Bustamante: CIA Spy | Lex Fridman Podcast #310
3:53:09