SWAHILI SOCIETY USA FEST. 2019
Mjadala unaohusu Sanaa ya Kiswahili namna ilivyo. wasaidia vijana kuboresha maisha yao. Kwenye mjadala wapo Emmanuel Mgaya "Masanja Mkandamizaji", Ibrahim Mussa "ROMA", Mr. Beneficial., Majid Mswahili na Steven Kisandu.
26 ноя 2019