Тёмный
No video :(

MASANJA NA BINTI YAKE NI SHIDA 

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Подписаться 199 тыс.
Просмотров 89 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 156   
@Williamjsichalwe
@Williamjsichalwe 4 месяца назад
Wafaa kuwa mwalimu wa watoto sana hongera kwako
@serafredrick5384
@serafredrick5384 Год назад
Hahahahahahaha mnanifurahisha nimeipenda hiyo jaman yaan mtt anaona wazazi ni muhimu Kwa upendo mnao muonyesha safi sana
@afropatriot7769
@afropatriot7769 4 года назад
mh kwakweli watoto wa siku izi raha sana,Baba angu alikua haongei yaani akikuangalia tu mwenyewe ushafika shule sox na viatu utavalia njiani, tena those days 1994 hakuna school bus wala school bicycle hahah tumepoteza mababa aisee tunalea watoto ovyo sana tunatengeneza ma broiler watu
@olivervalentino728
@olivervalentino728 4 года назад
😂😁😂😁bola ww alikuwa anakuangalia tu wakwangu unaamushwa na fimbo
@godfreykawibesele8545
@godfreykawibesele8545 4 года назад
Kweli wababa wa siku hizi Raha sana
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Год назад
Mjanjaaaa uyoo umri wake 3/4 sio 😂😅😅😅
@maxfaida6237
@maxfaida6237 4 года назад
Yaan,inabidi tu akuelewe mwanao . pia nakupongeza sana kwa namna unavyofanya hivi binafsi naelewa "mtoto anastahili kulelewa ktk njia impasayo ili atakapo kuwa mkubwa hawezi kuiacha" Hongera zako mume wa msukuma Emmanuel mgaya,
@nunuuali5316
@nunuuali5316 4 года назад
Naomba tu shule isifunge sijui ntaangalia nini 🤣🤣🤣
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 4 года назад
Hahahahahahaha huyu jamaa anasema ukweli😁😁😁😁😂😂😂😂syo ww tu wengi hawapendi shule😂😂😂📣📣📣😊🔊🔊🔉🔉
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
Hata mie nlikuwa nauchukia shule jamani
@lisasalum2462
@lisasalum2462 4 года назад
Unaonekana tu
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 года назад
Nawaz alivyo mbishi cjui hat hzo nywel anasukaje huy msichan wko😂😂
@happyngungur8868
@happyngungur8868 4 года назад
Sooo funny.. 😂😂😂 nothing feels awesome like living your life😂😂
@sharifmaganya9595
@sharifmaganya9595 4 года назад
Melkion samson
@sharifmaganya9595
@sharifmaganya9595 4 года назад
W
@teddyjohn5339
@teddyjohn5339 4 года назад
Huyo mtoto anaakili kama za babaake 😀😀
@griezmannheinstein4511
@griezmannheinstein4511 4 года назад
Hahahahahha Yani masanja na mwanae wanachekesha sanaaa
@godfreykawibesele8545
@godfreykawibesele8545 4 года назад
Masanja Kaka angu nakupenda sana ww pamoja na familia yako naomba soma (Mithali 23:13) maandiko yanasema "usimnyime mtoto wako mapigo maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa"
@ebbyescor7614
@ebbyescor7614 Год назад
Mwache masanja
@ebbyescor7614
@ebbyescor7614 Год назад
I love it sana
@mwalongojames1507
@mwalongojames1507 4 года назад
Sio kwa ubaya hapo wakusoma mwisho wa siku alienda shule bila kupenda😅😅😅😅😅😅
@sarafinasalvatory2074
@sarafinasalvatory2074 4 года назад
Yani uyu mtoto alishajua anadekezwa sasa ameamua kuweka migomo. Masanja be careful
@neemajacob418
@neemajacob418 4 года назад
Akianza kumdunda hapo simu zitapigwa hadi haki za binadamu. Kiuhalisia sio rahis amuadibishe mbele ya kamera mi nadhani anajaribu tu kufurahisha watu na mwanae
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 года назад
Kweli kabisa.mtoto keshajua kila anachotaka anafanyiwa kwa hyo anajidekeza.hajui kama anamharibu
@managermipango2843
@managermipango2843 4 года назад
@@neemajacob418 hamna ukimwangalia Mtoto anachofanya inaonekana kabisa ni mazoea, hata bila kamela hua hakaripiwi wala kupewa adhabu yoyote inayostairi na umri wake. Angekua mkubwa kidogo tungesema anamfundisha kuigiza, ila anachofanya Mtoto ni uarisia kabisa, atajilaum baadae
@mwalongojames1507
@mwalongojames1507 4 года назад
Jamani hebu Kila mmoja Wetu Aangalie Familia yake Ya Huyu Bloo TAFADHALI iacheni mtakuja Kufa Bure Msije kusema Sijawaambia😆😆😆
@loxanasuleimani8791
@loxanasuleimani8791 4 года назад
@@mwalongojames1507 🤣🤣🤣
@celinahbarasabarasa4599
@celinahbarasabarasa4599 4 года назад
Napenda your video and the baby girl
@nuraynmakoya803
@nuraynmakoya803 3 года назад
Mnanifurahisha aki😂😂😂😂
@stellahzacharia8743
@stellahzacharia8743 Год назад
Mchungaji wewe Ni kiboko unanifanya kucheka maana si wa vituko hivyo na mwanao🤣🤣🤣🤣
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 года назад
Huyo mtoto unamharibu,unamdekeza sana.umpende lkn balance.shauri yako
@beatricemapunda2519
@beatricemapunda2519 4 года назад
Kweli amesala bnti jaman
@fadiasly3048
@fadiasly3048 3 года назад
Aunt hata usilie hata sisi shangazi zako tuliyapitia hayo 🤣🤣🤣
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Год назад
Awadekezzi HIVYOO mkemee atazowea hivyo NOOOO au ana usingiziiiii??
@gradnessshitindishitindi4881
@gradnessshitindishitindi4881 3 года назад
Yan me hapo wakati ashakula kofi mdaa sjui kudekeza Toto mim
@aminaramdan3283
@aminaramdan3283 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂. Aunty yangu jamani Akiamuaga kugoma Yani hata Uwongee lugha gani😂😂😂...
@niyonsabasaada7831
@niyonsabasaada7831 3 года назад
😅😅😅
@neemasanga4536
@neemasanga4536 4 года назад
Hahhahahahahahahaahhahahhahahahhahahahhahahhaa jaman,najifunza meengi kutoka kwako brother
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 4 года назад
Mh ntacomment badae hd nisome na comment za wenzangu
@zephanianapegwa632
@zephanianapegwa632 4 года назад
Hivi Masanja huyu mtoto huwa anakuelewa kweli hayo maneno mengi hivoo unavomuongeleshaga namna hiyo!!
@holySpiritchoir24
@holySpiritchoir24 4 года назад
Anamuelewa vizuri sana.... Watoto wanaelewa ati....tena sana...
@eliapendamrutu17
@eliapendamrutu17 4 года назад
Masanja niajiri kazi ya kumpeleka shule huyo totoo
@mariammmasy1865
@mariammmasy1865 Год назад
Kumbe ndio maana cheki mtoto sasa Duuh inasikitisha
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 года назад
Faida za kuiga imaan/tamaduni (dinini) za Kizungu.. Baba anakaa uchi na mtoto anakaa uchi !
@rhinakiza
@rhinakiza 4 года назад
🤣🤣🤣🤣 baba na mtoto🥰🥰
@veroslaa1041
@veroslaa1041 2 года назад
Hahahahaha duuuuuu
@hamzanasry8011
@hamzanasry8011 4 года назад
Yaani masanja na mwanae mnanifurahishaga
@sebastiantitus9420
@sebastiantitus9420 4 года назад
Ka cute kanadekaaaa aka jamani😃
@ummutaswaufi3980
@ummutaswaufi3980 2 года назад
Mtoto mwenyewe mbona haeleweki
@agathathobias8690
@agathathobias8690 4 года назад
Masanja na mdada wako huwa mnanifurahisha
@alimakame3529
@alimakame3529 3 года назад
Ati ukalee! 😂😂😂😂
@winfridagama2042
@winfridagama2042 4 года назад
Clely nomaaa
@faithfulphilemon9890
@faithfulphilemon9890 4 года назад
Watoto ndio walivo, yaani huwa wanaakili sana
@huddasitwakinyogoli2716
@huddasitwakinyogoli2716 4 года назад
Hahahhahaa masanja plz hahahhahahahaha
@didahshee1877
@didahshee1877 4 года назад
Hahahaa kazi ipo
@imbrosmadeghe6948
@imbrosmadeghe6948 4 года назад
masanja nilikua na mpango wa kukuongeza mahali lakin kha apan ninegail
@love_diva
@love_diva 4 года назад
Huyu P wng kabsa
@gracekomba7107
@gracekomba7107 4 года назад
She is not in mood jmn😂
@neemazee1864
@neemazee1864 Год назад
Mtt wa katibu wamefann hatali
@francinesoniacicura7325
@francinesoniacicura7325 4 года назад
Apa masanja ana aki ya kumulea mtoto wake ivyo kama nyiynyi Amina muda ya watoto muacheni Fimbo siyo malezi kwa mtoto Mtoto ana aki ya affection ya wazazi
@hapyamini3121
@hapyamini3121 4 года назад
Bado Mdogo jamani usimlazimishe kwenda shule
@gauedwin1960
@gauedwin1960 4 года назад
Hii mambo ya negotiation ndio nimejua ni ngumu,wakati unaona serikali inachukua miezi kunegotiate🙆 Clelia anakaka kama mwanasheria hivi😂
@abelmusyani4583
@abelmusyani4583 4 года назад
Hahahaa Balaa zito
@janesamson3271
@janesamson3271 4 года назад
Mtoto bado mdogi hanaitaji kubembelezwa jamani
@bisadimussa9684
@bisadimussa9684 3 года назад
Jamani uyo ambay anambiw mambo mengi ndokwanz ananyony kidor han habar
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Год назад
UMRI naona ni 2/3
@estarwille8272
@estarwille8272 4 года назад
hahahahahahaaaaaaaaa! uyu p mtoto kiboko
@annaracheldaniel8793
@annaracheldaniel8793 4 года назад
Huyo mtoto kidole kitaharibika, muwekeeni pilipili aache, Huo sio umri wa kunyonya kidole muda wote
@hellenimmaculate5953
@hellenimmaculate5953 4 года назад
Watoto wanaonyonya kidole wanakuja kua na akili sana
@gloriousnp
@gloriousnp 4 года назад
annarachel Daniel okay miss puchologist , next comment 🤣🤣
@shainglorynkya914
@shainglorynkya914 4 года назад
Atamuachisha tyu
@nuurinkluge3263
@nuurinkluge3263 3 года назад
Gut🙏🙏🙏🍨😘
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 2 года назад
Mtoto bado mdogo ajui kitu apo anatamani kubaki home Sisi tulikuwa tunaenda shule miaka Kumi na moja na kuendelea lakini SASA mtoto bado ananyonya anaenda shule
@paulebby1552
@paulebby1552 4 года назад
Utakala mtoto hataki mashule 😂😂
@bestonmfikwa8510
@bestonmfikwa8510 4 года назад
Masanja unanipa raha sana
@scholasticajackson6760
@scholasticajackson6760 4 года назад
Yan Jaman mi nacheka kwel Looh
@holySpiritchoir24
@holySpiritchoir24 4 года назад
Masanja usikunje daftari please.. Mtoto atazoea vibaya....
@oliviaanatory4415
@oliviaanatory4415 4 года назад
Kama anaongea na mtu mzima vile ahaaa
@enjobalumbanje3138
@enjobalumbanje3138 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@jenipherkavusha506
@jenipherkavusha506 4 года назад
Hahaha mtoto hataki shule
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 года назад
UNAMHARIBU MTOTO USIONE HAYO NDIO MAPENZI.
@soniafashion3258
@soniafashion3258 4 года назад
Kweri kabisa
@jacquelinosmond221
@jacquelinosmond221 4 года назад
ila watu mna mapepo,mlitaka ambutue? kila mtu na malezi yake kwa mtoto wake,kama wewe umezoea kubutua butua hadi uue...sisi acheni tujifunze
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 года назад
@@jacquelinosmond221 shida sio kumbutua.unaweza muweka mtoto vizuri hata kama sio kwa kumpiga.kumuelesha asideke hivo.ataona ndio maisha
@jacquelinosmond221
@jacquelinosmond221 4 года назад
saitoti saitoti ndiyo maana kuna hatua za ukuaji za mtoto...huyo mtoto hata la kwanza hajafika..ingekuwa ni mtoto wa mlalahoi angekuwa bado yupo nyumbani bila shule....
@elizabethziga6305
@elizabethziga6305 4 года назад
We leo wako uwezavyo watu wamemelewa hivyo na wanaakili balaa dalasani wako vzr na maisha yao mazuri usikalili
@NANCYWARD488
@NANCYWARD488 4 года назад
Yani kumbukumbu nzuri sana atakuja kujikataa sio yeye🤣🤣
@angelalphonce2962
@angelalphonce2962 4 года назад
Yaani mtoto hataki amemaanisha
@muhakumushi9417
@muhakumushi9417 4 года назад
To much masanja
@oliversanga1498
@oliversanga1498 4 года назад
Ha hahaha kazi ipo
@witnesslema6919
@witnesslema6919 4 года назад
Huyo atakua mdogo sana unakua ana miaka miwili wanasumbuaga akili yake bado
@barakalukosi2251
@barakalukosi2251 3 года назад
Masanja ulizoea kukunja daftari had I motto unamfundisha hivo
@hazibonplatformafrica9617
@hazibonplatformafrica9617 4 года назад
😄🤣Jana nikasema ukale (colouring)
@leticiambilinyi1708
@leticiambilinyi1708 4 года назад
Unajua unaitwa nani Cleria Emanuel tunashare majina 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hatuwezi kugombana kwa sababu ya kukala utakala cku nyingine 😂😂😂😂😂😂umeona ugu gu c 😂😂😂😂😂😂😂
@oliversanga1498
@oliversanga1498 4 года назад
Mpe supu ya mbwa atakuelewa
@liberatibazil9859
@liberatibazil9859 4 года назад
Aka n kabish ka kwanza dunian
@Sppah697
@Sppah697 Год назад
Mtoto wa Katibu huyo!
@soniafashion3258
@soniafashion3258 4 года назад
Yaani mtoto mbishi ningekuwa msichana wakazi angenyooka
@shainglorynkya914
@shainglorynkya914 4 года назад
Uyo anaumwa huyo na mafua so anaona anachoshwa
@rajmkonje7149
@rajmkonje7149 4 года назад
🐶o akisikia swala la shule anakaa chini na analala kabisa
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 4 года назад
Amenikumbusha mbar
@marygregory7566
@marygregory7566 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@sadickallykingengena4034
@sadickallykingengena4034 4 года назад
Malezi mabovu hatariii
@_Rahmaray
@_Rahmaray 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@jagnamohamed6298
@jagnamohamed6298 4 года назад
malezi 0
@jeniferlukas8507
@jeniferlukas8507 4 года назад
Huyu mtt mbona kauzu,,baada yakukasirika imebid nicheke tu,,ila kaka weka akiba kunakifo,,mana atapata tabu mno kwa huko kudekezwa
@shainglorynkya914
@shainglorynkya914 4 года назад
Kwaiyo
@elizabethziga6305
@elizabethziga6305 4 года назад
Acha kuoombea wenzako vifo
@betrue33
@betrue33 4 года назад
❣❣❣
@mycmeranyswai7957
@mycmeranyswai7957 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@mwalongojames1507
@mwalongojames1507 4 года назад
Kitu Ambacho kinanipa morale ya kuweka bando Ni pamaja na Hizi mambo za Baba na Mwanaye @Mugaya
@basiribonga689
@basiribonga689 4 года назад
Hivi unadhani ungekuwa kwenye nyumba ya kupanga hayo ungeyafanya?? Udaiwe kodi halafu ukae ucheze na mtt namna hii subhuuuuutuuuu Vijana tafteni tyuu pesa a jaman
@mwalongojames1507
@mwalongojames1507 4 года назад
@@basiribonga689 kwaiyo jamaa unataka kusema wakina sisi hatuchezi na watoto Wetu? Sio kweli tunacheza nao ila director Ndio tunakosaga 😆😆😆😆😆
@basiribonga689
@basiribonga689 4 года назад
@@mwalongojames1507 hahaaaa haaa
@verenabusanda4044
@verenabusanda4044 4 года назад
Ha ha ha ha ha
@jeremiahmhulula3515
@jeremiahmhulula3515 4 года назад
Mimi nina alerg na watoto sample hiyo.
@sarahntandu6378
@sarahntandu6378 4 года назад
Hahahaa mm natamani angekua wa kwangu ningechapaa uwiii
@osmanaidarus6907
@osmanaidarus6907 4 года назад
😂😂😂😂😂😘
@smartboy476
@smartboy476 4 года назад
Osman Aidarus inategea na aina ya shule
@berthamtenga2091
@berthamtenga2091 4 года назад
😂😂😂😂
@beatricemapembe8941
@beatricemapembe8941 4 года назад
Siku akipata degree wewe wakutunuku udoctor kama wa mwamposa
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 4 года назад
Kamegoma duuuh!!😂😂😂
@rhinakiza
@rhinakiza 4 года назад
Ada ya shule kwa mtoto wa miwaka 3 ni shiligi gapi please? Can someone answer my question please? Kwa mwaka
@mapundaone9380
@mapundaone9380 4 года назад
Kwa Day care Tsh. Laki 8 shule zingine Tsh. Laki 6 tu mwaka mzima
@marymanoni5536
@marymanoni5536 2 года назад
M 1.2
@rhinakiza
@rhinakiza 2 года назад
@@mapundaone9380 Asante ubarikiwe
@Nims643
@Nims643 4 года назад
Subra muhimu kweli❤
@joycenyakiha8121
@joycenyakiha8121 4 года назад
High heels
@sabinagerold9962
@sabinagerold9962 4 года назад
Hatar
@angelinamkingi8164
@angelinamkingi8164 4 года назад
Malezi gani hayo!!
@vailetaron5717
@vailetaron5717 4 года назад
Kwani lazima aende shule? Urithi wa mtoto ni pesa, na pesa unayo tayari Mwache mtoto afanye anachotaka. 🤣
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 4 года назад
😂😂😂
@mariyaal5366
@mariyaal5366 4 года назад
🤣🤣🤣🤣
@florachrist9602
@florachrist9602 4 года назад
😐😐serious
@fadhiliandrew2186
@fadhiliandrew2186 4 года назад
Pole
@gracegilbert5296
@gracegilbert5296 4 года назад
hahahaaaaaaa
@pracksederstanley7771
@pracksederstanley7771 4 года назад
Hahaaaaa
@Saadah-jm5xs
@Saadah-jm5xs 3 года назад
😹😹😹😅😅😅😅😅
@scarynation3158
@scarynation3158 4 года назад
CHECK CHANNEL YANGU KWA VIDEO SA KUTISHA NA KUSISIMUWA $ USISAHAU KU SUBCRIBE NA KULIKE
Далее
SNAKE BOY | ep 35 | SEASON TWO
30:48
Просмотров 102 тыс.
Средневековый киборг
00:39
Просмотров 518 тыс.
A Minecraft Movie | Teaser
01:20
Просмотров 20 млн
Cute kitty gadget 💛💕
00:23
Просмотров 4,7 млн
Masanja MONICA ft Walter Official Video
5:13
Просмотров 676 тыс.
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Просмотров 333 тыс.
Средневековый киборг
00:39
Просмотров 518 тыс.