Тёмный

RAIS AMUITA IKULU MUENDESHA BODABODA ALIYEOKOTA MILIONI 115 NA KUZIRUDISHA KWA MUHUSIKA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 183 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 428   
@pastortimothyjoshua3304
@pastortimothyjoshua3304 2 года назад
Safi sana maana uaminifu ni bidhaa adimu sana kwa sasa kwahiyo mkimpata mtu kama huyu kijana kwenye jamii muhimu atunzwe
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 года назад
Nikweli
@hamisiseleman370
@hamisiseleman370 2 года назад
@@rahmaabdulla4949 ...... .
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 года назад
Wangap tusingeweza kuludisha tuwe wakwel,mm wa kwanza🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♂️
@shakirasaidi7657
@shakirasaidi7657 2 года назад
Namimi hapa
@mwanaimamsangi971
@mwanaimamsangi971 3 месяца назад
Mie na mkoa nahama
@oliverhhary9035
@oliverhhary9035 2 месяца назад
Mm nahama nchi kbsa😂😂😂😂
@tynoblack5996
@tynoblack5996 2 года назад
Uzur ni kwmba sio Tanzania ...maana wenzetu wameona thaman yake..ona sas amepata nafas yakuendelea kusoma..pia pesa kapewa pamoja na pikipiki...ingekuwa Tanzania ungekuwa na kesi ya kujibu
@sabrinaiboma2444
@sabrinaiboma2444 2 года назад
ALLAH amzidishie imaan na uaminifu MaashaAllah...kibongo bongo daah
@abuuking
@abuuking 2 года назад
Amiin
@sophialusonzo3594
@sophialusonzo3594 2 года назад
Nakwambia angekubali kufa kuliko kuzirudisha
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 2 года назад
Hii habari nilijua bongo ,,,,kumbe uko kwa wenzetu Kijana umelewa vyema Mungu Amfanyie wepesi kila utakacho kiwe na kheri na ww
@samsonmagesa3959
@samsonmagesa3959 2 года назад
Bongo hilo linakuwa ni Zali la Mentali
@eddymenas
@eddymenas 2 года назад
@@samsonmagesa3959 😂
@alqaasim_a_tz2412
@alqaasim_a_tz2412 2 года назад
Bongo Iliwahi Kutokea Na Mtu aliokota Ml 150 akatangaza Watu wakasema ni Magumashi mpaka mwenye nazo akapatikan
@aminaathumani6832
@aminaathumani6832 2 года назад
Mungu akubariki Sana pamoja na wazazi wako aminii. 🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏nakizazi chako utakacho zaa kikufate nyao zako
@komboomar8275
@komboomar8275 2 года назад
*Duuuh! jamaa uaminifu wake umempa vingi kuliko hizo pesa alizookota kwa wenye akili zilizokaa sawa ndio wanalijuwa hilo*
@killylevenson
@killylevenson 2 года назад
Tambua ingekuwa kibongo bongo angeonelana fara na hata rais asingemuita na asngepewa chochote
@komboomar8275
@komboomar8275 2 года назад
@@killylevenson inawezakana ila jamaa ako na moyo sana ingekuwa mm kwanza naona ninge fanya kikao na halmashauri yangu ya kichwa wiki 3
@salmaseif9731
@salmaseif9731 2 года назад
Very much indeed
@seifmassoud2686
@seifmassoud2686 2 года назад
@@komboomar8275 🤸🏻‍♂️🤸🏻‍♂️😂
@nissamwapoladi7345
@nissamwapoladi7345 2 года назад
Kabisa
@eliamwasomola578
@eliamwasomola578 2 года назад
Ingekuwa bongo watakuita mwizi nakufungwa jela akina kingai wanakufunga
@bekabakari7394
@bekabakari7394 2 года назад
Mwizi utarudishaji hela tena?
@omaryjuma8002
@omaryjuma8002 2 года назад
Tujalibu tu kuwa waminifu kwe haya maisha Lakini sio bongo🤣
@adamdemarch5565
@adamdemarch5565 2 года назад
😅😅😅
@meshackchibaladya6152
@meshackchibaladya6152 2 года назад
Ee Mungu hii mitihani naomba uniepushe nayo... Nijaribu kwa mengine lakini sio hili la hela..
@donnihope1768
@donnihope1768 2 года назад
😂😂😂
@marianajohn360
@marianajohn360 2 года назад
😂😂😂😂
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 3 месяца назад
😅
@oliverhhary9035
@oliverhhary9035 2 месяца назад
😂😂😂😂😂 kwakweli sio ya hela maana kurudisha siwezi
@johnbogonko4315
@johnbogonko4315 2 года назад
Wahenga walisema, wema hauozi! Sasa kijana atasoma hadi penye yeye atataka. Tena ile kuwa ambassador wa kuona kuwa hakuna rushwa nchini liberia, bado hizo ni pesa. Bado wahenga walisema- Tenda wema uende zako. Mema yatakufwata tuu.
@أبوجعفرالسلفي-ف7ك
@أبوجعفرالسلفي-ف7ك 2 года назад
Hata mimi narudisha ili nipate radhi za ALLAHU subhaanahu wata'ala.
@joezeno8
@joezeno8 2 года назад
Unarudisha begi hamna kitu
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 2 года назад
Kwa hali yoyote ile MUNGU akitaka kukuinua anakuinua tu kwa mfano huu udhamini aliopatiwa wa masomo ni zaidi hata ya alichookota mnaomponda endeleeni kumponda ipo siku tu mtaelewa bado hamjaelewa
@kelvinngenzi8578
@kelvinngenzi8578 2 года назад
Acha zako wewe ujinga mtupu
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 2 года назад
@@kelvinngenzi8578 mjinga ni wewe usiyejielewa
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 2 года назад
Hongera Saaanaaaa kwa uaminifu, Mungu akupe nawewe riziki harali,wabongo angesepa,,
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 2 года назад
Allah atampa zaid ya hizo na atakuwa tajiri zaid ya hizo pesa
@hamidaala2832
@hamidaala2832 2 года назад
Saaana
@ngombegeorge3577
@ngombegeorge3577 Год назад
Amejitahd saiv mtu akidondosha karatasi tu. Imekunjwa mwingine akahisi umo Kuna hela haumbiwi
@DismasGeraldi-i2s
@DismasGeraldi-i2s 3 месяца назад
Wewe ungeludisha kweli😊😂
@Smartmoneymakerz
@Smartmoneymakerz 2 года назад
Yani leo nimeshuhudia boda boda kadondosha kiroba cha mchele na hajajua, sasa hao vijana wameokota wakasepa na fuko la kilo 25 la mchele😂😂nawaza kama ndio zingeanguka hizo dola ngapi sijui wangefanyeje😂😂
@leahmgunda177
@leahmgunda177 2 года назад
The curriculum is highly concerned.God bless Emanuel.
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 года назад
Kwa bongo ata ukiwa mwaminifu wa hvyo unapewa kesi ya uhujumu uchumi nan sasa aludishe🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♂️
@lahnisalim4899
@lahnisalim4899 2 года назад
Hhhh
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 2 года назад
Ukiwa_Muaminifu_ujue_wewe_ni_tajiri_wanafsi_Allah_Atupe_moyo_huo_huo_sisi_Masikini
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 2 года назад
Mungu wetu ni mwaminifu.naye snapenda tuwe waminifu.hivyo kavaa sura ya Mungu.pia familia yao wana hofu ya Mungu.hata aliyepoteza anamcha Mungu.Mungu wetu aliye mwaminifu atampa utajiri na heshima
@elizasulley1799
@elizasulley1799 2 года назад
Amina kwa kweli Mungu anapenda uaminifu Mungu atusaidie tuwe na hofu yake
@jamesvmusic2677
@jamesvmusic2677 2 года назад
You have already been rewarded for your honesty.See how God works 🙏
@johariclifford1817
@johariclifford1817 2 года назад
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu na yenye Amani na furaha.kwa usingekuwa na Imani usinge ziludishia mwenye nazo.Imani itakulinda Daima
@henrymatebe1492
@henrymatebe1492 2 года назад
Hahahaha😂 sasa 😂 bongo konda akizubaa kidogo tu mia nne yake unaikacha jamani 😂 kazi kweli kweli yeyote atakayeweza kuwa muaminifu hivyo hapa bongo basi akienda mbinguni atakuwa kiongozi wa kuongoza malaika maana bongo siyo 😂
@marianajohn360
@marianajohn360 2 года назад
🤣🤣🤣🤣 uyoo n mm kabisaaa YaAni
@pmall8867
@pmall8867 2 года назад
Hawa Akina Emmanuel wa Tz🇹🇿...sizani Kama wangeweza ...lazima tunge kutana kidibwi tu😂😂
@nth3512
@nth3512 2 года назад
Uislam nao umeelekeza hivi ktk kuokota mali. Namuomba ALLAH amuongoze kijana
@joezeno8
@joezeno8 2 года назад
Kuna tafauti kati ya Uislamu na muislamu
@ibrahimngurungu5607
@ibrahimngurungu5607 2 года назад
@@joezeno8 maana yake wewe unaujua uislam kuliko tuujuavyo sisi wenyewe?
@joezeno8
@joezeno8 2 года назад
@@ibrahimngurungu5607 Wanaogeuza dini kuwa biashara ni kina nani? Chunguza Bongo Masheikh na wachungaji wengi wanageuka kuwa waganga na kutapeli watu kupitia dini
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 года назад
Heee🤔nyie vp yamekua hayo tena mbona hamjielewi mada iliyoko hapo sio ya uislam wala dini mada hapo uwaminifu unaweza ukawa Muislam au Mkristo na usiwe na sifa ya uwaminifu kbsaa embu jitambueni nyie
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 2 года назад
🤝 MaashaaAllah Jazaakumullahu khairan 🙏
@amoama9353
@amoama9353 2 года назад
Huyo kijana raisi wake alimpa fedha million 23 pikipiki 2 TVS ,kusomeshwa hadi masters kuwa balozi wa kupinga rushwa nchini na kupewa mshahara kwa ubalozi huo ,mama aliyepoteza fedha alimpa alimpa milioni 23 , balaza la maaskofu pia limempa shilingi million 23 kwa thaman ya fedha yetu
@faithmsafiri6534
@faithmsafiri6534 2 года назад
Dah kweli Mungu amemlipa
@eventelias3566
@eventelias3566 2 года назад
Mambo mengine ni majaribu makubwa lkn ukiyashinda unakuwa mshindi hadi kufa.
@reginacharles1913
@reginacharles1913 2 года назад
Uaminifu utakulinda siku zote za maisha yako, atakachokipata huyo kijana ni kikubwa kuliko hiyo pesa aliyoikota
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 2 года назад
Dogo amefanya jambo zuri sana, Amejiwekea hazina kubwa sana kwa Mungu, Pengine asingezirudisha huyo mama aliyezipoteza angeweza kupata hata msongo wa mawazo.
@devothasimbi1055
@devothasimbi1055 2 года назад
Huenda hâta kupoteza Maisha ya aliyepoteza hizo pesa kisha muokotaji Laana ikimfuata n’a kula kizazi Chake.
@sarahkadugu4367
@sarahkadugu4367 2 года назад
🤲🤲🙏🙏🧎‍♀️Uaminifu umempeleka mbali sasa
@zainabually2968
@zainabually2968 2 года назад
Uaminifu ni mzur sana ingekua tz apo asingerudisha
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 2 года назад
@@devothasimbi1055 Ni kweli kabisa usemayo, Alichokifanya huyo kijana amejitengenezea hazina kubwa kwa Mungu na utajri mkubwa Duniani kwa maisha yake yajayo, Tayari ameshatengeza channel kwa kiongozi wa Nchi yake.
@zainaseleman3043
@zainaseleman3043 2 года назад
.
@herimphubusa7454
@herimphubusa7454 2 года назад
Nguvu ya uaminifu❤️❤️❤️
@edlumala9428
@edlumala9428 2 года назад
Nguvu ya uaminifu hiyo, karudisha milini 100 karudisha lakini kapata fursa ya kusoma life time “ambayo ni zaidi ya 100m” kapata zawadi 20% ya pesa alizookota, kapata pikipiki 2, Kawa karibu na rais na kajulikana dunia nzima! Lakini la mwisho kabisa ana fungu lake kwa Allah kwa uaminifu aliyoufanya.
@wardaheluwa734
@wardaheluwa734 2 года назад
Kama ni Kenya sijui kama angezipa kamili zengeregeshwa lakin asingepata zote
@husseinomary4466
@husseinomary4466 2 года назад
Kibongo bongo mamdogo aliekabidhiwa furushi hilo mapemaa yupo China
@hasnasaif1075
@hasnasaif1075 2 года назад
Hujakosea
@HadijaDaffo
@HadijaDaffo 4 месяца назад
😂😂😂
@matatomlik1846
@matatomlik1846 2 года назад
Maashallah maashallah pongezi kwa wazazi wa kijana huyo kwa kumlea katika maadili mema mungu awabariki
@ntibwanaahmadjuma7885
@ntibwanaahmadjuma7885 2 года назад
Kama vile nawaona boda boda Wa bongo wanavyo tumbuwa mimacho
@HadijaDaffo
@HadijaDaffo 4 месяца назад
😂😂😂
@johariclifford1817
@johariclifford1817 2 года назад
God bless you President of Liberian
@samsonmagesa3959
@samsonmagesa3959 2 года назад
Hapa Kwetu Bongo Hilo lilikuwa ni Zali la Mentali kwa mtu Ambaye Angeokota hilo Begi
@idrisaally7986
@idrisaally7986 2 года назад
Maisha hayana formula ww tu kuchagua namna ya kufanikiwa
@mohamediziady4182
@mohamediziady4182 2 года назад
Mama. Alibindi hampe 10% yahela. Hizo. Aloyo hokhota
@noonelike6382
@noonelike6382 2 года назад
Sa kimfano tukio kama hili linge happen hapa bongo,.. dogo angekuwa wapi muda huu kiukweli ukweli kabisa.. hebu acha replying hapa chini,🤣🤣🤣🤣
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 2 года назад
Wengi waliompongeza na kumuunga mkono maamuzi ya huyu kijana ni baada ya dogo kuzawadia zawadi ya pkpk mbili na kiasi cha pesa pamoja na kuendelezwa kimasomo. Vinginevyo asingepewa chochote basi watu wengi wangetahaluki na kumkosoa dogo na kumtakia maisha mabaya zaidi. Ukweli upo hivyo
@lazarokiiza9429
@lazarokiiza9429 2 года назад
Kweli kabisa, na angekuwa bongo alikuwa anapita ivi🤣
@maidamhanje5993
@maidamhanje5993 2 года назад
Hicho ndicho kimemfanya apongezwe asingerudisha labda hata asingejua atumie nn lkn kwa kurudisha kapata kuaminika na kutambuliwa na kupiyia Hilo anaweza pata ubalozi zaidi Kila kitu Kuna faida na hasara yake tunampongeza kwa uaminifu haijalishi angepata pesa au laaaa huwezi jua angeiliwa pia kwa hizo pesa vile vile
@halimahamis3742
@halimahamis3742 2 года назад
Ajengewe sanamu lake Na mafisadi wa nchi hii wajitathimini
@Pihansmo
@Pihansmo 2 года назад
Bongo usijidanganye ukarudisha Yani utajuta 😭😭😭😭😭
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 2 года назад
😁😁😁
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣bongo hakuna mwaminifu wa hvyo
@emmansabu9300
@emmansabu9300 2 года назад
There is always something about this guy's called EMMANUEL
@alluabdallah6893
@alluabdallah6893 2 года назад
Kwel muung kaahid uaminifu ni kitu pekee ktk hii dunia Bodaboda 2 Udhamin wa masomo dunian popote had upeo wake wa akili Milion 21 Balozi wa rushwa mchin kwao kwakwel hivy ulivyopat ni Zaid ya milion 100 Congratulations KIJAN hakik umeshafunguka
@NaitwaChongx
@NaitwaChongx 2 года назад
Umesahau dola elfu moja na miatano alizopewa na mwenye pesa🔥🔥🔥🙏
@hajeralqaidi2115
@hajeralqaidi2115 2 года назад
@@NaitwaChongx ndo mana tunaambiwa tusikate tamaa na rehma ya mwenyezi mungu❤
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 2 года назад
Ingekuwa ww Ingekuwa vp? Sema ukweli mm ningepita Nazo barabarani Ningekujua Mungu amesha nipambania🤣🤣🤣big Up Sana kijana mwenzetu mfano wa kuigwa ila kwa hapa kwetu🤔Wapo 🇹🇿
@julitamassawe3104
@julitamassawe3104 2 года назад
Sawa
@juliuswilliammtana3610
@juliuswilliammtana3610 2 года назад
Ongera sana mdoangu kwa uaminifu wako
@obedisaitoti3678
@obedisaitoti3678 2 года назад
Ni moyo wa kipekee Saba Kwa hakika. Mungu amfangie wepesi huyo dogo. Ingekua ni bongo aokote mchaga kingeumana🤣🤣
@ramadhanyusuph7633
@ramadhanyusuph7633 2 года назад
😂😂 angedondosha TZ🇹🇿 angeli hadi michozi ya damu na asinge ambilia hada sh.100 mbovu
@arafatharoub6215
@arafatharoub6215 2 года назад
Jamani walioona nguv ya mungu muumba wa vyote naomb tujuane
@vedastokeya3344
@vedastokeya3344 2 года назад
Njia ya mtu ya mafanikio ngumu kwa wengne kuamini
@sophiakitaly2843
@sophiakitaly2843 2 года назад
ukisikia kulala masikin kuamka tajiri ndo hivo sasa, ukiskia paah wa mwisho anakua wa kwanza na wakwwwanza anakua wa mwisho....goodboy honestlyboy
@marympango9247
@marympango9247 2 года назад
Duuuh Mungu amsaidie huyumtt jmn!!!! .. Dah.
@othmanomar9470
@othmanomar9470 2 года назад
Na uaminifi wangu wote lkn nikiokata bila kumjua mwenyewe sitangazi sitangazi N'go
@FMCOMEDIAN877
@FMCOMEDIAN877 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-GhUpKc2l9nc.html mademu njaa utawajua gusa mcheki huyu🤣🤣🤣👆
@IbrahimShan-qu3um
@IbrahimShan-qu3um 2 месяца назад
Naona kila m2 anasifia wakt ukweli mnaujua moyoni mwenu!! Mamae njaa ilokua asaiv we unawez kuludisha au unaongea tu!!
@emanuelmaro8471
@emanuelmaro8471 2 года назад
Safi Sana wajina,,
@consumingfire1824
@consumingfire1824 2 года назад
utatajirika wapi tena shekhe, umeshushiwa mzigo unawarudishia wapigaji
@wowvideos9859
@wowvideos9859 2 года назад
huwezi amini ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Humdzc1S0xo.html
@thomasalphonce4248
@thomasalphonce4248 2 года назад
Daaaaa hiiii Itabaki kusema daaa ingekuwa Mimi nisingeludisha ira kwangu Noooo Wara nisingeludisha
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 2 года назад
Uyo muokotaji pesa msenge kwel zote izo ukazitngazie heee ilo ndo shavu la maskin
@faithmsafiri6534
@faithmsafiri6534 2 года назад
Wa hivyo hawapo Tanzania..... Waungwana wa hivyo hasa vijana wako Liberia
@wessdj8753
@wessdj8753 4 месяца назад
hapo uyo kijana ajakosea kasha jiwekezea zaid ya izo pesa aiseeeeh make ata asing ludisha ningumu sana kuendesh pesa usio jua imetoka wapi bora karudisha ila ningne kuwa mimi kilikuwa kimemlamba 😂😂uyo alo poteza make siwez fnya ujinga huo
@sethstiven3393
@sethstiven3393 2 года назад
Mjinga unaldishaje pesa, Kama Mungu ndo njia ya kukupa, mi nikiziokota tu hazirdi nitaultubu tu na nitasaidia masikini na wasiojiweza
@elsonyohana8535
@elsonyohana8535 2 года назад
hakuna uaminifu hapo huyo atakufa masikin
@abdallahmasanja621
@abdallahmasanja621 2 года назад
Hatakufaje masikini wakati kapata dili kibao
@anordgerison8639
@anordgerison8639 2 года назад
Wema una lipa .... Good luck .... MUNGU hutoa njia pasipo na njia ... Kama Wana wa Israel walipo fika bahari ya shamu
@marialudovick8938
@marialudovick8938 2 года назад
Kabisaaa
@faustinisirili2395
@faustinisirili2395 2 года назад
Hiyo tu kuingia ikulu thamani kubwa zaidi ya hela
@emmanuelmwamlima1027
@emmanuelmwamlima1027 2 года назад
Hakika ukisema hakuna waaminifu duniani hakuna waaminifu, unajiongopea na ninampongeza kijana Emmanuel.
@thevanillas2637
@thevanillas2637 2 года назад
Pumbavu hutawai pata fursa nyingine
@salumugidion
@salumugidion 2 года назад
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu anaishi 🙏. Mimi nilimlaumu babu yangu aliomrudishia mzungu mfuko wa dhahabu kwa kumkimbiza kwa mguu huku mzungu akiwa kwenye pikipiki mpaka akamkuta. Mzungu akamwambia iko nini WEWE unafanya? Utakufa masikini. Akampa kibiriti na bakuli la chumvi 😭😭😭. Kipindi babu anatuadithia hivyo na kuona maisha yetu nililia sana 😭🙏
@christopherdimagaaaikopouw916
@christopherdimagaaaikopouw916 2 года назад
Babu alijichanganya apo mzungu hiyo zahabu alipola kwetu akamludishia tena Aisee
@ammyskills5588
@ammyskills5588 2 года назад
@@christopherdimagaaaikopouw916 🤣🤣🤣labda tumuulize wana nini saivi🤣🤣
@ammyskills5588
@ammyskills5588 2 года назад
Hee😎🤏
@ammyskills5588
@ammyskills5588 2 года назад
Alijichanganya sana huyo😃
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 года назад
@@christopherdimagaaaikopouw916 Babu alirejesha mali ambayo si yake haijalishi mwenyewe kaipataje.
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 3 месяца назад
Mbona kampa kidogo jamani huyo mfanyabiashara
@justinemico1871
@justinemico1871 2 года назад
Sisi tunaotafuta kwa uchngu kiukweli tunaogopa vya watu.
@MaridadiRashidilikwesoLikweso
@MaridadiRashidilikwesoLikweso 3 месяца назад
mmmh Mungu hakupi zawadi kwenye bahasha
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 года назад
Maisha magumu yasikufanye kuwa mwizi kwani mafanikio yanayotokana na wizi yasikufanye ukajiona wewe mjanja.
@willyngowi3162
@willyngowi3162 2 года назад
Mwaminifu hafi njaa👏👏🙌
@collinsmakanta6898
@collinsmakanta6898 2 года назад
Mkinga Mimi Nisiwe Muongo Nisingerudisha
@alexjabali9674
@alexjabali9674 2 месяца назад
Uyu hataki kuomoka iwe kenya utaonea kwa maji kwanza mmi hukumu iningoje juu mbinguni
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 2 года назад
Achunguzwe ubongo kwanza🤣
@charlesyapuka4992
@charlesyapuka4992 2 года назад
😀😀😀
@joezeno8
@joezeno8 2 года назад
😂😂😂😂😂
@evanccast6228
@evanccast6228 2 года назад
Wanangu wa mtaani kama nawaona iviiii😜😜😜😜 apo mjegejee nasema nawoooo
@faridaltamimi7454
@faridaltamimi7454 2 года назад
Ingekuwa bongo angesha lewa pombe sanyingi
@sabrinaiboma2444
@sabrinaiboma2444 2 года назад
Nilijua ni Tanzania loooo bongo nyoso asingerudisha
@nuruanafisoo4220
@nuruanafisoo4220 2 года назад
Nimejifunza kitu kikubwa saaan Aise
@bwengoabdallah2556
@bwengoabdallah2556 2 года назад
Niwatu wachache duniani hatufiki kumi mimi mwenyewe nitakua watisa
@zclassicfashionz
@zclassicfashionz 2 года назад
Makofi mengi kwa Raisi George...
@zezezeze8408
@zezezeze8408 2 года назад
muaminifu sana na utazidi kubarikiwa km ataendelea kuwa hivo
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 2 года назад
Kina Emmanuel Tujuane tafadhari
@m-tatu1050
@m-tatu1050 2 года назад
Kama unabahati unabahati tu... uaminifu ni siraha muhimu sana
@goodluckmunisi4340
@goodluckmunisi4340 2 года назад
Kwakweli mm kila nikitaka kurudisha nasikia kizunguzungu ata mama yangu nandugu zangu wangefuta undugu namm
@rabiaiddi5578
@rabiaiddi5578 2 года назад
Hajaiba bali kaokota halafu anarudisha huyo atakufa maskini
@salimahmed6005
@salimahmed6005 2 года назад
Dah eti mimi mtot Wa mama Johary nirudishe begi La pesaa maan hizo sio hela ni pesaa..
@kheriofficial3846
@kheriofficial3846 2 года назад
Hata ningekuwa mim ningerudisha
@boncenagottalent
@boncenagottalent 2 года назад
Jingaaà kabisa kuku hili
@amosaruta22
@amosaruta22 2 года назад
Tatizo la Tanzania ukiziokota ukaziludisha tu anakugeuka anasema zilikuwa zaidi ya izo na alikuwa na simu na laptop unawekwa ndani unapewa kesi
@GeorgeJusto-y4v
@GeorgeJusto-y4v 3 месяца назад
Ni mtu mjinga Kabisa huyo😮
@salimrukago6910
@salimrukago6910 Год назад
Hiyo ni kadari ya mungu ishaandikwa utafanikiwa kupitia kwa
@salehsuleiman8519
@salehsuleiman8519 2 года назад
Ni adim sana watu kama hawa mungu amjaze iman
@suzankasile8093
@suzankasile8093 2 года назад
Jamani MUNGU wetu sote tusichoke kuwa waaminifu hakuna kitu kizuri Kama chakulewa na Mungu tusichoke kungoja kwa wakati wake atatubariki na kuushangaza ulimwengu
@remigiusrwechungula7047
@remigiusrwechungula7047 2 года назад
Haongozwi na roho Mtakatifu
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 года назад
Aliandaliwa baraka za.kimbingu.
@rabiintocavel4718
@rabiintocavel4718 2 года назад
Bongo haiwezekani 😂😂😂
@peterlujuo1640
@peterlujuo1640 2 года назад
Ebu ongea ukweli wako ingekua wewe ungerudisha m115 ulizookota?? Au ndo ungeona mungu akupe nini 😄
Далее
Teeth gadget every dentist should have 😬
00:20
Просмотров 975 тыс.
БЕЛКА ЗВОНИТ ДРУГУ#cat
00:20
Просмотров 788 тыс.
Teeth gadget every dentist should have 😬
00:20
Просмотров 975 тыс.