Kubwa jinga as person.. Sio kwamba ukiwa na jeshi imara na vifaa vya kivita vya kisasa ndio tupigane .. Lilivyo jinga hili chawa halijui jeshi letu limefanya operations nyingi za peace keeping .Congo,Juba South Sudan, Comoro.e.t.c
Miaka 60 ya uhuru, nchi imeoza, watanzania hayupo huru, nchi haina democrasia, wala haki za binaadamu, huduma za jamii, vyombo vote va dola vinazidi kukandamiza raia maskini wa Mungu, WALA HUNA PA KULILIA.
@@josephatjordan5560 katika maisha jitahidi uwe na rangi moja na sio mbili , utafanikiwa . Watu wakisha kusoma unabadilika badilika km kinyonga utaishia kupiga debe tu. Trust me
@@iam_paul3279 Sio kweli ukweli ni kwamba katika MAISHA unatakiwa uende na Hali ya MAISHA inavoenda ili kijikidhi na kujiokoa binafsi lazima uende na upepo
Madudu, mafunza na matakataka yamefanywa na masanja mpaka unafiki wenyewe umemkataa... Maisha marefu kwako mama Samia Mungu ndie ukujuze kweli katika uongozi wako achana na izo kelele za masanja
Sijui nimesikia vizurii, kuwa Mungu anatuheshimu!! Mungu akusamehe, kwani hizo nchi nyingine Mungu hazipendi!! Ni neema tuu, usilewe sifa hadi kuongea upuuzi
Kuna kifungu kwenye biblia nilisoma kinasema ukimpenda MUNGU nakumuheshim ATAKUHESHIM SANA Hivyo sijajua nia ya masanja lkn yupo sawa kama alimaanisha hivyo
Kwanza tutambuye ya kwamba huyo ni comedy ,tuache kuchukulia kila kitu silias,kaweka hapo ili achekeshe so no vema mno kuwasubiria viongozi wakiongea vya silias
Yohana 16: 23 Tena siku ile hamtaniuliza neno lo lote. Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neno lo lote atawapa kwa jina langu. 24 Hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu. *MAOMBI NDIO NJIA YETU YA KULETA NGUVU ZA ROHO WA MUNGU KATIKA ULIMWENGU WETU! MUNGU ANAFURAHIA KUJIBU MAOMBI YETU, HALELUYA!!!*
Nimechukia sana hayo mabarakoa tunayovaa.. Tumekuwa watumwa wa wazungu sana.. Walioleta ayo mabarakoa sasa hivi hata hawayavai.. Kama unafuatilia mpira ligi za ulaya utaona mashabiki jinsi wanavyojaa uwanjani na hawana hata ayo mabarakoa...
Masanja umefilisika kiakili kabisaaa, unatamani vita mpumbavu wewe, ulishuhudia vita ya Kagera wewe? Unatamani nchi ipitie mabaya! Sijawahi kusikia mtu anatamani familia yake ipate maafa! Na hapa tayari Mungu ameamua kukuangaza make unalitumia jina lake kama kitega uchumi baada ya kuona huku mitaani hakujakaa Sawa. MUNGU WA REHEMA AKUREHEMU.....
Ebu Tubadilikeni jamani hivi watu Kama Hawa wameandaliwa kwajili yakuongea maneno ya kijinga mbele Rais eti mazige na magonjwa tunayaskia kwajilan ..😥😥Mungu Tunasamehe kwajili ya haya Maneno ya kufuru ..
hii inaleta maana gani kwetu masanja kavuruga sana kuwepo hapo maneno yake ni shombo tu hio ni sehemu ambayo pana viongozi wote wa nchi wamekusanyika na wengine kutoka sehemu mbali mbali za nje ya nchi tunawaonesha nini mi nahisi jambo hili pia linaashiria kua hatupo sirias kila mtu kazi yake ni kusifu tuh.
Kapashe Vita kwenye ukoo wako nyumbu wewe. Unaifahamu Vita wewe? Tunafurahia Amani na silaha hatuzijui. Nyumbu mkubwa. Eti mchungaji. Unachunga nini?. Ninaomba watu wa protocol wawe wana edit mambo ya kutapikwa na washenzi kama hawa. Hawafai.