Kwani Nini hizi interview zinawaumiza nyuma mwiko? Yaani wanaumia unatamba na mchezaji Ambae hakuwa kwenye mipango ya Simba ,mchezaji hatakiwi mkataba umeisha timu ilishafanya maamuzi ya kumuacha halafu watu wameokota jallalani halafu wanajisifu
Mbona maelezo ni mengi sana? Kwa sisi watalaam wa Philosophy hio ni dalili mbaya sana ya kiwango cha maumivu ambayo mtu ameyabeba, anaweza kujiua 😂😂😂😂😂😂
Yaani tatizo la madunduka linaanzia hapa kwa huyu mzee Masatu, ila nawaombba msiseme tena hamuataki viongozi wenu matakapokumbana na kono la nyani tena
Ndo shida ya kushabikia timu ndogo Simba imekukanda 5 bila imekukanda 4 kwa 1 na kukutoa kombe la FA imekukanda 6 leo unaongelea goli 5 kwa 1 sisi wanasimba tunakuona mpira umeanza kufuatilia mwaka jana maana shabiki wa Yanga anayejua vipigo vya simba hawez ropoka eti kono la nyani kweli utopolo wenye akili wawili