Тёмный

ALLY KAMWE" DUBE ATAWAFUNGA SANA/CHAMA HAWEZI KUCHEZA SIMBA TENA/WANAOKOTA OKOTA WACHEZAJI/AZIZ KI 

Mpenja TV
Подписаться 506 тыс.
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Meneja Habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Ali kamwe Leo July 7,2024 amezungumza na Mpenja Tv,punde tu alipotua kwenye uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport akitokea Mbeya, Aidha amefunguka kuhusu usajili unaoendelea huku akigusia kuhusiana na usajili wa Prince Dube.

Опубликовано:

 

6 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@user-rd3zb5rg5s
@user-rd3zb5rg5s День назад
Hatunaga mda wa kwenda kuzurura nje ya nchi na kuja kuwa nafasi ya tatu🤣🤣🤣🤣 Simba mtaumia Sana na chama
@user-fy3cf1ri8m
@user-fy3cf1ri8m День назад
Tisubili Ligi tu mengine tutajionea🎉
@majiddaud6099
@majiddaud6099 День назад
Tuxungumzie kuhusu kuchokonoA 😂😂 🔥 😊
@mohdseif2593
@mohdseif2593 День назад
Ninani amesema simba hakuna mchezaji wakucheza yanga?
@AllyJuma-if5xm
@AllyJuma-if5xm День назад
Naamin kuwa maneno mengi huwa ayajengi mambo n uwanjan
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je День назад
Mimi naamini mchezaji anaweza kuwa bora sana hata kama timu yake inashika nafasi ya kumi nyie mmemchukua kibabage singida fountain gates ambayo iko nafasi ya 10 je anafanya vibaya?
@DaydreamHimself
@DaydreamHimself День назад
eti FAST & FURIOUS 😂😂😂
@user-qu1ut5ri2z
@user-qu1ut5ri2z День назад
Madrid ya Africa 🌍
@goblessjrtz5464
@goblessjrtz5464 День назад
Mbona Utopolo mna mchezaji anaitwa joyce why mnamkejeli mchezaji wetu Deborah?
@jackisonngosha5533
@jackisonngosha5533 День назад
Ivi tukisema simba washuke dalaja inawezekana mwaka huu
@user-rd3zb5rg5s
@user-rd3zb5rg5s День назад
Nawashangaa Sana wakinadebora wapowengi humu tupishen bn
@user-cq1tf5sd3l
@user-cq1tf5sd3l День назад
Chizi wee hayo yako
@hakiba1207
@hakiba1207 День назад
Semaji la kafuu😝😝😆😂
@EnoqueJoaoMamba
@EnoqueJoaoMamba День назад
Simba hina lia pole jamani
@EliasMwende
@EliasMwende День назад
ww acha
@alkhayriy7014
@alkhayriy7014 День назад
Mbwa akibweka sana harudishi mawe ya adui
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 День назад
Mshafulia vyura..igeni Simba kwenda nje
@sethabeidkigodi8541
@sethabeidkigodi8541 День назад
Huna jipya
@christophermpogole4944
@christophermpogole4944 День назад
Atarudije wakati umri umeenda, simba haichukui wazee!
@MzeewaYanga-hm8jq
@MzeewaYanga-hm8jq День назад
Kwn debora fc uku Wana fata nn
Далее
impossible to understand how😨❓
00:14
Просмотров 4,9 млн