Тёмный

MASATU NA CHEMBELA IPO SIKU WATAPIGANA😃| BELEKE KAMA KOFIA TU | YANGA BINGWA TENA MSIMU UJAO SIMBA 2 

Finest Online
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 44   
@festobayona8732
@festobayona8732 11 дней назад
Mimi nampenda Mzee Masatu anavyo ongea n mnyama kweli kweli nami ni mnyama kweli kweli
@user-qi3wv8sf5j
@user-qi3wv8sf5j 6 дней назад
HAKUNA WATU HAPO CHAGAMBA,MLETE MZEE SAID
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 11 дней назад
SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉WAKALI WA KARIAKOO
@kubuleabdul6032
@kubuleabdul6032 11 дней назад
Tunasubiri Manula aondoke milango itakuwa imefungwa
@amaniomar1755
@amaniomar1755 11 дней назад
Sawa Boss 🎉🎉🎉
@user-il6rm7cj1g
@user-il6rm7cj1g 11 дней назад
❤❤❤❤❤🎉🎉
@omarymzuri8012
@omarymzuri8012 11 дней назад
Jamanii! Naomba Kuuliza K2 Huyu Mzee Masatu Ni Mzima Kwelii Au Ndio Machawa Wa Timu Hivii 😂😂😂😂
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 11 дней назад
😂😂😂nangoja season ianze make so kwa makelele aya mtaani
@user-sn9nm1wu9j
@user-sn9nm1wu9j 11 дней назад
masatu ujisifia jifunze kwa miraji na mzee saidi akiliyake imelala ktk uchawi tu huunimtazamo potovu
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 11 дней назад
TAVUA NGUO ZOTE HAPA 🤣🤣🤣🙏🙏🙏🤳🤳
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 11 дней назад
Kkkkkk miaka 44 Kweli ni madala😂
@user-sn9nm1wu9j
@user-sn9nm1wu9j 11 дней назад
chagamba masatu ana akili ya mpira
@MlingaSawack45
@MlingaSawack45 10 дней назад
Tatizo mtasajili sana ila shida itabaki pale pale....kutokaa na makocha muda mrefu...mnafukuza sana makocha uvyo wachezaji kila mara maelekezo mapya angalieni mnazidiwa na azam kocha wao kakaa muda mrefu ndiposa Azam inakua ni team nzuri maana kicha Double amekaa na team kwa muda akaweza kuwaelewa wa Chezaji sasa simba inasajilibila maelekezo ya kocha ila niusajili wakuwatuliza mashabiki haya tuone nini kitajili
@amaniomar1755
@amaniomar1755 11 дней назад
Sema utani wa jadi mtamu acha nisubiri baada ya dakika 90' ndio niongee. Sijui msimu utaanza lini nione hii team inayosifiwa na Madunduka ikoje. Nitafurahi kuona ball ikitembea huku team zote mbili zikiwa sawa.
@user-bi8hr3nu6g
@user-bi8hr3nu6g 11 дней назад
Tutakuvua boxer kweli
@selemanikazembe9134
@selemanikazembe9134 11 дней назад
Masatu Chama mmemuacha au mkataba ulikwisha?
@user-qs3bm6wr3f
@user-qs3bm6wr3f 11 дней назад
😂😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 дней назад
SIMBA SPORT ANAKULA NYAMA MAFISI YA JANGWANI YANAFURAHIA MIFUPA 😂😂😂😂😂😂 MATOPOLO MACHOGO FC MAFISI FC 😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
@user-fi2gf6ks7h
@user-fi2gf6ks7h 11 дней назад
Kolo kama kolo unatumia nguvu nyingi sana kwenye mambo madoooogo
@ErickJeremiah-ww3ez
@ErickJeremiah-ww3ez 11 дней назад
😂😂 uyo uyo fisi ndo anakuimbishaa kama kwayaa
@user-sn9nm1wu9j
@user-sn9nm1wu9j 11 дней назад
wewe mzee muongo akunaanaowafatilia Africa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 дней назад
@@user-fi2gf6ks7h MATOPOLO MACHOGO FC MATOPOLOOOOO
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 дней назад
@@ErickJeremiah-ww3ez FISI MLA MIZOGA WEWE MAFISIIIIIIII
@WilliamCharles-iq8ym
@WilliamCharles-iq8ym 11 дней назад
Nakujua ww mzee,ni Chawa
@user-sn9nm1wu9j
@user-sn9nm1wu9j 11 дней назад
wewe masatu una akili tatizo uongozi sio wachezaji unabwabwajatu
@peterjisema4222
@peterjisema4222 11 дней назад
Watangazaji msiwe mnamhoji Mzee Masatu kwa kuwa mdomo wake huwa hauna ushirikiano na ubongo wake.
@kolosii4351
@kolosii4351 11 дней назад
Kama mnajiridhisha basi tulieni. Msianze kunyan'ganya wachezaji wa timu zingine na kuwalaghai.
@peterjisema4222
@peterjisema4222 11 дней назад
Kama haijawahi kusema,ina maana Par Omar Jobe alikuwa mchezaji mzuri?Huyu Mzee Masatu ana tatizo la akili
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 11 дней назад
Yaani kajisahau huyu mzee😂
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 11 дней назад
Wakumbushe, mbangula anawasubiri baada ya dirisha kufungwa, yaani ndani nje.
@deogratiaspmwolo1942
@deogratiaspmwolo1942 11 дней назад
Chagamba mzee said huwa anaongelea mpira kwa hisia zaid. Kwanini huwa hatumwoni ukiongea mara nyingi ?
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 11 дней назад
Inanga kauzwa Bei Gani ??SIMBA ni taasisi kwa nni mauzo ya mchezaji yawe ya Siri??
@user-eb2fo6xq4t
@user-eb2fo6xq4t 11 дней назад
Unafirwa na simba wewe ule nyama wewe unakula labda mavi
@AbbasyMdabwa
@AbbasyMdabwa 11 дней назад
Mzee masatu fanyeni mpango wakulinda wacheji wenu acheni kukimbilia maki tu
@amaniomar1755
@amaniomar1755 11 дней назад
Wachezaji wanawalaumu kila siku
Далее
Редакция. News: 60-я неделя
41:13
Просмотров 1,7 млн
Редакция. News: 60-я неделя
41:13
Просмотров 1,7 млн