Тёмный

MIRAJI AFIA KWA DEBORA FERNANDEZ |SIMBA KUPIGANIA UBINGWA BADO | ZILE STORI 4 KALI |LAWI ANANIVURUGA 

Finest Online
Подписаться 63 тыс.
Просмотров 62 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 117   
@abelimaganga417
@abelimaganga417 9 дней назад
Miraji leo umetema madini mnoooo❤❤❤❤❤
@JeniphaRobert
@JeniphaRobert 8 дней назад
Mzee saidi tunamtaka 😊😊😊
@MakukaNyango
@MakukaNyango 9 дней назад
Kaka mirsj na chagamba,,mi nawaombea maisha marefu na afya njema, miraji mi yanga lakin nakuelewa sana kwa madini Yako hadhiiiimu
@abrahamchengula8137
@abrahamchengula8137 9 дней назад
CHAGAMBAA! MIRAJI NA MZEE SAID WANAKUPAISHAA SANAAA.JAMAA WANAJUAA
@Rashidimilanzi
@Rashidimilanzi 9 дней назад
Mraji napenda sana kukufatilia Mungu akupe maisha malefu
@MartinMilinga-f4j
@MartinMilinga-f4j 9 дней назад
miraji anapata shida sana kukaa mbali na chagamba kazoea kumchapa mabega,chagamba kaona bora iwe ivo
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 9 дней назад
😅😅😅😅
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 9 дней назад
😂😂😂 umenichekesha
@omarMchoya
@omarMchoya 9 дней назад
Chagamba amejiongeza kaona hap mabega yatalala yote
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 8 дней назад
Ila mikofi Ile weeee🤣🤣🤣🤣haisahauliki aieseee
@AishaMshamu
@AishaMshamu 9 дней назад
Miraji anapata tabu sana kukaa na chagamba mbari kamiss kumpga mikofi ya mabega😂
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 9 дней назад
MUNGU IBARIKI SIMBA , ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉,WAKALI WA KARIAKOO
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 9 дней назад
Leo mbona mmekaa mbalimbali Changamba sogea kidogo ili Miraji akutandike tandike begani.😂😂😂
@BernaDf
@BernaDf 7 дней назад
😂😂😂😂
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 9 дней назад
😂😂😂 ety halikisasi hakhaa 🙌🙌miraji mtapigwa kama ngoma huu msimu kwa hii yanga ubingwa watupe ata Leo ngao ya jamii mpe alikamwe ata kesho fa taree 15 tupeni tusipoingia nusu final msimu huu sisi yanga atutawai ingia tena
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani 9 дней назад
Ww
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 9 дней назад
@@AishshibnShibani mm
@victorlyimo896
@victorlyimo896 9 дней назад
We hujui mpira mihemuko inakusumbua
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 9 дней назад
Mtschukua ubingwa kwa wazee wale
@sumamelody6197
@sumamelody6197 9 дней назад
Unapanga matokeo huo mpira unacheza wewe shabiki wa daraja la chini
@DanielChaula
@DanielChaula 9 дней назад
Miraj nao wako wawili (#miraj wautani&miraj wa serious)
@richardmhando2994
@richardmhando2994 10 дней назад
oy mzee chabamba pamoja miraj simba inakuja kuwa timu tisho next time alf vip kuhusu 24 jez ya simba
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 10 дней назад
Na leo saa 7 mashine ingne ina tua
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 9 дней назад
Mlete hapo mzee Saidi mfanyie Interview...Miraji na Chagamba, Mzee Saidi, na mzee Masatu..hawa watu raha sana
@abelimaganga417
@abelimaganga417 9 дней назад
Hii combination ya miraji na chagamba ni hatari saaaanaaaaaa😂😂😂😂❤❤❤
@MpwanguJr
@MpwanguJr 9 дней назад
Leo wamekaa chini bega limepona
@user-ty6pz1mi3j
@user-ty6pz1mi3j 9 дней назад
Dogo Chagamba, style yako nimeikubali hasa unapo ojiana na Miraji
@suleymanyaasin
@suleymanyaasin 9 дней назад
Apange na wachezaji wa akiba,,,,, hatari
@samwelingasa1638
@samwelingasa1638 9 дней назад
Huyu mashaka mzuri kweli namtabiria makubwa mtamuona tu
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 6 дней назад
Miraji 😂Ninaraha mpaka nalia kikosi hatalii❤🦁
@frontoffice8676
@frontoffice8676 9 дней назад
Hii ya kusimama cjaipenda naipenda ile ya kusimama huku milaji akiwa anapigapiga mabega ya chagamba😂😂😂
@iddydule2287
@iddydule2287 9 дней назад
HALIKISASA AKHAAAAAAA😂😂😂
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 9 дней назад
Hiv azizi ki msimu mpya hatokuwepo tena yanga, someni nyakati vizuri waknachagamba😅
@kingofrich6813
@kingofrich6813 9 дней назад
Daaah kuna jamaa hatukuwa na bahati nae fundiiii cramoo😢😢😢
@FatumaSwaleh-it4qq
@FatumaSwaleh-it4qq 9 дней назад
Mzee said jamoon😂😂😂
@jamessamson3848
@jamessamson3848 9 дней назад
Mamaaeee kutetena bei ghali sana sisi kama lunyasi hilo jambo hatulimudu
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 9 дней назад
Simba kote tuko sawa bado tu mabeki ndio bado kidogo
@AndersonMokiwa-is5ch
@AndersonMokiwa-is5ch 8 дней назад
Shida ya milaji huwa anasifia sana mchezaji mgeni kabla ya kucheza likitokea sasa utaona anavyowakqtaa
@FabriceKadege
@FabriceKadege 8 дней назад
Meza mpya mbna kama miraji hajachangamka sana kama tulivyomzoea
@FatumaSwaleh-it4qq
@FatumaSwaleh-it4qq 9 дней назад
Chagamba tupeleke kwa mzee saidi😂😂😂
@babupiza641
@babupiza641 9 дней назад
Miraji hapo kwa kikosi hicho Cha simba 6 zinawahusu
@YonaMashaka-xb2ym
@YonaMashaka-xb2ym 9 дней назад
Miraji unachekesha ase
@odilomwakamela4889
@odilomwakamela4889 9 дней назад
Mgunda anapasha nusu ya msim tuu anakabiziwa timu
@mizanitalentspro213
@mizanitalentspro213 9 дней назад
Maestro mara moja❤
@FakiSuleiman-sv4ee
@FakiSuleiman-sv4ee 8 дней назад
Miraji Safi Sana jitahidi kaka
@Shadia544
@Shadia544 7 дней назад
😂😂😂Miraji na chagamba jamaniii sasa miraji leo umbali kidogo leo bega limepona 😂😂😂
@MoiseMishenyimateranya
@MoiseMishenyimateranya 8 дней назад
Kikik😂leo ilikuwa vizuri
@errydeo8865
@errydeo8865 9 дней назад
Chagamba mabega yamepona vibao leo,Miraji hasira zoote anajizaba mwenyewe😂😂😂😂
@isiaka7930
@isiaka7930 9 дней назад
check dk ya 25...hayajapona...labda sio maramoja
@errydeo8865
@errydeo8865 9 дней назад
@@isiaka7930 aisee jamaa mvumilivu🤣🤣 si kwa vibao vile na alivyo kimbau! 🤣🤣 Nilikua na mshikaji mmoja,yule eti mmefurahi uumpe mkono agonge, kudadeki,lazima furaha iishe alafu alikua na bonge la kiganja🤣🤣🤣
@amehassan3128
@amehassan3128 8 дней назад
Ww Miraji kwann usiwe mchambuzi maana mpira unaujua
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 9 дней назад
Miraji tunakuomba ulipigie hili kelele arubadili isomwe ndo wachezaji vizuri
@brunomtweve8073
@brunomtweve8073 9 дней назад
Debora
@user-gp7es3sg3k
@user-gp7es3sg3k 9 дней назад
Ogopa mataperi azizik miaka miwiri jangwani
@jamalinuru5503
@jamalinuru5503 6 дней назад
Chagamba emu tutaftie mzee Saidi kwanza mwambie Aziz bado yupo
@user-nc4ko3qz7t
@user-nc4ko3qz7t 9 дней назад
Kisasu haqu
@rizyoneboffi3662
@rizyoneboffi3662 8 дней назад
Kweli simba na azam wanafanana ndio maana wanapambana wote kugombea nafasi ya pili na bado
@kassimomar7589
@kassimomar7589 9 дней назад
💚💛💛💛💛💪
@SulemaniNassor
@SulemaniNassor 8 дней назад
Chagamba tulety mze said wachana na hawo machwa wanawo tafuta kik
@josephmwise3177
@josephmwise3177 5 дней назад
Moraj, miraji, Miraji nakuita maratatu hayo maneno yako utayakumbuka, Umesahau lete mzungu? Jobe,Fungafunga au Chikwende?
@IbuniKilapaya
@IbuniKilapaya 9 дней назад
Hatar sana🎉🎉🎉
@ElishaFabiani-qs7qb
@ElishaFabiani-qs7qb 9 дней назад
Ata me chama haingii kwenye kikos
@mansoursaid8
@mansoursaid8 9 дней назад
WANANCHIIIIIIIIIII
@McbarakaeventsTz
@McbarakaeventsTz 9 дней назад
Huyo Debora muombee wana Simba afanye vizuri, Ila akiboronga na hilo jina lake atakoma matusi yake...
@mmewaswida
@mmewaswida 8 дней назад
Kiongozi mwenyewe hajui mpira ila ana hela. Wataishia kuwapangia benchi la ufundi timu. Haya niko paleeee!
@UmarRachideMussa
@UmarRachideMussa 8 дней назад
Nikweli ndomana chagamba kajitenga anamuogopa sana milaji kwamakofiyake
@hyginuskabanda474
@hyginuskabanda474 9 дней назад
😂😂😂..Jean kaondokajee.!
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 9 дней назад
Wakina onana watakaa mbao ndefu mpaka wakome labda wawapige misumari wachezaji wenzao
@UmarRachideMussa
@UmarRachideMussa 8 дней назад
Tema madini baba iyo niakiyako cema kwanini uami kwamakoro
@FredyPeter-rq8hj
@FredyPeter-rq8hj 9 дней назад
❤❤❤❤
@amaniomar1755
@amaniomar1755 9 дней назад
Sema Maramoja leo kidogo umeongea kishabiki kiasi
@monifrank347
@monifrank347 9 дней назад
Sasa yeye s shabiki wa simba
@amaniomar1755
@amaniomar1755 9 дней назад
@@monifrank347 ushasema mkuu
@DicksonMato-mp9nq
@DicksonMato-mp9nq 9 дней назад
Hakika🎉🎉🎉🎉
@floriankasalya269
@floriankasalya269 9 дней назад
Huyo mtu Fernandes ni kama Edgar Davids Dutch vile😂😂
@rajabumachemba7321
@rajabumachemba7321 9 дней назад
What passing around😂😂😂😂
@bonifassimon7909
@bonifassimon7909 9 дней назад
Chagamba usisahau kumwambia miraji asifieeeee weee ila wajiwahi kuungana vinginevyo wasije kusema GSM anawezaje kufadhiri timu saba 😮😮
@salummkicha6636
@salummkicha6636 9 дней назад
maua yenu wazeeee🎉
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho 9 дней назад
Miraji unamadini sana na sio mnafiki.
@user-yh7oc9sg6k
@user-yh7oc9sg6k 9 дней назад
Afadhari leo chagamba bega litapoa sio mikofi ile
@mohamedmohamedy8311
@mohamedmohamedy8311 9 дней назад
leo mmeamua mkae ili ukwepe makofi ya miraji
@OmariialiiOmarii
@OmariialiiOmarii 9 дней назад
Kwahicho kikosi chayanga mi shabiki wayanga akuna anemueka benchi apo chama ata shabik wasimb anajuw hilo
@billywilliammyovella2202
@billywilliammyovella2202 9 дней назад
Gamba muulize Miraji zile THANK YOU 2 anazo zitaka zimetimia au bado?
@Emmanuel-cu7yu
@Emmanuel-cu7yu 9 дней назад
Miraji tuambie thank you zako 2 zimetimia au bado?
@evaristponcian9397
@evaristponcian9397 9 дней назад
Na kramo vipi ishu yake ❤
@halimamwingu4478
@halimamwingu4478 9 дней назад
Interview yenu safi sn! Yani mpo free km hamna camera. Mnaongea friendly sn.
@abrahamchengula8137
@abrahamchengula8137 9 дней назад
KwaLAWI HAPO HATA MIMI NIMECHEKAAA
@user-mj2ut6ud9x
@user-mj2ut6ud9x 9 дней назад
Ila Leo chagamba umempata miraji umepata Sana hujala mkofi mana Kila siku unakula makopi akiongea ila Leo umekaa mbali naye ww chagamba
@ushiwamarandu7433
@ushiwamarandu7433 9 дней назад
miraji wewe mtuuuu...! inabidi simba wakufikirie hata kwenye kitengo chochote kaka, achana na akina GB 64 walevi wale....!
@kasimuhamidu8467
@kasimuhamidu8467 9 дней назад
Milaj nakukumbusha wambie viongoz wachezaji wetu walindwe
@KiseembeBilali
@KiseembeBilali 9 дней назад
Al kisasi hakan 😅😅😅😅
@idrisahamimuhasani5717
@idrisahamimuhasani5717 9 дней назад
Maramoja usiwapambe sana tutakuja kukukosa sisi wadau wako
@JohnMzia
@JohnMzia 9 дней назад
😢😢😢😢😢😢😢
@agnessgodfrey6557
@agnessgodfrey6557 9 дней назад
Chama first 11 yanga simuoni
@user-kb7qr5gy1b
@user-kb7qr5gy1b 9 дней назад
Kaka miraji 😂😂😂
@OBSGroup-ps9es
@OBSGroup-ps9es 9 дней назад
😂😂😂😂mabega mabegaa chagambaa
@user-ib3rm6wg1c
@user-ib3rm6wg1c 9 дней назад
Miraji yule mchome anaejifanya shabik wa simba yule ndio anaharibu wachezaji wa simba anatumwa yule kwaio afanyiwe kazi yule
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 9 дней назад
Sasa afanyiwe nini? Kuwa na stahamala ndugu hilo ndio soka kuna kudhiana kukerana na kutaniana
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 9 дней назад
Xavi mtupu
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 9 дней назад
KIPINDI BORA SAANA
@MariaMnthax
@MariaMnthax 9 дней назад
Chagamba kafurai mwenywe
@immanuelwilson9414
@immanuelwilson9414 9 дней назад
Kachoka makofi chagamba😅
@JoshuaMbena
@JoshuaMbena 9 дней назад
Chagamba anasalimika makofii
@brunomtweve8073
@brunomtweve8073 9 дней назад
Saivi tu ngoja wahame hapa
@andersonnkini7298
@andersonnkini7298 9 дней назад
Mpanzu vipi familia?
@marthageorge5043
@marthageorge5043 9 дней назад
😂😂😂😂
@AnnaBeda-g9k
@AnnaBeda-g9k 9 дней назад
Yani kwa kikosi hicho cha simba mnapigwa kumi na yanga
@Johnmalekela
@Johnmalekela 9 дней назад
Ngoma una mweka wap cja mckia hapo
@SengeMtukaz
@SengeMtukaz 9 дней назад
hahaaahaaàaaaaa
@user-er1dk6zj6u
@user-er1dk6zj6u 9 дней назад
Miraji Leo umebolonga 😂😂
@NlembugunKotira
@NlembugunKotira 9 дней назад
Wasenge nyny Kila mara Simba na yanga
@FabriceKadege
@FabriceKadege 8 дней назад
Meza mpya mbna kama miraji hajachangamka sana kama tulivyomzoea
@user-mj2ut6ud9x
@user-mj2ut6ud9x 9 дней назад
Ila Leo chagamba umempata miraji umepata Sana hujala mkofi mana Kila siku unakula makopi akiongea ila Leo umekaa mbali naye ww chagamba
@KiseembeBilali
@KiseembeBilali 9 дней назад
Al kisasi hakan 😅😅😅😅
@user-gp7es3sg3k
@user-gp7es3sg3k 9 дней назад
Reo umetema madini Sana milaji Mimi mfaasi wako
@costantinomhonda8394
@costantinomhonda8394 10 дней назад
😂😂😂😂
@user-mj2ut6ud9x
@user-mj2ut6ud9x 9 дней назад
Ila Leo chagamba umempata miraji umepata Sana hujala mkofi mana Kila siku unakula makopi akiongea ila Leo umekaa mbali naye ww chagamba
Далее
Which national team are you rooting for at Euro 2024?
00:17
Which national team are you rooting for at Euro 2024?
00:17