Тёмный

MASHARTI KIBAO KUMUONA NABII, WENGINE WANATOA MPAKA KIASI CHA 500,000 KUMUONA NABII, SUGUYE AFUNGUKA 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@JoshuaSiara
@JoshuaSiara 2 месяца назад
Acha wakaangwe (in pastor hananja's voice)
@Eyecuemedia1
@Eyecuemedia1 2 месяца назад
Big up Zembwela. Watu wa Mungu wana angamia kwa kukosa maarifa. Usiposoma Neno na kuielewa unapigwa na wahuni. Yesu kasema aliwapa wanafunzi wake bure na wao watoe huduma bure. Shetani katuchezea hadi kuonekana kumfuata Yesu ni dili na sio njia ya kwenda mbinguni.
@rosemneney3244
@rosemneney3244 2 месяца назад
Uislam upi bure mpaka kuzika ustaaz.analipwa mtoto mchanaaa 20000
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 2 месяца назад
Wacha waibiwe wanataka wenyewe hawalazimishwi acha wanyooshwe si wameamua kujifanya wanagadhabu na mihemuko ya imani.
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 2 месяца назад
Asee......nlshatoa 250,000 kumuona kuhani wa mbezi kimara enzi hizo akiwa pale mwenge nkaingia kuonanae wakati nmefka mlangoni kuna mlinzi akaniambia et kwa pesa Yako utamuona kuhani kwa dkk 2 mule ndani kuhani akaniambia et nmemwagiwa mchanga wa makaburini mwisho akasema kanunue dawa za kuoga kunywa na kupaka jumla TSH 250,000 nilpotoka nkasema nmeshapigwa hapa nikasepa zangu bila kununua dawa nikaanza kuisoma biblia mwenyewe kujiombea mwenyewe kufanya kazi kwa bidii na nmefanikiwa tu vizuri........jamani fungukeni jmn🤣🤣🤣
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 месяца назад
Bado hujasema mpaka useme maana hawaelewi wengi endeleeni kuwafungua mwanangu anateseka na mama wa kambo yaani anaenda kufata dawa za uzazi hizo dawa zao wanazopewa huko anampa mwanangu apake aisee roho inaniuma mno mm muislam sina imani hizo jamna yaani huyu dd ananiudhi mno ipo siku atajuta kunifahamu
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 2 месяца назад
Pole sana ila bado ujasema nautasema
@Bambagatz
@Bambagatz 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@Bambagatz
@Bambagatz 2 месяца назад
pôle sana ndugu Ni Mapito hapa hakuna kuhukumiana ushuhuda ni mzuri zaidi maana ndio utakaotumika pia kumshinda ibilisi
@bamag-021
@bamag-021 2 месяца назад
HEBU TUANGALIE NA HAPA YESU ANAVYOSEMA 7 Na katika kuenenda kwenu, hubirini, mkisema, Ufalme wa mbinguni umekaribia. 8 Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; *mmepata bure, toeni bure.* 9 *Msichukue dhahabu, wala fedha, wala mapesa mishipini mwenu;* 10 wala mkoba wa safari, wala kanzu mbili, wala viatu, wala fimbo; maana mtenda kazi astahili posho lake. ( *Mathayo 10:7-10)* MMEPATA BURE ,TOENI BURE. IKiwa kuna malipo yoyote ya kumuona mtumishi wa Mungu(nabii, mtume, mchungaji, n.k) tuwe makini na huyo mtu maana atakuwa anapingana na YESU alivyoagiza. 2) jambo lingine ni kwamba hata shetani anayo nguvu ya kufanya mijiza .. @ Kipindi cha ELIYA NABII, MGOGOLO Uliokuwepo ni MUNGU YUPI AABUDIWE. Maana wote ni Mungu. (Mtu akitamka Mungu tambua kuwa hata BAALI Ni Mungu,) soma👇🏿 21 Naye Eliya akawakaribia watu wote, akanena, *Mtasita-sita katikati ya mawazo mawili hata lini?* *Bwana* akiwa ndiye Mungu, mfuateni; bali ikiwa *Baali* ni Mungu, haya! Mfuateni yeye. Wale watu hawakumjibu neno. 1 Wafalme 18:21 Shindano la kumtambua Mungu wa kweli lilifanyika kwa kuangalia muujiza wa kushusha MOTO 24 Nanyi ombeni kwa jina la mungu wenu, nami nitaomba kwa jina la Bwana; na Mungu yule ajibuye kwa moto, na awe ndiye Mungu. Watu wote wakajibu wakasema, Maneno haya ni mazuri. 1 Wafalme 18:24 Mungu (Bwana) alishusha Moto kujidhihirisha kwao. Lakini kwa kipindi chetu tunaambiwa shetani anauwezo wa kufanya miujiza mingi (kama tunayo iyona) hata kushusha MOTO nawatu watamsujudia kwa ishara hizo. 13 Naye *afanya ishara* kubwa, hata *kufanya moto* kushuka kutoka mbinguni uje juu ya nchi mbele ya wanadamu. 14 Naye *awakosesha wale wakaao juu ya nchi, kwa* *ishara zile alizopewa* kuzifanya mbele ya huyo mnyama, akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaishi. Ufunuo wa Yohana 13:13-14 Tutambue kwamba SHATANI Pia ana *UTATU MCHAFU.👇🏿👇🏿* 13 Nikaona *roho tatu za uchafu zilizofanana na* vyura, zikitoka katika kinywa cha *yule joka* , na katika kinywa cha *yule mnyama* , na katika kinywa cha yule *nabii wa uongo.* 14 Hizo ndizo *roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na* kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote *kuwakusanya* kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi. Ufunuo wa Yohana 16:14 TUOMBE ROHO MTAKATIFU ATUONGOZE KUYATAMBUA VEMA MAANDIKO
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 месяца назад
Msitumie madarali kumuomba mungu. Sali omba mungu ni wa wote
@Jane-h1f6s
@Jane-h1f6s 2 месяца назад
Point sana zambwela
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 2 месяца назад
Makanisa sasa yamekua biashara cha kushangaza hata haya makongwe yamegeukia huko michango kibaoo
@drsilo
@drsilo 2 месяца назад
Uislam kila kitu bure na msada unasaidiwa karibuni ndungu zangu wakiristo kweny uislam kila ktu bure ww na iman yako tuu
@michaelfaraday9568
@michaelfaraday9568 2 месяца назад
Satanic religion😢
@SOMOMC
@SOMOMC 2 месяца назад
mko sawa lakini sijamsikia suguye
@NassoroDigalu
@NassoroDigalu 2 месяца назад
Mimi nimetoa sh 500000 mbele ya mkewangu alitaka milioni sita
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 2 месяца назад
Dini ni biashara Yani wewe ukuze kiwango cha Imani harafu kujenga kanisa au mskiti mchange Sasa kama majibu yanatoka SI a anze yeye kuomba ili ajenge nyumba ya Ibada ajinunulie magari nyumba na mahitaji yake ila Kuni baazi Yao ni wapigaji na kutishana kwingi
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 2 месяца назад
Manabii weng wa Sasa ni wafanyabiashara tu halafu ajabu hawana hata hofu ya Mungu
@rachelmsekena603
@rachelmsekena603 2 месяца назад
Sijui tumeshakua mazuzu jamani yani nabii kumuona kwa hela hustuki tu
@EdenMcharo
@EdenMcharo 2 месяца назад
Kwanini tra isichukue kodi?
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 2 месяца назад
Wapo ambao wamezikana kabisa familia zao sababu ya hawa manabii. Wamevunja ndoa za wengi sana sijui wanawafanya nini waumini wao hawaambiliki
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 месяца назад
Makanisa ya utapeli
@bokimmwamba2322
@bokimmwamba2322 2 месяца назад
Tunaitaka Dunia na kuhtaji ya Mungu hivyo basi madalali kibao wamejitokeza kudalalia uhusiano wako na Mungu, usjali endelea kutenda dhambin Njoo uchukue nguvu za MUNGU zko kwenye makopo pesa yako tuu😂😂😂😂 Guys Wakipatikana wa kutuongoza katka kweli tunapga vitaa mpk wanapotea
@hildajoel5
@hildajoel5 2 месяца назад
Yule wa buza kiboko ya wachawi mama yangu alienda akaulizwa una sadaka bei gani😂🙌 kubwa kuliko akaambiwa kumuona nabii na kuombewa laki 5 maamae akasepa😂😂
@mwankunjatyson
@mwankunjatyson 2 месяца назад
Kiukweli kabisa haitakiwi kutozwa hata sh.1 unapokua umemuombea mtu Biblia hairuhusu kabisa
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 2 месяца назад
Mashajulikana kondo mlio potea kila mtu anataka kufunguwa kanisa awachunge kondoo
@saddybrezzy9777
@saddybrezzy9777 2 месяца назад
Ukristo sio dini
@JninjaH2R
@JninjaH2R 2 месяца назад
Tunapenda miujiza sana ,makanisa ya ajabu yafutwe
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 2 месяца назад
Yesu alishasema kizazi kibaya cha zinaa kinataka ishara
@EmanuelMbandi
@EmanuelMbandi 2 месяца назад
Hao ote matapeli tu
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 2 месяца назад
Wakristo wote hatuchekan madhehebu yote ni pesa tuu
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 2 месяца назад
Sasa kuwa muislamu basi ndio dini yako
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 2 месяца назад
@@alzawahirabdallah2299 uislam naupenda sana kiukwel Usijal soon
@JacobMaganga-re9ji
@JacobMaganga-re9ji 2 месяца назад
​@@alzawahirabdallah2299halikua jibu sahihi hili
@nemesjosephat5612
@nemesjosephat5612 2 месяца назад
😂😂😂😂Tanzania ni taifa rahisi sana kuliongoza, propaganda ndogo tu inawachanganya 😊
@gracemkami1343
@gracemkami1343 2 месяца назад
Ni kweli mm mmoja wapo mishaidi nikajifanya naenda chooni nikasepa juu Kwa juupk Leo siwezi sahau waliamza lakin 7 kwenda kumuona
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 2 месяца назад
Katika comments zote,wewe ndo umeelewa huu mchezo. Media zinatumikaga vibaya sana 😂
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 месяца назад
Wanao wapa ela wachungaji ni watu wapumbavu tena wasio na akili
@emmanuelMgani-pk6zt
@emmanuelMgani-pk6zt 2 месяца назад
Wajinga ndio waliwao😂😂
@habibumallanga2381
@habibumallanga2381 2 месяца назад
Acha wakaangwe c wajinga
@bokimmwamba2322
@bokimmwamba2322 2 месяца назад
Tunaitaka Dunia na kuhtaji ya Mungu hivyo basi madalali kibao wamejitokeza kudalalia uhusiano wako na Mungu, usjali endelea kutenda dhambin Njoo uchukue nguvu za MUNGU zko kwenye makopo pesa yako tuu😂😂😂😂 Guys Wakipatikana wa kutuongoza katka kweli tunapga vitaa mpk wanapotea
Далее
نترس تو برق نبود😅😅
00:17
Просмотров 811 тыс.
POLI и Маша - Сигма бой
00:20
Просмотров 448 тыс.
🔴#LIVE: SPORTS COURT NDANI YA WASAIFM I 07-10 -2024
1:18:53
SIRI YA MANABII KUMILIKI UTAJIRI IMEFICHUKA
8:19
Просмотров 17 тыс.
Bongo dar es salaam season 2
0:45
Просмотров 4,5 тыс.
Приколы с животными
1:01
Просмотров 4,3 млн