Siku hizi watu wasiosema ukweli huitwa wsanii,Kwa maana hawaishi au kutembea ktk maneno yao.Mzee majuto alikuwa tofaiti Kwa sababu alikuwa anaingiza mambo yaliyoko ktk jamii inayomzunguka na ndiyo maan Sana'a yake ilidumu muda Mrefu.R.I.P King
Poleni sana Mama, watoto, ndg, wasanii pamoja na watanzania wote Mungu awatie nguvu na moyo mkuu wa kukubaliana na kile kilichotokea hakika bwana amevuna Ktk shamba lake yeye katangulia na sisi tuko nyuma yake R. I. P Baba yetu tulikupenda sana lkn Mungu kakupenda zaidi.
Polen ndugu mbele yake nyuma yetu tulikoka kwake na kwake yeye tutarejea 😢😢😢😢😢Inauma sana ila Alhamdulillah Alakulhal nawapa pole sana from 🇧🇭🇧🇭🇧🇭😭😭😭😭😭
Tanzanian media sijawahi kuwaelewa.u mean mtu akifiliwa ndio mnapata news na mnaanza kuhoji watu wa karibu while u very well know that time they are still emotional and in shock.Try that in Kenya...utajua hujui..nkt.😠😬