Тёмный

Mastaa waungana kulitaka jeshi la Polisi litende haki kwa binti wa Yombo aliyebakwa 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 94   
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 2 месяца назад
KUISHI NA VIONGOZI WA TANZANIA NI KAZI BORA KUISHI NA MNYAMA WAPOLINI 😢😢😢😢😢😢
@joshuanyaulingo4109
@joshuanyaulingo4109 2 месяца назад
ety anajiuza,, sas kama anajiuza c mumfungulie kes ya kujiuza sas na kama anajiuza kwann alilazimishwa kumuomba afande msamaha
@lucasdeus5653
@lucasdeus5653 2 месяца назад
Waandishi WA habari za kijamii, wakati WA kupoteza Imani ama kujenga Imani Kwa jamii NI wakati huu ambapo mnapotakiwa KUSIMAMIA ukweli na sio KULETA siasa NA kukwepa kusema ukweli hadharani. Hamuonesh misimamo na weledi kama watu mlio na dhamana ya kupaza sauti ya umma. Na HIVI mnafanya mara chache Sana.
@aediaygo8546
@aediaygo8546 2 месяца назад
Kuna siku police watanzania wananchi watawachoka mnajiona mpojuu ilikuwa Zamani Kuna siku Tanzania itakuwa kama Bangladesh 😅😅😅
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we 2 месяца назад
Hatutaki ahamishwe tunaka achishwe kaz kabitha
@RajabuKitalambo-q2u
@RajabuKitalambo-q2u 2 месяца назад
Naona sasa iv wasanii wamebalika saf san Tanzania nipo U.S.A 🇱🇷🇱🇷 2025 naomba tubadilike kwenye uchaguzi
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 2 месяца назад
@@RajabuKitalambo-q2u UZALENDO NI KITENDO CHA MTU MMOJA MMOJA SIO KUNDI TUKIWA WAZALENDO NA NCHI YETU Akuna atakaekuja na kusema juu yetu au kutuwekea sheria ndani ya nchi yetu KIJANA AMKA Sio neno ni vitendo tufanye kazi piah tuishinikize taifa kutotoa vibali vya bidhaaa zinazoumiza vijana na kutoa vibali vya kuwafanya vijana wafanye kazi atakama awajaajiliwa ilihali tupo ndani ya sheria kwaimani yangu vijana tutafanya kazi kwel kama taifa linavyotaka ILA kwa sharti la kuishi wenyewe bila kuingiliwa mahamuzi na nchi za nje ilo litatudukuma kuelekea kwenye kilele cha mafanikio makubwa
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 2 месяца назад
@@RajabuKitalambo-q2u JAMAN WAZALENDO KIJANA ONGEA NA MWANAMKE ILI TUFANYE MAENDELEO YA NCHI NA TUSIWE VIBALAKA.WANAWAKEmwanamke akielimishwa na akiwa mzalendo bas maendeleo yatapatikana tu atakama kikiendelea chama tawala akuna shida kikubwa ni?uzalendo na misingi ya nchi kwanza itakayo leta maendeleo
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 2 месяца назад
Mama anaupiga mwingi kura kwake
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 месяца назад
Viongozi wa tanzania wanyama sana tena sio binaadam wa kawaida 😢😢 dharau sana hizi kwa watanzania
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 2 месяца назад
Nikajua amefukuzwa kumbe kupangiwa majukumu mengne bdo hii nchi ni kulindana tu haki hakuna
@Yayouselim
@Yayouselim 2 месяца назад
Huyo RPC anatakiwa avuliwe wazfa kabisa mpuuzi huyo , hana cha kufanya majukumu
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 2 месяца назад
Na ikisadikika wamemuua wanataka kulizima hili, aitokubalika mn wanaficha ficha mambo.!
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 месяца назад
Daa😭😭😭😭😭..am speechless walah
@magnamsam6909
@magnamsam6909 2 месяца назад
Sipend siasa, ila mtu akifanya mazur huonekana, ukiwa kiongoz wakat mwingine jiandae kufanya maamuz magumu. Sisemi kwakuw ametangulia ila miongon mwa mazr yake, hakuogopa kufanya maamuz magumu. Kamanda kama huyu siotu kubadilishiwa majukum, mtazamo wngu hafai kuwa kwenye chombo kikubwa kama jeshi la polisi.
@ShemsaKiobya-x8h
@ShemsaKiobya-x8h 2 месяца назад
Kwanini abakwe alafu achukuliwe video ni haki hiyo
@allymwilu8089
@allymwilu8089 2 месяца назад
Mmbwa hawa ndo muone huyo mamaenu anaeupiga mwingi watu wake hawa mxiuuu misimamo kama hii ndo tunaihitaji huyo askali kwanza hafai hata kuwa askari ni upuuzi mtupu anaongea yan
@AminaAbdullah-ws3wy
@AminaAbdullah-ws3wy 2 месяца назад
Nimependa sana wa Tanzanian mliyosimama pamoja kumtetea mtanzania mwenzetu. Tunataka Haki kwa Wote
@MashaMbwana
@MashaMbwana 2 месяца назад
Au wanataka watu wafanye maandamano kama yale ya India alibakwa na kuuliwa😮😮
@annafredinandmatandiko8438
@annafredinandmatandiko8438 2 месяца назад
Kweli tena huku ndio kimenuka huku india atari
@MgishaFerd
@MgishaFerd 2 месяца назад
Kabisa ndugu hilo neno tushawachoka hawa mbwa
@MohaaElectronics
@MohaaElectronics 2 месяца назад
Safi sana
@AhamedyKibarati
@AhamedyKibarati 2 месяца назад
Umoja wetu ndio mafanikio yetu akuna Serekali bila wanachi ndio sisi😢
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 2 месяца назад
@@AhamedyKibarati JAMAN WAZALENDO KIJANA ONGEA NA MWANAMKE ILI TUFANYE MAENDELEO YA NCHI NA TUSIWE VIBALAKA.WANAWAKEmwanamke akielimishwa na akiwa mzalendo bas maendeleo yatapatikana tu atakama kikiendelea chama tawala akuna shida kikubwa ni?uzalendo na misingi ya nchi kwanza
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 2 месяца назад
@@AhamedyKibarati UZALENDO NI KITENDO CHA MTU MMOJA MMOJA SIO KUNDI TUKIWA WAZALENDO NA NCHI YETU Akuna atakaekuja na kusema juu yetu au kutuwekea sheria ndani ya nchi yetu KIJANA AMKA Sio neno ni vitendo tufanye kazi piah tuishinikize taifa kutotoa vibali vya bidhaaa zinazoumiza vijana na kutoa vibali vya kuwafanya vijana wafanye kazi atakama awajaajiliwa ilihali tupo ndani ya sheria kwaimani yangu vijana tutafanya kazi kwel kama taifa linavyotaka ILA kwa sharti la kuishi wenyewe bila kuingiliwa mahamuzi na nchi za nje ilo litatudukuma kuelekea kwenye kilele cha mafanikio makubwa
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 2 месяца назад
Umoja kukinuka kila mmoja mguu niponye
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 2 месяца назад
Ivi wanao tetea huu unyama wanandugu wa kike kweli? Watoto je? Wanamatarajio ya kuwa wazazi??? 😢😢
@salama1113
@salama1113 2 месяца назад
Ndo tujuwe kuwa cc hatuna watetezi 😢😢😢😢 wananch tungane bilakujali ww nani
@joantharajab4583
@joantharajab4583 2 месяца назад
ulie mlinda kakuponza sasa
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 2 месяца назад
RAISI WENU MWANAMKE LAKINI WALA HATA HASUMBUKI ' ETI MAMA ANAUPIGA MWINGI
@MgishaFerd
@MgishaFerd 2 месяца назад
Daah yaani we acha tu huyo mama anazunguka tu
@issaalfani1030
@issaalfani1030 2 месяца назад
Kwahiyo BANGI imeshakua sawa kumpa mtuhumiwa haki ya kuchangiwa na kama imesha kua hivi basi tujiandae
@lucasdeus5653
@lucasdeus5653 2 месяца назад
Ingekua vema kama kila media mngekua mnafanya uchambuzi WA kina kama anavofanya #odemba. Mbna mnafanya uchambuzi WA magazeti??, taarifa za nje??, udaku??, Kwann mnabaki kusoma post za watu na sio kuchambua na kutoa elimu stahiki Kwa jamii ili kufanya watu wawe aware na kukemea Kwa nguvu??
@allymtunge5530
@allymtunge5530 2 месяца назад
Nimependa kwa hawa, mastar lkn hawa policy mmh!
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 2 месяца назад
Toweni ukweri jamani hamani itaware watu sasaivi warisha badilika sio ware wa zamani
@issaalfani1030
@issaalfani1030 2 месяца назад
Komeni wanawake baadhi yenu mnasemaga haki haki haya sasa haki mmesha pewa tuongozeni NCHI tumewachia
@samirmswahili
@samirmswahili 2 месяца назад
Wanafki tu wanajifanya kutaka haki kwa kile kinachowapendeza juz kuna watu wamenyimwa uhuru na kupigwa wote wamekaa kimya zaid ya Soggy na A.Y ndo walokemea. Mungu amtendee haki dada aliepata mtihani na sheria ichukue mkono wake
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 месяца назад
Napendekeza huyo RPC akamatwe, 2 ashitakiwe. 3 Ahukumiwe.
@FabriceKassim
@FabriceKassim 2 месяца назад
Aki itendeke please 😢 let be seriously to all Woman's 😢 why this keeps happening in Africa every time 😡 respect to all our Women's 😢
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 2 месяца назад
huo mwanke wangemuacha tu
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 месяца назад
Tujipe mda kivipi?
@Daniella249
@Daniella249 2 месяца назад
Au tuandamane sasa 😢
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 2 месяца назад
Weee hapa Tz mwiko😂
@fathers19991
@fathers19991 2 месяца назад
Wastar ambao awana pesa acheni zenu ahu malaya wezake wameungana .
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 2 месяца назад
Wafungweeeee
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 2 месяца назад
Tuwaazine GENZ
@tatutatu1570
@tatutatu1570 2 месяца назад
itakua jesh la Tanzania wanabakana ndio maana awafatilii kes hiizo
@wilsonwafulachebokati4933
@wilsonwafulachebokati4933 2 месяца назад
Shilole mwenyewe ni malaya mnauza nyapu
@SikituYusuph-fr7rj
@SikituYusuph-fr7rj 2 месяца назад
Acha ujinga kaka ww unaamini maneno ya kujitetea mabinti et acheni kudanga ww vp je ingekuwa kwa dada yako ugekuwa unasema hyo maneno umenikela
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we 2 месяца назад
Kiukweli hatuta waelewa kabitha
@JamalAbas-fe5dj
@JamalAbas-fe5dj 2 месяца назад
Pumbavu mnapenda kujitokeza kwenye stori za kutrend mbona mtoto albino kakatwa viungo na kauliwa hamjapaza sauti takataka nyie si jasema kama binti hajakosewa
@fathers19991
@fathers19991 2 месяца назад
True
@Aminimalewa
@Aminimalewa 2 месяца назад
Hawa wanachukulia watu kama mang'ombe, wanaona kama vile raia ni mambuzi wanaweza wakawaongoza wanavyotaka, ngoja ipo siku, hilo nitukio kubwa linalofahamika hayo yasiyofahamika yanaendeshwa vip? IT'S VERY DANGEROUS TO BE RIGHT IN A WRONG, watanzania sisi niwaajabu sana wenzetu wanapotezwa, wengine wanatekwa na ushahidi wawazi upo tumekaa tu kama makondoo hakuna action yotote
@YusuphuMakange
@YusuphuMakange 2 месяца назад
Upuuzi mtupu kiongozi wa jeshi au asikari anaongea upuuzi ujinga
@allymtunge5530
@allymtunge5530 2 месяца назад
Shilole ndio kanikosha
@wadantz123
@wadantz123 2 месяца назад
Tunataka kujua kesi ya mtt wetu asimwe wale mbwa washanyongwa au bado wanakula ugali wa bure
@chazp6436
@chazp6436 2 месяца назад
Na huu utaratibu wakuweka mambo kubalance RPC wengi ni wanawake ..ambao maamuzi ndio haya wanayofanya hawana weledi wa kazi ...
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 2 месяца назад
Mi nashangaa sioni kiongozi yeyote wa kuliongelea kwa uchungu na kulikenea kwa nguvu kama wana yofanya kwa mengine, kulikoni???????? Mi naomba mheshimiwa Rais wetu atoe kauli katika hili !! Ili mioyo ya watanzania itue mzigo wa maswali na maumivu yaliyojaa mioyoni mwa akina mama
@EspiSimai
@EspiSimai 2 месяца назад
Me nasubir kauli ya raisi tu kuhusu hilo
@FatmasaidhamesaHamesa
@FatmasaidhamesaHamesa 2 месяца назад
Wanawake toamke sai keaharaka upesi
@ShemsaKiobya-x8h
@ShemsaKiobya-x8h 2 месяца назад
Mbona mkuu wa wilaya Alishtakiwa , sembuse huyu aliebakwa hadharani na kuchukuliwa video
@mariej6962
@mariej6962 2 месяца назад
Hawana lolote hawa.
@AsilaAlhabsi-hg9lg
@AsilaAlhabsi-hg9lg 2 месяца назад
Jmn hebu badilikeni kidogo hivi hamuoni nnchi za wenzenu hebu badilikeni mue kama watu mmekaa kama wanyama nyie
@abdulhussein7774
@abdulhussein7774 2 месяца назад
Hao mbwa nao wabakwe jela wawatoe bikira za mikundu yao
@AsilaAlhabsi-hg9lg
@AsilaAlhabsi-hg9lg 2 месяца назад
@@abdulhussein7774 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 inafaaa walahi yani umenichekesha khaaaa mpk najiona mjinga kwa kucheka
@huthhuthlih5858
@huthhuthlih5858 2 месяца назад
I don’t think we Tanzanians are truly focused on those men already in police custody. Yes they committed the crime but what we really want to know is who orchestrated it. We’ve repeatedly asked to know who the mastermind ?is the woman who organized this crime. She’s the one who directed these five men, paid them, and showed them where to find this girl to commit this atrocity against her. What we really want is to find the mastermind, the woman who orchestrated this crime against this young girl. That’s what all Tanzanians want. I believe a large percentage of us want the authorities to find the mastermind the woman who directed these five men showed them where to find this young girl and instructed them to rape her. We want justice, and that means finding the mastermind.
@joycebenjamin6017
@joycebenjamin6017 2 месяца назад
Ushenzi kbs huu,msituchezee na kauli za kishenzi hizo😉😉hata km kahaba akibakwa bila ya ridhaa ni kosa la jinai😉😉
@chazp6436
@chazp6436 2 месяца назад
Kenya sio wajinga wanaakili sana ....mbona hawa viongozi wetu kama wapo kwaajili yao tuu
@achibelatotolakijaka4687
@achibelatotolakijaka4687 2 месяца назад
Hao wangekua Saudi Arabia wangekua washazikwa kitambo Saudi hamnaga kesi za kijinga kotini hawana mda ukipatikana na kosa they deal with u na kosa lako ukiua unauliwa na ukibaka ni panga pia hakunaga makesi kesi za kufatiliwa eti sijui Mahakama inachunguza warabu wapo busy Africans ss ndio tuna ujinga huo kusubiri kesi iamue for wat na Kuna videos all over hio ni evedince tosha
@hirizonetz9558
@hirizonetz9558 2 месяца назад
Mabinti waache kudanga bhana unatembea na mme wa mtu unategemea nn angekuwa kafanyiwa mwanaume wala haya makelele yasingekuwepo kwa vile kafanyiwa mwanamke basi mnataka huruma za kijinsia me kwangu naona kapata malipo yake yanayomstahili hebu polisi fanyeni mambo mengine bhana
@lilyanmongi1075
@lilyanmongi1075 2 месяца назад
Utakuwa na mtindio wa ubongo
@Fks856
@Fks856 2 месяца назад
Broo hebu acha kuongea ivo Kwa sababu hata kama huna dada ila Nina Imani una ata ndugu wa kike
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 месяца назад
Ubongo wako umetwa na shot ya umeme
@hirizonetz9558
@hirizonetz9558 2 месяца назад
@@lilyanmongi1075 Hilo sijali ila huo ndo uhalisia asingetembea na Mme wa mtu yangemkuta haya kama angebakwa kwa tamaa ya wanaume tu hapo angehitaji msaada mkubwa ila Kwa starehe yake tu na kama na ww unatabia kama yake ubadilike yatakukuta kama haya halafu msumbue watu
@Niget-us1np
@Niget-us1np 2 месяца назад
Kwaza hakun mume wa mtu ili awe mume wa mtu kidin lazim itimie 4 alafu huwa hawesemi km anamke unatemgemea nn alafu kos L mwanmk nini nakatika yeye kafwata ajafata km kosa bc liwe LA mwanaum
@chuseboy
@chuseboy 2 месяца назад
Taifa letu serikal yetu yaan ni bora tujiongoze wenyew me hata sion umuhumi wa kua na serikal maana awajui kazi yao wala sheria 😢 watuache tujiongoze wenyew kwa kila jambo
Далее