Тёмный

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 13/08/2024 

BBC News Swahili
Подписаться 617 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
#BBCSwahiliLeo #Mpox #Homayanyani

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@alfredmhana235
@alfredmhana235 29 дней назад
Tanzania siwo kenya uhuru na odinga kusumbuwa Amani Sasa mwenye akili tu wanaona hili Tanzania bravo Sana Amani ilinde daima.
@afrakanaswahilitv5520
@afrakanaswahilitv5520 29 дней назад
Watanzania pia wanastahili uhuru wa dhamiri, kujieleza na kushirikiana na wenzio pa umma au faraghani kwa mujibu wa sheria na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
@tuyisengetheogene1050
@tuyisengetheogene1050 29 дней назад
Ni nyakati za mwisho. Hayo yote yalitabiriwa. Tubu dhambi zetu, Kwa maana YESU KRISTO yuarudi.
@user-xc5vf6tt9z
@user-xc5vf6tt9z 29 дней назад
Nawapata mubashara nikiwa luansha Zambia,duu Mungu tuepushie hili janga.....
@Mathayossumau
@Mathayossumau 29 дней назад
Mingu ibariki afrika
@JohnChedego
@JohnChedego 29 дней назад
Doh Tanzania thanks God
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 29 дней назад
Ccm,Aibu tupu.hawana neno la kushawishi wananchi,kwa sasa.
@BabyCleaver
@BabyCleaver 29 дней назад
wazungu wa washa tuletea leta gonjwa jipya wanataka pesa zetu au watudai wapenda kututia uasikinu jamani tuwe makini sana na watu hawa tuwe makini sana wapo ingia africa
@Zainab-qg6xv
@Zainab-qg6xv 29 дней назад
Congo wanakula nyani 😂
@ImanSaid-ox3po
@ImanSaid-ox3po 29 дней назад
Na kwanini mnakula chakula mlicho haramishiwa na Allah kwani mlivyo halalishiwa vimekwisha?
@hawanzota896
@hawanzota896 29 дней назад
Lulu amesema vizuri, Kutumia muda kukujifunza technologia badala ya umbea.
@scoutpwanimchangani6711
@scoutpwanimchangani6711 29 дней назад
Ubalozi wa marekani unachangia nini kuhusu mambo ya ndani ya nchi za watu. Lakini mpaka yatufike kama ya kenya ndio watakaa kimya.
@MursalLusinde
@MursalLusinde 29 дней назад
Homa ya nyani tatizo limeanzia DRC 😢😢 Ilikua ebola sahv ni homa ya nyani magonjwa ya kutengeneza haya ila wazungu sijui wanatakaje wanataka kuipeleka wap dunia
@scoutpwanimchangani6711
@scoutpwanimchangani6711 29 дней назад
Wapinzani lazima wafahamu kuwa nchi ya Tanzania ni nchi ya Amani sana. Wakija kuichafua watajibu
@balakamwampashi8617
@balakamwampashi8617 29 дней назад
Mbona hatali
@tanzaniangirl5361
@tanzaniangirl5361 29 дней назад
🎉well done Lulu
@scoutpwanimchangani6711
@scoutpwanimchangani6711 29 дней назад
Police endeleeni kufanya kazi zenu. Mukiona tu kuna viashiria vya uvunjifu wa amani musiruhusu kufanya jambo lolote.
@user-nv6wt3nx5h
@user-nv6wt3nx5h 29 дней назад
Waaafrika tunakula nyàma pori sanà.na watu wengi wanakula NYANGI..hasa afrika ya kàti..Kongo wañakula Hadi popo wakubwa..wañakula sanà minyama pori
@MutulaSafari
@MutulaSafari 29 дней назад
Majamaa wa nje .wali tengeneza covid19 ikawatafuna sana .walikuwa wakitegemea sisi weusi tutakufa kama madudu.sasa wame tuletea Magonjwa kali ili tufe na sisi.
@azizally5283
@azizally5283 29 дней назад
Innalilah wainnalillah rajuun waache kula nyani nao
@AlkafaaMarket
@AlkafaaMarket 29 дней назад
Tanzania hakuna siasa kuna uwonewaji wa watu kupitia kivuli cha siasa 2 mbona CCM wanaendelea kufanya makongamano mbali mbali wao ndio wenye tz 2
@JumaAbdalah-q4b
@JumaAbdalah-q4b 29 дней назад
✌️✌️✌️✌️✌️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@IssaTayari
@IssaTayari 29 дней назад
Duhu hatar
@afrakanaswahilitv5520
@afrakanaswahilitv5520 29 дней назад
Ungonjwa wa nyani (MPox), chanzo chake ni nini? Umma, uhamasishwe haraka iwezekanavyo ili tusipoteze uhai wa watu wengi. Mbona madaktari na wanasayansi wa kiafrika hawawezi kufanya udadisi na utafiti wa haraka ili wapate suluhu za kudhibiti hayo maradhi ya magonjwa ya Nyani?
@peternboss5561
@peternboss5561 24 дня назад
Setani asidwe
Далее
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:18
Просмотров 8 тыс.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
Просмотров 8 тыс.
Congo, Thrill of the River | Deadliest Journeys
49:39
Chad, the Desert that Floods | Deadliest Journeys
50:49