Тёмный

MAUAJI YA KUTISHA ARUSHA, MAREHEMU AKUTWA NA PINGU MKE AONGEA KWA UCHUNGU 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 53 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 507   
@adamsilumbe8356
@adamsilumbe8356 6 часов назад
Daah!!!nimeumia sana sana.ikiwa police ndio wanafanya hivi nikitu kibaya
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 3 часа назад
Hivi hii nchi inakoelekea siyo kuzuri mbona maaskari wanauwa watu mara matuma watu wabake na kulawiti mayatima wanazidi kuongezeka watumishi wanaosaidia yatim mnawafukuza kwa kweli wanadamu tumekuwa wanyama kabisa
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 44 минуты назад
Wanaua kinyama
@MarwaKipilipili
@MarwaKipilipili 5 часов назад
Pole sana ila nyie askari ngoja mungu atawaonesha familia zenu hazitakuwa imara hata siku moja!
@nursechunga4470
@nursechunga4470 6 часов назад
Tanzania yangu kwa sasa hatuna amani😭😭😭 Mungu tusaidie
@isaacmutegwa5881
@isaacmutegwa5881 5 часов назад
😭😭😭😭😭😭 Mungu naomba Kwa mapenzi yako niwe naomba mwisho MWEMA.
@dannypeter4951
@dannypeter4951 5 часов назад
Mungu simama jibu hili
@EdnaMbowe
@EdnaMbowe 4 часа назад
🙌🙌🙌🙌🙌
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 6 часов назад
Ila sisi wanaume tunakufa mapema tukipambania familia na ndugu waliotuzunguuka😢😢😢R.I.P mwanaume mwenzangu
@kamarhelo
@kamarhelo 6 часов назад
Nikweri kabisa hata wanaotekwa wengi wao ni wanaume
@Jurbeg
@Jurbeg 5 часов назад
☹️☹️☹️
@gladnesswazir-zz9lk
@gladnesswazir-zz9lk 4 часа назад
Mungu awatetee
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 3 часа назад
@@gladnesswazir-zz9lk Amina🙏
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 2 часа назад
Alafu nasisi tunabaki wajane tunaumia sana jamani familia bila baba ni ngumu sana Bora atwaliwe kwa mapenzi ya mungu lakini kuzulumu uhai wa mtu jamani tunaumia sana 💔💔💔😭😭😭
@anethboniphace
@anethboniphace 5 часов назад
chadema lakini wanasema kila siku tutakufa wengi sana
@donking-d4t
@donking-d4t 6 часов назад
Samia samia Samia, nimekuita mara 3,ipo siku utajua hujui,
@johnsway5253
@johnsway5253 5 часов назад
😅😅😢
@josephineokama2200
@josephineokama2200 4 часа назад
ameshindwa kudhibiti watu wake kwa mauwaji mpaka tuseme
@GosheSecurity
@GosheSecurity 4 часа назад
Una mwita wewe kama nani? Acha upuuuzi hata mama yako uwezi mwita bila Adabu Wala Heshima namna iyo. Tiini Sheria bila shuruti kuepuka fedhea ya kukamatwa kwa nguvu na Mtu unajijua mgonjwa imetoka Hospitali kinywa dawa. Sasa Mh. Rais una muingizaje hapo?????
@BarakaOchuu
@BarakaOchuu 3 часа назад
​@@GosheSecuritytumia akili chawa wew
@januarysungura8119
@januarysungura8119 3 часа назад
@@GosheSecurity mwendawazimu wewe hujui yeye ndo karuhusu hayo mauaji juzi tu hapa
@ActiveMedia-j9y
@ActiveMedia-j9y 2 часа назад
IFIKE SEHEMU HAWA POLISI TUWAFANYIE KITU ILI WAELEWE NA HILI NI TATIZO KUBWA MTU AKIFELI FORM 4 NDIO WANAMPA OPTION YA KUWA POLISI AMA MWALIMU mnategemea nini kama sio maamuzi yakisenge senge kwenye ufanyaji wao wa kazi
@lenardMasota
@lenardMasota 57 минут назад
Unaongea nin wewe sio kila mwalimu kafel kama unazungumzia kitu zungumzia eneo huska uskariri maisha et walimu ni wale waliofeli Yaan kama huwez comment si ukae kimya bas wewe uliyefaulu tukupe hizo KAZi wew mwenye akili
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 21 минуту назад
lenrd usikasilike umu kwenye mitandao kuna kila aina ya uhovyo so naeamekuwa na uhuru waku sema, unajua watu wame vurugwa,
@mage5371
@mage5371 5 часов назад
Nngepiga picha zakutosha wakati wa purukushani na hata wakati maiti imepigwa pingu ...ila yote kwa yote poleni sana na Mungu ndo hakimu wa kweri. Poleni sana
@yumna128
@yumna128 4 часа назад
Yani wangechukuwa hata video
@dorislema2465
@dorislema2465 3 часа назад
Apo siyo picha,,wangetakiwa wapigwe marungu ya kichwa wafie apo,,kwanza saiv askar wakionekana wakishambulia raia bila sababu za msingi ni bora wananchi wawashambulie tuu
@mangashajunior242
@mangashajunior242 6 часов назад
Tufute hilo jina la watu wasiojulikana wajulikane sasa na.pingu wanapata wapi...
@fugakwamalengo707
@fugakwamalengo707 6 часов назад
Bado si ya chadema hayatuhusu tusubiri yatukute nyumbani ndio yatuhusu
@glorysungura3180
@glorysungura3180 2 часа назад
Umeona?
@BabaFarzan-ml4er
@BabaFarzan-ml4er Час назад
Na bado hao wananchi hawajasema .. Tatizo la TZ shida hadi ijumuishe wote ... Mbwa wananchi endeleeni kusema bora amani Amani ya mkundu Tuingieni road kabla hatujaisha
@SaraSara-i1l
@SaraSara-i1l 6 часов назад
Mpaka utawala huu uishe vifo vitakuwa vingi hizo pingu police wamezifungua
@rizikimohamed2449
@rizikimohamed2449 4 часа назад
Wana family poleni sana mungu atamlipia
@mage5371
@mage5371 5 часов назад
Jamani poleni sana. Lkn Mngepiga cm maiti ikiwa na pingu ila jamn mbn mauaji haya yanakera...
@IsmailAlly-u3l
@IsmailAlly-u3l 5 часов назад
Sheria gani inampa askari mamlaka yakumpiga mtuhumiwa......??? Tena ni mfanya biashara wa vyuma chakavu na kauziwa na Huenda jakujua kua Mali ni ya wizi... Hii sio sawa.... Tukutane 2025...🙌🙌
@MichaelMahizi-r2d
@MichaelMahizi-r2d 6 часов назад
mungu atulinde tulio bakin tu sasa tutafuanyaje kama hata kuandamana wanatuzuia
@emmanuelkache4646
@emmanuelkache4646 5 часов назад
Basi tu ! Na inauma sana... unamuua mtu kisa compressor? Hujui.huyo mtu ana watu wangapi wanamtegemea ana watoto, ana wazazi !
@iranangole7007
@iranangole7007 2 часа назад
Vifo Tanzania Mungu atuepushie Aya matukio
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 4 часа назад
Hiiii itakuwa. Vita kubwa sana ya raiya na polisi kuna mwaka ilitokea kama hivi wananchi mnashindwa kuwashuhurikua.hawaa wanauwa.watu kama ni mhalifu. Siushamfunga pingu kwa nini tena unachukuwa sheria mkononi ikiwa wewe ni chombo cha usalama Halafu mnasema MBOWE ni mbaya matukio kama haya mtuu anaacha ..damilia.mtaitunz ndioa nyinyi 😢😢😢😢
@PendoIsaya-ot4qo
@PendoIsaya-ot4qo 6 часов назад
aise hii tanzania inaogopesha sasa matukio yamezid kila kukicha tutakimbilia wap jaman tena maaskar 😢😢😢
@RoseMargareth-n1m
@RoseMargareth-n1m 5 часов назад
Kwa kweli nchi hatuna tena. Zaidi ya ishara mbali mbali za bendera na vitu vichache. Ni aibu hata kuongea habari kama hizi leo hii. Bora tuanze upya tena. Uhuru ni nini... Na tuna vision gani mbele yetu kwa ajili ya ardhi hii na watu waishio juu yake kuanzia sasa kwenda mbele
@leonardmao3311
@leonardmao3311 6 часов назад
Familia poleni sana, polisi mjitafakari sana kwa mauaji ya raia. Pingu imewaumbua, lasivyo wangekana hawajui!!!!. Hovyo sana!! Mikono ya polisi imejaa dam u. Na Mungu atawalipa dam u mnazomwaga. Dam hii itakula vizazi vyenu.
@Sahlomon-jp4jr
@Sahlomon-jp4jr 5 часов назад
Samahani mkuu lakini una akili ndogo sana. Nakuombea kwa Mungu
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 5 часов назад
Samia aone kwamba hii nchi sasa inamshinda jeshi la polisi lazima livunjwe liundwe upya, lazima tume huru iundwe kuchunguza shutuma zote hizo dhidi ya police.
@Jurbeg
@Jurbeg 5 часов назад
​@@Sahlomon-jp4jr tokapa inamaana unaunga umwagaji damu pumbavu 😡😡😡
@kellybreezytz2491
@kellybreezytz2491 5 часов назад
​@@Sahlomon-jp4jr Mungu gani unayemuomba Ndugu yetu
@frayy5595
@frayy5595 4 часа назад
​@@Sahlomon-jp4jrmsenge kwelii mijitu mingine ka mitikitii
@RoseKesi-zj4yy
@RoseKesi-zj4yy 5 часов назад
Millard unachuja Sana taarifa unakera
@noellema9109
@noellema9109 6 часов назад
Doh! Pole sana dada
@noelmbise9157
@noelmbise9157 6 часов назад
😢😢😢😢 jana maandano watu hawataki😮 wasema chadema kuandamana haya sasa polisi wanafanya yao
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 4 часа назад
Mmeona eeh samia samia samia hivi kweli wewe una watoto????😭😭😭😭😭😭
@Tg.7_7
@Tg.7_7 6 часов назад
Eeh Mungu Tamka Neno, nakusihi🙏😭
@ZawadiSaid-x6f
@ZawadiSaid-x6f 6 часов назад
E mwenyezi mungu tuone wanyonge
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 6 часов назад
Hii serikali na viongozi wake watajibu cku moja mbele ya Mungu wajiome wao wakubwa tuu
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 29 минут назад
Poleni sana Wafiwa Mungu awe mlinzi wenu
@RehemaMasunga-ml7kt
@RehemaMasunga-ml7kt 5 часов назад
Ndio maana ney wa mitego kaimba acha niseme
@sheilalolila2233
@sheilalolila2233 6 часов назад
Duh hii nchi mbona matukio mengi mwenyezi mungu tusaidie
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 6 часов назад
Ndo muache hayo matukio.
@naimatemba8061
@naimatemba8061 5 часов назад
Ee mungu kweli umpige mtu mpaka umauti
@dorislema2465
@dorislema2465 3 часа назад
​@@twalibulomy-cd4zdkama wew mi askar dawa yenu nikufyetuliwa tuu kama alivofanya hamza
@desolz3809
@desolz3809 5 часов назад
Mama amelezea vizuri sana daaaaaaaah innalilah wa Innalilah lajiuni
@janetchinga695
@janetchinga695 6 часов назад
Sikuizi Tanzania haina amani 😢😢😢😢 tatizo police wa Tanzania hawana umungu hawajasoma ,hawana utu kila sehemu police wameua nyoooo zenu police wajane tukowengi tuna shida muno hatuna musaada wowote alafu munaongeza kuua wanaume 😢😢😢😢😢😢 nanyinyi mufe wake zenu wabaki wajane nawatoto munguti sikia kilio changu yooooo, watching from Capetown South Africa
@TheresiafaustineMeela
@TheresiafaustineMeela 6 часов назад
Tz n kisiwa Cha uvumilivu 😢
@AyoubNgoko
@AyoubNgoko 3 часа назад
Kwa masikitiko makubwa, baadhi ya wahusika waliopewa jukumu la kulinda na kutetea raia ndio wanaofanya vitendo vya ukatili. Hii inazua shaka kubwa juu ya uaminifu wa vyombo vya usalama na inatishia amani ya wananchi. Ripoti za watu kutekwa, kujeruhiwa, au hata kuuawa na polisi zimekuwa zikiongezeka, na zinaacha athari kubwa kwa jamii nzima. 🥺🥺
@yohanalucas656
@yohanalucas656 6 часов назад
Hao ni wez wenyewe
@challemartin
@challemartin 4 часа назад
Wamefanya kupoteza ushahidi msilaumu askali tu maana hamjui ni polisi kweli ?vitambulisho hawana
@magigesabai8674
@magigesabai8674 Час назад
@@challemartin pingu wametoa wapi?
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u 6 часов назад
Samia anajua wauaji
@kamarhelo
@kamarhelo 6 часов назад
Wakat mwingine mnamuonea rais hiv lais amtake nini huyu mnunua vyuma chakavu
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 6 часов назад
Mimi nimemuelewa anamaanisha hana kauri juu ya askari yaani uongozi huu askari wako huru wanafanya wawezavyo
@desolz3809
@desolz3809 5 часов назад
Exactly ​@@AshuuuBakari
@desolz3809
@desolz3809 5 часов назад
​@@kamarhelo mawazo yako mgando kweli kweli
@desolz3809
@desolz3809 5 часов назад
​@@kamarhelowatoto wakikosea analaumiwa nani?
@Pascaltz
@Pascaltz 6 часов назад
Jamanii tusiwalaumu askari tumraunu mh samia suruhu hassan maana ndie mwenye mamrakq Sasa kama amewapa kichwa mnadhan watashindwa kutuuwa
@saltechnologiesco.ltd.2377
@saltechnologiesco.ltd.2377 4 часа назад
Aliyetunga sheria ya kulinda vyombo vya dola visihojiwe vinapotekeleza kazi zake zisihojiwe alishatangulia... Ni kumuomba Mola tu, ni vema askari akawatambua hao raia waliomshambulia ili wawajibishwe, na maelezo ya raia dhidi ya tuhuma zinazomhusu askari yapewe uzito.
@MaryJasely
@MaryJasely Час назад
Kwakwelii 😢
@HulumaKisakali
@HulumaKisakali 40 минут назад
​@@MaryJaselyni kwel
@ZawadiSaid-x6f
@ZawadiSaid-x6f 6 часов назад
Pole mpenzi
@muhammadkhamis5798
@muhammadkhamis5798 6 часов назад
Waaah
@Zengeni-gz8fe
@Zengeni-gz8fe 5 часов назад
Innalilh wainalilahlaajuuni😭😭😭😭😭hatuna pakushitaki hapa chini ya ardhi isipokua mola pekee uliye juuu ya mbingu.. eeeeeeeee mungu tusaidie😭😭🇹🇿
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji 4 часа назад
Sijui hata niseme nini jmn nakosa hata cha kusema kubwa pole sanaaa muachieni mungu atakulipien inshallah 😢😢😢😢😢
@gracemwagange
@gracemwagange 2 часа назад
Sio wote wanamakosa jamani daah Amepata mateso sana jamani kwani sheria si zipo wapendwa mpaka Mumutoe uhai mwezenu jamani daaaah Mungu atusaidie sana
@eliudhezron181
@eliudhezron181 6 часов назад
Polisi majambazi wakubwa mshapoteza utu mmekuwa wauwaji namba moja yaan ipo siku mtajichanganya tuwachome moto
@WinnieSumary
@WinnieSumary 2 часа назад
Dah! inaumiza sana askari wa serikali wanafanya hivi MUNGU ahusike nanyi serikali Poleni sana Wanafamilia
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv 3 часа назад
Hii serikali yaani eti kamanda anasema watu wameshambulia askari wakamchukua huyo mtu seriously? Na maelezo ya ndugu zake yamenyooka ole wenu 😢😢
@Ashoora2
@Ashoora2 2 часа назад
Innalilah waina ilaih rajiun polen sana familia kwa ujmla Kwakweli maaskari mwenyez Mungu anawaona na yy ndio hakimu wa wanyongee
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f 6 часов назад
Mama Samia na police wake njo wauwaji
@asinahussein2176
@asinahussein2176 6 часов назад
Ivi mna uhakika gani ni polisi
@asinahussein2176
@asinahussein2176 6 часов назад
Pingu kitu cha kutengeneza tuu Co mtu huyo
@KelvinJoseph-ix9wd
@KelvinJoseph-ix9wd 6 часов назад
​@@asinahussein2176we husikiliz umesoma kichwa Cha habar tu.... police wamethibitsha kuwa walituma mtu kuja kuja kukamata mtu
@hamzaibrahimu
@hamzaibrahimu 6 часов назад
​@@asinahussein2176kwa nn sasa matukio kila siku wauwaji hawapatikani kila siku ni watu wasio julikana jeshi la polisi linafanya kazi gani kama sio wao ndio watendaji 😢
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b 6 часов назад
Kwaiyo kama pingu inatengezwa tu walipofika hospitali hao waliotengeneza walileta funguo mbona unapenda kutetea kitu ambacho unaona Akina ukweli au na wewe ndio askari usiekua na utu Wala kuzingatia mafunzo maana wanayoyafanya maaskari sasaiv ni unyama kwasababu Sheria za kukamata mtuhumiwa zinajulikana na kama ATii sheria kimafunzo wanajua ni sehemu gan watamtuliza na sio ivyo wanavyofanya uko ni kutengeneza chuki na raia mwisho watawapa nafasi wanaotamani Amani yetu ​@@asinahussein2176
@RukiaSalum-n4m
@RukiaSalum-n4m 5 часов назад
Jamani jamani. Mbona taifa hili linaelekea jehanam mmefikla kuuwa hazarani. Bila aibu mungu atajibu siku moja
@GuyRut
@GuyRut 4 часа назад
Mungu awatangulie wanaumewote katika utafutaji wenu nawapenda sana
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 5 часов назад
Samia kweli mauaji hataisha kwa maskarì wako kweli mama yangu umewapa uhuru kama huu Mungu asimame na wasio na haki wapa tanzania kweli Mungu tutetee tutaenda wapi sasa ambao hatuna haki.
@meckgodfrey7334
@meckgodfrey7334 5 часов назад
Ndo watekaji ao wamesaau pingu pole mama
@SophiaKamgunda
@SophiaKamgunda Час назад
Pole sana mwanangu Mungu atakulpia
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 6 часов назад
Ee noma hii ndiyo Tanzania
@ajunavany7476
@ajunavany7476 6 часов назад
Tunaishi kama wanyama daaah nchi hii ni ngum sana
@asinahussein2176
@asinahussein2176 6 часов назад
Sio nchi hii saivi kila nchi mwendo kuuwana tuu mbona ham kumbuka vitabu vya mw.mungu viliandikwaje
@frankmmasi
@frankmmasi 6 часов назад
Aiseee mi mpaka sasa kichwa kimesha choka mauaji mauaji kila nikifika kwa millard ayo 😢 na chanzo lazima police wausishwe ivi hatuna kiongozi wakutoa kauli ikafatwa kiukweli nina hasira ila itajulikana tu bado kidogo
@petercostakisoka
@petercostakisoka 3 часа назад
Daah mungu tusaidiee
@getrudaleonard8323
@getrudaleonard8323 2 часа назад
Poleni sana kwa kipindi hiki kigumu kwenu familiar
@jacobmwalituke8981
@jacobmwalituke8981 5 часов назад
Mama yenu anasema vifo ni act,haya yangu macho mimi
@celinamosha9420
@celinamosha9420 6 часов назад
Nimelia 😭😭😭😭😭
@ezekielmadindula2679
@ezekielmadindula2679 Час назад
Majambazi yatatumaliza😢
@kazkaz1943
@kazkaz1943 6 часов назад
Too much hii police wanamlinda kanisani mnyika
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 4 часа назад
Me kwa maelekezo ya huyu Dada inaonekana TU Kuna kundi la wahuni ndo linaendesha huu uhalifu hivi maasikali watampiga TU mtu hivi bila tatzo na kumuuwa😢hii hapana aisee
@ErastoMsumary
@ErastoMsumary 3 часа назад
maaskari wanakupiga Tena vzr tu wangap sahiv Ni vilema wamepigwa na maaskari unajua mambo yakifika hvi siyo kila kitu unatetea ndugu ungekuwa upande wa hiyo familia ungejua machungu wanayopitia maana kumbuka uhai hujirudii na bado familia inamtegemea
@issaalfani1030
@issaalfani1030 Час назад
Walipata pingu wapi twambie wewe?
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 3 часа назад
Mungu tusaidie tu sasa
@BeatriceKitembe-gs9si
@BeatriceKitembe-gs9si 3 часа назад
Pole snaaa daa
@allenndimbo520
@allenndimbo520 3 часа назад
Mkiambiwa katiba hamtaki Acheni watuuwe watumalize Na tutankhamen kweli hiyo ndio sirikali Na bado
@jumakasim8784
@jumakasim8784 2 часа назад
Inaumiza sana yaan kmmk
@Hot_rod-lies
@Hot_rod-lies 2 часа назад
Jamani mungu wangu binadamu wagiuka wanyama mungu atawa adhibu. Subire tu uhai wa mtu nimuhemu
@SaidyFaranda
@SaidyFaranda Час назад
Pole
@AmriMzeru
@AmriMzeru 2 часа назад
Mnalaumu sana polisi kwanini huyo jamaa asingekubali kwenda kituo cha polisi
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 2 часа назад
M Ntakwambia hh INch Ina wagonjwa wa AKILI WENG Sana Yaan kila Mtu anamlahum police dah😂
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 2 часа назад
Yaan Cjaiona Mtu kasema kw nn Huyo Jamaa Alikataa kwenda kituon, Au Kwa nin Alitaka kukimbia!?.
@NaomiallyShabani
@NaomiallyShabani 2 часа назад
Wewe ni makande Nini aiseee au wewe unausika police wamekia wauwaji aiseeeeee
@magigesabai8674
@magigesabai8674 Час назад
mtu amefungwa na pingu ataweza kukimbia ? Je akitaka kukimbia ndo utumie nguvu kiasi hicho ? acha kutetea uovu fikiria ni kakako amefanyiwa hivyo, fikiria mke wake na watoto fikiria ni mwanao au babako angefanyiwa hivyo ? Utawambia wananchi wasichukue sheria mkononi kama wewe unafanya hivyo ? kama ni kweli wamefanya hivyo hii laana itawasumbua sana na mbaya dhambi ya mauaji inarithi mpaka kwa watoto vilio vya familia vitawamaliza.
@mzazi15
@mzazi15 Час назад
Utaenda na watu kwa sababu ya uniform au utambulisho? Taratibu ziko wazi, wangernda kwa balozi wajitambulishe wao ni askar na wametoka kituo gani na wanamuhitaji nani, pia walitakiwa waonyeshe vitambulisho vyao na warrant ya kumkamata mtuhumiwa au (RB) isingefikia mtu kukataa kwenda kituoni. Na kumpiga mtu kiac hicho ni kwamba walishammudu, had kumuweka kat na kuanza kumpiga ni waz waliamua kumpiga na c kuwa aliwakatalia. Huo ni utetezi tu. Hoja kubwa ni kwamba, kama waliweza kumfunganisha kichwa kat kat ya magoti yake mwenyewe, walishindwa vipi kumpeleka kituoni baada ya hapo??
@danfordkitundu7883
@danfordkitundu7883 4 часа назад
Mungu turehem Tanzania
@moisugar_tz
@moisugar_tz 4 часа назад
Pole Sana Mama...
@LenonMatavire
@LenonMatavire Час назад
God did it
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 6 часов назад
Askari hata cku moja hawakabali makosa lazima utasikia ni muhalifu
@Hassanbaoma
@Hassanbaoma 2 часа назад
Tanzania
@HalimaAmili-e8r
@HalimaAmili-e8r 4 часа назад
Inalilah wainailah rajiun Allah ampekauli thabiti
@HalimaAhmad-s5d
@HalimaAhmad-s5d 3 часа назад
Mungu wangu jamn jaman
@LeonardinaBakuza
@LeonardinaBakuza 5 часов назад
Jamani yarabi tunusuri na tabu hizi.mateso Gani haya.,
@emmaswai5653
@emmaswai5653 2 часа назад
Ungalimited napaogop sana niliwai nanganywa vitafunio n wakanipasulia tu andazi nikaambiwa nimenda betia hela😂😂
@elizabethsilayo3888
@elizabethsilayo3888 4 часа назад
Hii inauma sanaaaa😢😢😢. Najiuliza hivi kuna sababu ya kuwa na Askari polisi Tanzania? Pole mama. Pole familia. Inaumiza sana sana jinsi ambavyo jeshi la polisi linakosa na ueledi.m na utu. Too bad.
@IvanSaid-ef8tb
@IvanSaid-ef8tb Час назад
Pole sana Sasa wajane mbona wanakuwa wengi
@ChibuSmart-xq6kc
@ChibuSmart-xq6kc 4 минуты назад
Poleni sana wanafamilia😢😢😢"
@Gloriarespiki
@Gloriarespiki 3 часа назад
Samia jamanii iv we ni raisi wa Tanzania aauu Uganda jmn😢😢😢
@jamessiame5169
@jamessiame5169 3 часа назад
Zanzibar
@ZakayoDionisi
@ZakayoDionisi 2 часа назад
Mnaambiwa tokeni mnatukana chadema
@IddyNchama
@IddyNchama 3 часа назад
daa asie mungu uko wapi utukomeshee haya mauji
@PeterMaonga
@PeterMaonga 6 часов назад
Hivi kweli Polisi kweli mmmh Mungu atajibu siku moja tu mama angalia
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 4 часа назад
Mtamkumbuka mbwe
@Mrboom720
@Mrboom720 6 часов назад
😢
@DavidGasper-q6w
@DavidGasper-q6w 5 часов назад
Serkl mnajisahau sana sana
@EdnaMbowe
@EdnaMbowe 4 часа назад
Uwiiii Jaman Mungu uko wapi😭😭😭kila siku mauaji kwa nini watu wamekuwa wakatili hivi jaman😭😭😭.
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 5 часов назад
Polisi polisi nyienindungu zetu mbona mnaroho za ajabu au mafunzo yanawabadilisha
@AlphonceAjashi
@AlphonceAjashi 2 часа назад
Daah!! nisiyemjua😢😢😢
@fadhilikombe3338
@fadhilikombe3338 2 часа назад
Samia anawakingia kifua kwahiyo hata wakiuwa ni atu inaonekana kifo ni kifo tuu kama cha kuku. Mungu amlaani huyu Raisi na amnyang'anye Madaraka aliyo nayo 🛐🙏
@AmedeusMbanda-gh4rj
@AmedeusMbanda-gh4rj 5 часов назад
😭😭🙆🙆
@OstakiaCornely
@OstakiaCornely 4 часа назад
Amani amna kila siku misiba mungu tuokoe
@DivaMsukuma
@DivaMsukuma 43 минуты назад
Pole dada
@LeilaMlingula
@LeilaMlingula 6 часов назад
Kwan naomba kuulza hao ni police gan ambao hawajaonyesha vitambulisho??
@DxbYae
@DxbYae 4 часа назад
Poleni kwa family 😢inauma sn kwa kweli
@MaryamAbbas-o1c
@MaryamAbbas-o1c 6 часов назад
Innalillah wainnailayhi rajiun😢mbona hali imekuwa yakutisha ivo jamani mtihani kwakweli
@FredizoGospel
@FredizoGospel 2 часа назад
Jamani ogopeni bifu ,madeni nk vyanzo vya ugomviiiii. Wa aina yoyote Tumkumbuke mungu sana na tuombe amani irudi Tanzania ....
@wilbertchaula5441
@wilbertchaula5441 4 часа назад
Mmhh tutafika Kweli na hawa @polisi tanzania
Далее
LEO STEVE KIMEUMANA TENAA ILA STEVE
10:28
Просмотров 18 тыс.
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Просмотров 18 млн
Интересный наборчик 😀
00:12
Просмотров 11 тыс.
Признавайтесь, кто его смыл?
00:54
TURKEY | A Muslim Superpower?
13:52
Просмотров 87 тыс.
Comparison of the Most Painful Punishments
15:42
Просмотров 1,8 млн
PROFESA MBELE AWASHANGAA WASHAURI WA RAIS
6:41
Просмотров 10 тыс.
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Просмотров 18 млн