Тёмный

MJADALA MZITO UTOFAUTI WA UNYENYEKEVU NA HESHIMA, BABA LEVO AFICHUA SIRI YA DIAMOND 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@hancybrouwn5032
@hancybrouwn5032 5 часов назад
Heshima ni kitu bora sanaaaaa
@alfanifaraji
@alfanifaraji 5 часов назад
Wakwanza 🇷🇼
@S_Mallema
@S_Mallema 4 часа назад
Unyenyekevu ni ile hali ya kumuonesha mwingine kwamba thamani yako si chochote mbele zake. Zoezi hili huambatana na hisia zinazooneshwa kwa lugha ya mwili mfano kupiga magoti au kuweka mikono kifuani nk. Lugha ya mwili ni kielelezo kuwa unachosema au kuonesha kinakutoka moyoni Heshima ni hali ya kumuonesha mwingine kuwa yeye pia ana thamani mbele zako bila kujali hali zake. Nimetaja hali zake nikijumuisha kila upande mfano kiuchumi, kiafya, kielimu, kicheo nk Hence; Heshima ni kumuonesha mwingine kwamba yeye pia ni wa thamani kwako unyenyekevu ni kumuonesha mwingine kwamba thamani uliyonayo si chochote kwake
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 часа назад
Frida nimegundua kumbe mmbishi na anapenda kubishana
@superisse80
@superisse80 5 часов назад
Wa pili 🇨🇩
@EdmondNyirenda
@EdmondNyirenda 2 часа назад
Simplicity is greatly 🔥
@JeanToyi-u6r
@JeanToyi-u6r 42 минуты назад
Hello AYO TV; Naitwa BAKHESA Wa DRC ; Mjini LUBUMBASHI... Napendaga sana iyo Chanel Yenu ; Zaidi Zaidi iyo Kipandi Ya Appli Fire;....Nawapendaga;... Big UP Sana Kwenu!.🎉🎉🎉.
@aishawhite1107
@aishawhite1107 3 часа назад
Frida so nice my sister ❤️❤️❤️
@ButungaMboboci-hk5om
@ButungaMboboci-hk5om 5 часов назад
Ni kweli mtu mwenye hela anajulikana
@edwinkihiyo1473
@edwinkihiyo1473 5 часов назад
TUNAJINYENYEKEZA MBELE ZA BWANA Kiufupi unyenyekevu ni kuabudu
@GemmaSalim
@GemmaSalim 3 часа назад
Nice tumekaa kama watu
@JenifaJohn-k5d
@JenifaJohn-k5d 5 часов назад
Unyenyekevu ni moja ya heshima 😊
@ChenchiKing
@ChenchiKing 5 часов назад
Heshima Ujenga Vitu Vingi Tu Kwa Watu
@mangareentertainment.
@mangareentertainment. 5 часов назад
Aya leten mada tujadili
@uwesumuhammadi6292
@uwesumuhammadi6292 8 минут назад
Unyekevu ni kujali zaid kuhusu mtu husika bila kujali ni mtu wa aina gani ila kuna thaman anayo juu yako !!
@jumbemwinyi-d9n
@jumbemwinyi-d9n 3 часа назад
Angaleeni lkn mwisho wa siku asije kuliwa mtu kinyaa huko kunyenyekea kwenu😂😂😂😂😂
@mangareentertainment.
@mangareentertainment. 5 часов назад
Wa tat,
@mwajabujumanne9025
@mwajabujumanne9025 4 часа назад
Nasubiriaga hiki kipind kwa hamu atar nawapenda balaaa
@Bravegirl.427
@Bravegirl.427 2 часа назад
Frida mbishi, ana boa
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 часа назад
Unyenyekevu niikujishusha Kwa mtu
@josephusekwelas9743
@josephusekwelas9743 3 часа назад
Mwenye héla asauliki sasa akiongeye tuh basi una mujuwa kupitiya mahamuzi yake
@DezideryIturagiza
@DezideryIturagiza 4 часа назад
Yani miradi niivi tajiri ukimueshem tajiri ukaongeza na kumunyenyekea sana kunamufanya tajiri ajisikie fulaha zaini kuwepo wwe apa ndipo tajiri anaamua kukupa pesa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 54 секунды назад
Nimejifunz kitu kupitia comment zenu wadau. Heshima nyingi kwenu
Далее
Please Help This Superhero! 🙏
00:48
Просмотров 5 млн
Ничего не делаю всё видео 😴
00:33
OBINNA SHOW LIVE: TILL JOKES DO US PART - Kabugi
1:35:10
Просмотров 188 тыс.
UTAPENDA MAWAIDHA YA DK SULE AKIWA MSIKITINI
49:17
Просмотров 37 тыс.
Please Help This Superhero! 🙏
00:48
Просмотров 5 млн