Тёмный

MAUMIVU! HUU HAPA MKEKA WOTE wa NAULI MPYA za MABASI na DALADALA - LATRA WAWEKA WAZI... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

MAUMIVU! HUU HAPA MKEKA WOTE wa NAULI MPYA za MABASI na DALADALA - LATRA WAWEKA WAZI...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@globaltv_online
@globaltv_online 10 месяцев назад
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@furahamwaseba7910
@furahamwaseba7910 10 месяцев назад
Ngoja nasisi wananchi totoe mapendekezo cjui kama tutasikilizwa
@Msomali-o7f
@Msomali-o7f 10 месяцев назад
Vizuri sana kuna kuchangia timu ya taifa ndege sio mbaya vizuri sana
@LevinaKavishe-o8y
@LevinaKavishe-o8y 10 месяцев назад
Ndani ya mwaka moja nauli imepanda marambili 😢😢 kwakuwa sheli na magari mnamiliki nyie ndiyo maana mnafanya vile mnavyotaka mkijua hakuna mtu wa kuwafanya chochote
@zainabramadhani9838
@zainabramadhani9838 10 месяцев назад
Hiii nchi bwana nauli zinapanda mshahara uko pale pale tutaishije jamaniii
@yohanaantony5774
@yohanaantony5774 10 месяцев назад
Hamjawatendea haki wananchi kwa sababu nauli hata zilivyopanda awali naamin zilipanda zaidi hvyo bado mmeendelea kuwabeba wafanyabiashara na si wananchi
@mimiinvestments8406
@mimiinvestments8406 10 месяцев назад
Mwendo kasi kuna wakati hawa scan tiketi hali inayoleta wasi wasi kama pesa inayolipwa na abiria yote inafika kwa mamlaka husika. Tutumie cards kwa malipo yote na tulipe kupitia miamala ya simu.
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 10 месяцев назад
Kila siku nauli inapanda nchi imewashinda
@eliudezekiel8615
@eliudezekiel8615 10 месяцев назад
Mwenye nacho ataongezewaa na asie nacho hata kile kidogo sana atanyamgwanywa mnajali matumbo yunu saana mnaongeza nauli kila kukicha mnapandisha na mishahara pandisheni mnatetetea matumbo yenu Yani nchi inaendeshwa kihuni huni2
@nairobitv6161
@nairobitv6161 9 месяцев назад
Mapande wenyewe sasa hizo gari.... Wakati was magufuli akuwepo na hizo mambo
@furahamwaseba7910
@furahamwaseba7910 10 месяцев назад
Ngoja tuone siwameongeza nauli subirin bei Sasa ya mafuta jumatano inayokuja nyie shangilien lazima ita fika 4000
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 10 месяцев назад
Nchi ya matajiri masikin hatuna chetu lini mliwai kupunguza nauli je mafuta yakishuka mbona humshushi magufuli mungu akupunguzie adhabu zakabur huku tunateseka wanao
@ChristinaWengae-ps5jr
@ChristinaWengae-ps5jr 9 месяцев назад
Jamani kuweni na huruma na watu masikini mtuata hela yakula inamshinda yanauli ndo ataweza mnavyo pandisha hvyo angalieni na watu masikini jamani
@mimiinvestments8406
@mimiinvestments8406 10 месяцев назад
Tunaomba nauli zote ziwe zinalopwa online. Hii itasaidia kudhibiti mapato pamoja na kuwrzesha ulipaji halali wa Kodi ya Serikari. Wananchi tunalipa nauli wanaohusika ambao siyo waaminifu wanakwepa Kodi. Maendeleo yanakuwa hakuna wakati tunaumia na kupanda kwa nauli!
@bilishanpilimbe9060
@bilishanpilimbe9060 10 месяцев назад
Ukweli mnajiangalia matajili tu hamuangali masikini watanzania
@muddylikwena128
@muddylikwena128 9 месяцев назад
WATANZANIA.KIUKWELI MAMA NCHI ISHAMSHINDA HAWEZI KUSIMAMIA WALA KUONGOZA...YANI KWA KIFUPI NCHI IMESHAMSHINDA..NCHI HAIENDI SAWA GHARAMA ZA MAISHA ZINAPANDA KIOLELA OLELA KIPATO CHENYEWE KILEKILE CHA SIKU ZOTE... WATANZANIA IFIKE KIPINDI TUSEME INATOSHA..HAYA SIO MAISHA HII SIO NCHI NI KUZIMU
@fredyfrank2756
@fredyfrank2756 10 месяцев назад
Ubaya pale umefiwa na mzazi unahitajika uende na family mfano mbeya, mwanza,musoma, kigoma utafanya je ko sehem ya masaa 2 unalipa 12-15 maisha yanazid kubana wanachi kuliko viongoz kuna bas zuri safi unalipa nauli moja mfano katarama unalipa 75 unakuja kulipa rungwe 75 kuna utofaut mkubwa sn japo zote ni Gali
@Spirtualperson
@Spirtualperson 10 месяцев назад
Ukitembea vibaka wamejipanga bhana e km ndogo ndogo tutaembea dua kama zote
@thobiasjmollely3585
@thobiasjmollely3585 10 месяцев назад
Namishahara imepanda kwa asilimia ngapi ili kufidia ongezeko la nauli?
@KidaniMbilili
@KidaniMbilili 10 месяцев назад
Tandika sokoni to magomeni kanisani 9km nauli 800
@OtmanJumbe
@OtmanJumbe 10 месяцев назад
Mapandisha nauli na mishara muongeze msiangalie upande mmja wanaolipa nauli ni Malala hoi Hana kazi Wala bishara ua mnajali matumbo yenu tu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 10 месяцев назад
Dah! Halafu wanadai ni serikali ya wanyonge,,,,,!!!
@jamesking9891
@jamesking9891 10 месяцев назад
Kil decmber nauli zinapanda kiolela yote wachaga tusiende kwetu ila msijari tutaenda tuu ata kwa treni tutaenda
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 10 месяцев назад
Wanyonge wapiga kura na masikini wa tanzania silaha yunu nikuombe tu bwana ndo atatutetea na kutuweka huru
@ramadhanikigu6091
@ramadhanikigu6091 9 месяцев назад
Kikubwa pumzi tu
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 10 месяцев назад
Ushajua senti hazipatikani kwanini mueke? Hizo zinaenda mifukoni mwenu
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 10 месяцев назад
Wacha akina dangote waongezekeee,,,na mahospitalini wazidi kuiba😂😂😂
@rabomunde3550
@rabomunde3550 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@EmmanueliZani-ur9bi
@EmmanueliZani-ur9bi 10 месяцев назад
Shida hapa siyo mafuta, kinachotafutwa hapo ni Pesa ya kununua MAGOLI. Wachezaji changamkeni, mzigo unaongezeka huo!!!
@rabomunde3550
@rabomunde3550 10 месяцев назад
Hahahaha 😂😂😂😂😂
@SamiaKiliga
@SamiaKiliga 10 месяцев назад
Bei za korosho mbovu ira mafuta yanapanda t
@issaalfani1030
@issaalfani1030 10 месяцев назад
Bado hatujasema mpaka WaTanzania tuseme
@rabomunde3550
@rabomunde3550 10 месяцев назад
Mmmh! We acha2
@nairobitv6161
@nairobitv6161 9 месяцев назад
Umeme mnakataaa nyie mnatuchululia sisi......
Далее
Find The Real MrBeast, Win $10,000
00:37
Просмотров 37 млн
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Просмотров 752 тыс.
NUNUA NDEGE KWA DOLA 225,000 TANZANIA
8:53
Просмотров 20 тыс.
Find The Real MrBeast, Win $10,000
00:37
Просмотров 37 млн