Тёмный
No video :(

MAZINGE WA CONGO | KISEDEE MKALI WA KUPANGUA HOJA ZA WAKRISTO | ATEMA MADINI MAZINGE ASHANGAA 

MASJID MTORO ONLINE TV
Подписаться 424 тыс.
Просмотров 192 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 314   
@abeliever6823
@abeliever6823 Год назад
Sheikh Kisedee. Mara ya kwanza kumsikiliza. Allah ampe kheri ya dunya na akhira
@omarabdallah372
@omarabdallah372 Год назад
Allahumah amiin thumah amiin
@Nolithajack12
@Nolithajack12 Год назад
Nyinyi Kama hamukabari yesu no mwana wamungu mutacomwa kabisa
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 Год назад
Huyu mwanafunzi ni htari sana ishallah mtakuwa pamoja peponi
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 Год назад
Subhaanallah wabihamdi..allahuakbar wallahi uislamu ni nuru na ni dini ya hakki Allah atuongoze katika kila la kheri na atupe mwisho mwema
@Officialshabani9
@Officialshabani9 11 месяцев назад
Ameen 🙏🙏
@hilmialiomar1983
@hilmialiomar1983 Год назад
Mashallah Sheikh wa Kongo na Masheikh wetu kwa ujumla kwa kupigania dini yetu.
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 11 месяцев назад
Eti dini hahaha moto unakuotea
@hilmialiomar1983
@hilmialiomar1983 10 месяцев назад
@@MaaDii-iz3ur Uislamu ndo dini ya haki co dini yako ya mchongo ya masanamu, mungu wako anachongwa na binaadam mwenzio.
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 10 месяцев назад
Hata hujui unacho sema
@tumajunior6080
@tumajunior6080 Год назад
Allahu akbar ☝💪💪💪💪💪💪🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰yani rahaaaaaaa uislam tusome jmn tuige wazee watu Allah akuhifadhi babangu nakupenda bure yarabby hifadhi mawalii wako allahumma ameen 🤲🤲🤲🥰🥰🥰🥰🥰🥰yani maneno yamejihifadhi kichwani kisawasawa💯zawadi yako professor mazinge no 2
@yusuphomary7410
@yusuphomary7410 3 месяца назад
Masha ALLAH sheikh Kisede wa DRC CONGO uko sawa ALLAH akulipe zaidi.
@xjjxjsjzjdjdhdjdjd593
@xjjxjsjzjdjdhdjdjd593 Год назад
Mazinge nakupenda kwa ajili ya Allah
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db Год назад
Ckuhz Ndio Njama Zao Za Kuafanya At Mashekhe Wameritad ATI Walkua Waislam,Hz Njama Na Mbnu za Makafr,Lkn Wallah Allah Anafedhehesha ,Hakika Hii Din Ya Kislam N ya Allah km Ingekua Ya Mzungu Ucngekuwepo Uislam,Tazama Allah anavowanusuru Waja Wake walo AMIN,Mashekhe Wetu Allah Awalpen Kher Na Tuzd Kuitangaza Lailaha Ilaa Allah Muhammad RasuluAllah,Shekhe Maznge Na Wote Allah Awape Umr Mrefu Muzd Kutuelemsha Zaid ,Na Wapate kuujua Uislam Hao Wanokengeuka ,,
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 Год назад
Mashallah mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Jmn huyu Sheikh mara ya mwanz kumsikia Allah Awahifadh masheik wet Wote takbiiiiiiiiir😍🤲🤲🤲🤲
@user-if4du9ll7o
@user-if4du9ll7o Год назад
Masha Allah for your special speech sheikh Alhamdulillah Islam is the best religion may Allah protect my faith 🙏🙏🖕Allahu Akbar I'm from Zambia ❤❤❤❤❤
@issaamininibaruta6441
@issaamininibaruta6441 11 месяцев назад
Yes of course
@SaleheHaji-ne7md
@SaleheHaji-ne7md 10 месяцев назад
​@@issaamininibaruta6441htb 1l
@josephndilwa2445
@josephndilwa2445 Год назад
ukristo sio dini iliyonyooka kwenye misingi ya imani.. ila wakristo wanakitu kikubwa na cha thamani sana ambacho ni JINA LA YESU. nje na hapo maisha yao hayana sifa za imani thabiti.
@user-hg1lv9ur2d
@user-hg1lv9ur2d Год назад
Unachokiamini au kuaminishwa ukakiamini, kitakusaidia Maishani hata kama siyo Sahihi mbele za muumbaji. Wacolosai 3:17) ni amri na imani ya Paulo kutoka Roma mlitumie jina la Yesu. Warumi 1:7,8. Nguvu za giza siyo Yesu mfanyaji.
@nduwimanafarida9627
@nduwimanafarida9627 10 месяцев назад
MashaAllah mwenyezimngu akukuze na kulinde kutokana na mambo mabaya Amiin InshaAllah 🤲🤲
@farinhobulangi3723
@farinhobulangi3723 Год назад
Uyu sheikh njo kanifanya kuwa muislam kutokana na mihadhara zake
@saidseif7325
@saidseif7325 Год назад
Mashaalah
@maulidimassanga4183
@maulidimassanga4183 Год назад
Maashallah allah akulipe pepo iliyo njema ndugu haki h u wa aijifichi sikuzote
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db Год назад
MashaAllah,Allah Azd kukuongoza Kuijua Hak na Allah Akufshe Tukiwa Waislam
@user-zt3et5kl5m
@user-zt3et5kl5m Год назад
Mashalalah mashalalah
@ZilfatAlly-lv1rw
@ZilfatAlly-lv1rw 11 месяцев назад
Mashaallah
@allyshomari7417
@allyshomari7417 Год назад
Maashallah taabaraka Allah!! SHEIKH kisedee.. Hy. Ni mazinge junior!!! Mungu awape Nuru!!
@didomanyota5344
@didomanyota5344 Год назад
Ma Shaa Allah! Shekh Mazinge umeacha alama kubwa saana. Allah akulipe hapa duniani na kesho Akhera
@HassanAli-lt4xm
@HassanAli-lt4xm Год назад
Sheikh kisedee Allah akurithie Inshaallah mungu atatukutanisha
@omargargaar5611
@omargargaar5611 Год назад
MashaAllah MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi wte mlio jumuika
@eshasalim5496
@eshasalim5496 Год назад
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAHU AKBAR WALILLAHI AL HAMDU
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db Год назад
Wallah Ww Muislam Hakuna Sababu ya Kuacha Uislam Wko,Allah Atufshe tukiwa cc Sote Waislam Kamil,Allah Ndie Wakusujudiwa Kw Hak,Manabii Wote Waltia Udhuu Na Wakasujudu ,Sasa Ww Mkrsto Cjuw Unamfata Nan ,Km Humfat Yesu Au Nabii Issa Aliesujudu kw Jna La Allah
@stevenmassawe9343
@stevenmassawe9343 Год назад
Tunatakiwa kusoma biblia
@Amaziniubuzima1
@Amaziniubuzima1 9 месяцев назад
Ubarikiwe sheikh .khatiibu mzuli nilimfahamu katika DAWA
@rezikomer9552
@rezikomer9552 Год назад
Wao wanasema walikuwa waisilamu na mbona walikuwa hawajui yote ulio yasema hawakuyajuwa wala kuyafahamu yate hayo hasibiyallah waneemal wakil
@ramajuma4063
@ramajuma4063 Год назад
Ustadh mashallah mungu akuzidishie
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 Год назад
Allah akuifadh sheikh
@hadijamubarakamubaraka2914
@hadijamubarakamubaraka2914 Год назад
Masha Allah Sheikh pia mwalimu wangu Apo Bwera pamoja na Musa @Al hajji Mubarak Makoti
@Wakwababu
@Wakwababu Год назад
Wewe ni gineus upo vzur sheikh
@fatumafatuma375
@fatumafatuma375 Год назад
mashaallah Allah awalipe kila lakher awajaaliye muwe daima waja wema awaingize peponi
@HassanAli-lt4xm
@HassanAli-lt4xm Год назад
mashaallah kisedee Allah akuzidishie
@AishaSaidi-vv5do
@AishaSaidi-vv5do Год назад
Mazinge mungu akupe maisha malefu
@hafidhabdi2004
@hafidhabdi2004 Год назад
Uislam ni Amani mwenye Akili atatambua hili
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh Год назад
amani gani unasema ww mfuasi wa mtume alie kaburini umepotea kuwa muislamu sikudanganyi kbs!
@husseinmongolare3417
@husseinmongolare3417 Год назад
Masha allah Allah awalipe kila laheri❤❤❤❤❤❤❤ mazige na kesede
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 Год назад
maashaAllah 🌹 Jazaakumullahu khaira 🙏 masheikh zetu tunafurahia kuwaona maashaAllah
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 Год назад
S alk salama hamjambo vipi Hayo yote shekh mazinge ni zawadi kutoka kwa ALLAH tuwaachie urithi watoto wetu elimu hii....ammeen
@KingkajosiRuvumwa-it8dx
@KingkajosiRuvumwa-it8dx Год назад
Inshaallah mazinge akufungulie milango yake ya heri .
@munic6686
@munic6686 Год назад
Jazakallahu khaira shekh
@maulidimassanga4183
@maulidimassanga4183 Год назад
Allah akiibar huyu mwamba nazzani wakristo makao pitia humu chukueni kalamu n n a kalatasi kisha muansike, aya na maandiko yote kisha mkafungue vitabu mjisomee wenyewe arf mtapata ukweli wenyewe na mtajua haki ipo wapi na kisha mtaielekea, na sio kubisshana
@OmarSaidMugangana
@OmarSaidMugangana Год назад
Innalillahi wa inna illeyhi rajiuun..Allah atuongoze waislamu
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Год назад
Masha Allah Mwenyezi Mungu akujaaliye kheri insha Allah. Na Mashekhe wote duniani.
@Aisha-qx7kz
@Aisha-qx7kz Год назад
Mashaallah kisedee ni mazinge kweli mungu awalinde na mahasidi muzidi kuitangaza dini ya Allah
@abdubaedin3379
@abdubaedin3379 Год назад
Masha Allah our sheikhs My Allah protect you all. From Kenya isiolo
@AdamBwambale
@AdamBwambale Год назад
namshukuru MUNGU kwa kumuona tena Shekh Kisede tangu mwaka wa 2002 MUNGU ni mkubwa
@rashidwalwanda1991
@rashidwalwanda1991 Год назад
Mazinge utaniua😂😂😂😂😂 Allah akulinde
@ummahmed3354
@ummahmed3354 Год назад
Uislam ni dini yake Allah mwenyewe...atailinda tu...sheikh mazinge akiondoka...sheikh Kisedee atachukua nafasi yake na wengine ...Maa shaa Allah...Allah awalinde masheikhe wote...ameen
@AdamBwambale
@AdamBwambale Год назад
muheshimiwa mzee shekh MAZINGE shukrani kwaku mufunza naku mpa kijana wako shekh kisede ilimu kubwa namuomba MUNGU iwe sikumoja anijalie niwe mwenye kukutana na wewe mzee shekh MAZINGE
@abdoulmajidmobaka381
@abdoulmajidmobaka381 Год назад
Samaani vipi cheikh mazinge kamfunza cheikh kesede??? Uyo katoka Congo siyo mtanzaniya kamfunza wapi????
@gizabombo8166
@gizabombo8166 Год назад
Allah akabar Mashallah blessed him sheikh sediye.
@Saida-rb8mx
@Saida-rb8mx Год назад
Allahuakbar ,Allah awape maisha marefu,tunawahitaji Kenya 😊
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 11 месяцев назад
Mashalla kiesedeee, Allah akupe umri wa miaka 950 ya NUHU,
@ahmedhamisi-jc2hs
@ahmedhamisi-jc2hs 10 месяцев назад
Shukuran Sana shekh wetu Kwan umegusa moyo ya watu in shaallah mwenyezi mungu akujalie umri mrefu ili utupe nasaa
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 Год назад
MashaAllah ti njaa
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 Год назад
jazzakallahu kheir fy dunia wali akhera
@zaitoonhassan1268
@zaitoonhassan1268 Год назад
Mashallah km MAZINGE mbwemwbe zake Allah atu hifadhi na vitimbi vya makafiri
@nasramusaro
@nasramusaro Год назад
Kweli wewe mrithi wa Mazinge Allah awajaalie yaliyo na kher nanyi Insha Allah
@suleim505
@suleim505 Год назад
Shukran sana shekh
@abudoalidealidesaide-ut4ot
@abudoalidealidesaide-ut4ot Год назад
Inshallah shehe kisede Allah akujalie kila la her
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 Год назад
Kizui cha ko napepo ni uhai tu ishalla pepoAllahatakupa tu ishallah
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm Год назад
mashallah mashallah mashallah allah awajalie nyie mashekhe maana sasa hivi waislam wengi wamekua ndo washarati na kuwa waimbaji na kutupa dini zao binadam tusipo badirika na kufata alicho kisema allah basi tujue kesho akhera kuna athabu kubwa sana waislam acheni maisha ya kuiga ya Dunia tufanye anayo taka allah dunia mapito ukifa burud
@rshidmwasa8493
@rshidmwasa8493 Год назад
Safi sanaa. Hili jembe lingine Allah katupa.
@user-in2ey5iw2n
@user-in2ey5iw2n Год назад
Huyo Ndio Al-habib Sheikh Kesede, Nimekua nae kwenye group la WhatsApp kwa takriban myaka minne Yuko vizuri Sana kwenye kipengele Cha masuala ya mihadhara, Allah amzidishie Sana huyu sheikh
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Год назад
Mie nilikua simjuwi daaaa yuko vizuri wallah. Tupe hio namba tujiunge na sisi. Jama yuko vizuri. Mashallah
@PirfaImanipirfa
@PirfaImanipirfa Год назад
Namtaka Mazinge apa kwetu Congo 🇨🇩 jamani ili awakomoe ma pasta wa apa Congo 🇨🇩 wajinga awajue lolote.❤❤
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh Год назад
mjinga ni ww maana ahusomi vitabu pia ahuna elimu yoyote ile kama ww ni muislamu umepotea kbs,watu mumependa uongo kuliko kweli ndivyo mtakavyo angamia ivo ivo!
@PirfaImanipirfa
@PirfaImanipirfa Год назад
@@JeanMuzaliwa-bs6qh okay, nieleze Nime potea kivipi ili ni kujibu.
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh Год назад
@@PirfaImanipirfa umepotea kwa kuamini qu'ran na kutamka eti Muhammad ni mtume wa Mungu na Yesu si mwana wa Mungu bali ni mtume wa Mungu apo direct umepotea milele!
@barakashaban9698
@barakashaban9698 Год назад
​@@PirfaImanipirfaachananae kafiri huyo kapotea yeye ambae dini yake haina mashiko waabudu masanam hao
@HusseinGabu-wr3xh
@HusseinGabu-wr3xh 11 месяцев назад
​@@JeanMuzaliwa-bs6qhwe muabudu sanam la yesu maria we unaona una Akili kweli
@mussachichajr
@mussachichajr Год назад
Masha Allah
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 Год назад
Sheikh Mazinge umeshafanyakazi kuwa huyu ni mwanafunzi ww kwa uwezo wke Allah atakujalia Pepo ya Firds
@bakarimakomola
@bakarimakomola Год назад
SHEKHE YUKO VIZURI ILA YOHANA 15:4 NAHISI IKO TOFAUTI ILA Mashallah allah amembariki sana
@allywaziry7489
@allywaziry7489 Год назад
Shekh nimemkubali sana...nimestafidi vyem na haya mawaidhi masjid mtoro
@ibrahim_427
@ibrahim_427 Год назад
Hahaha nimecheka hiyo maana ya tawhid aise Mungu akulipe
@aisham3
@aisham3 Год назад
Ma sha Allah Mazinge mdogo Allah awabarik tuwashinde makafiri
@MkBoneface-dl4hn
@MkBoneface-dl4hn Год назад
Asalam anlaikum allaahu akbar Allah Akbar allah Akbar eeee Mzee mazinge Allah akubariki kwakazi kubwa unaifanya ya kutangaza na kufunza kwakweli kidjana wako kesede ametisha Sisi wa kongo tunamuita mazinge wa congo
@nuhukenny7183
@nuhukenny7183 Год назад
Nawafwatilia kutoka Oman . Shukran kwa kutupatia vitu[ mafundisho]
@user-hg1lv9ur2d
@user-hg1lv9ur2d Год назад
Wasalimie ndugu zangu. Naitwa Khalfani Nassor Farisy
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 Год назад
Huyu sheh namjua ni aliwah kuja apa mlandizi ijumaa moja.apa Allah kmjalia hekima
@yusuphmohamed5297
@yusuphmohamed5297 11 месяцев назад
Mashallah mwenyezimungu atufanyie wepes
@nyabendamathieu
@nyabendamathieu 11 месяцев назад
Mazinge ,keesede munakwenda motoni na waislamu wote
@user-un1uk3qy9n
@user-un1uk3qy9n 7 месяцев назад
Allahou Akbaru Allah azidi kuwafanyia wepesi penye uzito, azidi kuwalinda na kuwahifadhi awazidishie Elimu kwa wingi
@nassoropongwa8022
@nassoropongwa8022 Год назад
Allah awalinde mashekhe wetu
@ramadhanngendakumana8841
@ramadhanngendakumana8841 11 месяцев назад
MashaAllah. Proud to be Muslim
@zuberisalanjemgwila1143
@zuberisalanjemgwila1143 Год назад
بسم ماشاء الله. جزاك الله خيرا يا إخوان في دين
@SakinaMuhsin-nc4zq
@SakinaMuhsin-nc4zq Год назад
Allah akuhifadhi shekhe wetu ❤❤❤❤nawapenda kwa jili ya allah
@elsoudymohammed3512
@elsoudymohammed3512 11 месяцев назад
بارك الله فيكم
@chantalharakandi2576
@chantalharakandi2576 10 месяцев назад
Masha Allah alhamndulillah Mwenyezi Mungu awalipe ma sheih zetu❤❤❤❤
@jamilaothman4119
@jamilaothman4119 Год назад
Hakika ya Dini ya Hakki mbele ya Allah ni Uislam, Allah atujaalie tuwe ni miongoni mwa waja wema ambao wanamsujudia Allah na kufuata yale yote mema aliyotuamrisha na Atujaalie tufe hali ya kua ni waislam. AMIIN
@MohamedKibwana-mc5wu
@MohamedKibwana-mc5wu 8 месяцев назад
MashaAllah sheikh kisedee
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Год назад
Kiswahili chako ni konki kabisa Sheikh. Mashallah chuma kipya katika wahadhiri wapya.
@kabarezephanie3573
@kabarezephanie3573 Год назад
Mungu wa wacristo ndiye anawapiganiya alakini wa Islam wa napigania mungu wawo
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 Год назад
Maasha Allah my deen my life is islaam ❤
@hawasalumu1374
@hawasalumu1374 Год назад
Mashaalah mungu yupo pamoja na ww
@ustadhsaidi3801
@ustadhsaidi3801 10 месяцев назад
OH! Simba ,Dume ! Piga mada na Mzee Wako USTADH MAZINGE
@omarymikombe2762
@omarymikombe2762 Год назад
Maashallah, Allah bless all our Sheikhs for fighting indeed . We're supposed to thank for your efforts.
@MsimbaziMagwila
@MsimbaziMagwila 10 месяцев назад
Vvx
@husseinibrahim5438
@husseinibrahim5438 Год назад
MA SHA ALLAH
@rahmahasan32
@rahmahasan32 Месяц назад
Wallahi wee swadkta Masha Allah
@faridioyeri1115
@faridioyeri1115 Год назад
Mungu akupee kheri duniani akhera
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 Год назад
Mimi mwaka 2005 nilikua ulaya na niliwapatabu wakristo kwa aya moja tu mattayo 15/24..........
@jamilariteriteka
@jamilariteriteka Год назад
Masha' Allah tabarakallah karibu sheikh wetu kesede
@AishaSaidi-vv5do
@AishaSaidi-vv5do Год назад
Nakupenda bule kwajiya anllah mungu akupe maisha malefu
@AliKhamis-nd1wf
@AliKhamis-nd1wf 11 месяцев назад
Mashaallah Allah awazidishie nguvu yakutangaza neno la allaj
@Johnblecratere25
@Johnblecratere25 9 месяцев назад
wallah bilay anacho kisema kesede Kiko sahihi mimi najiuliza ntamuonaka vipi mzee mazinge
@patricknjuguna3536
@patricknjuguna3536 11 месяцев назад
Ndacha atawakaranga mbaya wakristo mwana yesu asifiwe
@user-ul5cc8ke2r
@user-ul5cc8ke2r 3 месяца назад
Mungu awajalie mashehe wutu awapatie muri murefu wakutangaza dini yake
@DaudiHamisi-un2uu
@DaudiHamisi-un2uu Год назад
Mazinge kapata mrithi
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Год назад
Manshaallah
@hajarfeisal5906
@hajarfeisal5906 11 месяцев назад
Mungu akupe umri mrefu na afya njema🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@muhammadmuaswara8087
@muhammadmuaswara8087 Год назад
Maashallah mabruuk
@xjjxjsjzjdjdhdjdjd593
@xjjxjsjzjdjdhdjdjd593 Год назад
MaashaaAllah Allah awalipe kheri
@rezikomer9552
@rezikomer9552 Год назад
Kumbe wawo mapasita walikuwa ndio mashetani wenyewe wanawa poteza waja wema kama alivyo mpoteza baba yetu adamu na hawa aliyumiya mbinu hizo hizo hsi biyallahu waneemal wakil
Далее
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Просмотров 4,4 млн
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 25 млн
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Просмотров 4,4 млн