Тёмный
No video :(

MBOSSO/ABDU KIBA NA MC PILIPILI,,,,HUYU DEMU NDO ANAEWACHANGANYA KIMAPENZI 

Cheni tv Online
Подписаться 261 тыс.
Просмотров 316 тыс.
50% 1

mchekeshaji maarufu kutoka katika kundi la cheka tu bossmartha amedai kua mke wa abdu kibba amekua akimsumbua kua anatoka na mumewe lkn martha amesema kua alikua na uhusiano nae zamani na sio sasa.
#kijiweUkwaju
HOST
@fesaltz & @sumaphd
CAMERA MAN
@mboggo.jr & @claudsphillfesaltz

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 212   
@terrygasper9707
@terrygasper9707 5 лет назад
Wapenda ubuyu tuko wapi tujuane me nafwatilia nijue mtoto wa mboso Kama na ww upo Kama Mimi tujuane apa kwa like
@naimanurdin2846
@naimanurdin2846 5 лет назад
Mlokuja huku kwa ajili ya huu msiba wa matha kama mimi Nipe lile yako hapa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 5 лет назад
Pamoja
@kuryaboytv3426
@kuryaboytv3426 5 лет назад
Umbea wenu wa uoga uoga.....!! sipendi Bora tu muache Umbea
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 лет назад
Mola akupumuzshe kwa amani.lakin daaa dunia hii wasanii nyie angalieni mungu yupo
@neyralamosi1956
@neyralamosi1956 5 лет назад
😬😬😬
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂
@napocris910
@napocris910 3 года назад
Fresh sana
@jumakapora2691
@jumakapora2691 5 лет назад
Uyo. dem. msenge . sana. ata. nyinyi. watangazi. wasenge sana. ''''''''''
@hamadeddy8089
@hamadeddy8089 5 лет назад
Wanaiga Sana mbuzi Hawa yaan Hawa watafute kazi ya kufanya kuiga hadi jingle yaan eti kujifanya shilawadu buni vya kwenu
@oliverfrancis9111
@oliverfrancis9111 5 лет назад
Maneno mengi sana hadi chefu chefu
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 лет назад
Daaa kweli kifo hakina huruma ooooh jamani martha umetutoka masikini! Pole sana mama wa marehemu Martha Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu ulichonacho mbele yake nyuma yetu apumzike kwa amani.
@hellenmaunda5644
@hellenmaunda5644 5 лет назад
makahaba Wa bongo hawafikiriagi vitu vya maana zaidi tu nimetembea na fulani na Fulani , wakihojiwa kidogo tu nilazima waseme waliwah tembea na msanii furani ,
@user-bu7fy6ew5w
@user-bu7fy6ew5w 5 лет назад
Hellen Maunda kabisaa
@yohanapaul2487
@yohanapaul2487 5 лет назад
Hawana akili
@aminamwangile1047
@aminamwangile1047 5 лет назад
Hellen Maunda yaan wabongo baadhi tunaboa
@sabinaviolet805
@sabinaviolet805 5 лет назад
RIP
@elicemanang3732
@elicemanang3732 5 лет назад
Hamna kitu kbaya km kuiga swaga ya mtu, hamuwez kuwa shilawadu, kaeni chin umizen akil mpate swaga yenu ndo tutawakubal.
@rahmahamis6542
@rahmahamis6542 5 лет назад
mnaweza lkn jipangeni vzur ili mje na aidea yenu mmeiga thanaaa alafu uyu mtangazaj mwenye kibeg ameniboa asa icho kibeg kinakujaje kujaje apo
@khalidyshuy8356
@khalidyshuy8356 5 лет назад
Daa hii dunia hii jamani mungu atuepuxhe Na mabaya yote
@user-gi4fh6zp1b
@user-gi4fh6zp1b 4 года назад
It's painful Martha I feel sad each time I watch u I feel pain Rip 😭😭😭
@mustafasalumu808
@mustafasalumu808 5 лет назад
Nanyie mashabiki usipende kupondea wezenu demu muzur sana2. Sema aya matanga zaji ajuwi chichote wara kuoji
@rutimarlon
@rutimarlon 5 лет назад
Icho kidada uaga nakukubali sana ukimjuwa njoo inbox
@saadmgendi8537
@saadmgendi8537 5 лет назад
Mfuate aliko saaa
@feizyhenry1829
@feizyhenry1829 5 лет назад
Weeeeeeee Martha rudiii Martha 😪😪😪😪😪😭😭😭 marthaaaa daaaah
@barakakimario1446
@barakakimario1446 5 лет назад
ukosefu wa kazi wote hamna maajabu labda abdu Angekuepo
@madamboss348
@madamboss348 5 лет назад
Cpendi umbea mm watanzania akili hamna 💃💃💃💃💃
@sabahqassab2181
@sabahqassab2181 5 лет назад
True
@maureenmuhonja722
@maureenmuhonja722 5 лет назад
vatandaa
@hosraiyan
@hosraiyan 5 лет назад
Mee mtanzania lakn akili nnazo!
@faizadulla8663
@faizadulla8663 5 лет назад
Hahaha duh no wonder huyo mtoto ana baba wengi ndio akafichwa... Maisha haya... May her soul RIP
@danielouma6578
@danielouma6578 7 месяцев назад
Rip bado nakupenda martha
@emmanuelmassaka8102
@emmanuelmassaka8102 5 лет назад
😥R.l.p Boss Martha pumzika kwa amani cxter wetu hakika tume toka mavumbin na tuta rudi mavumbin bwana alitowa na bwana ametwa jina lake lihimidiwe Ammen🙏🙏🙏🙏
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 5 лет назад
Huyu bwana Suma mbona mikono umeishia njiani sijui alitaka kuupeleka wapi lilipokuja suali kuhusu tatuu.
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 5 лет назад
Wanazengo balaa aiseeeee
@tommiecharles6501
@tommiecharles6501 5 лет назад
Tangazo la biashara, (pili2 vs Cheni). mmoja mnamponda mwengine mnamtukuza. Nendeni shule mkafunzwe namna ya kufanya interview ya uanahabari. Kwa mwendo huu hamfiki mbali,usiulize mbali wp bali mmenisoma. Acheni kutumia uanahabari vicvyo.Njaa itawaua.
@ibraahmfw1147
@ibraahmfw1147 5 лет назад
matha upo vzr , xo beatiful
@karimathuman3206
@karimathuman3206 5 лет назад
yaan uyo dada ya hata ajielewi
@zainabukhalifa3967
@zainabukhalifa3967 5 лет назад
usenge huo mnajifanya shilawad humwezi angalie kazi ya kufanya
@cathyntakama5919
@cathyntakama5919 5 лет назад
izo nguo ndo sare ya kazi au?😂😂😂halafu acheni kuiga kuweni wabunifu jamani,mtazamo wangu tu
@emanuelsamkinda4228
@emanuelsamkinda4228 5 лет назад
🤣🤣
@salmadonne6327
@salmadonne6327 5 лет назад
Mnaiga mpka kichefuchefu waachieni kina soudy iyo kazi alaaaa konki konki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sakinamubaraka1246
@sakinamubaraka1246 5 лет назад
Yani nyie ni balaaaa😀😀😀😀
@gentlethegentle9607
@gentlethegentle9607 5 лет назад
Kma umegundua huyu demu ongea yake tuh anaonyesha hana akil gonga like
@ngemabohero2853
@ngemabohero2853 5 лет назад
mtot wa mchungaji uyo kujisifia ujinga tuh.
@saadmgendi8537
@saadmgendi8537 5 лет назад
Nimevheka
@sabinaviolet805
@sabinaviolet805 5 лет назад
Rip
@mwanathabit6704
@mwanathabit6704 5 лет назад
Yaan mnawaiga shilawadu kabisaa lakini amuwapatiii hata kidogo
@mligombuma2287
@mligombuma2287 5 лет назад
Watangazaji mnapaparika saaanaaa mpaka mnakeraaa mmmmmxiiiiiu
@rubnagadafi8367
@rubnagadafi8367 5 лет назад
Ni vizur muwe wabunifu hapa waachien shilawad
@iamfierce5968
@iamfierce5968 5 лет назад
Huyu msichana ni muongo kama Familia yake....... Hajawai date na Abdu..... Amedate na mbosso na wako na mtoto Familia yake imeficha. Akisema hajadate na mtu huyo ndio kadate naye. Akisema Amedate na mtu jua hajamdate
@JBB875
@JBB875 5 лет назад
V Shko ameshatangulia mbele ya haki
@bethmziray690
@bethmziray690 5 лет назад
Nashindwa kumuelewa huyu dada, Kwani mboso mbona kamkana kabisa lakini wengine anawakubali!! Au ndo kweli alimtelekeza dada wa Watu nn!!!!!
@elizabetharon6334
@elizabetharon6334 5 лет назад
mnawaiga shiwaladuuu hamuwawezi ng'oo
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 лет назад
heheee sema wewe jirani mie mbwiii
@lavendahamondi3415
@lavendahamondi3415 5 лет назад
Kabisaa hawatoweza wanawaiga sana shilawadu lakini wajue hawashindwi!!!
@priyankasuleiman3327
@priyankasuleiman3327 5 лет назад
Kutakiwa ni kawaida kwa mwanamke sasa cha ajbu nn mpaka unatangaza?hata mtu mwenye nia safi na ww hawezi kukufata coz anajua akikataliwa atatangazwa na hata akikubaliwa pia atatangazwa mtabakia na haohao wa kuonjaonja tu na sasa Nimeamini unyago muhimu japo kwa sasa hauna nafasi poleni mabinti wa ki digital
@kennedymwangala8385
@kennedymwangala8385 5 лет назад
No wonder
@aaysha8313
@aaysha8313 5 лет назад
Umbea tu mnataka kivunja ndoa za watu tuu hapo
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 5 лет назад
Mungu atuswamee jaman kumbe family yote n waongo 🙆🙆
@shukutaifa9369
@shukutaifa9369 5 лет назад
Fanyeni ubunifu wenu sio kuiga maana mnahalibu saaanaa
@tinafrenk5540
@tinafrenk5540 5 лет назад
Haha jmn majama wambeeee Hatari
@abuubakrachani1943
@abuubakrachani1943 5 лет назад
pili pili sio taipu yangu...ny madmu ah. ..ndo wale wale
@ashurahaji3475
@ashurahaji3475 5 лет назад
Nià yenu nini wa kwanza kichwa kama pasi ya mwalimu
@sostentulian4192
@sostentulian4192 5 лет назад
ASHURA HAJI hahahahaha
@swapterkisesa5404
@swapterkisesa5404 5 лет назад
😀😁😀😁😀
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 5 лет назад
Hahahahahaha umeuwa kichwa pas ya mwalimu hahahahaha
@mzizirashid709
@mzizirashid709 4 года назад
ASHURA HAJI hahahahaha
@abuuiddi9110
@abuuiddi9110 5 лет назад
wabongo mumerithi kutombana hamna munalolijua
@rosemzava3160
@rosemzava3160 5 лет назад
Hamuweziiiiiii fanyeni mbinu nyngneeeee shilawadu hamuwez na mnamsogelea sanaaaa duh tokaaaaaa hamuweziii
@sophiashadrack4918
@sophiashadrack4918 5 лет назад
mnakelaaaaaaa!
@luteking
@luteking 5 лет назад
Ndomana Tz ukimwi ahupungui mademu vilaza ni wengi 👆
@tommiecharles6501
@tommiecharles6501 5 лет назад
Wale walioelewa Tangazo la biashara gonga like twende sawia.
@joelmosses9395
@joelmosses9395 5 лет назад
HIV ujinga wanyie Malaya utaisha lini kualibu ndoa za wa2.
@gracegabu9899
@gracegabu9899 5 лет назад
Nc job
@iffahkareem7794
@iffahkareem7794 5 лет назад
Wabongo kwa kucopy😂😂na nyie mjiite mashirawadu bas
@bantuempress1744
@bantuempress1744 5 лет назад
Aki mimi ningekuwa Martha ningetoa ushuzi hadi mutoroke😝😝😝😝😝
@stanleyeddo4346
@stanleyeddo4346 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂
@saudafakir5421
@saudafakir5421 5 лет назад
Huyu Dada anajisanua too much aisee
@361NEWS
@361NEWS 2 месяца назад
😢RIP martha
@fatumasaid4370
@fatumasaid4370 5 лет назад
Wew Dada acha ujinga ww
@ashoasho6542
@ashoasho6542 3 года назад
😭😭😭 matha mngu akusamehe .makosa yako
@collhoneycollhoney7818
@collhoneycollhoney7818 5 лет назад
Mkopoa sana
@masoudhaji498
@masoudhaji498 5 лет назад
Sema totoz lipo poA
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 5 лет назад
Wanawake wote
@flaviankaberege9891
@flaviankaberege9891 5 лет назад
Nyoooooo
@radhiamrumi9461
@radhiamrumi9461 5 лет назад
We summer hiyo nguo veep
@japhariluther1664
@japhariluther1664 5 лет назад
Mnanimalizia mb2
@geecastag5610
@geecastag5610 5 лет назад
Pumzika kwa amani Martha
@deboradickson5308
@deboradickson5308 5 лет назад
Wanaboa bhana
@christinajonas374
@christinajonas374 5 лет назад
Mmmmh makubwa
@fatumaally3266
@fatumaally3266 5 лет назад
Nyooo mnawaiga plpl
@jackisonijackisoni6715
@jackisonijackisoni6715 5 лет назад
Wanaume wacyo na malinda niukuma sana
@siyoklobiis8330
@siyoklobiis8330 5 лет назад
We dd VP axee mamalamama
@dianameshack2848
@dianameshack2848 5 лет назад
Hamuoni mtafany ndoa za watu kuwa na mtafaruku kama maneno ya huyo demu kusem sijui katakwa huo ni umama pyuuu
@patashamikemo6859
@patashamikemo6859 5 лет назад
Ww dada....!!! ya kweli ayooooo????
@ziakaitala2221
@ziakaitala2221 5 лет назад
Malaya kama huyu hana jeuli ya kuchomoka kwa mc pilipili anaongea tu ili aonekane ni mtu
@fredyjux4896
@fredyjux4896 5 лет назад
umenenaaaaaa
@modesiananshimba1640
@modesiananshimba1640 5 лет назад
Ziaka Itala acha kumtukana mtu kwahyo hatakama ana mahusiano awtangazie ili iweje labda
@ghanimasaid3207
@ghanimasaid3207 5 лет назад
Ziaka Itala
@mugheiry
@mugheiry 5 лет назад
Ukiskia wanaume km mabinti ndo hao, wana tofauti gan na mashoga hawa? kumueka mwanamke kati ikisha kuuliza umbea, ikisha KONKI akiwataja waandishi machoko mnakua mnapanic
@tecnotecno1592
@tecnotecno1592 5 лет назад
Kamartha kazuri
@FatmaFatma-kt1or
@FatmaFatma-kt1or 5 лет назад
Nc
@almasially6509
@almasially6509 5 лет назад
R.IP😭😭
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 5 лет назад
Nyie mna utani na konki og kofi moja unazimia
@mohamedsadiki1575
@mohamedsadiki1575 5 лет назад
saut baya
@mwanahkimwaga5864
@mwanahkimwaga5864 5 лет назад
😪😪😢😢😢😢😢Martha
@samtelah7578
@samtelah7578 5 лет назад
Kumbe alkuwa malaya tu,hta huyo mtoto na mashaka co wa mbosso
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂
@sarahwanzaa6272
@sarahwanzaa6272 5 лет назад
Marthaaaa😭😭😭😭😭😭😭
@kennedymwangala8385
@kennedymwangala8385 5 лет назад
Kwani na wewe sister kubadilibadili wanaume siyo
@cindypaul1882
@cindypaul1882 5 лет назад
Mnaongea sana hadi mnaboa....sana sana wewe kitangazaji kifupifupi wewe mmeboa.....
@demkamadumeehamadi1030
@demkamadumeehamadi1030 5 лет назад
dem kama dudubaya
@jasminurasa8364
@jasminurasa8364 5 лет назад
Mshamba uyoo
@isihakaobedi375
@isihakaobedi375 4 года назад
Mmh
@yonathanyona2926
@yonathanyona2926 5 лет назад
wanaiga shlawadu
@aplesgn1635
@aplesgn1635 5 лет назад
Msihalibiage watu. Wako kwenye ndoa zao mbona wabongo mmelaniwa kias hicho abdu anamke wake bwana . mambo yakijinga hayo badilikini nyie Malaya wa kibongo kwan hamna kaz zingine zakufanya hadi mtafute umaruf kwa nguvu , nyambf xana ole wenu nipite urahis 2025 mtanitambua.
@marylazaro7880
@marylazaro7880 4 года назад
Aple sgn by
@princessringo1535
@princessringo1535 5 лет назад
Angefufuka amkute mbosso anachokifanya na unafki wote ule
@mariamangel1264
@mariamangel1264 5 лет назад
Watangazaji nyiye wa mbea duuu mnajuwa kufukuwa
@johnmarunda653
@johnmarunda653 5 лет назад
Mmh Mimi simo
@ednalucumay8469
@ednalucumay8469 5 лет назад
Muwe kila mt na mike yake loh
@laumbwana2681
@laumbwana2681 4 года назад
Tutakukuta Kwa baba rip
@godblessemmanuel7737
@godblessemmanuel7737 5 лет назад
Dah pumzka kwa aman martha
@elyasmolle9897
@elyasmolle9897 4 года назад
pole xana bosso roho inaniumasana kwaajili ya matha
@humairahtomicky2454
@humairahtomicky2454 5 лет назад
nyokooooo sifa auuu?
@estherhassan6898
@estherhassan6898 5 лет назад
Bd saw kipindi hakin motish
@rehematawalani7472
@rehematawalani7472 5 лет назад
Nyie wambea
@jalaljalal5258
@jalaljalal5258 5 лет назад
inamaana mumeishiwa ubunifu mpaka muige wengine? mbona mnakera sana! tafuteni vyenu kuvamia ubunifu wa watu chefyuuuuu
@danielyfulahini7249
@danielyfulahini7249 4 года назад
Mmmmh bala hiro
@fettamidu2503
@fettamidu2503 5 лет назад
Mko ovyo mmmmh
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 5 лет назад
Malaya malaya t hamna mzuri wala mbaya
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 5 лет назад
Ha ha ha haaaaaa
@georgeyamage6401
@georgeyamage6401 5 лет назад
Kuweni wabunifu acheni kuwaiga shilawadu
@mufamozmufash166
@mufamozmufash166 4 года назад
R.l.P beautiful lady we all loved you bt God did best and most.
Далее
UKWELI KUHUSU MBOSSO WA WCB KUTELEKEZA MTOTO MSIBANI
10:44
CHEKA TU. Mothers edtion. Boss Martha kwenye stage.
8:40
ПОЁМ НАРОДНЫЕ ПЕСНИ🪗
2:04:11
Просмотров 1,1 млн
CHEKA TU. Kings Edition. Boss Martha kwenye stage.
8:04