Тёмный

MBOSSO AFUNGUKA KUZAA NA MKE WA ABDUKIBA| ALINIACHA BAADA YA KUPATA KAZI AIRPORT, KAMA ANANILIPIZIA 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 47 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

31 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@ezronhussen5401
@ezronhussen5401 Месяц назад
Noma sana gonga like kama una mkubali mbosso
@kareemMikui
@kareemMikui Месяц назад
Jamaa yupo soo bright, anajibu maswali anayo ulizwa kwa ufasaha kabisa, bigup sanaa mzee ❤uko na akili nyingi sana
@ramadhanimohamed4190
@ramadhanimohamed4190 Месяц назад
Uyu mbosso km mimi yaan ctaki mawazo kabisa
@Finalofficial357
@Finalofficial357 Месяц назад
Wewe sema kweli😂😂😂
@SirSeed-ve7zs
@SirSeed-ve7zs Месяц назад
Nikweli kabisa mboss wanawake wanazingua sana
@martinchambala9399
@martinchambala9399 Месяц назад
Daaah haya mapenzi yanatesa kilamtu kwakweli hata uwe na umaarufu kias gani ila wanawake kwakweli
@meryamreally2768
@meryamreally2768 Месяц назад
Mbosso pole sana ucjnli ❤️❤️❤️😂😂😂😂
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Месяц назад
Ndo maana ngoma zako zote ni weuwwwwwweeee🎉🎉🎉
@AdamTano-wz3jp
@AdamTano-wz3jp Месяц назад
Mbosso umetisha
@batotokaregeya8752
@batotokaregeya8752 Месяц назад
Mbosso ❤❤🇬🇦🇬🇦
@swala_master
@swala_master Месяц назад
Duh Mbosso anamatukiyo kama yangu 😂😂😂😂😂
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Месяц назад
Hayo matukio mnayataka wenyewe mungu kaweka sheria muoe lkn ninyi mnadanga wanaume wazima mnapenda haramu kuliko halali kwa nini yasikukute
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 20 дней назад
Mbosso nacheka baada ya kukataliwa😮😮
@tistarbilly
@tistarbilly Месяц назад
Siku zote nawaambia mwanamke ndo shetani mwenyewe ila hamniamini ivi mnadhani yesu alikua mjinga kuto ao wala kumchagua mtume mwanamke ndo maana ata maneno ya mungu Yana sisitiza ishini nao kwa akili sana wanawake ndo chanzo Cha matatizo yote Duniani kuweni makini na wanawake ni viumbe hatari sana Wana asilimia kubwa za kuku haribia maisha Yako yote
@BigZhumbe
@BigZhumbe Месяц назад
Alimchagua Mary Magdalena ila King James akaondoa maelezo kumhusu
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 22 дня назад
#wanawake wengi nimachoko san
@user-jg1oe9tq8l
@user-jg1oe9tq8l Месяц назад
Ivi mbosso ana watoto wa ngapi adi ivi Leo jaman 😢 ivi hawajafika 10 kwel ??????
@user-mg8ij6np8p
@user-mg8ij6np8p Месяц назад
Uyo kaka wanyuma farid nampenda jmn
@FredyMalume
@FredyMalume Месяц назад
Mshededee seremani
@DiddySope-ki2qm
@DiddySope-ki2qm Месяц назад
Kwl kk
@user-sg4sj2fi3m
@user-sg4sj2fi3m Месяц назад
wanawke wakipata kaz wko ivo mbosso hajakosea
@Zubaiba
@Zubaiba Месяц назад
Mbosso jamani😂😂😂😂😂😂🎉
@EnockLubengo-uu3zi
@EnockLubengo-uu3zi Месяц назад
exactly 💯
@marokeyLFM
@marokeyLFM Месяц назад
Mbona kama mbosso unaongea matukio yangu 😂😂😂😂daah
@HusinaKarama-ti9jm
@HusinaKarama-ti9jm Месяц назад
Mbosso pole sana 😂😂😂😂
@halimashaban811
@halimashaban811 Месяц назад
Mbosso wewe nae sio mchache wa mambo 😂
@StavoBella-pf6hu
@StavoBella-pf6hu Месяц назад
Dah kijana anaogop
@user-vz1om7dr1i
@user-vz1om7dr1i Месяц назад
Ausio mbosso khan😅😅
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy Месяц назад
😂😂😂😂ila mbosso
@RAZAKIMMALINDA
@RAZAKIMMALINDA Месяц назад
Mbosso 😂😂😂🙌
@JuliusOkanya
@JuliusOkanya Месяц назад
Mbona kk😊
@AliKaka-sy5nv
@AliKaka-sy5nv Месяц назад
Kwl kabixa pole xana
@seamlesshunt3869
@seamlesshunt3869 Месяц назад
mboso story teller 😅 noma sana
@Aiisha901
@Aiisha901 Месяц назад
mbosso jamani 😂😂😂😂😂
@davidoscooper237
@davidoscooper237 Месяц назад
Single Ina Raha yake
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 Месяц назад
😂😂😂mbosso unavituko lkn duuh
@jewelmabhenga4742
@jewelmabhenga4742 Месяц назад
Kuzaa na mwanamke wa mtu ni sifa siku hizi
@user-rf7ni6tr2o
@user-rf7ni6tr2o Месяц назад
Mbooosooo storiii zakeee zamademm tuuu
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Месяц назад
Oya home boy acha kuzingu wewe na abdul kiba mmeamua kutimbeana na kuonyeshana haiwezekani mademu zaidi yammoja wote mmewapitia nahao nimalaya maana wanawajua ila tamaaaatu yapesa wakaaamua waruke nanyie kibahalia hamnakesi kwasababu malaya nicha wote mmepiga mtungo kama kawa😂😂😂😂
@marymoshi572
@marymoshi572 Месяц назад
Dah😅😅
@madokandundawa
@madokandundawa Месяц назад
Mkali mboss
@madokandundawa
@madokandundawa Месяц назад
Mboss mkali
@JuliusOkanya
@JuliusOkanya Месяц назад
Mbona
@MichaelMyumbo
@MichaelMyumbo Месяц назад
Kaka siku zoote wao ndio wanao fanya wanume tuonekane wakatili kwani wanasahau mchango na thaman yetu ndiomana tunaona kama woote wapo ivyo
@saidissa4741
@saidissa4741 Месяц назад
King khan
@Aisha-qg5mj
@Aisha-qg5mj Месяц назад
Usoni kama mgongoni 😅😅😅😅 mbosooo
@isayavenacekalizote8068
@isayavenacekalizote8068 Месяц назад
Ata mm nawaogopa
@user-ne4fl7kc8h
@user-ne4fl7kc8h Месяц назад
😂😂😂😂
@user-lg9wy2ym4s
@user-lg9wy2ym4s Месяц назад
😅😂😂
@chakamatano-xt1cg
@chakamatano-xt1cg Месяц назад
ila mbosso wewe
@randabrenda4815
@randabrenda4815 Месяц назад
Sasa anaogopa wanawake na ndio huyo ametoboa skio na kaweka kipuli, ama mbosso ni shoga jameni. Kutoboa skio kwa mwanaume ni alama ya LGBTQ
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p Месяц назад
We ndo shoga masai,makonde,wangon,wasukuma wote wanatoboa ko nao tuwaite kabila lao mashoga inaonekana hukusoma ww pimb destur,mila
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Месяц назад
Maskio yenyewe yanasemaje
@jumakhamis226
@jumakhamis226 Месяц назад
Ndugu angu hao ni filimasoni usishangaee
@GwakisaMwaisanga-th7uz
@GwakisaMwaisanga-th7uz Месяц назад
Wamasai wote ni mashoga kwaiyo???
@randabrenda4815
@randabrenda4815 Месяц назад
@@user-pk1yl7zt8p desturi ya kiafrika, wanaume hakupaswa kutoboa maskio, na mbona yeye mbosso katoboatu skio moja na badala ya kuvaa shanga kulingana na desturi ya hao makabila akavaa tu pete ya kizunguni
@Princedaddy-ts6wp
@Princedaddy-ts6wp Месяц назад
Mbosso vip wewe unaogopa wana wake ingarau mimi nimemu kufiya huyo mdada ambae ana Ku hodji, vip jinalake Nani?
@FredyMalume
@FredyMalume Месяц назад
Mshededee seremani
@FredyMalume
@FredyMalume Месяц назад
Mshededee seremani
Далее
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
Просмотров 449 тыс.
ЛУЧШИЙ ПОДАРОК  @mozabrick #shorts
00:40
Просмотров 450 тыс.
Mbosso Perfomance Big sunday live
35:56
Просмотров 504 тыс.
Отомстила слепой сестре 👍
0:55