Тёмный

MBOSSO ageuka MBOGO baada ya kuchanwa na MBONGO wa CANADA kuwa yeye na RAY VANNY wamewaletea NYODO 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

6 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 120   
@Chrizabizzy1
@Chrizabizzy1 9 дней назад
Me nipo Canada 🇨🇦 ila Elly unautafuta ustar kwa hali na mali😅😅😂😂
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 9 дней назад
Huyu elly,huwa ana kazi gani,he looks like a stay home dad,who comes to social media to just say anything right after dropping kids at school or summer camp 😂😅. Mara aongelee mapenzi,mara wasanii ,mara ndugu waliomdharau ilimradi tu.
@jesselingard7186
@jesselingard7186 9 дней назад
😂😂😂 Nimefikiri hilo pia
@mylasadick5189
@mylasadick5189 9 дней назад
He’s a pastor
@ellykiswaga
@ellykiswaga 9 дней назад
Anajiona nani cjui uy mbona analopoka2 et nyimbo mbaya si aimbe yeye izo nyimbo nzuri.. kama ni rahisi pumbavu zake!!...
@bahatiolivier1312
@bahatiolivier1312 9 дней назад
Rayvanny alikuwa na show TORONTO akazinguwa kupaform July 6th
@DERICK_SUB_ZERO18
@DERICK_SUB_ZERO18 8 дней назад
Ikionaivo juwa plomota kazingua kwenye malipo maana msani anapewa pesayake akiwa back stejiy
@GbpAud_King
@GbpAud_King 9 дней назад
Elly David tangu aishi Canada anatoa ushauri una kela sana
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 9 дней назад
Wah mbosso kumbe sio kidogo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hopemusictz9353
@hopemusictz9353 9 дней назад
Mbosso yupo sahihi🎉🎉🎉
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 9 дней назад
Sishangai watanzania sisi tuna chukua vyakwetu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 9 дней назад
Mbosso kayatimba huyu jama nae anafurahi sasa kawa star rasmi maana huyu pia ni wale watu wa mitandao mitandao ila apa ni kama katoka rasmi sasa 😂😂😂😂
@MasterVoltron-f9w
@MasterVoltron-f9w 9 дней назад
anajua kutumia fursa Sasa tumeshamjua kuwa ni mbongo mwenzetu ila anaishi Canada ila ni mlalamikaji wa mitandaoni😂😂😂😂
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 9 дней назад
​@@MasterVoltron-f9w🤣🤣
@sonnyr1899
@sonnyr1899 9 дней назад
@@MasterVoltron-f9w Ndio hivyo mwanangu 😂
@paulhema5713
@paulhema5713 9 дней назад
Huyu jamaa anazingua sana.....ko wasanii wetu hawajui kitu sio....da nimeumia sana😢😢😢
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 9 дней назад
Hawajui😂
@flavourboyke
@flavourboyke 9 дней назад
Kichwa kinaisha nywele,, ila mbosso bana😂😂😂
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 6 дней назад
😂😂
@user-sr8tc8ke6q
@user-sr8tc8ke6q 9 дней назад
Show za nje huwaga zakitapeli sana
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 8 дней назад
Nakumbuka giggy money akilala kochini😂😂😂
@MS.independent8934
@MS.independent8934 9 дней назад
Ebuuu kaswaki kwanza uko unatema mate hovyo kama mbwa, kwani kusalimia ni lazima.ww acha ushamba huo ninii makasiriko nyau weee😂😂😂
@hamismohamed3541
@hamismohamed3541 6 дней назад
Safi sana
@thadeusmahendeka4466
@thadeusmahendeka4466 9 дней назад
Kazi ipo 😂😂😂
@Stoperanimator
@Stoperanimator 9 дней назад
anaongea aonekane nayeye upo canada😂😂 na ndio maana analopoka anayoonatu😂😂
@edwardmakuruti3726
@edwardmakuruti3726 9 дней назад
Mimi 30 min nipo Vancouver watu hajafurahiya kitendo wamefanya
@vanessastafford6426
@vanessastafford6426 9 дней назад
Kwa kweli nyimbo zao ni mbaya, matusi tu. Hakuna ujumbe wa ku last forever. Komo Sava nyimbo nzuri sana
@jemaarsen6996
@jemaarsen6996 9 дней назад
Kama unataka ujumbe kasikilize gospel music
@ritchiexanti9587
@ritchiexanti9587 9 дней назад
Kama wamelipwa kwa contract na ilikuwa a professional official issue kwanini aje alalamike social media? Hawa artists wana managers nani kapokea kibunda? This is so petty mchizi ana pigo za kitoto sana🤔 Hawa wasanii ni wakubwa sana hawawezi kufanya ujinga huu under WCB🔥
@jaymandy8136
@jaymandy8136 9 дней назад
Embu kua muelewa bhana Mbosso kishasema hakua na show Toronto sasa unataka tukuamini ww na huyo boya wa Canada??
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 9 дней назад
Kumuelewesha a chizi utajipa kazi , achna nae
@ritchiexanti9587
@ritchiexanti9587 9 дней назад
@@jaymandy8136 nielewe bruh mi pia nawatetea wakina Mbosso
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 9 дней назад
Msanii mkubwa nani
@ursulinenyandindi3051
@ursulinenyandindi3051 9 дней назад
Sijui mnaongelea nini lakini watu wa entertainment lazma waje mtandaoni hata kabla ya polisi sababu wao kuongelewa ni faida kwao.. yan hata nyumba ikishika moto kabla ya kjpiga simu emergency , anarekodi kwanza clip ya instastory.
@dullydebadest5738
@dullydebadest5738 9 дней назад
Bwana weeeee asitufokeeee🤣🤣
@marleshjimmy1972
@marleshjimmy1972 8 дней назад
Sky anavyo fafanua rahaa kbx 😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌❤️
@AugustinMuswabantu
@AugustinMuswabantu 9 дней назад
Hapo kwenye nyimbo mbaya sasa😂😂😂
@issabaraka2404
@issabaraka2404 9 дней назад
Simuoni sawa huyo mjinga kila kitu yuko shenzi😢😢😢😢😂😂😂😂
@prince_kayz
@prince_kayz 9 дней назад
Uyu kweli shangazi 😂😂😂
@Maishacanada
@Maishacanada 9 дней назад
Mbosso hakuepo
@itNeza
@itNeza 9 дней назад
Hamna Kijana anachuki zake tuu, Kama mkataba Hausemi Nisisemi lolote Kwanini Nivifanye ? 🤔😎
@masoudabdoul8447
@masoudabdoul8447 9 дней назад
Ka' senge😂
@mkulimatanzania
@mkulimatanzania 9 дней назад
Uyu Elly ni mjinga mjinga tuu hana kazi maalumu Canada. Elly kuzamia ulaya kusikubweteshe vijana hawa wamekuzidi akili, umaarufu, ela nk kwa iyo acha wivu deal na management yao they are now working professionally sio kama we nasikia uko huna kazi maalumu umesoma njoo bongo tumikia nchi yako acha kuangaika Elly. Wivu unaua kaka
@BenjaminNickson
@BenjaminNickson 9 дней назад
Who this guy
@oscafrica1
@oscafrica1 9 дней назад
$4000 bro hata wewe Elly ungeshika mic bro?..I understand wao kuwa na nyodo za kijinga but bro Buku nne ni ela ya wiki ssa kama unataka starehe unemfuata Vancouver 😂😂😂
@surusuru1994
@surusuru1994 9 дней назад
Asate mbosso
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 9 дней назад
Waambie kuomba yenyewe live hawajui
@mariecruz921
@mariecruz921 9 дней назад
Kwa hyo atoke tz aje Canada afike mpaka eneo la tukio alafu wakatae kuimba?hakuna anaetaka kuharibu jina lake kiasi hcho! "Tafuta pengine pa kutokea bro, kiki waachie wenyewe"✌️
@reaganmethod3309
@reaganmethod3309 8 дней назад
Guest appearances Huwa haimbii alalamike kama kawalipa ili wafanye show
@allymwilu8089
@allymwilu8089 9 дней назад
Jamaa kanyooka sana watoto wanavimba sana alafu nothing
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 9 дней назад
Wasanii wa bongo Wana nyondo
@kshayofurniture2941
@kshayofurniture2941 9 дней назад
Kwani Canada ni ulaya 😂😂
@R1Lifestyle-f6n
@R1Lifestyle-f6n 9 дней назад
america
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 9 дней назад
@@R1Lifestyle-f6n waswahili abroad wanaita ulaya🤣🤣,sasa lakini ye ni leprofesseri ila bado anaita Canada ulaya .........
@R1Lifestyle-f6n
@R1Lifestyle-f6n 9 дней назад
@@neemayatosha1618 mambo ni mengu ndugu yangu.. mitandaoni hii ina mengi🤣🤣
@ramadhaniwasafi4516
@ramadhaniwasafi4516 9 дней назад
huu ana ropokatu panya mkubwa kwanza yeye asalimiwe kama nani? ndo kutafuta kiki hio sasa
@MasterVoltron-f9w
@MasterVoltron-f9w 9 дней назад
Huyu jamaa alitakiwa aseme wasanii lakini amekosea sana kumtaja jina kabisa sasa hicho ndo achokuwa anakitafuta ajibiwe maneno na kashifa huyu jamaa anajikuta cake 😂😂😂 Akajua akimu-attack mbosso, Mbosso atakaa kimya oohoooh😂😂😂😂
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 8 дней назад
Ni content anatengeza😂
@emmasonanjawe9042
@emmasonanjawe9042 9 дней назад
Basi huyo jamaa ndo hajaekewa anamakasiliko
@babasarahprovideo
@babasarahprovideo 9 дней назад
Huo ni ukweli na tabia hizo ndomana mkiandaa show zenu mnakosa watu watu 100 nichangamoto hao mnao wazarau eti ninyi brand ndo wanao wa support mziziki wakiswahili utabaki uko bongo tu sio usa au Canada ndomana wa Nigeria wanawagaragaza wana discipline
@MasterVoltron-f9w
@MasterVoltron-f9w 9 дней назад
Duh eleweni kuwa mbosso hakupiga show Toronto huyu jamaa anakurupuka
@straightkonect1613
@straightkonect1613 9 дней назад
Ngoja kidogo bro hivi unaelewa maana ya SPECIAL APPEARANCE?msanii alipwe appearance halafu ashike mic?Rudi shule jomba
@all4970
@all4970 9 дней назад
Mambo yamebadilika sana, now days wabongo wengi wanaoishi Marekani ndio washamba, waropokaji... 😂😂😂 Dogo povu limemtoka kisa Mbosso.. 😂
@aftapat5365
@aftapat5365 8 дней назад
😂😂😂😂
@ms123ru
@ms123ru 9 дней назад
Kwan marekani ni ulaya 😂😂
@constanciomarcos5484
@constanciomarcos5484 9 дней назад
Sky zugumuzia show ya alikiba canada
@hadijagere
@hadijagere 9 дней назад
Mwijaku wa ulaya 😂😂😂😂 ndio wale wale roho za korosho
@rogersdavis3058
@rogersdavis3058 9 дней назад
Huyi nae tangu awe nje ya nchi mashauzi kibao
@LastMsusu
@LastMsusu 9 дней назад
HUJUI MANA SPECIAL APPLIANCES
@AminaAbdullah-ws3wy
@AminaAbdullah-ws3wy 9 дней назад
Tuwasamee
@LyonWalker_
@LyonWalker_ 9 дней назад
anajua maana ya special appearance limemshuka
@user-ki9wu6no3d
@user-ki9wu6no3d 9 дней назад
Ila dola 4000 ni ndogo mno
@user-if6xd4hz4p
@user-if6xd4hz4p 9 дней назад
Weeew akuna mtu naemshamba
@nadiaamisha2958
@nadiaamisha2958 9 дней назад
Hivi kwa nini watu wengi wa Africa wakifika kwenye hizi nchi za watu wanajiona wamefika 🤣🤣🤣una uhakika uko Canada 🇨🇦 🤣🤣🤣🤣mbona hufanani na Canada 🙄🙄🙄
@sarastephano3409
@sarastephano3409 9 дней назад
mbosso hajamuelewa huyu Kaka anacholalamika Ni kutokusalimia mashabiki sio kuperfom
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 9 дней назад
Canada ni ulaya mm nlkuwa sjuw
@Zenny89
@Zenny89 9 дней назад
Boss kamjibu kunya jamaa Sababu msela anaishi Canada🤣
@abdulhamidbasha2108
@abdulhamidbasha2108 9 дней назад
Jamaa kawapa ukweli
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 9 дней назад
Yah
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 9 дней назад
Htuyu mkaka atakuwa na hangover wasafi hawabaga mbambamba
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 9 дней назад
Mbosso ungemjibu kistaarab tuu bila kujal yeye amukuuliza vp kumbuka ww ni msanii ni kioo cha jamii
@dollabrucy
@dollabrucy 9 дней назад
Kwa wasani wa Bongo mtasikia vituko vingi mboso ametapeliwa na pck hataki tu kusema tena wasani wenu waki tanzania wawe ma Professional kwenye show pakiwa itilaf alie anda show ndo huwa anaandika nini imesababisha show isikuwepo sio msani… show inaanda mtanzania na mcongomani ikifeli eti wa naijeria hawatupendi
@MasterVoltron-f9w
@MasterVoltron-f9w 9 дней назад
Vitu vingine ni private sio kila kitu mtu aseme kwenye social media.Sasa ataakisema ametapeliwahio pesa haito Rudi ng'o
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 9 дней назад
Wcb wapo smart kwenye hizo ishu ayo maoni yako mzeeeee
@silverman6930
@silverman6930 9 дней назад
Talking none sense… go bed … if you don’t have their numba I can give you …:
@Stevekapugi
@Stevekapugi 9 дней назад
Mjinga huyo canada ni ulaya yaani hata hajui anaishi.wapi😂😂😂😂😂😂
@chesco9241
@chesco9241 9 дней назад
Kwani Canada Iko bara Gani mjuaji?
@magigegeofrey4507
@magigegeofrey4507 9 дней назад
North America
@verbalverbal2019
@verbalverbal2019 9 дней назад
"Hizo nyodo bakini nazo huko bongo, ndiko watu wanakopapatikiapapatikia watu, sisi huku ulaya tunapapatikia pesa.." 😂😂😂😂😂 Hivi kweli kabisa mpaka leo bado kuna watu wanaamini ukiishi ulaya ni mjanja, hizi akili za kizamani sana, halafu usikute alipambana kishenzi aende ulaya, yaani hapo usikute anajiona amefanikiwa kishenzi😂😂😂😂... PIMBI!
@ATM_FAMIL
@ATM_FAMIL 9 дней назад
KICHWA KIKUBWA AKILI NDOGO! Hawa ndo wale watu! Ukiongea kizungu we msomi... NYEUSI CHAFU NYEUPE SAFI.... tuwaache wata zinduka tu na watajicheka wenyewe
@DattiKassim
@DattiKassim 9 дней назад
Sasa kati ya wasanii hao wasanii hao wajinga tu rayvanny wazee kiki
@HoseaBeltha
@HoseaBeltha 9 дней назад
Kwan marekani na Canada ni ulaya kweli? Anatuchukuliaje huyo jamaa? Alafu anaapa eti hawatafanya tena show Canada Kama vile nchi ya baba ake.....
@davidshaban7375
@davidshaban7375 9 дней назад
Huyu jaamaa nili mu unfullow kila mahali sipendi namna yake ya kuzungumza.
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 9 дней назад
Wewe ni kama mimi.Sikuwa napenda namna anavyowasilisha hoja zake,ni mjivuni f'lan hivi.Nikamu unfollow kila mahali.🚮
@davidshaban7375
@davidshaban7375 9 дней назад
@@shyfettymtunda4619 Aiseee!! I'm glad we share the same thing in life.
@hamisijumanne4137
@hamisijumanne4137 9 дней назад
Yani masta wabongo bwana apo mtandaoni kujisifu kwamba wamelipwa pesa nyingi kumbe teni tu
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 9 дней назад
😂😂😂
@kingoflove9536
@kingoflove9536 9 дней назад
😂😂kwani yeye ana juwa kutunga nyimbo 😂😂
@pendonoor8869
@pendonoor8869 9 дней назад
Mimi sipendi jibu la Mbosso. Kawaida wewe ukielewa maana ya PR, ungemwacha tu, sio lazima uwonyeshe makali yako! Kuna wakati silence ina faida au tu umwelezee points zako kuliko kutumia maneno ya kejeli!
@jaymandy8136
@jaymandy8136 9 дней назад
Yaani azushiwe habari za uongo na kutukanwa kisha akae kimya hivi ww wa wapi?
@pendonoor8869
@pendonoor8869 9 дней назад
@@jaymandy8136 simaanishe hivyo. Anaweza mwelezea kwa mafupi bila kudondosha maneno ya hasira. That's my point. If someone goes low, you just go high!
@jaymandy8136
@jaymandy8136 9 дней назад
@@pendonoor8869 sio kila mtu atatukanwa kisha akae kimya kwaio Mbosso alifanya pw sana kumjibu huyo boya kwa hasira sana maana next time that bozo Will think twice before attacking Mbosso again on social media
@lakasid3860
@lakasid3860 9 дней назад
​@@jaymandy8136Mbosso ni brand hakutakiwa kujibu hivyo elewa hilo iyo kazi angeiachia management wamshtaki uyo jamaa kwa taarifa za uongo na sio kuanza kuchambana nae
@pendonoor8869
@pendonoor8869 8 дней назад
@@jaymandy8136 umemskia Mbosso Sns? Sasa?
@dvjtwentyfivedecember4398
@dvjtwentyfivedecember4398 9 дней назад
Jamaa ana hoja asikilizwe.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 9 дней назад
nani ana nyodo sasa? huyu jamaa hata jina simjui ila ana force umaarufu saaana , anaongea shombo saaana kwenye video zake, kuna majamaa wapo Canada tokea uhuru lakini huwasikii wakiongea kwa nyodo, ki ukweli hawa ndugu zetu walikuja dar kwa ajili ya masomo alafu wakapata fursa ya kwenda ulaya wana nyodo saaana, Wabongo wanapenda kufuatana fuatana hadi makalioni , maisha wanayoishi tz hadi wakija huku, hao jamaa ni wasanii wakubwa Tz wape heshima yao
@Uchukhan_
@Uchukhan_ 9 дней назад
Ukitoa ushabiki Utamuelewa Nn Anaongea Ila Km unaushabiki Utaelewa
@peloabandelwa6927
@peloabandelwa6927 9 дней назад
Kwani wewe unaishi canada
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 9 дней назад
​@@Uchukhan_Sasa c ameelezew kuwa Mbosso hakua na show Canada
@user-tz7sw8wj5x
@user-tz7sw8wj5x 9 дней назад
Mfagia choo ulaya
@ALCADOJAMES
@ALCADOJAMES 9 дней назад
Hili nalo limetokea wap nan kakwambia ulipie mjinga sana
@rahjah5882
@rahjah5882 9 дней назад
Basi wewe unapenda matusi kwanini unalipa mjinga wewe?
@erqmusic5973
@erqmusic5973 9 дней назад
Sky watu kama hawa usiwaangiazie wanachuki binafsi broooo
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 9 дней назад
Mbona mboso anajibu kama mtoto wa kike vile??? Au ndio bwabwa tenaaaa?? Huyo ni shabiki yako ulipaswa umueleleze tu ki gentle man!! Watanzania tunajua ni van boy ndio alipaswa kuperfom toronto na sababu zake amesha weka wazi kwa nn ilishindikana na amesha eleweka!!
@zahararamadhanisalmu395
@zahararamadhanisalmu395 9 дней назад
😂😂 yaaaani uyo kaka alivyo nalipua alafu anajiongelesha2 kwan kuna m2 alimuomba aende uko kwenye show
Далее
Стас о своих клиниках
00:19
Просмотров 309 тыс.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
Просмотров 12 млн
Maua Sama feat Nandy - Poa (Visualiser)
2:51
Просмотров 494 тыс.
Mobile Wheel Polisher ##❗️❗️
0:19
Просмотров 1,6 млн