Тёмный

Mbowe aibua mapya ya Magufuli 

MwanaHALISI TV
Подписаться 302 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 июл 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@hamisjingu4710
@hamisjingu4710 7 лет назад
Safi sana
@allyyakoboallyyakobo7229
@allyyakoboallyyakobo7229 7 лет назад
Mbowe umeongea point sana
@wilsonchallange4420
@wilsonchallange4420 6 лет назад
acha unafiki. sema pia budget ya kilimo na afya imeongezwa kwa kiasi gani. Mbowe wewe ni Mpuuzi tu. unawezaje kusema ndege sio mojawapo ya vipaumbele wakati #Gwajima anaweza kununua ndege yake. ile chopa mnayotumia wakati wa Campeign mliinunua kwa kutumia nini. au mliipata bure.!?
@felixngaya1134
@felixngaya1134 7 лет назад
Mweeee tatizo mh.unaongea point sana mungu akuzidishie uelewa mh.
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 7 лет назад
mawazo mbadala ndio kazi ys upinzani,ni kweli ,wkti mwingine mkisema hivi mnadia nchi ,ulichosema ni sawa Mh.Mbowe Huu ndo upinzani wa kweli kutoa mawazo Mbadala!!!!!! Mpeni rais ushirikiano ,tutafika tuu cku moja km nchi
@saidisheha5366
@saidisheha5366 7 лет назад
yani huyu ndo ajekua kiongozi wa nchi kweli? genge la watu wachache linamshinda.
@silvamsophe4392
@silvamsophe4392 7 лет назад
jimbo lako umefanya nn miaka yote kwanza
@allyyakoboallyyakobo7229
@allyyakoboallyyakobo7229 7 лет назад
Angalia wasije kusema eti umeongea uchochezi wakati umeongea yanayo tuhusu ss wa tz
@dulaisalim617
@dulaisalim617 7 лет назад
mmeishiwa amna jipya
@rachellwenje5767
@rachellwenje5767 2 года назад
Nimesha jifunza wapinzani hampaswi kupewa mkoa wilaya kata kijiji wala mtaa waaina yoyote niwannafik ""''";; aliyepokia kijit kaz iendelee amewaongeza mishahara atawapa nakatiba mpya maana hiyo itaongozwa na maraika toka mbinguni
@josurelauwo7104
@josurelauwo7104 6 лет назад
Wanasema "hapa kazi tu" hakuna kazi yoyote walio Fanya
@simonfundi5472
@simonfundi5472 7 лет назад
Sema baba
@mudhousekikoletv3865
@mudhousekikoletv3865 7 лет назад
Asanteee
@emmyleonard5939
@emmyleonard5939 7 лет назад
safi mbowee
@luciansanga4826
@luciansanga4826 7 лет назад
Emmy Leonard Tunao nunua Mahindi Mchela ni Wafanyakazi wa kima chachini Mishahara yetu ipo palepale Anayechukia usemalo ni mwizi tu
@sifunikarama5041
@sifunikarama5041 7 лет назад
Emmy Leonard poatu
@lucasrwegasira5396
@lucasrwegasira5396 7 лет назад
bila upinzani hakuna maendeleo chadema kaza buti msiteteleke tuko nyuma yenu
@esterkiyabo5133
@esterkiyabo5133 7 лет назад
acha vipande na wakulima wapate
@fredwaykasika5000
@fredwaykasika5000 7 лет назад
mtu mzima unaongea pointless hazaran bila uoga wowote
@petertinanzila9256
@petertinanzila9256 7 лет назад
Bora mbwaa kulikonyie ccm mnakaa na simba alie kufa mbowe huyo nikiongozi
@danielelias4639
@danielelias4639 7 лет назад
mpinzani ni mpinzani tuu ndugu yangu, hata rais ufanye nini
@humphreytuni3009
@humphreytuni3009 6 лет назад
Daniel Elias the most stupid statement ever
@danielelias4639
@danielelias4639 7 лет назад
Bora nikamsikilize punda akilia kuliko upuuz wa hii mutu
@alhadjijumaa648
@alhadjijumaa648 7 лет назад
Khaaa! ama kweli tumepata viongozi, wapinzani.........kwa usawa huu 2020 CCM kama wanamsukuma mlevi kwenye ngazi.
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 7 лет назад
Mbowe jembe ubaki ukikiongoza huki Chama mana ikitoka wewe akina lipumba wataingia kukivuruga
@richardmganyasi7964
@richardmganyasi7964 7 лет назад
Hata Raisi angefanya hayo unayosema bado mngesema hajafanya kitu mbowe kaaa kimya
@mwemezirukoijo9046
@mwemezirukoijo9046 7 лет назад
Richard Mganyasi
@mwemezirukoijo9046
@mwemezirukoijo9046 7 лет назад
Richard Mganyasi Mmefirisika nyie cdm
@ezekielkiyeyeu1872
@ezekielkiyeyeu1872 7 лет назад
Hana Point yoyote wameshapoteza muelekeo,
@adestinomwilinge7428
@adestinomwilinge7428 7 лет назад
Nimecheka sana eti ni halali kiwanda kugeuzwa godown do.....Mbowe unalipwa na nini ?
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 7 лет назад
adestino mwilinge kaka kipi kibaya hapo,unahitaji asifie kila kitu,ametoa maoni yke na ni mawazo mbadala,tuwe km wenzetu nchi zingine tuache unafiki,ameongea mambo mazuri tuu
@ezekielkiyeyeu1872
@ezekielkiyeyeu1872 7 лет назад
Mlizoea kuchezea pesa za uma wache tujenge nchi mnayeumia ninyinyi mafisadi sisi tumeshazoea maisha haya
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 7 лет назад
ezekiel kiyeyeu umezoea ww na bib yko
@denickillanga8614
@denickillanga8614 7 лет назад
ezekiel kiyeyeu wap wew wananchi wana umia wew una sema unajenga nchi saw ni wapinzan lakin kuna muda wanaongea kwer tuache siasa za majukwaa kushangilia mala naludisha iki mala kile wakat mambo ta msing akuna wew shangilia sjui ata kam huna huo uwezo wa kupanda ndenge maisha yetu tuna yajua wenyew acha utoto usiwe bendera fata upepo mbona mtakubalit
@stewardmsongole7375
@stewardmsongole7375 7 лет назад
amna kitu apoo
@dadileonard2392
@dadileonard2392 7 лет назад
Tunaomba kujua Elimu yako km Empty Certificate maana Ungelikuwa na Diploma,Degree,Master na PhD ungeongea mantiki.Serikali ni Pamoja na ww je, ww Unasaidia nn ss ninyi tumewachoka Umburura huu jamani Ungejua kuwa Climatic Change is the source of all this Unfortunately Ur not aware about this because of blindness km pesa zakosekana mtaani jitolee xx Ulinazo hta kidogo ukawawekee mfukoni tumechoka na kiki za kifara maana hamkupewa dhamana ya kuongoza kutokana na Umbuju wenu!
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 7 лет назад
Dadi Leonard wew kwnza ndo 2jue elimu yko bashite mkubwa we
@adestinomwilinge7428
@adestinomwilinge7428 7 лет назад
Wamepoteza mwelekeo sasa wamebaki kuhubiri historia tu
@majebelefelifeli103
@majebelefelifeli103 7 лет назад
huna lolote ulitaka mkulima akuuzie 15000 gunia acha tunufaike wakulima songa mbele Rais magufuri mungu akulinde
@bakarisadiki7639
@bakarisadiki7639 7 лет назад
Mungu wangu magu mwanaume maana umefanyia kazi Sera zote ona hao wanavyo tapatapa heti Leo Sera imekua kilimo mmeishiwa kweli tozo zote zilizofutwa zilikua zann au zamaji
@adestinomwilinge7428
@adestinomwilinge7428 7 лет назад
Acheni woga majimbo yenu mmefanya nini?
@edisonmjema2620
@edisonmjema2620 7 лет назад
adestino mwilinge yawew unamavi kwenye ubongo kama serekali hainamwelekeo mbunge ambaye nimfwata upepo atafanya nin?
@lukaskasungakasunga7172
@lukaskasungakasunga7172 7 лет назад
Safiely Togolani ni shida
Далее
Hitler in Colour (4K WW2 Documentary)
1:10:44
Просмотров 9 млн
Каха заблудился в горах
00:57
Просмотров 3,1 млн
Лепим из пластилина🐍
00:59
Просмотров 383 тыс.